Bonge la ngoma napenda sana wasanii wenye idea tofauti tofauti kama hawa sio kila siku mapenzi mashabiki tunachoka.......mwanangu TOXIC umetisha kaka👊👊
Huu ukoo ndo ninaotokea Mimi ahahahahah 😁😁 #UKOOWETU @TOXIC FUVU we hili pin Kama ulinicholea mm kabisa Mana huu uko nikama ule ukoo wa mzeee naniliu ahahahahah 😃😃😃
Bonge la ngoma napenda sana wasanii wenye idea tofauti tofauti kama hawa sio kila siku mapenzi mashabiki tunachoka.......mwanangu TOXIC umetisha kaka👊👊
Oya masela mapema sana nimefika naomba like zangu msiniroge lakin😅
Izi like nyie zinawasaidia Nini,au ndio kukosa kufikiri
Ukoo Wetu hongera sana Toxic Fuvu kwa hii kazi nzuri,umeeza mwamba wa mamba 💯💯👉🔥
Eeeeish si mfanye hii song challenge kwa wingi I trend...big up toxic mashairi yako fiti ❤❤❤❤from kenya
Imegusa life yngu bro ucchoke kutupa ujumbe
Wale wa 254 wako wapi nipeni likes kwa huyu mwamba 👍
Fuvu never disappoint us🙌🙌
Au nami nimechelewa hapana wanao mfatilia huyu jama toxic niwengiii sanaaa naombeni like zangu
Ukoo wangu sas bola hata waTOXIC
Toxic nimetokea ukoo ambao hauna Hela, umetisha sana 🔥🔥🔥
Toxic uko wetu aisee nakupa Asilimia 97 yani 🔥 fireeeeeee
Umeamua kuusema ukoo wetu huku
Unajua kaka....... Ukoo wetu is the fact
Toxic is best rapper of all the Time 💥
Wow this Great song❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Napenda sana video hiyo
Kenyan 🇰🇪 love
Wee fuvu umepiga nje apo fuvu una atari ndakupa dada ❤❤❤ Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩🖊️🖊️🖊️🖋️ 🖋️🖋️🖋️🖋️🖋️🖋️
very talented❤❤ my best song, keep it up
HatiMaye TOXIC is On Trending ✊🏿
you deserved this
Kitambo na ku appreciate sana bro 🔥🔥 talented sana
Una ndugu wa kukupa masimango na sio connection
umetokea kamanilivo pita mm umoumo kabisa
Toxic 💀💀💀 unakuja vzr sana BiG Up
My Idole keep going brooo 💥
Kaongelea ukoo we2 kabsa
Utarudii nyumbanii tuuu 😁😁😁😁😁
Unajua mwanangu 🫡🫡🫡 respect sana kwako Toxic
Ukoo to the next level ❤❤🎉🎉 respect 🫡 my gee soon our project will be released everywhere 🎶🎶🔥🔥🔥
Toxic ni toxic sanaaa
Likes hapa kma umekubali UKOO
Uko wetu kabisa huu
Baada ya kaa la moto uyu mwamba na kapata sake ka D
Huu ukoo ndo ninaotokea Mimi ahahahahah 😁😁 #UKOOWETU
@TOXIC FUVU we hili pin Kama ulinicholea mm kabisa Mana huu uko nikama ule ukoo wa mzeee naniliu ahahahahah 😃😃😃
Ouyaa 💥huu ukoo noma😁🙌
King in the making 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Mpaka dakika hii unakadi nyekundu kutoka kwa mwenyekiti wa ukoo😅
Toxic danger since Kibasila secondary. Kongole
Toxic fuvuuuu hiii ngoma ni ukoo wangu mtupu
Huu ndo ukoo wetuu hatarii sana
Uñyma mwingi mwunyamwezi 👊 toxc 😍🇹🇿
Vijana wana hasira saaana big up Toxic
Nakubal sana hii ngoma nani bado anacheka kama mimi 2024 ,🙏
Kazi Nzuri sana Big Support from Kenya 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
atali bloo nakubl sana ipo siku nitatoa ngoma na wew bloo
💯💯💪💪💪💪 hakuna la uongo mkaka
Toxic wewe ni mkali sana bro...Much love from kenya
Amia ukoo wetu babu,haunaga hizo swaga mbovu.Ngoma nzuri sana.
umetisaaa saaaaaaaanaa
kazi mzuri sana
Umetisha mwamba 👍🔥🔥
nakubarii jesh ww ni mkarii tena
Fundiii haswaaa
Toxic kama toxic unajua bob
🔥🔥🔥🔥🔥
Yes bonge la Idea!
Unyama toxic mnyamaa
#dizzieclassic from KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 following and loving the vibe ❤❤❤❤❤
Karibu ukoo wetu naweye anza kucung tusirogwe P6 kali mwenzetu
Reality kabisa hii mwamba
Nice song pambania ndoto zako toxic ila usivimbe kichwa angalia nyuma your family then don't back again in that life
Kali sana ❤🫡▶️🎶🎶💥
Umekamua mani, kama chizi amepewa jani, freestyle division wani, na wakijichanganya yani, wakalishe kama Pacman, One love man tuishi kwa amani
safi sana ukweli moja kwa moja
Daaah hii ngoma imereflect koo nyingi za Tanzania kabisa😂
Mnyamaaa huyuu.... Big up
Toxic tunakudai verse 2/3
This is realness mixed with style....maximum Raspekt🔥🔥🔥🔥
KAMA UNATOKA UKOO YENYE MAMBO HAYA PIGA LIKE
Nichuma sana
Jaman toxic apewe maua yake ayanuse kabla hajafa🙋♂️🙋♂️
Ngoma kal mno
unyama sana Man
Ukoo hauna hela..
big up
Hii imeenda kka 🔥
sumuuuuu 🔥🔥🔥🔥🔥
Nouma! Umetisha mwana hunaga kazi ndogo..254 nakukubali sana bro.
Tokea Nairobi 🇰🇪 vibes iko fiti 💪💪
Umetisha sanaaaaa
Nani aujua UKOO wetuuuuuu.....
Nimetokea uko ntu akipata pesa aonekani......!🇲🇿🇹🇿
Umefikah ujumbe vyemah kaka mkubwah keep it up 💯
toxic unajua sana mwamba unajua yanii
Kaka umetisha
Umetisha❤
wimbo huu ni hali ilivyo kabisa kwenye koo zetu
Bro you badder 💯💯💯 much love from 254🇰🇪
Unyama bloo
What a song
Umetisha mzee
DOdo anajua sana
Yeee man ukoo wetu good msq sharaut mamen🤣🤣
Umeonga ma point🙌🙌🇰🇪🇰🇪
Toxic🔥🔥🔥
pamoja sana mwamba nakubalisa
Bonge la ngoma
Mwanangu Toxic umetisha mnooooooo !!!!!! ninakukubali sana
Duuuh ni fayaa kaka toxic life
Ndo ukoo wangu huoooo😅
Aseee noũma sana
Imeenda bro Kaz ndo hizi nakubali Toxic ✌️✍️👉🧠💯
Great work my brotherr
Noma san