HUWEZI TENGANISHA DINI NA SIASA - SHEIKH MUSSA KUNDECHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 43

  • @ramaofficial255
    @ramaofficial255 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah sheikh Kundecha amenizindua mnoo

  • @HaminaAbdull
    @HaminaAbdull ปีที่แล้ว +1

    Mwenyez mungv akusimamie

  • @salimamugeni3568
    @salimamugeni3568 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh Allah akulinde

  • @dinocastico8495
    @dinocastico8495 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu dada mie huwa nampenda sana wallah

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  10 หลายเดือนก่อน +1

      Dada Gani

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 ปีที่แล้ว +1

    Mash Allah na Alhamdulilah kwa Allah kutupa Shekhe mwenye hekima, weledi, busara, heshima. Shekhe Kundecha Allah akuweke akupe afya na umri mrefu wenye faida kwetu sote.

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  ปีที่แล้ว +1

      Hujasahau jiingiza ktk Dua Maashallah 😀

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 ปีที่แล้ว

      @@kalamuMedia Hahahha 😃😀

  • @KadeejaKadeeja-ej4bu
    @KadeejaKadeeja-ej4bu 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah alhamdulillah una mbaya shekhe wangu jilani yangu Allah akulipe

  • @daudimasasi-ht1yy
    @daudimasasi-ht1yy ปีที่แล้ว +1

    Sheykh mussa kundecha Allah akulipe kheri......

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera dada yetu kazi nzuri

  • @jumangosho7569
    @jumangosho7569 ปีที่แล้ว +1

    Hongera za muuliza nampa nyingi Allah amzidishie elimu na maarifa kauliza maswali yote na yana tija

  • @aminamotto5349
    @aminamotto5349 ปีที่แล้ว +1

    She Kundecha yuko vizuri sana

  • @mohamedkhan2895
    @mohamedkhan2895 ปีที่แล้ว +2

    Jazakallahum kheir ❤

  • @mornasaidtindwa3622
    @mornasaidtindwa3622 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdulillah

  • @mohd39789
    @mohd39789 ปีที่แล้ว +1

    Maashaa Allah. Naomba namba za mtangazaji

  • @nassorkibauri8829
    @nassorkibauri8829 ปีที่แล้ว +1

    jambo jema sana
    kwa kalamtz

  • @omarymswaki7447
    @omarymswaki7447 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah,kongole kwa uongozi wote wa Kalamutv,na sheikh wetu Mussa Kundecha kwa ujumbe mzr,
    Ni speech nzuri kwa watu wote uwe muislamu au asiekua muislamu,hekma,busara,weledi mkubwa umetumika,maneno kama hayo ni afya kubwa katika maisha ya kila mwanaadamu,
    M/mungu azidi kuwazidiashia waloandaa kipindi hiki

    • @omarymswaki7447
      @omarymswaki7447 ปีที่แล้ว

      Ni masaa mawili lkn ni kama dakika ishiri kusikiliza very interesting.

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  ปีที่แล้ว

      Aaaamin... Ahsante

  • @MsoffeSwalehe
    @MsoffeSwalehe ปีที่แล้ว +1

    Nikupongezeni sana Kalamtz kwa kufanya jambo hili, natumai huu ni mwanzo tu huko mbele tunataraji kuwafahamu na kufahamu mengi zaidi kwa Sheikh na Wanaharati wengine wa Kiislam kwa Historia za maisha yao na jitihidi walizofanya mpaka hapa tulipo katika kuipigania dini na jamii nzima kwa ujumla insha'Allah

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  ปีที่แล้ว

      Tutajitahidi in sha Allah, ahsante kwa mrejesho

    • @jumanesaidi7635
      @jumanesaidi7635 5 หลายเดือนก่อน

  • @denisschacha4971
    @denisschacha4971 ปีที่แล้ว +1

    Nimemuelewa vena kabisa

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 ปีที่แล้ว +1

    Kipindi kizur sana sana ,lkn kunguru wanakera sana kelele nyingi sana

  • @ismailchongera9812
    @ismailchongera9812 ปีที่แล้ว

    Sauti bado sana

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  ปีที่แล้ว

      Hatujaelewa Al akhi,sauti ipi baba

    • @yuschhhhcdxddddddxd896
      @yuschhhhcdxddddddxd896 ปีที่แล้ว

      Background noise zipo juu kuliko saut ya mzungumzaji

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  ปีที่แล้ว +1

      @@yuschhhhcdxddddddxd896Tuombee dua Allah atujaalie uwezo tupate vifaa Bora zaidi vitakavyotusaidia fanya kilicho Bora zaidi.

    • @yuschhhhcdxddddddxd896
      @yuschhhhcdxddddddxd896 ปีที่แล้ว

      Allah awawafikishe ktk kher

  • @abumakuwani8506
    @abumakuwani8506 ปีที่แล้ว +1

    siasa ya kiislamu (sharia) ndiyo inachanganywa na dini ama siasa demokaria ni haramu katika uislamu sasa utachanganya vp dini na haramu?

  • @malcommshana3955
    @malcommshana3955 ปีที่แล้ว

    Sheikh wangu Kundecha kama kawaida yake hajawahi kuniangusha. Katika hii Clip hapo kwenye kuanzia dakika 1:51:05 amenikosha sana. Nadhani walimu wetu pamoja na wazazi tulifanyie kazi hilo suala la kuona uislamu unatufundisha nini katika kila sehemu ili kuwafundisha watoto wetu kwa mapema kabisa.

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  ปีที่แล้ว

      Tumependa ulivyo detailed

  • @husseinmkanga7794
    @husseinmkanga7794 ปีที่แล้ว

    Bado tuna tatizo kwa mfano Mama aseme kweli kama unamapungufu lakini siuachi mungu atatufanyia nini kama taifa? Nilidhani shekh atashauri kama mkataba mbaya uachwe na kama mzuri uendelee. Waislam tuna tatizo kama shekh Kundecha anavyosema na tatizo kubwa kuto kuwa wakweli. Na huenda wengi wetu hatuto iona pepo. Mambo mengi ameongea kwa uwazi ila bandari kafunika. Shekh anaelimu zote mbili ausome mkataba halafu aswali kwa mungu Wake na aape kusema ukweli halafu atwambie je mkataba unatufaa?

    • @mussataturu7189
      @mussataturu7189 ปีที่แล้ว

      Oyo uyu sio mwanasiasa kama unataka mambo ya bandali kamsikilize mwambusi,lissu sio kila jambo uchangie

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 ปีที่แล้ว

      @@mussataturu7189 Mimi pia sio mwanasiasa ila bandari kwangu muhimu. Na amesema huwezi kutenganisha siasa na dini. Sasa wewe kalaga baho naona hujielewi.

  • @akimzeli5030
    @akimzeli5030 ปีที่แล้ว

    Admin, nimeona watu wengi kule twitter wamechukua baadhi ya clip za interview hii wakizipost na kuwaambia watu; mnaona! kumbe dini na siasa ni vitu havitenganishwi halafu nyinyi mnatuambia tusichanganye dini na siasa". Kiujumla hii interview inatrend kule twitter. Ningeshauri twitter nako kuwe na ukurasa wenu ili kuwafikia watu wengi zaidi.

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  ปีที่แล้ว

      Ahsante kwa ushauri,ila tunayo account Twitter mda tu

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 ปีที่แล้ว

    dini yetu sisi haijakataza siasa na nabii suleiman alikuwa kiongozi wa nchi na nabii pia Yussuf vile vile Omar swahaba na kiongozi wa nchi na wengine sasa dini yetu haijakatakaza ila imehimiza uadilifu kwa viongozi

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 ปีที่แล้ว

      Hata mimi naamini hivyo lakini sasa kuna tatizo la kukosekana uadirifu kwenye mkataba wa bandari mbona sisi waislam tunatetea? Tumeona watetezi wa mkataba kwenye serikari wanapandishwa vyeo hiyo ni rushwa je uislam unakubali rushwa?

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 ปีที่แล้ว

      @@husseinmkanga7794 sasa rushwa gani hapo hamna rushwa wewe hujui rushwa kuhusu mkataba wa bandari mimi sijui na sijawahi kuuona nausikia tu sitasema lolote nililoliona kwa watu ni kwamba hawawataki fulani ndo kinachogombaniwa sio moataba sio kweli

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 ปีที่แล้ว

      @@sabihaibrahim143 Tatizo ndugu yangu utaki kutafuta ukweli kwanza kinacho pingwa ni masharti yaliyo wekwa kwenye mkataba na mamlaka waliyopewa Dubai. Sasa tafuta mkataba usome vizuri. Rushwa ipo. Mwanamke au mwanaume akifanya mapenzi na kwa ajili ya kupata kazi au kupandishwa cheo inaitwa rushwa na ngono au zinaa. Wabunge wengi walipitisha mkataba kwa ajili ya kumfurahisha mwenyekiti wao ili wasienguliwe kwenye ubunge 2025 ili waendelee kupokea fedha wanazolipwa bungeni. Hiyo ni rushwa ya kulinda nafasi zao za ubunge sio kwasababu wanakubali mkataba ni mzuri. Ukiongea nao pembeni wanasema hawataki kiwakute kilicho mkuta spika ndugai kwakusema tunakopa sana tutauza nchi najua unayajua yaliyo mkuta. Hata spika wa sasa hakatai yanayosemwa ila kwa utetezi wake amesema sio mkataba ni makubaliano. Kwahiyo anakubali kwamba kuna matatizo kwenye hayo anayoita makubaliano. Sasa kwa sheria zetu za nchi makubaliano yeyote ambayo yanaweza kutumika kwenye mahakama ya kisheria ni mkataba. Sasa shekh Kundecha ana elimu ya kutosha ukimuuliza pembeni atakwambia huu ni mkataba na siyo makubaliano kisheria. Watu wengi wanachoomba vibadilishwe vipengele vyenye utata kama havibadirishiki hilo ni tatizo basi itabidi ufutwe wafanye maongezi mapya wasaini mkataba utakaolinda ya kumiliki na kusimamia lasilimali zetu kama taifa. Kama tunavyoipenda dini yetu tulipende taifa letu pia. Najua Dubai ni waislam wenzetu lakini tukumbuke Dubai sio Tanzania sisi ni waislam wa Tanzania tutetee taifa letu. Chakufanya waislam tusiseme tu hapa kuna udini tunatakiwa tuufanyie kazi kama kweli wanayosema wapingaji kuhusu mkataba ni kweli basi ubadilishwe au zibadilishwe sehemu ambazo hazifai maisha yaendelee mimi ni muislam lakini ninacho uelewa huu mkataba hivi ulivyo siukubali. Unajua hata Magufuri aliwambia wachina hayakubali masharti waliyoweka kwenye mkataba wa bandari ya bagamoyo wachina wakakataa kukaa mezani kubadilisha mkataba ukafa lakini umerudishwa tena kwenye mkataba huu. Kama ukiusoma vizuri. Shekh Kundecha anasema walitaka waislam tupate hii elimu nyingine ili nasisi tusipitwe maana tulikuwa nyuma.