Mambo magumu lakini nna imani na maamuzi yatakayotolewa na chama-Zanzibar Kamili Exklusiv na Mwinyi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 153

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 3 ปีที่แล้ว +16

    Umeongea point sana tena sana Allah akubariki sana.

  • @bushirigharr9435
    @bushirigharr9435 3 ปีที่แล้ว +10

    Sawa sawa dah umeongea point sana

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 3 ปีที่แล้ว +16

    Aliesikia wachukua mali zetu kwa mtutu wa bunduki kisha wasema ni ngawira aweke like hapa.

  • @othmanalnabhany3208
    @othmanalnabhany3208 3 ปีที่แล้ว +8

    Hii hali ndio ilivyo kabisa Zanzibar haya maneno sio ya uwongo ni ukweli mtupu umeongea point sana kiongozi wetu

  • @kaykay9722
    @kaykay9722 3 ปีที่แล้ว +8

    Nimefurahi sanaaa leo baba unaongea ukweli mtupuu

  • @zubeirsalum128
    @zubeirsalum128 3 ปีที่แล้ว +14

    Huyu jamaa kaongea point kabisa mashallah

  • @abdulhalim3840
    @abdulhalim3840 3 ปีที่แล้ว +7

    Upo saw baba wambie awo madhalim wa wanyonge mungu yup

  • @khamisalrawahy7122
    @khamisalrawahy7122 3 ปีที่แล้ว +7

    Alo uyu jamaa kaongea Maneno mazima..insh Allah nitamtft nimpe zawad yake

  • @muhammedkhamis1407
    @muhammedkhamis1407 3 ปีที่แล้ว +2

    Kaka Maneno Yako Yapo Juu Ya Mstari Yamenyoka Kama Moja Hayapingwi Hayo Pasuwa Baba Usimuangaliye Mtu Sura Ukweli Utabakia Kuwa Ukweli Tu Pasuwa Kk✍🤝🙏🙏

  • @sayidabdillah8505
    @sayidabdillah8505 3 ปีที่แล้ว +2

    Ahasante mzee wangu unajuwa sana
    But njia mbadala wa haya ni kuandaa vijanaa kwenda kupata mafunzo ya kijeshi ili tuje tupambane nawo kwa njia wanayoitaka waoo

  • @user-pf9cd6zj1g
    @user-pf9cd6zj1g 3 ปีที่แล้ว +6

    Kweli kabisa maneno yake

  • @khaledsuleiman9819
    @khaledsuleiman9819 3 ปีที่แล้ว +5

    Sijamaliza kusikiliza lakini naona keshamaliza, nimefikia pale Faki Mpemba sio kaiba.....

  • @abdulwahabbakar8677
    @abdulwahabbakar8677 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu anazungumza point sana ccm hawana nia nzuri ya maridhiano yoyote

  • @saidmuhsin2446
    @saidmuhsin2446 3 ปีที่แล้ว +1

    Broo big up...ushauri wako sio kichwa kitupu na hekima ipo..Allah akubark

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 3 ปีที่แล้ว +6

    Nabii Mussa sio Suleiman umesahau kidg Masha Allah point tupu umeongea

  • @aliymaulid8941
    @aliymaulid8941 3 ปีที่แล้ว +7

    Umepata mtu sahihi wakufanya nae interview

  • @saidmuhsin2446
    @saidmuhsin2446 3 ปีที่แล้ว +1

    You are perfect

  • @saidshaal4814
    @saidshaal4814 3 ปีที่แล้ว +4

    Duuh hapo umeongea mazima matupo brother

  • @becks3898
    @becks3898 3 ปีที่แล้ว +6

    Ndio ndio. Uko sahihi kabisa.

  • @ibugharib389
    @ibugharib389 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyu ndie kiongozi asiyeremba maneno ,maneno yake yote aliyoongea yameenda school hakupepesa yako wazi ná yakweli helo ndugu yetu

  • @rashidabdallah3253
    @rashidabdallah3253 3 ปีที่แล้ว +6

    Yy mwenyewe walimgeuza pweza huyo kipindi cha uchaguzi wakisema kuwa ndo washamfumba mdomo lkn ndo wamemfumbua .

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 3 ปีที่แล้ว

      Subhanallah MMungu kamhifadhi

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 3 ปีที่แล้ว

      Hawa ma ccm hata hujui uwaweke fungi gani mafia hawa

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 3 ปีที่แล้ว

      Huyo asitwe hata Rais ndio hivyo Heshima zetu juu ya Allah Raham Maalim Seif tu hawana maana hawa masheha wanafiki wakubwa

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 3 ปีที่แล้ว

      Wanafiki wakubwa yeye na hao mabasha wake waliomchezea akili

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 3 ปีที่แล้ว

      Serikali ya ccm hawana aibu wanoko hao

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 3 ปีที่แล้ว +6

    WASHENZI MAKAFIRI WANAFIKI WEZI MAJAMBAZI WAHALIFU MOTO UNAWASUBIRI MOTONI NYUMBA ZAO IN SHAA ALLAH AMEEN YA RABI ALLAMEEN.

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว

      Abdulrahman nani aliyekwenda huko akarudi dini ni imani yako hakuna mshenzi wala kafiri kafiri maana yake nini tuelemisha huna adabu kwa matusi yako mshenzi mwenyewe

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว

      Abdulrahman hujui watu wanaoswali sana na waonaosali sana kuna siri nyuma ya pazia acha kutukana hovyo kabisa

  • @kaykay9722
    @kaykay9722 3 ปีที่แล้ว +4

    Ni kweli ufisadi mtupuuuuu

  • @fatmaalimassoud2095
    @fatmaalimassoud2095 3 ปีที่แล้ว

    Safi Sana,ukweli umeueleza mafisadi wakubwa ni Masheha

  • @mhogomchungu7168
    @mhogomchungu7168 3 ปีที่แล้ว +1

    Mfumo wa vyama vingi hautufai , unatugombanisha na kutufitinisha bora turudi kwenye mfumo wa chama kimoja kudumisha amani

  • @lukmansaid7217
    @lukmansaid7217 2 ปีที่แล้ว

    Ila mungu anawaona

  • @meekman654
    @meekman654 3 ปีที่แล้ว +6

    Duh! Kweli watu wamechoshwa na maccm

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว

      Meekman na wewe huna lolote ccm ndiyo chama dume acha kazi ufanye kazi hiki chama cha amani ila ukileta ujinga utakiona kilichomtoa kanga manyoya sisi wapenda amani

    • @moa4122
      @moa4122 3 ปีที่แล้ว +1

      @@margarethpolepole7438 kumbe na wewe ni wale wajinga waliojazwa propaganda za nyerere? Waarabu waarabu kisingizio 😁 ufumo Kristo usiofuata kitabu cha biblia ndio unaoturejesha nyumba kwa sababu wazungu hawataki waafrika waendelee wanataka maisha wagombane na ujinga wako waarabu hawana shida kwao wazungu ndio waliokuwa na shida na hao wazungu ndio waliyo wafanya waafrika watumwa na kuwatesa kama wanyama nenda ukafanye utafiti ninakupa homework nenda ukatafute ushahidi mmoja tuu kama waarabu wamewatesa waafrika hutoupata popote pale hizo ni propaganda za kisiasa tu za chama cha church cristian movement(ccm) kinachotumiliwa na mabeberu tuuu

    • @moa4122
      @moa4122 3 ปีที่แล้ว

      @@margarethpolepole7438 hao waliotusababisha mpaka leo tugombane ni mabeberu kwa sababu kwao kuna shida Mno na wao hawawezi kuendelea kama hawakuigombanisha Afrika Mali na Utajiri wao wote walio upata wazungu unatoka Afrika na mpaka hii leo wanatuibia muarabu hajaiba na wala hanashida yoyote ile na muarabu ndio tishio la wazungu ndoo wajinga kama nyinyi musiojijua munabaki kuchukia watanzania wenzenu sababu siasa

    • @meekman654
      @meekman654 3 ปีที่แล้ว

      @@margarethpolepole7438 Mimi ccm hanisumbui, tushawajua ccm si watu wazuri.....

    • @meekman654
      @meekman654 3 ปีที่แล้ว

      @@margarethpolepole7438 Amani Gani iliyo nayo ccm? Hahahaaaa! (chanjo) itawatafuna mmoja mmoja.

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 3 ปีที่แล้ว +3

    Mbavu zangu weeeee

  • @ridhwanfaki9738
    @ridhwanfaki9738 3 ปีที่แล้ว +4

    Hakika mh unaongea yaliyo sahihi kwa weledi wa haliyajuu,jinsi hawa manyan’gau wa ccm walivyo tabia zao .naomba kuwasilisha

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว

      Ridhwani faki nyangau wewe kwenye chama chako siyo wa ccm nenda shule una asili ya utumwa wewe bado unapenda kutawaliwa na waarabu wakati utumwa wa nchi karume na nyerere wameukomesha tena unapenda vya bure bila kufanya kazi biblia na misahafu inasema asiyefanya kazi na asile

    • @ridhwanfaki9738
      @ridhwanfaki9738 3 ปีที่แล้ว +1

      Haahaha .Margareth polepole Sindano imekuingia wacha dawa ifanye kazi yake .yatakutoka mengi ya kifedhuli ,lakini mm ninachokwambia sisi wanzanzibari tunajitambuwa na tunajuwa nn lengo letu .

    • @ridhwanfaki9738
      @ridhwanfaki9738 3 ปีที่แล้ว

      Nadhani bi margareth polepole licha ya kujiona umeenda shule lakini kwa muono wangu nilidhani umeenda shule ufute ujinga kumbe ndio umeenda kuchukuwa Cheti cha ujinga,na nikiangalia fikra zako ni zile zile za kinyan’gau .tunao wengi sana watu wa aina yako ,watu wenye maumbile ya vunja jungu .nakukaribisha njoo Zanzibar tukupe elimu ya nn utu na Vipi upiganie utu wako tutakupa elimu hiyo tena hutolipa gharama yyt ,maana nadhani huna elimu ya kujitambuwa ,narejea tena sisi wazalendo wa kizanzibari tunajitambuwa utu wetu ,hulkazetu ,na pia tunajitambuwa kupigania haki zetu ,ufedhuli majigambo na umimi kwetu hazina nafasi ,ninachokwambia Zanzibar yenye neema inawezekana ,Zanzibar yenye haki inawezekana ,Zanzibar yenye utulivu inawezekana Zanzibar yenye Ustawi wake wa kijamii inawezekana kinachokwamisha ni manyan’gau waliojiweka madarakani na wafuasi wao.naomba kuwasilisha.

    • @abdull-majidali6320
      @abdull-majidali6320 ปีที่แล้ว

      Hahahahaa. Weye Margareth ni mtwana tu usiyejitambua. Nyerere aliondoa utumwa aliwaletea utumwa? Myaka 25 ya utawala wake ameondoka hamna hata Cha kuvaa achlilia mbali Cha kukila alichowaachia. Halafu sisi watu wenye akili zetu twafahamu unapotaja waarabu hua ni nini ulichokusudia kukisema moyoni mwako na ndio maana ukakimbilia haraka Kwa Nyerere Kwa sababu ndio kiongozi mkuu huko unakoswali. Tulia tuli mambo ya Zanzibar hayakuhusu ndewe wala shikio

  • @maryamsalum4727
    @maryamsalum4727 3 ปีที่แล้ว +7

    Maneno mazima na yanamaana
    CCM ni watu wa drama tu

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว

      Maryamu salum huna lolote nenda shule ukasome

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 2 ปีที่แล้ว

      @@margarethpolepole7438 Aliyoyasema Maryamu ni yakweli ccm ni watu wa drama tu ,na wewe pia nenda shule .

  • @bestwinner4571
    @bestwinner4571 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante

  • @zahorsalum663
    @zahorsalum663 3 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa anaongea ukweli mtupu .kbs.Allah akubariki..sn.

  • @abdallahnassoro2460
    @abdallahnassoro2460 ปีที่แล้ว

    Mwinyi umenigusa sana mm nimmoja wapo adi Leo Sina kitambulisho Cha uzanzibar niliambiwa nimgeni kwetu kabisa

  • @doubleimpact9749
    @doubleimpact9749 3 ปีที่แล้ว

    Rocket nakukubali sana kwa kweli

  • @mohammednassor3081
    @mohammednassor3081 3 ปีที่แล้ว +2

    Takbeer takbeer

  • @tamimtours6934
    @tamimtours6934 3 ปีที่แล้ว +1

    MUSHISHIRIKI BWANA FANYENI MAMBO YETU YAKIMAISHA.MAISHA YAENDELEEE WAACHENI WATAWALE MPAKA HUKO WENDAKO..MUNGU ANAWAONA.

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 3 ปีที่แล้ว +1

    HAWA MASHEHA ACT WALISEMA WACHAGULIWE NA WANANCHI, TUNATAKA KATIBA MPYA RAIS ABAKI KUWA RAIS , ASIWE NA UWEZO WA KUMCHAGUWA KIONGOZI YOYOTE. VIONGOZI WOTE WACHAGULIWE NA WANANCHI.

  • @abuuruhaymaa2244
    @abuuruhaymaa2244 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwinyi nakukubali sana

    • @batulisharifu4934
      @batulisharifu4934 3 ปีที่แล้ว

      Kiongozi mungu akupe nguvu mtu hachoki mwenzake ila unyama wao umetuchosha na udhwalimu wao ni mkubwa na adhabu Kali zitawathibitikia mbele ya mungu

    • @sharifjuma1220
      @sharifjuma1220 3 ปีที่แล้ว

      *Mantashabaha bikaumi fahuwa minhum. Maneno ya Mtume wetu.
      Anajinasibisha na watu( anaefata watu naye huwa kama mfano wao.)
      Mutakuwa pamoja hapa duniani na Akhera pia. Umemkubali 👏👏

    • @abuuruhaymaa2244
      @abuuruhaymaa2244 3 ปีที่แล้ว

      Huyo mzungumzaji pia anaitwa Mwinyi wa Gando mimi ni mtu wangu wa karibu sana,sijakusudia Mwinyi Rais

  • @salimsaid8348
    @salimsaid8348 3 ปีที่แล้ว +2

    hahahahaha, ccm hata wamchukuwe malaika mbinguni basi watamharibu hahahhahaha

  • @maalimseif9430
    @maalimseif9430 3 ปีที่แล้ว +1

    Kulala basi watu wadili na masheha kuzalilishana basi kwani sheha ni nani?

  • @makameshibli2797
    @makameshibli2797 3 ปีที่แล้ว

    vitambulisho mulivikataa wenyew sio kweli km mnanyimwa tutajie mtu mmoja alienyimwa kitambulisho we mzee muogope Mungu

    • @rastafare878
      @rastafare878 2 ปีที่แล้ว

      Mhmhmh wewe ndio umuogope Mungu , maana hakuna asiyejua ya kuwa kuna wazanzibari wengi hawapewi vitambulisho Na wageni (wabara) wapo wengi wanapewa vitambulisho

  • @khamisjuma9340
    @khamisjuma9340 3 ปีที่แล้ว +3

    Maneno yako sadakta mheshimiwa mwinyi

  • @zamzamsuleiman6824
    @zamzamsuleiman6824 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwinyi asema "CCM wote ni wivi pamoja"

  • @abdallahjuma8168
    @abdallahjuma8168 3 ปีที่แล้ว +2

    👏👏👏

  • @wabobuagere6440
    @wabobuagere6440 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa bidii kwa bidii kwa bidii nimekusoma, umesomeka ao jamaa noma ccm ngozi ya futi

  • @jumaomar9655
    @jumaomar9655 3 ปีที่แล้ว

    Pure Point

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 3 ปีที่แล้ว

      Absolutely

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa Mwinyi kama mkweli awafute mbali hao mashehena wao wamewaka makusudi hao ccm wanafiki waongo hawana ila udhalim

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 3 ปีที่แล้ว

      Hiyo hasara haiwastuwi maana watapandiaha bidhaa bei tu wazidi kuwakamuwa wanyonge na wao wanaumia vilie vile lakini ukereketwa umewazidi kipimo hawamuogopi MMungu hata kidogo

  • @vuaiabdallah332
    @vuaiabdallah332 3 ปีที่แล้ว

    Kwakuwaweka wazanzibar pamoja Hilo katu Abadan haiwezekan kwanza nynyi wapinzan zaid wapembe wabaguz cc Zanzibar na tunaojijua wazanzibar tupo pamoja Zanzibar hakuna matatzo nyiny mnaua hamsemi mkipgwa nyie kelele ata bado

    • @suhamdistributors5934
      @suhamdistributors5934 3 ปีที่แล้ว

      Acha upuuzi

    • @vuaiabdallah332
      @vuaiabdallah332 3 ปีที่แล้ว

      Upuuz gan niache

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 3 ปีที่แล้ว

      Vuai wabaguzi nyie Wazanzibar ndio namba wani kwa Ubaguzi hamna hata haya wanafiki nyie mna chuki za ndani ya roho na damu zenu waunguja wengi hamsarifiki kama nguo mbovu na chupi chafu haman ila choyo tu na uhasidi

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 3 ปีที่แล้ว

      @@vuaiabdallah332 huo usemao mna chuki nyie waunguja kila mtu a nawajuwa kuwa nyie ndio mstari wa mbele kwa Ubaguzi na chuki

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 3 ปีที่แล้ว

      Utajibu tu kwa kuwa ufidhuli mnauweka mbele khasa nyie mavuaaai

  • @zeanamohamed4072
    @zeanamohamed4072 3 ปีที่แล้ว +4

    Wallwah uko fiti miya fili miya

  • @zeanamohamed4072
    @zeanamohamed4072 3 ปีที่แล้ว +3

    Uyasemayo Baba uko sawa

  • @lukmansaid7217
    @lukmansaid7217 2 ปีที่แล้ว

    Mambo magumu wambie ukwel wa nakula wao 2

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว +1

    Huko zanzibar njema mwinyi mbona kawatumbua wezi na masigida wanayo acha wewe kusema hovyo Rais mwinyi anaiweka vizuri zanzibar

  • @tours15
    @tours15 3 ปีที่แล้ว +2

    Swadakta

  • @salimsaid8348
    @salimsaid8348 3 ปีที่แล้ว +3

    CCM: chori chori milele

  • @vuaiabdallah332
    @vuaiabdallah332 3 ปีที่แล้ว

    Kweli mnaham na ving'ora

  • @dubzman5874
    @dubzman5874 3 ปีที่แล้ว +3

    Vijivisiwa vidogo tu population less than 2 million lakini vina kasumba na chuki mbaya za kisiasa kuliko manchi makubwa duniani hata huko Nigeria kwenye watu zaidi ya milioni 200 hawajafikia kasumba na chuki kama za Zanzibar.
    Visiwa hivi havitoendelea maisha mpaka mwisho wa dunia.

    • @mohamedsheikh6618
      @mohamedsheikh6618 3 ปีที่แล้ว +1

      Dubz, brother shida si wazanzibar shida ni nchi jirani inayodhamini matatizo yote kama vile Israel na marekani, wenyewe wenyeji hasa wasiokua na pakwenda Lao moja tatizo ni wale wa kupandikizwa wakipewa kacheo kadogo hujiita wao ndo wenyewe, zaidi si siasa ni mengine kwa nembo ya siasa, kimsingi kisiasa tume shinda ni ubabe tu, ivi kilicho waeka akina sheikh mselem ndani miaka 8 ni nini ?mimi sijui, unaweza kunambia?

    • @ahmeddili1501
      @ahmeddili1501 3 ปีที่แล้ว

      Achaa upumbavu fatilia wazazibar wanataka nn sio kuropoka tu

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว +1

      Umesema kweli!!

    • @salehali976
      @salehali976 3 ปีที่แล้ว

      Nini wewe unazungumza. Huna point. Hizi ni chuki dhidi ya Zanzibar. Umeikuta na itaendelea kuwepo.

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 3 ปีที่แล้ว

      @@jumakapilima5674 Wewe hukai upande wa mtu anaesema kweli ,sema kweli ijapokuwa ni chungu,Zanzibar migogoro inatengenezwa kwa makusudi ,ndio maana kila kipindi cha uchaguzi watu kuuliwa na Polisi na Majeshi.tuwe wakweli wanaoleta migogoro hiyo ni watawala CCM ,hata wewe unajua hilo tatizo wewe sio msema kweli .

  • @fathiyasalim3946
    @fathiyasalim3946 3 ปีที่แล้ว

    Yaani kama ulikuwa kuwa moyo wangu. Maana wamezidi sasa loooh.

  • @Chalu_Dallas
    @Chalu_Dallas 3 ปีที่แล้ว

    "Izi akili ziko pemba kweli.... 🤔🤔..?

  • @hashirsalim9570
    @hashirsalim9570 3 ปีที่แล้ว

    apo umeongea kwenye suala la masheha na wapinzani wawemo hapo nahisi tutafika tunakotaka.

  • @MadiSon-nr7tp
    @MadiSon-nr7tp 3 ปีที่แล้ว +1

    ccm wahuni moto tuuu

    • @Jal210
      @Jal210 3 ปีที่แล้ว

      Wewe unahukumu kama nani usimhukumie mtu mwachie ALLAH subhannallah wataallah

  • @vuaiabdallah332
    @vuaiabdallah332 3 ปีที่แล้ว

    Hem token kama mnaona hawko tayar na hayo mariziano mcshuhulishe watu tunaelewa yote yaliopo tunatega tu cku ifike to tuyaanze

  • @mustafaismail5622
    @mustafaismail5622 ปีที่แล้ว

    Wapemba jitengeni kwenu mkijitenga muungano itakuwa haupo

  • @abdulhakimjuma9112
    @abdulhakimjuma9112 3 ปีที่แล้ว +2

    Mia filmia

  • @mustafaismail5622
    @mustafaismail5622 ปีที่แล้ว

    Kwani wewe utabaki maisha siyo nkweli mkweli

  • @jumamkalamba4829
    @jumamkalamba4829 ปีที่แล้ว

    Yeye huyo Hana lolote njaa tu ngana bwabwaja

  • @habibkhamis4705
    @habibkhamis4705 3 ปีที่แล้ว +1

    wewweeeeeeee 2025 oyooooooi

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว

    Usisumbue watu wewe ni mtumwa wa kabila gani usiwasumbue ccm na viongozi wake nyie kuleni ruzuku tu nyie ni wasaka tonge mwinyi

    • @rastafare878
      @rastafare878 2 ปีที่แล้ว

      Nani kaisumbua CCM ,au hujui kuwa wao ndio wasumbufu , watu Wana dola halafu unasema wanasumbuliwa, wewe ndie mtumwa wa CCM

    • @abdull-majidali6320
      @abdull-majidali6320 ปีที่แล้ว

      Mambo ya Zanzibar hayakuhusu weye mtwana

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว

    Pumba!!

    • @sharifjuma1220
      @sharifjuma1220 3 ปีที่แล้ว

      *Enyi waja wangu nimejigharamisha Zulma kwangu na nimagaramisha baina yenu. Kwa hiyo msidhulumu.*
      Sahihi Muslim.

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 3 ปีที่แล้ว

      Kwako ni pumba ,lakini anayo yasema ni maneno ya kweli .

    • @sharifjuma1220
      @sharifjuma1220 3 ปีที่แล้ว +1

      @@jumamohamed3168* ndani ya mwili kuna kipande cha nyama ukikaa sawa basi mambo hukaa sawa.* Ni moyo*
      Na Kwa huyo mja Mungu kakikofunga kipande cha moyo wa huyo mja.
      Hajuwi haki na wala batil.
      Maana ukiona comment zake ni mgonjwa huyo. KAPILIMA.
      NADHANI KUMUOMBA MUNGU AMUNGOWE NA KAMA SI WAKUONGOKA BASI ISIWE MWENYE KUKERA WATU KWA MAUDHI YAKE.
      AMIN

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว

      @@sharifjuma1220 hahahaa,,,,, kasome dini yako vizuri, maana bado huijui!!

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 3 ปีที่แล้ว

      @@jumakapilima5674 Kapilima na mimi naungana na sharif unamatatizo ya afya ya akili.

  • @wabobuagere6440
    @wabobuagere6440 3 ปีที่แล้ว

    Kwa bidii kwa bidii kwa bidii nimekusoma, umesomeka ao jamaa noma ccm ngozi ya futi