Congratulations to Simba, but think Jesus-Christ the son of the living God is the way, the truth and the life. The day of repentance is today. Stay blessed
Maana nilimbezaga Sana onana Ila cku Hz nikimuona kwenye line up Wala Sina Shaka maana baada ya hii mechi alikuja pia kufanya vzr kwenye mechi ya singida fountain gate kwenye mapinduzi cup Ile faulo yake moja Kwa moja ndani Na kabla ya faulo alivyomtoka Yule beki daaaahh huyu onana anajua bhana🔥🙌
Kwa kweli hata mimi nilikuwa miongoni mwa waliomkatia tamaa Onana. Lakini mtaalam Benchikha kambadilisha Sana,hadi leo hii anatupatia tulicho kitarajia. Mungu azidi kukuimarisha kwani mpira ndiyo unahatima ya maisha yako
I am Ivorian 🇨🇮 and happy to see that the Tanzanians are taking care of their pitch. We must ban shameful pitch everywhere on the African continent. That the country which is not capable of offering pitches for both stadiums and training grounds be withdrawn from all African competitions. Congratulations to the Tanzanians for this lawn and continue to aim for high standards for your lawns.
kama bado unaamini simba itarejea tena ubora yake nipee like hapa
naompeni likes yenu ndugu zangu kwaajili ya simba spots
Wallaah Jana Simba SC mmejua kutupa raaha mashaabiki wenu, mbarikiwe saana
Mashabiki wa simba sports tukiwahapa drc Congo 🇨🇩🇨🇩 tujuwane hapa ❤❤❤❤🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍♥️♥️♥️♥️
Tuko hapa ❤❤❤❤❤
@@UshindiButera-yz9du nawapenda sana washabiki wa Simba hapo Congo nikiwa hapa 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
Congratulations to Simba, but think Jesus-Christ the son of the living God is the way, the truth and the life. The day of repentance is today. Stay blessed
Naipenda Simba mpaka naipenda tena wallah 🙏 Simba nguvu moja ♥️🥰🥰🥰
Mambo dada
@@AdhamAlliy-mg5py poa
Poa@@AdhamAlliy-mg5py
Uwakika
Poa sana tu
Hapa sifa ziende pia kwa golikipa wa Simba kwenye goli la pili😂😂,,Safi Sana kwa wachezaji wote
Kama unaitazama hii game 2024 tujuane
Bro kiukweli mm kila niliingia TH-cam Ninapitia Tena hii mechi maana daaaahh bro Ile cku ya mechi nilikuwa ninafuraha isiyoelezeka
Maana nilimbezaga Sana onana Ila cku Hz nikimuona kwenye line up Wala Sina Shaka maana baada ya hii mechi alikuja pia kufanya vzr kwenye mechi ya singida fountain gate kwenye mapinduzi cup Ile faulo yake moja Kwa moja ndani Na kabla ya faulo alivyomtoka Yule beki daaaahh huyu onana anajua bhana🔥🙌
Alfu kuhusu hii mechi hata Ayoub pia anatakiwa kupongezwa haswa maana atoa double save Na ameokoa mipira nyingi Sana kabla onana hajafunga
Nipo
@@InnocentKisugehaswaaaa
Hongera sana timu yangu ya simba inayotupa furaha kila wakati❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Kwa kweli hata mimi nilikuwa miongoni mwa waliomkatia tamaa Onana.
Lakini mtaalam Benchikha kambadilisha Sana,hadi leo hii anatupatia tulicho kitarajia.
Mungu azidi kukuimarisha kwani mpira ndiyo unahatima ya maisha yako
I am Ivorian 🇨🇮 and happy to see that the Tanzanians are taking care of their pitch. We must ban shameful pitch everywhere on the African continent. That the country which is not capable of offering pitches for both stadiums and training grounds be withdrawn from all African competitions. Congratulations to the Tanzanians for this lawn and continue to aim for high standards for your lawns.
Thank you
Thank you man of asec memosas
Naipnd Simba Mimi jaman ❤❤❤❤
Mm yanga lakini benchika nimempenda bure
mungu ibariki chama langu tufike mbali saidi 🎉🎉❤❤
Asante Mungu👏I love ssc💪
😅 mhh kweli usimkatie mtu tamaa simba inazidi kuwa bora kilakukicha mungu ibari simba mungu ibariki Tanzania.🎉
Congratulations Simba
Naipenda cana ximba yangu❤❤❤
Mwaaah sana simba yetuuu
Kocha mpyaa, Simba mpyaaa🔥🔥🔥🔥
Hiyo ndo simbaaaaa mnyama mwingi 👆👆👆
AL HAMDU LILLAH KATHIRA MUBAARAKA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
MPENJA ndo mtangazi hodari wa mechi hizi nyie Bado sana
SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Huyu ndio simba mnyamaaa ❤❤❤ from Tanzania 🇹🇿🇹🇿
Ayub lakred alituokoa sana tungepgwa tano
Sikupingi bro yaani mm naona man of the match Ni Ayoub Lakred alfu anafuatia Na willy Onana sombasomba
Kila mechi ambayo saidoo hatocheza simba itashinda saidoo ni mzigo mkubwa sana kwa sasa
Saidoo hana akili,nafasi yake awe anacheza chama
Simba ni simba
Naipenda. ❤❤❤simba
Hatimaye tunang'aa Tena wekundu wa msimbazi❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤ simba
Kipa tumepata kwa sasa tuombe mungu sasa tusonge mbele
Naipenda sana timu yangu❤
Simba Nguvu moya❤❤
Simba hatar
Hongerani sana simba nguvu moja daima.
Tukumbuke tu Kila nafsi itaonja mauti.Tujiandae na kifo.Tuache dhulma na kutenda dhambi nyingine.
Naipenda simba🎉🎉🎉🎉🎉
In fact bigup Simba SC you did it.
Ahsanteee Mungu kwa matokeo
Simba guvu moja
I love you simba yangu
Safi Simba yetu
Kipa ni hatariiiiiii sana simba tukabidhiwe tanesco
Ahsante sana Mungu
Simba nguvu moja
Hiii game 🎮🎮🎮🎮 ilinifurahisha sana jamni ❤❤❤❤❤
ONANA man of the MATCH💥💥💥
Hata Ayoub Lakred pia alikuwa man of the match maana bila yeye tungekuwa tunaongea matokeo mengine kabisaa
Onana anamamno ya kitoto sana akiwa seriously anaweza
Ila kweli bro akiwa seriaz anakuwa Wa moto
Simb nguvu moja
Hakika huyu n muongoza njia wa soka la Tanzania
Asente simba❤
iindio simba ninayo ijua mimi
❤❤❤❤
kibu kibu denga kibu dii mungu akubariki sana akujalie mema saidi 🙏🙏🙏🙏🙏
Akika tim yangu imeanza kuwa na uwelekeo
Unyama ni mwingi
Aaaaa unafel san
Pamoja ❤❤❤❤
Simbanguvumojaaaaaaaa❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Yana Hadi raha
Mimi hapa naitazama nafuta mchungu
Wow! As so well for my team" good Challenging
Pamoja sanaaaah
Natal goli na Aliahali na leo
Tumejuana kiongozi. S S C
Nguvu Moja
video quality sio nzuri nimeset 720 lakini wapi
onana the King CR7
Big up sanaaa
Wanasimbaaaaaaa
Simba team yangu pendwa
Daa ile pasi ya Mzamiru nihatar sanaaaa!
Kaka mm mwenyewe mzamiru Ila assist alioitoa kanikosha hatari
Maandaliz ya Simba
Machine safi
❤❤❤simba
simba mmejua kunifuraisha
NAIPENDA SIMBAAAAAAAAAAAAAAAA
kocha mpy❤❤
Sasa Simba juu
❤❤❤❤❤❤❤❤
Very good onana
Naitwa ifrahim 16:25
This is simba
Pamoja sana
Sasa Simba inanikosha kweli
Simba tushagaa jipata sema basi tyuuuuu , Sasa Leo Mtani mtajijua wenyew mfunge au mfungeee mtajua wenyewe 😂😂😂😂
😂😂😂😂 daah aki wew 🙌🙌😘😘
Mashabik Leo hamjaitendea haki heshima yetu yakujaza uwanja
Alhmdhulillah
Mtangazaji anapunguza ladha ya vibe la mashabiki... Anasikika yeye tu
Asante mnyama
Simba unyam mwingiiiii
Nyie uyu mtangazaji anakelele ila akitangaza huwa tunashinda ya. Tuna bahat naye
xeaf xean ❤️❤️
Saidoo hafai kucheza simba kwa sasa ndio chanzo mikubwa cha kukosa matokeo
Mmetoka kwa Onana mmerudi kwa Saidoo tena
@@rosemahenge9071dada kwani uwongo Ni kweli Saido Ni mchoyo Wa pasi
Niko hapa 14/3/2024
Mm nestory masimba
Watu tunaona goli tu ila mpishi wa goli Ayubu Lakred atumuoni na kumpa sifa anayostahili, goli la pili ni juhudi za Ayubu Lakred
Sema kibu niatari 🎉🎉🎉😮
Ww kumbe shabiki wa simba kutokea Dr cong
Hongera mnyamaa
Naomba basi muweke na sauti ya mashabiki
Nimepend hii ya leo sikuile sijui tulifeli wapi maana kulekwao walikua wetu hao
One team one dream,Unyama mwingi,we ride 2gether we die 2gether
Nipo naichek game kama nipo live kwa mkapa 😅😅😅😅
Simba mbele kwa mbele mabadiliko mapy wanasimba
Mbona muonekano hafifu? Sio quality nzuri?