UTEKAJI NCHI ITAKOSA BARAKA, MTUME MUHAMMAD ALIZALIWA YATIMA | SHEIKH KISHK KWENYE KASRI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 213

  • @nguyekorajabu1592
    @nguyekorajabu1592 3 หลายเดือนก่อน +24

    Shukran sana kwa Hikma kubwa ....Shekh wangu Kishki umenena vema sana .Tumuenzi Mtume Muhammad (SAW) kwa kufuata Islamic Teachings ......Lau kama Mafundisho ya Uislamu yangetekelezwa na dunia hii basi Dunia hii ingekua pepo .

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน

      Unasifu ujinga kapinda huyu shekh arudi katika sunnah midia unapiga muziki mwanamke yupo hapo hajavaa stara yupo uchi kuna kheri gani hapo arafu anabaki kujibu maswali ya bidah arudi katika sunnah anaharibu sana, arafu hana tahamizi watu wake wakubwa na rafiki zake ni watu wa bidah.nayey 2 karibuni ataanza kupiga matwari maulidini kama kwanza kuyasifia

    • @Al.habeebAl.habaaib
      @Al.habeebAl.habaaib 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@AbdulIssa-o7esunna ndio nini we bwege? Chuki tu zimewazidi
      Mbona mdogo wake na mtume wenu mafuta alikua akitoa mawaidha redio ya mziki huko tanga?????

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน

      @@Al.habeebAl.habaaib kwahiyo ndo yupo katika hakki inaangalia mbona Fulani kafanya ndo halali issue kishki amepinda skuhizi anajitangaza mtu wa sunnah sunnah ipi ya kutetea maulidi au yakuongozana na kina mazinge watu wa bidaah ndo sunnah hiyo acha kutetea ujinga ww

    • @omarisadallah5695
      @omarisadallah5695 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@AbdulIssa-o7ejitafakar

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน

      @@omarisadallah5695 ni jitafakari Nini sasa

  • @rajabumsuya-hg8jd
    @rajabumsuya-hg8jd 3 หลายเดือนก่อน +6

    Shekh amejibu kwa hekima maswali hayo, safi sana shekh

  • @FirdausyAbubakary-bl2wo
    @FirdausyAbubakary-bl2wo 3 หลายเดือนก่อน +5

    Najivunia kwa proffessional ambayo niko nayo alhamdullah coz nasave maisha ya watu kw uwezo wa Allah tabaaraka wataala...Allah akuhifaadh sheikh kishk na kizazi chako inshaAllah

  • @a.856
    @a.856 3 หลายเดือนก่อน +4

    Jazaka Allah khayran

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Geita iyoo 🎉🎉mmejikaza

  • @Dafetty
    @Dafetty 3 หลายเดือนก่อน +2

    Amiin 🤲 inshaallah shukran sana sheikh kishki🙏🙏

  • @SaudaMdoe-bl6it
    @SaudaMdoe-bl6it 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ameen yaa Rabby Allah azidi kkuhifadhi shekhe wetu twakupenda kwaajili ya Allah

  • @HassanHarun-v7s
    @HassanHarun-v7s 2 หลายเดือนก่อน +2

    Shekhe nakubali mwaka mwingine tutakupa uchifu kadhi Isha Allah ❤

  • @bshhdxgdhjjdhd7627
    @bshhdxgdhjjdhd7627 3 หลายเดือนก่อน +4

    Barakallah fee umri shehe🇹🇿🌹🌹

  • @nguyekorajabu1592
    @nguyekorajabu1592 3 หลายเดือนก่อน +3

    Yaah Allah tujaalie mwisho mwema !! Adduniyaaaah Mataaaaah Lighuruuuul .Allah akbar

  • @meowzna
    @meowzna 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jazakallahu Kheir Sheikh🙏

  • @Aziza-z4f
    @Aziza-z4f 3 หลายเดือนก่อน +3

    Love sheikhe kisiki nurudin🎉🎉

  • @allyabdallah4679
    @allyabdallah4679 3 หลายเดือนก่อน +3

    Masha Allah sheikh

  • @jumamabu3650
    @jumamabu3650 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hekima ya Hali ya juu sheikh, mwenyezi Mungu akubariki zaidi

  • @salimhemed3194
    @salimhemed3194 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mashaa Allah

  • @AbdirahmanIgge
    @AbdirahmanIgge 3 หลายเดือนก่อน +3

    Allah akbar ❤ s.w.t

  • @omanmct135
    @omanmct135 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yaaallah tupemwisho mwema yarab

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mashaallah tabarak

  • @FatumaSaidi-e2l
    @FatumaSaidi-e2l 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akujalie maisha marefu

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 2 หลายเดือนก่อน

    Shukran sheikh wetu M.mungu akubariki kwa kutuelimisha.

  • @omanmct135
    @omanmct135 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallllah❤

  • @buanaquendaabdalaabdala8260
    @buanaquendaabdalaabdala8260 3 หลายเดือนก่อน +2

    Masha Allah ❤

  • @JumaJaguar
    @JumaJaguar 3 หลายเดือนก่อน +2

    Shekhe Kishki My best ❤

  • @mesasaid-kj3nq
    @mesasaid-kj3nq 3 หลายเดือนก่อน +5

    I LOVE ISLAM

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 2 หลายเดือนก่อน

    Amiin yarrabillaalamiin sheikh wetu

  • @AbdirahmanIgge
    @AbdirahmanIgge 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah❤ nurdeen kushik

  • @BrotherMasoud
    @BrotherMasoud 3 หลายเดือนก่อน +4

    SHEIKH KISHKI NI BABA WA HEKIMA NA TUNAKUPENDA SANA KWAJILI YA ALLAH

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน

      @@BrotherMasoud hikma ya kutetea mawlid au ipi hiyo

    • @مريمالبلوشي-ن2ح
      @مريمالبلوشي-ن2ح 2 หลายเดือนก่อน

      hukumsikiliza vizuri kasema mtume alikuwa.anafunga​@@AbdulIssa-o7e

  • @meowzna
    @meowzna 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen Yaraab🤲

  • @shabanmshana6683
    @shabanmshana6683 3 หลายเดือนก่อน +4

    Dawa kutoka kwa Sheikh ipo vzr ila mtangazaji mwanamke walau angevaa mavazi na afunike kichwa kwa heshima ya hili tu alafu baadae aendelee na taratibu zake...

  • @ibnusleyyum9743
    @ibnusleyyum9743 3 หลายเดือนก่อน +7

    Kikeke please...usiache kumkaribisha kila mara Shekhe Kishki...japo kw mwezi siku 1...muandalie mada Sheekh..

  • @omanmct135
    @omanmct135 2 หลายเดือนก่อน +1

    Subhalllah

  • @abdulkawingaabdulrahman-sc8284
    @abdulkawingaabdulrahman-sc8284 3 หลายเดือนก่อน +5

    Kongole Sheikh Kishk.... umepevuka mno kwenye presentation yako

  • @mbeguclassic3387
    @mbeguclassic3387 3 หลายเดือนก่อน +6

    Siku nyingine kikeke ukija kumhoji shekh mwengine mwambie huyo dada ajistiri sio lazima nahisi ila itapendeza zaidi asant🙏

    • @abuusufian6506
      @abuusufian6506 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa

    • @FredyBuhofelaOfficial
      @FredyBuhofelaOfficial 3 หลายเดือนก่อน

      Hapo ni kazini na sio ibadan Acha mihemko ya dini

    • @khadijanurdin3163
      @khadijanurdin3163 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@FredyBuhofelaOfficialkwan ye amesema ni wap!!!!
      Watu wenye chuki bwn

    • @user412
      @user412 2 หลายเดือนก่อน

      Ndugu, tuna misingi yetu kwenye hii kazi..... Hivyo, ni vizuri huyo bint akajitanda​@@FredyBuhofelaOfficial

  • @abdulkadirsaid336
    @abdulkadirsaid336 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah

  • @meowzna
    @meowzna 3 หลายเดือนก่อน +2

    S.A.W🙏

  • @MacandeTv
    @MacandeTv 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mashllah❤

  • @AbdirahmanIgge
    @AbdirahmanIgge 3 หลายเดือนก่อน +3

    Muhammed ❤saw

  • @mwanaidabeid8720
    @mwanaidabeid8720 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shukurani ❤❤❤

  • @user-to6up4hg2w
    @user-to6up4hg2w 3 หลายเดือนก่อน +1

    SAW❤❤❤❤❤

  • @ramsomathew6668
    @ramsomathew6668 3 หลายเดือนก่อน +1

    Aweeeeee

  • @latifahali8228
    @latifahali8228 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaaallah

  • @amanimatokeo9139
    @amanimatokeo9139 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwel kabisaa shekh kishk

  • @abdillahomar4541
    @abdillahomar4541 2 หลายเดือนก่อน

    Ameen yarabi

  • @ZenabazigaZenabaziga
    @ZenabazigaZenabaziga 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asalam alaykum warahmatullah wabarakat ninaombi si lazima ila siku ya ijumaa mutuwekey siku zima qor anni mawaidha kaswida niombi asateni crown

  • @hamedalharthy4902
    @hamedalharthy4902 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi hamed alharthy tomekutana Bujumbura Mambo mazuri

  • @MkhayaSogadari
    @MkhayaSogadari 3 หลายเดือนก่อน +3

    Sheh kishk kasema maneno muhimu kuliko masheh walozindiwa kuzaliwa kwa muhmadi kama wanatetey uku mauwaji Yana endeleya mimi na fatiliya nikiwa southa Africa deben

  • @habibaIddi-h1p
    @habibaIddi-h1p 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hizi ndio hekma mtume kafundisha ila sijui watu wengine mawazo hasi wanaona n kosa ...sheikh ameeleza vizur tuu bora ya kuadhimisha n kufunga na kufuata sunnah

  • @ZainabJolie
    @ZainabJolie 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa mara ya 1 nmeskiliza hii redio kwa ajili ya kishki

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nyoyo zimefurahika kwa kuzaliwa nabia ulimwengu unacheka kwa nuru kutuenea

  • @MCBTv-el3kh
    @MCBTv-el3kh 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sheikhe kishk mtu na nusu........huyu angepewa umufti mambo yangeenda sanaaa

  • @dullahtechtz3422
    @dullahtechtz3422 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naipenda hii radio

  • @omanmct135
    @omanmct135 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @raniaMedje
    @raniaMedje 3 หลายเดือนก่อน +4

    Sinjapenda uyo dada kuka karibu na shekhe nakum onjima swali ila kipindi nikizuri sn nakipenda sn kweli

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน

      Ujapenda nini yey mwalikwaji ndo anatafuta umaarufu midia kama hizi hazifai kwa mtu shekh kuhojiwa

  • @ibrahimsheha215
    @ibrahimsheha215 3 หลายเดือนก่อน +1

    Saalim mwamba sanaa

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 หลายเดือนก่อน +5

    Ametoa maelezo mazuri mno ila kwa vile Maulid ni mambo ya Bakwata next time mngemleta Muhammad Idd Imam Msikitiki wa Mnyamani aje atoe mada hapo, Kishk ni Ansar Sunna hakubali mambo hayo hata majibu yake ni ya Kisiasa amekwepa kukwaza Viongozi wa Serikali

    • @binseif2216
      @binseif2216 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kishk anahekma sana,humskii akimkufurisha mwislamu mwenzake

    • @24Dailylife-Channel
      @24Dailylife-Channel 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani kusherehekea mazazi ya mtume ni dhambi toa Aya au hadithi?

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mi sijaskiy anavyo sifu maulid bali anakwepa maswali Huyo mdada awe na aibu mbele ya wanaume aweke stara please

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน

      Anakwepa nini unaitwa kujibu maswali ya bidah amepinda huyu skuhizi arudi katika sunnah ya mtume muhammadi sala lahu aley wasalamu,mtu yupo uchii hapo na yey shekh amekubali hilo, arafu unaenda kujibia jambo ambalo ni bidah huyu anapinda tunamuombea kwa Allah arudi katika mstari wa sawa na watu wake wengi ni wa bidah kina mazinge kina sule sasa sunnah ipi hiyo anayolingania yeye

    • @sein.208
      @sein.208 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@AbdulIssa-o7e
      Umetumwa ndugu kumchafua Sheikh wetu.. Unauhakika gani kama wewe ndiyo mja mwema wacha kueneza chuki sii lazima ucomment just kaa kimya ni bora zaidi

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน

      @@sein.208 akuna anae mchafuwa ndugu hakki ni Bora zaidi ya mapenzi ya mtu sawa kama ukiharibu utaambiwa tuuh ndo sifa ya dinni yetu, Allah akausifu ummah Bora kwasabu wanakatazana mabaya na kuamrishana mema Sasa ukiweka mahaba ww utapata hakki, ndomana ukiharibu si atuangalii mapenz tutaangalia hakki Sasa hapo anaambiwa tukuwekee bongo flavour inamana Allah hafurahii midia kama hizo ndugu mapenz weka pembeni ndomana watu wa maulid wamepotea kwasabu ya mapenzi kwa mashekhe zao ndomana hato hataki hakki anachoangalia yeye ni shekh.tuu

    • @SaidKaros
      @SaidKaros 3 หลายเดือนก่อน

      Soma kwanz kwasababu aun elmu unalopoka t ​@@AbdulIssa-o7e

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 3 หลายเดือนก่อน

    🤲🤲🤲

  • @SANJARI-r9t
    @SANJARI-r9t 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kishk anahekma sana 😂😂 kawaambia kiakili washirikina

  • @alsam4881
    @alsam4881 3 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo dada na marasta yake anauliza maswali hadi Sheikh kishkish kashindwa kumuangalia, kwasababu hajajistiri japo kwa kuvaa mtandio yaani yupo hovyo kabisa, ndiyo ni mmomonyoko wa maadili yenyewe hayo kwa kuiga watu wa nchi za nje.

    • @RahmaIddi-s2s
      @RahmaIddi-s2s 3 หลายเดือนก่อน +1

      Umeona eeee,,amekosa maadili hakuna Dini inayo sema mwanamke usijistir...wanaiga tu na kupoteza maadili mema

  • @hansiempire5093
    @hansiempire5093 3 หลายเดือนก่อน +1

    Daaaaa uyu jamaa kichwa sana

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 3 หลายเดือนก่อน +5

    Wakati wengine wanasema mtume walimpokea kwa madufu hafu walikua niwanawake kwasasa wanaume wanakata mauno jaman sipendi mimi wamekua walokole

  • @wakushibandfrombushland
    @wakushibandfrombushland 3 หลายเดือนก่อน +1

    Shehe umenena

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mnge mwita Muhammad Nassor Bachu 😂 Sheikh Kishki mbona hataki kusema!😢

    • @rajabumsuya-hg8jd
      @rajabumsuya-hg8jd 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kuna jinsi ya kujibu kwa hekima

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน

      @@Sidrasidra636 kwahiyo bachu ndo angejibuje Sasa kwa mtu mwenye akili ajaunga mkono katumia siasa mwenye akili ataona Sabu kusema tuuh mtume alisherkea kwa kufungua kila juma 3 mwenye akili ashajuwa haifai kusherekea kwa sherehe sunnah kumfata mtume kwa kufunga

  • @MkhayaSogadari
    @MkhayaSogadari 3 หลายเดือนก่อน +3

    Sheh wengina wà nateteya serekali saw ila mtu kauwawa mwisilama alafu anatetewa na wakristu nyinyi mpowapi saw unaokopa serekali nakuiteteya ma sheh weng wanafanyiwa unyama Kisha mnafumba macho

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 3 หลายเดือนก่อน

      Sawa kabisa mkuu

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe ukombali sana na hujui lolote lile toka lini mkristo akamtetea muislam Pasina kua yeye anafaida hapo.?
      weka kwenye akili yako kama yule muislam alie tekwa na kuuwawa angekua si mwanachama wa CHADEMA ungewaona hao wakristo unaodai wanatetea kufa kwa muislam?

  • @Faustinfamilly
    @Faustinfamilly 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wapi king k

  • @zureashomari2408
    @zureashomari2408 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hatuna skukuu ya hivyo uzushi

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kama Ulivyozuka Wewe. Kwani Wewe Ulikuwepo Wakati Wamtumi. Siumezuka Lakini Upo Katika Arshi Nariziki Unapata.

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 3 หลายเดือนก่อน +3

    Utekaji serikali inajua kila kitu. Tusidanganyene.

    • @khadijanurdin3163
      @khadijanurdin3163 2 หลายเดือนก่อน

      Asa we umedanganywa nn wakati unajua tayar?

  • @RashidSaid-l9m
    @RashidSaid-l9m 3 หลายเดือนก่อน

    Sijui inakuje Shekhe kuenda kituko kinachopiga muziki nadhani imekaa shubhati. Sio sawa sawa.

    • @khadijanurdin3163
      @khadijanurdin3163 2 หลายเดือนก่อน +1

      Asa ye ndo kapga huo mzki!
      Watu mnajazba

    • @Hawa-qc9fo
      @Hawa-qc9fo 2 หลายเดือนก่อน +1

      ANGALIA KWANZA KULIVYOKUWA NA UTULIVU NA AMAN❤

    • @ibnujumanne4054
      @ibnujumanne4054 2 หลายเดือนก่อน

      Rudi darsani utapata jibu sahihi juu swali lako

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 2 หลายเดือนก่อน

      Acha mihemko kijana km hujui sema sijui utakuja kuchekwa

    • @AminaKassim-ni9wd
      @AminaKassim-ni9wd 2 หลายเดือนก่อน

      Jamani kama atuelewi cha kuandika au ni wagumu kufikilia silazima kukoment Acha tu ila nikwambie ndugu yangu kwa jambo alilofanya shekhe si kosa ila nnachojua atawalingania zaidi kwa ukaribu nivizuri sana na uwenda ndo ikawa sababu yakutoka katika miziki inshaallah ila usimuongelee shekhe wetu muwache

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 3 หลายเดือนก่อน +4

    Watu wana mkashifu Sheikh Kishik sioni hapa kakosea nini?
    Watu tuache chuki

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน +1

      Amna chuki ww hapo hiyo midia ya kupiga miziki mwanamke yupo uchi huyo hajavaa stara arafu una simama katika minbar kukemea watu wavae vzr wakati😂😂 umaarufu na dini vitu tofauti arafu anajuyyita mtu wa sunnah unaitwa kwenda kushufia jambo bidah kapinda shekh arudi kwenyhe mstari wa sawa

    • @MusaMuhammed-f4l
      @MusaMuhammed-f4l 3 หลายเดือนก่อน +2

      Eeeh ulitaka afanyaje kaka? Kama mtu sio muislam ko anapokaa hana majiran waikristo? Mtume alikwa anatoa daawa kwa non-muslim mbona walikuwa awajistir @@AbdulIssa-o7e

  • @user-to6up4hg2w
    @user-to6up4hg2w 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂

  • @BuiKishkOnlineTv
    @BuiKishkOnlineTv 3 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣Baba mtoto wa TMK🙌🏻shikilia hapo aliposema KITAIFA inafahamika ni SIKUKUU.

  • @khamishassan68
    @khamishassan68 3 หลายเดือนก่อน +1

    Maulid (BIRTHDAY)

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman mbona munamtawadha bado nakunya wanadamu

  • @JualaElimu
    @JualaElimu 3 หลายเดือนก่อน +4

    Salim Kwa Heshima ya Kishki Huyo dada Ungemvika Hijab Kwa Muda

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 3 หลายเดือนก่อน

    Iyo Dua na uyo Dada kichwa waz wap na wap

    • @khadijanurdin3163
      @khadijanurdin3163 2 หลายเดือนก่อน

      Watu mnapenda kutafuta kukosoa

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 2 หลายเดือนก่อน

      Aliyeomba dua ni kishki sio dada allah anaangalia muhusika

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kumbe bakwata wanafanya bidaa kusoma maulidi badala ya kufunga,nachelea sheikh Jongo asijeanza fujo atakapoiona hii interview maana yeye kasoma madina ila anasoma maulidi badala ya kufunga

  • @IsmailJuma-zb5ni
    @IsmailJuma-zb5ni 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kumbe miezi mengine munafuata hapa eeeee

    • @RahmaIddi-s2s
      @RahmaIddi-s2s 3 หลายเดือนก่อน

      Watu wanapenda kuiga tu.. Allah atawaongoa ln Shaa Allah

  • @nguyekorajabu1592
    @nguyekorajabu1592 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa unamuuliza Shekh khabari za Bongo flavour ??? kwani Nabii Ibrahim...Mussa (as) ......Nuhu na Manabii wengine walisikiliza miziki .

  • @abdillahomar4541
    @abdillahomar4541 2 หลายเดือนก่อน

    kikeke wewe ni comedian sometime

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bidaa haiwezi kua NI Neema Bali ni uovu n uzushi

  • @MpitamumoHamisi
    @MpitamumoHamisi 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mawlid ni bidaa(uzushi) itoshe hivyo, haijathibit ktk maandiko.

    • @seifmussa9003
      @seifmussa9003 3 หลายเดือนก่อน

      IWapi naswii yakwamba imekatazwa

  • @YussufJuma-z5u
    @YussufJuma-z5u 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ni hekma tupu iliyotendeka kama ilivyo taasisi yake ya Alhekma foundation

  • @MusaDadi-pd3jd
    @MusaDadi-pd3jd 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sheikh kishki umepata nafasi adhwim clearly waambie watu ukweli kuwa hamna kwenye uisilam sikukuu ya maulidi eid ni mbili tu usijing'ateng'ate kwani unaogopa nn.
    sheikh mbona unatuangusha

    • @MakalaSaidi
      @MakalaSaidi 3 หลายเดือนก่อน +1

      W unataka aseme kama unavyotaka ww

    • @DjumaAsha
      @DjumaAsha 2 หลายเดือนก่อน

      Hajingati wala haokopi anasema gisi alivyopokea shuleni kwake mana elimu ni bahari Allah Amuhifadhi shekh wetu Shekh nurdin Kishki 😍

    • @jumamasoud1188
      @jumamasoud1188 2 หลายเดือนก่อน

      Anachaongea nikikubwa sana kuliko hicho unachotaka wewe.

  • @khadijanurdin3163
    @khadijanurdin3163 2 หลายเดือนก่อน

    Huwez kuelewa km huna japo D moja

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ivi kusherekea siku kuzaliwa ipo?

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน

      Inapatikana kwenye kitabu cha babu yake nani iwe inajuzu kudherekea hiyo maulid tafuta vitabu vyote vya uislamu ulimwenguni quruani na sunnah kama utakuta uo uzushi wao

  • @khadijanurdin3163
    @khadijanurdin3163 2 หลายเดือนก่อน

    Km huna D 2 huwez kumuelewa kishk

  • @vinny.morales
    @vinny.morales 3 หลายเดือนก่อน +2

    *Aisha miaka 6* vs. Mtume *Muhammad miaka 54*

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 3 หลายเดือนก่อน +4

      Nin problem kwanz Hun taarifa kamili je alimuingilia ktk umri gani je umbile liliruhusu kuingilwa je baad y kumuingilia alipata athari gani je hadhi yak ktk jamii ilishuk mbele ya waarabu bali ni ktk wanawak Bora hatta mam yako mzaz hamfikiiii kimaadili n tabia njema msome musibebeshwe propaganda

    • @jamillahaidha8184
      @jamillahaidha8184 3 หลายเดือนก่อน +1

      Umemaliza ndugu majibu yamejitosheleza​@@AmourAmour-ux3nm

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 หลายเดือนก่อน

      Mama wa mungu wako aliolewa akiwa na umri gani?

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 3 หลายเดือนก่อน

    Ali kiba tunakuomba uweke mashart ya redio na tv yako kuwa na vazi maalum la sare km shule na stara ipatikane ya kichwa ushungi ni tv ya stara tunataka😂😂😂

    • @khadijanurdin3163
      @khadijanurdin3163 2 หลายเดือนก่อน

      Ye mwenyewe anastara!!

    • @salimamani6672
      @salimamani6672 2 หลายเดือนก่อน

      mwenye studio ndio yuko anamuhoja kishki

  • @othmantv2654
    @othmantv2654 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sheikh unazunguka sana...ongea kwa ufupi tu kwamba "maulidi ni bidaa" 😕😕😕

  • @niffonlinetz7214
    @niffonlinetz7214 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ngoja nimtumie kassim mafuta hii clip

    • @njchanpaknet4284
      @njchanpaknet4284 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani yeye anamwogopa?

    • @niffonlinetz7214
      @niffonlinetz7214 3 หลายเดือนก่อน

      @@njchanpaknet4284 kishki Hana msimamo Yani ukimskiliza unamuona kbsa anapinda pinda ndo mana kassim anasemaga huyu n mtu wa bidaa

    • @njchanpaknet4284
      @njchanpaknet4284 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@niffonlinetz7214 Mbona amejibu vizuri tu neutrally. Hapo ni mgeni mwalikwa na hiyo siyo channel ya dini lazima uangalie na mazingira mzee. Huyo Mafuta unayemsema angeitwa hapo asingeenda nawewe usingeiona hii video. Halafu tumepishana misimamo mfano wewe unaangalia hii video wakati wengine hata video kuchukuliwa hawataki.

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 3 หลายเดือนก่อน +2

      Huyo mafuta ni nani katika uislaam? Shekh kishki kaongea sira ya mtume s.a.w na kurekebisha hao wanao sheherekea kwa ubwabwa badala yake wafunge

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 3 หลายเดือนก่อน +4

      ​@@niffonlinetz7214 ni wewe tu mzito wa kuelewa shekh kishki hajapinda ila wewe ndio umepinda katika kumuelewa

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 3 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu dada afinike manyele yake machafu mbele ya shekh siku ya pili shekh weka masharti

    • @Werema3760
      @Werema3760 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwan hiyo redio ni ya kidini na watangazaji wake au watanzania?🇹🇿. Acha ufinyu wa kifikra au UDINI.

    • @JumaOmar-ku6cr
      @JumaOmar-ku6cr 3 หลายเดือนก่อน

      @@Werema3760 ni heshima katika uilamu uislamu una taratibu na nidhamu ukafiri ata uchi utakwenda kwa mchungaji kwasababu hakuna nidhamu kuna uhuni ata yeye kwakuwa anajua anamwita shekh alitakiwa awe na nidhamu asiweke uchafu wake wazi

  • @aswabikimaro3033
    @aswabikimaro3033 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wale walokuwa wanapinga kishki hajapinda leo mumeamini????? Asee Wallah huyu shekh wa hovyo kuwah kutokeaa...anasifia bidaaa kisa eti hekima...angalia mazingira ya interview mziki...mwanamke mbele yake kichwa wazi....hana hata aibu. Eti watuwanamsifia ana hekima....shekh Mche Allah...umefanya talbisi nyingi lkn hiii imekushushia heshima san...rudi kwnye njiaaa. Umepotea sanaaaa

    • @karimdaud3993
      @karimdaud3993 3 หลายเดือนก่อน +5

      Pole sana .maalim kishki ni mtu alie soma na anakili mashaalah sio mjinga kama wewe. Mungu amuweke.umri mrefu

    • @fatnasaidi3027
      @fatnasaidi3027 3 หลายเดือนก่อน

      Wew peleka utahila wako unamtukana kishki

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 หลายเดือนก่อน

      Usituletee ujadiida

    • @majaliwamussa9268
      @majaliwamussa9268 3 หลายเดือนก่อน +1

      Watu wana jitahidi kukashifu sana, sasa wewe si ungeenda kumtoa huyo dada, mtu yupo kazini kwake, na sheikh hakwenda kumfata yule dada ujuwe hilo

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@mohdkhatib223so jadida bwana kishki anapinda ndy ni sahihi kabisa arudi katika sunnah sawa sawa, anafanya kutafuta umaarufu midia kama hiyo hakiwa kwenda mtu kama yeye radio zina piga miziki zina kila machukizo kwa Allah na mwanamke ajavaa stara yey yumo hapo uoni ni munkari huoo akhy 😂😂 usitetee mtu kwa mapenzi hata akaharifu sunnah au msimamo wa uislamu hapo arafu swali hilo la bidah ilitakiwa wajibu wahusika na maulid muhammad iddi au alhadi ndo midubwasha yao hiyo maulidi

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ivi kusherekea siku kuzaliw km manaswara ipo

  • @manish-fp1fb
    @manish-fp1fb 3 หลายเดือนก่อน +1

    Another bunch of politics...

  • @alibulushi-d9j
    @alibulushi-d9j 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mukimulika shekh kama hivi wewe mwanamke ugejifunga hijabu au ugefunika kichwa

    • @alibilali9944
      @alibilali9944 2 หลายเดือนก่อน

      Huoni kama ni Mkristo jameni, ajifungeje hijabu? Kulingana na imani yake hapo wala hajakosea

    • @alibulushi-d9j
      @alibulushi-d9j 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@alibilali9944 hata kama nimkrsto engejisitry

    • @manhajsalafafrica
      @manhajsalafafrica 2 หลายเดือนก่อน

      Uislamu haumkarifishi mtu na wala haumkazimishi mtu kuwa katika mazingira ya kiislamu, bas mtume asilinganie watu mpaka wawe wamejistir

  • @KaburaAbediKapangaAbdulRahmans
    @KaburaAbediKapangaAbdulRahmans 2 หลายเดือนก่อน

    th-cam.com/video/-fEi5xx4UlA/w-d-xo.htmlsi=H5Dc2oEdiXl_gFoU
    *KANISA KUA MSKITI*

  • @daudkondo4069
    @daudkondo4069 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kuchana ndevu ninini badala ya kukemea watekaji

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน +4

    Duuh!! Shekh wangu kishki anapinda sana skuhizi ruddi katika sunnah ya mtume ya sawa, umaarufu wa kuhojiwa midia kama hizo hukustahili ww kabisa.mtu yupo uchi apo ajavaa stara waenda ww kujibu swali ambalo ni bidah kwako.

    • @yasakilube9946
      @yasakilube9946 3 หลายเดือนก่อน +1

      Na Badoo mengine yanakuja

    • @salehsimba5306
      @salehsimba5306 3 หลายเดือนก่อน +1

      Duh yaani kila kitu hakifai?!!! 😂

    • @rajabumsuya-hg8jd
      @rajabumsuya-hg8jd 3 หลายเดือนก่อน +3

      Sasa kuhojiwa na mtangazaji kavaa uchi ndio anampa daawa sasa
      Unataka atoe mawaidha msikitini tu? Wanaokuja msikitini wanavaa stara na wanafanya ibada

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@salehsimba5306hajasema kila kitu hakifai kaongea vizuri

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@rajabumsuya-hg8jd hajaenda kumlingania mtangazaji

  • @NduwayezuGuyDarcy
    @NduwayezuGuyDarcy 3 หลายเดือนก่อน +1

    Achen bidaa

  • @a.856
    @a.856 3 หลายเดือนก่อน

    Jazaka Allah khayran