ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
RASMI HARMONIZE ATANGAZA KUHAMIA SIMBA,HARMONIZE KUPAFORM SIMBA DAY,NAIPENDA SIMBA KUANZIA LEO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ค. 2024
- eat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimba #africanfootballleague #africanfootballleague #africanfootballleague #simba #simba #numeroyapastorntambabazi0788554028 #numeroyapastorntambabazi0788554028 #numeroyapastorntambabazi0788554028 #uchambuzi #uchambuzi #uchambuzi #uchambuzi #sports #sports #sports #sports #kigooco #kigooco #kigooco #africa #africa #africa #afrobeat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimba #africanfootballleague #africanfootballleague #africanfootballleague #simba #simba #numeroyapastorntambabazi0788554028 #uchambuzi #uchambuzi #uchambuzi #uchambuzi #sports #sports#afrobeat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimba #africanfootballleague #africanfootballleague #africanfootballleague #simba #simba #numeroyapastorntambabazi0788554028 #news #numeroyapastorntambabazi0788554028 #uchambuzi #uchambuzi #jdg #utchambuzi #sports #sports #sports #sports #kigooco #kigooco #kigooco #africa #africa #africa #afrobeat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimba #africanfootballleague #africanfootballleague #africanfootballleague #simba #simba #numeroyapastorntambabazi0788554028 #uchambuzi #uchambuzi #uchambuzi #uchambuzi #sports #sports#afrobeat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimba #africanfootballleague ##afrobeat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimbatg #africanfootballleague
wasanii wengi wanafik mnatazama pesa hamuna mapenzi na team, msanii wetu wa kwel SIMBA dam ni TUNDA MAN
Ndy nikweli kabisa
basiiii!!!
Tena icho ndoknafk kkubwa nasraa kama nyani akaimbee ccm Simba hatuitaji mnafik ama wanafk
Kwel kbsaa
Tunda man ndiye simba damu wote wanahama yeye yupo tu
Ongera Sana 💪💪 kuamia Simba
Sijaskia sehemu alo taja simba au maskio yangu😊
Kalibu konde unyamani unyama mwingiii ❤❤❤SIMBA NGUVU MOJA🦁🦁
Ni kwel Yan ❤tunda man Hana ushabiki maandaz mungu mpe miaka mia Moja 2nda man we2 sio kama hao wengine
Wasanii wanafk nyie mnazingatia maokoto ttu,lkn ukirud kwenye uhalisia msanii wetu wana lunyasi asiye na konakona ni TUNDA MAN tu💪
Na Kiba
Usimsahau na roma mkatoriki mzee wa panya nae simba damu
Kabsaaaaaa❤❤
Simba ni ya Tundamani ila wengine ni umbea tu na unafiki
Elewa wasanii ni bendera hufuata upepo, hawana timu hwa ni unafik tu bas. Simba nguvu moja 💪
Simba nguvumoja ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Karibu sana Simba konde boy wewe ni mtu wa maana sana na umejuwa timu nzuri ni simba
Simba tunataka watu walio nyooka🎉
Hao wote akina Yuda,mwana wetu Simba ni TUNDAMAN huyo anastahili kupewa nafasi za kupaform ndani ya Simba day,sababu Simba iko kwenye damu Kama Mimi
Kwel TUNDA Ndo mwamba wa Simba hao wengi wapishe njia
Karibu sana simba konde, tunakupenda sana wana simba
Frm Vanuatu we're watching u boy konde,frm southern pacific ocean beach 🇫🇯🌊🏖️🏖️
Nilisha waambia kua konde atahamia Simba siku moja
Karibu simba ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
2nakupenda sana ❤❤harmonize kalibu sana msimbazi
Abaki hukohuko utopwax
Unampenda ww peke yako
@@SalomePaul-zm6je sio shida angu mm kumpenda na ww kya
Mafahaliwali hawawez kukaaziz1 very good welcome 🦁👊
Nyie mnazingatia maokoto hamna mapenzi na team msanii wetu n tundaman ndo anaipenda simba
Kalibu sana Simba nguvu moja
Kweli kalibu sana konde boy simba nguvu mojaaaaaa msimu uhuuuu simba itafourm vizuli
Karibu Sana konde boy Simba nguvu moja✊✊
MWAMBIENI KUWA SISI SIMBA HATUTAKI SHOBO KUTOKA KWA WAVUTA BANGI
Hamkutuamby km harmonize nae atakuja kuwa shabiki wa simba hamkutuamby ss
Abaki zake utopoloni anaona Simba day iko karibu anaanza kujipendekeza ili apate shoo apige pesa kisha aende zake hatutaki
😂😂😂😂😂
Tunda mani ndo msanii Pekee wa simba wengine ni tamaatu ❤
❤❤karibu sana simba yetu. Lakini usiwe mtu wa kuhama timu
Kabisa, mwishowe atakuwa msanii malaya malaya ivi
Simba nguvumoja tushikane namsimu mpya
Mmmmmmh Aya bhana
Hongera hamonaz kwa kua na msimamo❤❤❤❤❤❤
Karibu sn simba
Mmmmmmh toka rini akaja Simba uyoo
Boos kaludi simba atasomba kilakitu mo hatareee ww
mubaki ukouko msitichanganyeee tunda man yupo simba dam dam
Karibu nyumbani kumenoga❤❤❤
TUNDA MAN SIMBA DAMU FINISH WENGINE WANAFKI 2
Nakubali kk kalibu sana msimbazi
Jeshiiiiiii welcome msimbazi ❤
Karibu msimbaz tunakupenda san
Tundaman ndio Simba damu damu wengine nikama Malaya kaona elfu 10000
Atacheza na mbangapi
Karbu sana kutumbuiza simba ila msanii wetu n TUNDA MANN
Mbona hakuna sehem kaitaja simba
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉 kalibu Tim ya wakubwa
Ndo maana naichukiaga TH-cam mbona harmonize kaongea mwanzo mwisho sijasikia ata akiitaja simba yani waga ni manyoko sanaa
Mbona soon sehemu kasema anakuja simba
Karibu mwamba unyaman
Nawaambia siji uwanjani Akija simba day…..huu ni ujinga eti ikifika simba day mnatuletea drama true fan wa simba haleti ujinga huuu
Kwani shida iko wapi wewe usipoenda uwanjani kaka
Wewe acha Mimi na masela wangu kutoka Kigoma tytakuwakilusha 😂😂😂
Karibu sana unyamani
Karibu sana konde mnyama unyaman
Konde boy welcome to Simba group
Aaa aondoke zake wa Nini unyamani huyo,Sie anatosha tunda man yule ni Simba dam
Karb br konde msimbazi❤
Mimi mwenyewe nilijua tu. Alipo Diamond wasnii wenzake hasa Konde Boy na King Kiba huwezi kuwa nao.Na kwa sasa Harmonizer na Ali Kiba ni friends.
Tundamani simba dam
Me nataka t uje umuache uyo domo kaya mana anataka t kuharibu Kipaji chako usionekane wkt unapafrm ukiwa yanga akin simba njoo kk simba yako karibu san ata usjal kaa mbali na uyo mbka nakufa uyo mpnzan simpendi welcome bro 🙏🙏
Harmonize hawezi kuhama yanga. Never!
Hat yeye ni Simba acheni kumzonga
Hamonie ni ametambua kua simba ni team bora huwezi kua mkubwa bila kupitia simba spoart club
Karb jeshii huk kwetu simbaaa mnyamaaa
Amehama ynga kwa vile yupo modi au amafta maokoto
Ila harmonize
Anaitazamia SIMBA DAY na sio kitu kingine.
Duuh mbna sijasikia hata simba yenyewe
Wewe ni yangu simba ufata maokoto😮😮😮
Mbn mnakua na laana ndugu zng m2 ka amependa kua mwanalunyasi mwachen moyo n wake: karibu sana kijan a wetu
Hatukutaki simba, ulitamba sana na watotp kaa huko huko usituletee utoto
Kazi kwa kweli, atafanya tufungwe tu, akae mbali yupo kiba anatosha.
Kiba amerudi yanga
KWANI ALIKIBA NA TUNDA MAN WAPO WAPI?JAMANI KWANI VP?
Mimi ni mshabiki wa harmonize mm uyouyo mxhaniki wa Simba ila konde anatak kuja kupg hela tu Simba day
Kama unataka kupata mashabiki wa Simba tu nakutaka kutuburudisha sawa Ila sio ushabiki njoo utuburudishe Ila Kama mashabiki hapana
Hatumtaki huyo aende huko kwenye timu yake
Tundaman ndo simba peke yake wengine ni wakina manara
Simkubali hata kidogo na hatumtaki yeye yanga tu
Kabisa la nini
Wasanii wengi muwaongo bahna
Uwo ni uwongo man atuachiye simba yetu bana asituvuruge akili
Hakika tumekosa washeheshaji hii ni dalili mbaya Sana huyu katumwa na engineer hersi k mako
Chama mzee
Alafu nyie wasanii mbon wanaski cn konde eti mshabiki was Simba eti anaipend cmb jamani duuuuuuuuuh.....!?
Simba day king ,Tunda,na wengine sio huyo mshamba
kabsa hili lina fiki tu
Namimi naungana na nyie abaki hukohuko na ubonge wake
Hatukutaki huku Simba kwedaaaaaa huko huko🐍
Safi mapenzi kwa timu ya nini sasa cha msingi pesa
Kuweni kama tunda mnyama xo nyinyi wanafk
Aondoke tuu kwani vina mudaaa sasa! Vitamshinda😢
Atakama uta hamia Simba lakini huwezi kupafomu Simba day tunda mani wetu yupo Simba nguvu moja
Kwendraaa ukoo napenda nyimbo zako tyuu xo uje simba yetu
Simba dam no tunda man basi ila nyie mhhh
Yaan TH-cam mmeona tumalize MB zetu kuangalia ujinga simba imegusiwa wp
𝐢𝐥𝐚𝐚 𝐡𝐚𝐫𝐦𝐨𝐧𝐢𝐳𝐞𝐞😂
Huyu mwezi ulopita ndio kaamwambia Aziz ki asiondoke na atafanya kila njia abaki simba hawa sio wakuwaamini yeye na diamond kamkimbia diamond kwakua kahamia yanga
@Tunda man ndy mwenye msimamo kongore kaka @Tunda Man
Msanii wetu ni tunda man tu
Huyu ameona kuwa Mo amerudi pale simba kama miaka minne ya nyuma
Tunadangaywa😮😮
Mwandishi si bure ukapimwe bichwa lako hilo coz kibari chako ni cha mchongo ndo maana umekua laghai wa maudhui. Pumavu!
Hatutak nyie ni fis 😢😢😢 mbwa nyie wasalit wakubwa tamaa tu ushabik aku 1:28
Kalib
Sisi tunmjua tunda man tu.
Hawa wengine ninnjaa
Is it another joke, Hama Hama hii is total stupidity. Wil it help the team, definitely no!
Anatafuta mashabik wengi uyoooo
Kalibu unyamani