KAY MZIWANDA AWAKA AWESU AWESU NI MALI HASWAAAAA! SHUGHULI YAKE MMEIONA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 16

  • @bezalelmbijima8182
    @bezalelmbijima8182 2 หลายเดือนก่อน +1

    Vizuri KMziwanda this Simbaaaaaa. Tutulie mashabiki

  • @kassimntara6901
    @kassimntara6901 2 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli kabisa k mziwanda,mukwala na Ahoua wanapresha wanalazimisha ubora wao,kocha awatake wacheze kwa manufaa ya timu wasijiangalie zaidi wao,pia kwa vile Awesu ameonyesha anaweza kuchezesha timu mukwala asimame kati kuwatikisa mabeki 2 watimu pinzani,pia ni kweli tunahitaji kuwa mabingwa lkn tusiwape presha wachezaji.Na huyo GSM Simba tulikosea kutomrudisha Barbara kuwa CEO ndio kiboko pekee ya TFF na mpira wa TZ maana Timu 15 na Tff ziliingia lingi mnyama pekee aliibuka mshindi

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 2 หลายเดือนก่อน

    Ahua atulie asiwe napresha umeongea vizur sana

  • @IlhamKhalid-mt3jp
    @IlhamKhalid-mt3jp 2 หลายเดือนก่อน

    K hongera sana muuza magodoro afikishwe CAF kwa ufafanuzi wa alichokifanya. Ikumbukwe muekezaji mpya wa manchester united aliyenunua hisa kwa Glaze anamiliki timu ufaransa umesikia kilichowakuta ?

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ UBAYA UBAYA UBWELA UBWELA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ALEXLOTAN
    @ALEXLOTAN 2 หลายเดือนก่อน

    Nataka namba zakoooo nikutumie kakitu kutoka Mombasa

  • @PillyKassembo
    @PillyKassembo 2 หลายเดือนก่อน

    💪💪🔥❤🌹🌹

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe 2 หลายเดือนก่อน

    Kwel kabisaa

  • @AmiryHamza-gs8pp
    @AmiryHamza-gs8pp 2 หลายเดือนก่อน

    Ee unasema kweli dada

  • @AjaraSaidi
    @AjaraSaidi 2 หลายเดือนก่อน

    Simba ubaya ubwela

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 2 หลายเดือนก่อน

    Wale vidonge vyao k hao tff

  • @JohnOmosso
    @JohnOmosso 2 หลายเดือนก่อน

    Muongo san ww

  • @mathiaspascal3716
    @mathiaspascal3716 2 หลายเดือนก่อน

    Mnamfoxi uyo kulelezea wachezaji sio kz yke yeye kz yke kupika mpila wa waume

  • @IlhamKhalid-mt3jp
    @IlhamKhalid-mt3jp 2 หลายเดือนก่อน

    Wafahamishe hao TFF wasiyoelewa kazi yao

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 2 หลายเดือนก่อน

    Tff nao wapigaji takukuru iingie hapo tff pananini na gsm

  • @abuusadick9891
    @abuusadick9891 2 หลายเดือนก่อน

    Washawanyoya supu jwangwani akina haji wamewekewA vivuli veusi apo wanatakiwA kukombolewa awo