HUYU MZEE NI BALAA | AUWASHA MOTO KWENYE MKUTANO WA BAWACHA MOSHI | AWATIA HOFU CCM UCHAGUZI ZIJAZO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 38

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri 2 หลายเดือนก่อน +3

    God bless the people of Moshi.Excellent initiative.

  • @michaelmshighati8432
    @michaelmshighati8432 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera Mh.Lema kwa Nasaha nzuri kwa Bawacha.

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii initiative na formula hii ni nzuri na iwe nchi nzima upinzani utashida kwa kishido ila kulinda wizi wa kura

  • @DeusMbalamwezi
    @DeusMbalamwezi 2 หลายเดือนก่อน

    Safi sana ❤🎉

  • @jeanbaraka1008
    @jeanbaraka1008 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi na Chadema daima daima!!!! Mbowe mwalimu wangu wa siayasa....

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 2 หลายเดือนก่อน

      Mtambue kama mwalimu wako, lkn sahau kupewa nchi CHAGADEMA.
      Mbowe makengeza hana jipya yeye ni mfalme wa miaka 34 ndani ya Chagadema akiwa m/kiti halafu umpe nchi? Huo wazimu watz hawana

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kujipa moyo.Komesha kwanza tofauti zilizopo Chadema.Maneno yako ni mazuri,ila migogoro na migongano ni adui wa maendeleo.

  • @Views-mf8ir
    @Views-mf8ir 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee mtu safi pale katika viunga vya Moshi mjini kati ..

  • @meiruzibwe9145
    @meiruzibwe9145 2 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu wa aina hii hakuna kufeli somo lake.

  • @jeanbaraka1008
    @jeanbaraka1008 2 หลายเดือนก่อน +1

    SAFI SANA sana

  • @AnjelaMatiya
    @AnjelaMatiya 2 หลายเดือนก่อน

    Hongereni Mungu aisikie maombi yetu na isimwagike damu yeyote e mungu tutete

  • @janeshija6638
    @janeshija6638 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kura zihesabiwe kwenye vituo tu. Msikubali masanduku yahamishwe. Kila chama kitapata majibu yake hapo kituoni..Baada ya hapo makaratasi yote zichomwe moto.

  • @elinamilyamuya3277
    @elinamilyamuya3277 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nimekuelewa baraaabara teacher

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani nawapenda

  • @sammykateregga6238
    @sammykateregga6238 2 หลายเดือนก่อน +3

    Bawacha Moshi (Tz) oyeeeeeeee

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 2 หลายเดือนก่อน +3

    CHADEMA MKOMBOZI WA WATANZANIA KUTOKA MAKUCHA YA CCM(WAKOLONI WEUSI). MUHIMU KWETU NI UMOJA WETU NCHI NZIMA!

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 2 หลายเดือนก่อน

      Chagadema hakiwezi kuikomboa nchi hii hata iweje.
      Yaani tukaribishe wezi ina maana watz wamekuwa mazoba wa kiasi gani.

  • @AnjelaMatiya
    @AnjelaMatiya 2 หลายเดือนก่อน

    Karibu manyara baba

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 2 หลายเดือนก่อน +4

    Chukua maua yako kamanda wetu Ngorongoro...wewe sio mzee wa rojorojo,na hawa walaji maccm safari hii watatafuna magodoro yao

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo 2 หลายเดือนก่อน

    Chandema mungu amewaona mchezo unaonekana tukaze buti kumuomba mungu awapige upofu wasiibe kula pa

  • @benardkinde8496
    @benardkinde8496 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ni kweli ccm wenye hofu na Mungu wanataka chadema ishinde

  • @jacklinelyimo7407
    @jacklinelyimo7407 2 หลายเดือนก่อน +2

    Namfahamu sana huyu

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 2 หลายเดือนก่อน +1

    Vitendo viwe mbele kuliko maneno

  • @michaelnhonya5572
    @michaelnhonya5572 2 หลายเดือนก่อน

    Magogoni kuna nini siku hizi?

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wanapora sana

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona mbulula hao ccma

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 2 หลายเดือนก่อน

    CCM bye bye,,huyo rais wao wakatiba anategemea polisi

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 หลายเดือนก่อน

    Hamna kitu hapo

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 2 หลายเดือนก่อน

    Ukombonzi hamuwezi kuletwa Kwa vidole

  • @patrickJosse-t7h
    @patrickJosse-t7h 2 หลายเดือนก่อน

    Hata musipo pita??ila inatakiwa huyu mama akae pembeni hilo ndio ombi kwa inchi

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 หลายเดือนก่อน

    Siyo rahisi hiyo ni Siasa tu maana Siasa mchezo mchafu

  • @rterentius
    @rterentius 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kelele za mpangaji. Jipeni moyo, ubaya ubwege

    • @MageAwe-hl5zb
      @MageAwe-hl5zb 2 หลายเดือนก่อน +3

      Wewe ndiyo bwege utajua hujui

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 2 หลายเดือนก่อน +1

    Walisha sema wao hawajawashinda kwa kura za kwenye box bali Goli la mkono

  • @mkondomkondo4721
    @mkondomkondo4721 2 หลายเดือนก่อน

    watakupoteza,watu wasiojulikana unawajua?kama mtu kachoma picha aloichora yeye na kapotezwa,iweje wewe?

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hata hivi ikulu ni yenu fimbo yadhalimu liondolewe

  • @loserian-mj1gj
    @loserian-mj1gj 2 หลายเดือนก่อน

    Mnajaza hew tu