GB 64 AFUNGUKA KINACHOENDELEA SIMBA MISRI KWENYE PRE SEASON, USAJILI ELIE MPANZU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ค. 2024
  • Simba
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 57

  • @user-vv9wb9he2x
    @user-vv9wb9he2x หลายเดือนก่อน

    Safi sana GB 64 unafanya jambo la muhimu na lenye tija katika club ya Simba be blessed

  • @albamwanja4304
    @albamwanja4304 หลายเดือนก่อน +4

    Kama timu Ina commitment na spirit ya kupambana then chemistry ni suala la muda tuu. Simba inaweza kufanya makubwa msimu ujao

  • @vituslawa6366
    @vituslawa6366 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwam anajua mambo na ni kweli simba hii wengi tutajiuliza huu mpira wa simba ni nchi ya wapi

  • @user-pf4vx5yx1q
    @user-pf4vx5yx1q หลายเดือนก่อน +1

    Kazi na umri sadi sana

  • @barnabasngungo3521
    @barnabasngungo3521 หลายเดือนก่อน

    Gb 64 nakukubali sana mchezaji anayejua mpira hahitaji muunganiko

  • @RHOIDAKALUKWA-bw4jo
    @RHOIDAKALUKWA-bw4jo หลายเดือนก่อน

    Tunaomba viongozi wampe hata miezi 6 au acheze league ya ndani tu kuliko kumuacha tutakutia

  • @adudeswalehe8724
    @adudeswalehe8724 หลายเดือนก่อน

    GB nakukubali sanaa 😂😂😂 kazi na umri

  • @RHOIDAKALUKWA-bw4jo
    @RHOIDAKALUKWA-bw4jo หลายเดือนก่อน

    Kramo asiachwe wanasimba lindeni sana wachezaji kramo alikuja mzima tu mvumilieni atatupa kitu mpeni hata miezi 6 dirisha dogo kama hatafaa basi aachwe

  • @Ramadhanjumanne-vl4sv
    @Ramadhanjumanne-vl4sv หลายเดือนก่อน

    Mpanzu lini anapewa welcom

  • @augustinobongo9962
    @augustinobongo9962 หลายเดือนก่อน +2

    Gb 64 nakukubali Sana, eti kazi na umri...carbon 14 itatumika kupima umri wa timu ya NSSF😂😂😂

  • @dechmusi1661
    @dechmusi1661 หลายเดือนก่อน +2

    Uje na mwanza siyo tu kwa huko Dar

    • @Salum-ij6mg
      @Salum-ij6mg หลายเดือนก่อน

      Tunakuja

  • @EliasMikidad
    @EliasMikidad หลายเดือนก่อน

    Wanachokiangalia simba ni ubora wa mchezaji na si tim wanazotoka ziko nafasi ya yanga wamemchukua chama simba ipo nafasi ya yangapi?

  • @user-yw7uu6mc3m
    @user-yw7uu6mc3m หลายเดือนก่อน +1

    And their bodies streamlined to the pitch so as to enhance contest

  • @KingMbaz0-p8u
    @KingMbaz0-p8u 27 วันที่ผ่านมา

    Yani we sio gb 64 tu naisi ni gb 1000 mana ni mtu mwanye pwent kubwa sana

  • @TunuAdam-gc9rc
    @TunuAdam-gc9rc หลายเดือนก่อน

    Naipataj kadi ya simba jmn

  • @RaphaelNdameze
    @RaphaelNdameze หลายเดือนก่อน

    Nikuone wapi GB 64 nimetafuta kadi muda mrefu

  • @user-cz9me7mq9r
    @user-cz9me7mq9r หลายเดือนก่อน

    GB64 umetisha bro❤

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op หลายเดือนก่อน

    Shs 10,000/-? Mcheze majaribio na taxi drivers😂

  • @jumasaid9340
    @jumasaid9340 หลายเดือนก่อน

    Kwa huku Zanzibar tunazipata vipi

  • @lautz8377
    @lautz8377 หลายเดือนก่อน

    Uyu jamaa awe msemaji

  • @DadeSaide-qr7ti
    @DadeSaide-qr7ti หลายเดือนก่อน

    Nakukubari kaka

  • @AllyHussein-so1hr
    @AllyHussein-so1hr หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa anafit kuwa semaji

  • @user-oq6to7pf2u
    @user-oq6to7pf2u หลายเดือนก่อน

    nakubar kaka

  • @user-ff1it9og8y
    @user-ff1it9og8y หลายเดือนก่อน

    Wewew nahakiri yako unataka aweje? Wachezaji wapya anataka awasemeje mechi bado kuanza acha ajenge team Simba nguvu mojaaa

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n หลายเดือนก่อน

    Simba yetu mpk ubao hatuiachi hata iweje tutazikwa nato

  • @mohsinrajab7350
    @mohsinrajab7350 หลายเดือนก่อน

    Kwani simba imesajili timu au imessajili mchezaji watu wanaangalia mchezaji anayefanya vzr ktk timu jifunze kujua jinsi ya kusajili sio unabwabwaja tu

  • @YasinSadick
    @YasinSadick หลายเดือนก่อน

    Gb 64 mm nakuita Gb 125 salut kwako mwamba

  • @pascalvitalis
    @pascalvitalis หลายเดือนก่อน

    Huyu sahiz anapiga hela hakuna kitu tena😂😂

    • @ambwenemwamwimbe153
      @ambwenemwamwimbe153 หลายเดือนก่อน

      Kapige naww

    • @jumafarid8861
      @jumafarid8861 หลายเดือนก่อน

      Ww unafnya nn hapa duniani piga hela naww allaaah

  • @christopherngereri76
    @christopherngereri76 หลายเดือนก่อน

    G.b 64....weka namba hapa tukujie in box Kwa maelekezo namna ya kujiunga

  • @kazyn9554
    @kazyn9554 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂saw tutakutana kwenye derby jimalizen tu

  • @sijaonamjungufinias481
    @sijaonamjungufinias481 หลายเดือนก่อน

    Kramo asiondoke ni mchezaji mzuri Sana Kwa sasa kapona

  • @FlavianEdson
    @FlavianEdson หลายเดือนก่อน +1

    Tupe taarifa ticket lini

    • @Zenampande
      @Zenampande หลายเดือนก่อน

      Ticket walisema zitaanza kuuzwa wiki mbili kabla ya Simba dey

  • @AbbasyMdabwa
    @AbbasyMdabwa หลายเดือนก่อน

    Gb,64 Nina kukubalisana ila wachezaji wetu walindwe hatahuko misiri wafanyiwe kisomo

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 หลายเดือนก่อน

    sio kama yule benchika yeye mpira unachezwa anakaa tu kwenye dumu

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 หลายเดือนก่อน

    wachezaji wa utoporo hawafundishiki tena umri ni Mkubwa

  • @MwinyjumaRamadhani
    @MwinyjumaRamadhani หลายเดือนก่อน

    Kwaio fei Azam wamegoma kumuuza?

  • @abdoulkarenzo3138
    @abdoulkarenzo3138 หลายเดือนก่อน +4

    Uyu GB 64 Umesha geuzwa naona umeshalambishwa tu pesa sio ule GB 64 tuliozoweya kbs kwasababu simba bado kbs hayijawa na kikisi cha kupambana na Yanga ni danganya toto msimbazi kwasababu akuna mchezaji oliyosajiliwa aliyetoka timu yakwanza amo ya pili katika ligi yao

    • @willieymesh7823
      @willieymesh7823 หลายเดือนก่อน +1

      Kwan wachezaji wazuri wanatakiwa watoke team yakwanza na yapili😂😂

    • @abdoulkarenzo3138
      @abdoulkarenzo3138 หลายเดือนก่อน

      Kimfano umealikwa ulaya kucheza champions league wanakwambia uchukuwe wachezaji wanaweza kukufaa katika michezahiyo kati ya Geita gold na Ruvushouting amo yanga na azama tuuu kama umataka kufika mbali mu ayo mashi dano utachukuwa wachezaji wapi kati izo nafasi mbili?

    • @willieymesh7823
      @willieymesh7823 หลายเดือนก่อน

      @@abdoulkarenzo3138chama katokaa team iliyoshika nafasi ya ngap🙄

    • @abdoulkarenzo3138
      @abdoulkarenzo3138 หลายเดือนก่อน

      @@willieymesh7823
      Na dube katoka kwenyetimu iko nafasi yangapi na simba mbovu ni ya iyimya michache imepita kabla ya icho kipindi simba sc ilikua tishiyo tanzania so wachezaji wapilio sajiliwa yanga wafiliye na perfomance ya timu zao ,
      Wachezaji wa simba wote wachunguze vzr mtu mwenyewe alitoka mu timu ya tatu katika league yao ni uyo mzambia tuu wangine na fasi 8, 7 ... wangine timu zao zimeshuka daraja.
      Simba sc inakazi kubwa yakufanya zidi ya kupambana na yanga

    • @harunachinja7801
      @harunachinja7801 หลายเดือนก่อน

      Chama baleke, duka ambuya sijui boka hao wote timu walizotoka zimemaliza nafasi ya ngapi?? Mbwiga wewe​@@abdoulkarenzo3138

  • @desuretvonline255
    @desuretvonline255 หลายเดือนก่อน

    NFCC😂😂😂

  • @Ramadhanjumanne-vl4sv
    @Ramadhanjumanne-vl4sv หลายเดือนก่อน

    😂😂 kwamba weka kunyavu gb 64

  • @frankshirima4029
    @frankshirima4029 หลายเดือนก่อน

    We jamaa ulisema chama akienda yanga unahamia azam bp tena huku mkuuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂