Maneno bila yakushiba hupati kuzungumza yy anapigiwa kingora nakushiba kupitia kodi zetu sisi wananchi lakini ss wananchi tunaolipia kodo hatuna maji tumefanya vipara hatushibi mlommoja kumiliki ww uwe mwanamme rabda uwe chawa au mpambe wachama tawala kwaiyo ss ww hatukushangai kwasababu tunauliwa kwakukaa madarakani nyinyi munafurahiya kwajili yamaslahi yenu lakini ikosiku mizali puwa zetu zimelekea chini hatutoishi milele ahera kwenda kuhesabiwa mema namabaya ulofanya duniani
It's very good thing Mr President...congratulation...sasa tufanyie mpango wa kupata bandari ya kisasa yenye uwezo wa kupaki meli zaid ya kumi zenye hadhi zote......
Namuombea kheriiiiii salama Afya njemaa kwa Moyo na upendaooo wake ya kuwaletea maendeleo makubwa kwa kweli Hongera Mh Dr Rais Hussein Ali Mwinyi oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
@@frankngoloka5416 Exactly broo...This needs a mask and do not look behind yaani uendelee tu...It will help Zanzibar and TZ as well...Even price of fuel will be decreased in such away majority of Tanzanian can afford it...👆
Dah, kwa kweli me nashangazwa sna hivi pemba sio kisiwa cha zanzibar kila maendeleo unguja nilihisi bandari hii pia itafupidha safar za masaa ya kukaa katika meli baina ya pemba na unguja ili kukuza shubuli za kiuchumi pemba but bado tupo kuipamba unguja. Wacha niseme tu, let them eat brother untill the system change 😭😭😭
Hata iweje Unguja ni Kisiwa chenye matumizi makubwa zaidi ya mafuta kuliko hata Pemba usifanye ushindani usiokua na tija ,tumpe moto Rais wetu tusiwe wabinafsi
Yangepatikana mamlaka kamili ya Zanzibar basi hayo yangepatikana zaidi na zaidi maana hapo kuna macho ya sehemu fulani yote yapo hapo ila wao yapo mengi ila sis wala hatuna habari nayo
Ss hatuna letu mana kilakitu cha muungano mafuta na gesi ya muungano mbona madini na zahabu sivyo vya muungano letu lao na lao sio letu hatutaki muungano usio na haki mungano huu lazima tukae chini tukubaliane
Hawana mamlaka ya kuchimba mafuta Ccm adi Tanganyika waruhusu ubaya zaidi Tanganyika imeungana n Msumbuji kama sijakosea wanachimba mafuta n kupeleka bomba la mafuta adi bandari y Tanga
Sasa kwanini zanzibar kuja mafuta tusichimbe wenyewe ikawa wananchi wanafaidika nayo.kuliko kwenda kununua mafuta kwengine na hali ya kuwa mafuta tunayo. Huoni wananchi watakula hasara.
Tupige makofi piga makofiii tushavalishwa miwani ya mbaoo tayari na ushoga upo jirani tusubiri utangazwe askari wa field force na wengi wengi wapo hapo wanaanza kujitokeza baada ya hapo tusubiri kibano kutoka kwa mungu
The roots hiyo ni chuki binafsi huo ushoga wa mtu binafsi unahusu nini na maendeleo ya nchi? Je unawaonyeshea vidole wenzio je una uhakika kwenu hakuna hao mashoga? ACHA ROHO MBAYA TUMUOMBE ALLAH ATUEPUSHE NAKILA AINA YA MAJANGA AMEEN
Kuna Watu Wanajifanya Hawaoni Lkn Ukwel Rais Wetu Una Upiga Mwingi Sana Kama Vijana Wa ARSENAL
Maneno bila yakushiba hupati kuzungumza yy anapigiwa kingora nakushiba kupitia kodi zetu sisi wananchi lakini ss wananchi tunaolipia kodo hatuna maji tumefanya vipara hatushibi mlommoja kumiliki ww uwe mwanamme rabda uwe chawa au mpambe wachama tawala kwaiyo ss ww hatukushangai kwasababu tunauliwa kwakukaa madarakani nyinyi munafurahiya kwajili yamaslahi yenu lakini ikosiku mizali puwa zetu zimelekea chini hatutoishi milele ahera kwenda kuhesabiwa mema namabaya ulofanya duniani
@@omarhababuu3159 Sasa Hapo Itakuwa Umenuna Maisha Ni Kuchagua Na Wala Aina Shda Kwa Ulichochagua
Maashaallah Allah akujalie nguvu zaidi na afya njema yakutekeleza ahad zako
It's very good thing Mr President...congratulation...sasa tufanyie mpango wa kupata bandari ya kisasa yenye uwezo wa kupaki meli zaid ya kumi zenye hadhi zote......
Mashallh mashallh nakupenda raisi wng
I see my country form my dreams. Hongera mr president
Safi.!! Mwelekeo mzuri. Waswahili tujitahidi twende mbele. Magufuli katuamsha sasa ni juu yetu kuendeleza mwenge.
Hivi hakuna uwezekano kubadilishana marahisi wa huko aje huku
😀
Namuombea kheriiiiii salama Afya njemaa kwa Moyo na upendaooo wake ya kuwaletea maendeleo makubwa kwa kweli Hongera Mh Dr Rais Hussein Ali Mwinyi oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hongera dkt Mwinyi
Tunasubiri uanzwaji wa project ya BANDARI KUBWA YA AINA YAKE (MWANGAPWANI)
Well Done 👏🏿👏🏿👏🏿
Hongera Mh Rais
10 tena Mh Raisi soon Zanzibar Tajiri
Mashallah Allah akibariki ktk uongozi wako
Uuzaji ni gud idea kama biashara nyingine hongera rais
Sasa twende beyond kuchimba mafuta yetu ili tuhifadhi wenyewe...Ila hata hivyo ni great achievmnt hiii...Congratulation Preaident.
Kweli mafuta yapo Zanz chukuweni maamuzi magumu mchimbe
@@frankngoloka5416 Exactly broo...This needs a mask and do not look behind yaani uendelee tu...It will help Zanzibar and TZ as well...Even price of fuel will be decreased in such away majority of Tanzanian can afford it...👆
mafuta lita iwe shiling mia tano(500/=) mkuu inawezekana tukiamua
Safi
Mafuta yana tutosha haya haya chamsingi piga mafuku ushoga ndio tatizo kubwa sisi ni waislam hatitaki vitendo vya kikafiri live
Mufti kashasema uko
Wanaume izo cheni tuachieni sie tuwavalie 🤣🤣🤣
Dah, kwa kweli me nashangazwa sna hivi pemba sio kisiwa cha zanzibar kila maendeleo unguja nilihisi bandari hii pia itafupidha safar za masaa ya kukaa katika meli baina ya pemba na unguja ili kukuza shubuli za kiuchumi pemba but bado tupo kuipamba unguja.
Wacha niseme tu, let them eat brother untill the system change 😭😭😭
Hata iweje Unguja ni Kisiwa chenye matumizi makubwa zaidi ya mafuta kuliko hata Pemba usifanye ushindani usiokua na tija ,tumpe moto Rais wetu tusiwe wabinafsi
Yangepatikana mamlaka kamili ya Zanzibar basi hayo yangepatikana zaidi na zaidi maana hapo kuna macho ya sehemu fulani yote yapo hapo ila wao yapo mengi ila sis wala hatuna habari nayo
👏👏👏👏
Na pia wanunue mafuta kwa hela ya kitanzania sio hela zao wao
TANZANIA NI KUBWA SANA TUKIIVUNJA VUNJA TUKAPATA NCHI HATA TATU HUMU NDANI TUTAENDELEA KABISA
zanziba ni ndogo kuliko mwanza au mbeya
Hiii ya kuuza nje huwezi kuielewa mpaka ukutane na sisi tuliosoma urusi
Haya ni maslahi binafsi tu, si maslahi ya wananchi, mafuta tunayo kwenye nchi yetu mbona hamuyachimbi Ikiwa kweli muna maslahi na wananchi
Unamaanisha mafuta sas yatapungua Bei Zanzibar au vp???
Mambo kigodogo jamani muwe na subra
Mafuta y nazi yakuwepo pls
jamn hii si bandari msitufnye mazwazwa wazanzibari
Ayo tv hamjawahi kufeli
Ss hatuna letu mana kilakitu cha muungano mafuta na gesi ya muungano mbona madini na zahabu sivyo vya muungano letu lao na lao sio letu hatutaki muungano usio na haki mungano huu lazima tukae chini tukubaliane
Haha mnafurahi nn funika kombe mwanaharamu apite na nficho tunacho fanyiwa znz bandari ya muungano uwanja wa ndege wa muungano tunafaidika na nn
Hiv kwanini Mwinyi asije bala alafu Samia haje Zanzibar Maana uku kicheko kimeisha nikusutwasutwa kila mala...
Tulia ww mama akuchangamsheni uko
Kajifunze kiswahili uko.
Sihulka zetu kuvaa cheni
Mitano tena
Si mafuta yapo zanzibar kwa nini msichimbe mafuta wenyewe na kiyahifadhi na kufanya bei ya mafuta kushuka nchini
Hawana mamlaka ya kuchimba mafuta Ccm adi Tanganyika waruhusu ubaya zaidi Tanganyika imeungana n Msumbuji kama sijakosea wanachimba mafuta n kupeleka bomba la mafuta adi bandari y Tanga
kampeni za kisiasa zimenza
Mwanga pwani sindio kwenu hiking?????
Thanks president
Ah tushayazoea ayo R.I.P JPM
Ni wale wale tu nyie haya iyo RIP inahusika vp hapa
Sasa kwanini zanzibar kuja mafuta tusichimbe wenyewe ikawa wananchi wanafaidika nayo.kuliko kwenda kununua mafuta kwengine na hali ya kuwa mafuta tunayo. Huoni wananchi watakula hasara.
Kuchimba mafuta ni mchakato mrefu sana
Two different things when you say bihari and bandari these are two different
Bohari = godown/warehouse/depot
Bohari camon man 😊
@@fatimamohammed4745 Yes, bohari. Some might not like the word, but it is in use and we have to live with it!
Tupige makofi piga makofiii tushavalishwa miwani ya mbaoo tayari na ushoga upo jirani tusubiri utangazwe askari wa field force na wengi wengi wapo hapo wanaanza kujitokeza baada ya hapo tusubiri kibano kutoka kwa mungu
The roots hiyo ni chuki binafsi huo ushoga wa mtu binafsi unahusu nini na maendeleo ya nchi? Je unawaonyeshea vidole wenzio je una uhakika kwenu hakuna hao mashoga? ACHA ROHO MBAYA TUMUOMBE ALLAH ATUEPUSHE NAKILA AINA YA MAJANGA AMEEN
Mbona unaongea vitu vya ajabu haya inahusiana VIPi na haya , uyo ndo mtu wa mwanzo Kua fedhuli tangu zanzibar iumbwe
Ww angalia vizur kauli yako hio
Acha ujinga uo ombea familiya yako hatma njema unaropokwa tu hujui ata usemalo 😮
@@prettymasha2430 kumbe mko wengi sana.mashoga lkn kumbukeni kuna na kifo
Bohari sio Bandari
Ni bohari, yupo sahihi, bohari ni hifadhi ya mafuta, sawa na kusema ghala au storage.
Mashallah Allah akuongoze ktk uongozi wako