DAKIKA 24 ZITAKUTOA KWENYE SHIMO-PR DAVID MMBAGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @marygoretysenga1119
    @marygoretysenga1119 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu ufufuo na uzima...amina

  • @JanethAnton-fx1mk
    @JanethAnton-fx1mk หลายเดือนก่อน +1

    Jamani wote tuliongalia video hii muende mkasachi Biblia nuru ya dunia tumchangie mwalimu anaekuja tanzania kuwakomboa waislamu wamjue Yesu kristo mbona hatuna umoja wakristo na hakuna mwalimu wa kiislamu anaemueza Ndacha atakaeguswa akachangie amen..
    tuchangie kila mtu atoe mnataka Ndacha hadi aombe ombe mtaani jamani wakristo tuamke nawaomba plz🙏🙏🙏

  • @djramsoyusuph9661
    @djramsoyusuph9661 หลายเดือนก่อน +7

    Hapo ndio kunanichanganya kweli mtu anaweza kuwa mkristo bila kumpokea Yesu naomba mnisaidia hapa kwamba niwe mkristo alafu nisimkubali Yesu kwa ufahamu naona ningumu ,mimi nimislamu ukiniambia sijampokea Yesu hapo upo sahihi naomba mnieleweshe hapa

    • @deboramwita9810
      @deboramwita9810 หลายเดือนก่อน

      Maana yake ni kwamba,huyu mtu anahudhuria ibada na ana ushirika kanisani lakini hayampaYesu maisha yake,kumpokea Yesu kristo inamaanisha na maisha Yako yanabadilika.

    • @user-xy9ze1od3w
      @user-xy9ze1od3w หลายเดือนก่อน

      Hili somo limejieliza vizuri sana rudia tena kusikiliza utaelewa

    • @devothasimbi6495
      @devothasimbi6495 หลายเดือนก่อน

      Unaaminini amekuelewa?

    • @user-tx6nz4up5h
      @user-tx6nz4up5h หลายเดือนก่อน

      Haiwezekani mana Injili ya wokovu inapatikana kwenye 1cor 15:1-4 lazima uamini kwanza

    • @user-jo1im5wt1s
      @user-jo1im5wt1s หลายเดือนก่อน +1

      Nakuelewa kwa kuchanganyikiwa ni kuwa waislamu wamemkataa yesu , wwe ukishajua ukweli kupitia maubiri mungu akusaidie katika maamuzi yako kubali yesu awe mwokozi wa maisha yako, yesu ndiye njia pekee, fatilia mafundisho utaamini , mungu atakusaidia

  • @marygoretysenga1119
    @marygoretysenga1119 หลายเดือนก่อน

    Amen,mimi nimshuhuda wa hili.kama sio kumpokea yesu kweli singelikuwa hai.kwa yesu kuna uzuma.amina.

  • @Joycependopendo-dv2tb
    @Joycependopendo-dv2tb หลายเดือนก่อน +1

    Amen nabarikiwa na mafundisho haya May God Bless you pastor

  • @StraussDav
    @StraussDav หลายเดือนก่อน +1

    Be blessed Pastor.......❤❤❤❤❤❤❤

  • @sarahemukule
    @sarahemukule หลายเดือนก่อน +1

    Amen,Asante kwa mafundisho mazuri pastor be blessed

  • @mlishohadija6923
    @mlishohadija6923 หลายเดือนก่อน

    Amen and Amen Mungu akubariki PR

  • @robertmwangomale
    @robertmwangomale หลายเดือนก่อน

    Mchungaji na mwalimu mkuu Asante sana

  • @SigwaLusaja
    @SigwaLusaja หลายเดือนก่อน

    Asante yesu nabarikiwa

  • @brunomirambi8792
    @brunomirambi8792 หลายเดือนก่อน

    PASTOR MMBAGA UWAOMBEE. WATU MUNGU AWAPE AKILI YA KUKUELEWA NA KUELEWA MASOMO YAKO UJUE WENGI HAWAELEWI UNACHO KIZUNGUMZA NA NI MPANGO WA SHETAN AMESHIKA MIOYO YA WATU WASIKUELEWE. TAFADHAR OMBEA HIZO ROHO NI NYINGI CHUKUA NAFAS YA KUWAOMBEA WAKUELEWE.

  • @user-ry9rv9kg6k
    @user-ry9rv9kg6k หลายเดือนก่อน

    Amina kenya ndani

  • @user-ep9by3ui1v
    @user-ep9by3ui1v หลายเดือนก่อน

    Amina ❤❤

  • @missiontv2382
    @missiontv2382 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @DanielIlanga-r8q
    @DanielIlanga-r8q หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa nikiwa ngenge mleba Kagera

  • @ElijahMosong
    @ElijahMosong หลายเดือนก่อน

    Ameni

  • @ThulaniPrince
    @ThulaniPrince หลายเดือนก่อน

    Nafuatilia kwaumakini

  • @JanethAnton-fx1mk
    @JanethAnton-fx1mk หลายเดือนก่อน

    Jamani wote tuliongalia video hii muende mkasachi Biblia nuru ya dunia tumchangie mwalimu anaekuja tanzania kuwakomboa waislamu wamjue Yesu kristo mbona hatuna umoja wakristo na hakuna mwalimu wa kiislamu anaemueza Ndacha atakaeguswa akachangie amen..
    tuchangie kila mtu atoe mnataka Ndacha hadi aombe ombe mtaani jamani wakristo tuamke nawaomba plz🙏🙏🙏

  • @JanethAnton-fx1mk
    @JanethAnton-fx1mk หลายเดือนก่อน

    Jamani wote tuliongalia video hii muende mkasachi Biblia nuru ya dunia tumchangie mwalimu anaekuja tanzania kuwakomboa waislamu wamjue Yesu kristo mbona hatuna umoja wakristo na hakuna mwalimu wa kiislamu anaemueza Ndacha atakaeguswa akachangie amen..
    tuchangie kila mtu atoe mnataka Ndacha hadi aombe ombe mtaani jamani wakristo tuamke nawaomba plz🙏🙏🙏

  • @JanethAnton-fx1mk
    @JanethAnton-fx1mk หลายเดือนก่อน

    Jamani wote tuliongalia video hii muende mkasachi Biblia nuru ya dunia tumchangie mwalimu anaekuja tanzania kuwakomboa waislamu wamjue Yesu kristo mbona hatuna umoja wakristo na hakuna mwalimu wa kiislamu anaemueza Ndacha atakaeguswa akachangie amen..
    tuchangie kila mtu atoe mnataka Ndacha hadi aombe ombe mtaani jamani wakristo tuamke nawaomba plz🙏🙏🙏

  • @JanethAnton-fx1mk
    @JanethAnton-fx1mk หลายเดือนก่อน

    Jamani wote tuliongalia video hii muende mkasachi Biblia nuru ya dunia tumchangie mwalimu anaekuja tanzania kuwakomboa waislamu wamjue Yesu kristo mbona hatuna umoja wakristo na hakuna mwalimu wa kiislamu anaemueza Ndacha atakaeguswa akachangie amen..
    tuchangie kila mtu atoe mnataka Ndacha hadi aombe ombe mtaani jamani wakristo tuamke nawaomba plz🙏🙏🙏

  • @JanethAnton-fx1mk
    @JanethAnton-fx1mk หลายเดือนก่อน

    Jamani wote tuliongalia video hii muende mkasachi Biblia nuru ya dunia tumchangie mwalimu anaekuja tanzania kuwakomboa waislamu wamjue Yesu kristo mbona hatuna umoja wakristo na hakuna mwalimu wa kiislamu anaemueza Ndacha atakaeguswa akachangie amen..
    tuchangie kila mtu atoe mnataka Ndacha hadi aombe ombe mtaani jamani wakristo tuamke nawaomba plz🙏🙏🙏

    • @jeremiahsimon9043
      @jeremiahsimon9043 หลายเดือนก่อน

      Huna sababu ya kuwalaumu watu katika hili. Fanya kama unavyoongozwa na Roho wa Mungu.....