Young mweke killer zake, mitaa imetulelea kipaji, maudhui, dhamira, wahusika bila kusahau msimamo wa mwandishi, japo umtokea puani! Hili ndio tawi la fasihi(sanaa), lenye kulenga hadhira kulingana na muktadha wa jamii lengwa..!!
Ku like kwako ndo kushare love Kwa Young killer🤔 Muachage kujipigia promo zisizokuwa na maana Sa kupata like katka comment yako inamhusu nn young killer Labda ungenambia "wote tulike wimbo coz wapo wanao view bila Ku like "
Great rapping style. Nice Beat. Nice video. Great production. I love the song from deepest part of my heart. Young Killer you did the best brother. Keep it up.
Killer yhu never dissapoint me since day one until now, besides that yhu talked really story I'm going thru with. watatokezea mayoung ila akuta kuwepo kama (Msodoki) 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hii ngoma Ni kali kinyama. Ameanza kumwambia mshikaji wake jinsi demu wake alivyo mzuri na anavyo mkubali. Baadae kageuka fasta na kumueleza mshikaji jinsi alivtobadilika na vituko anavyomfanyi mnyamwezi. Baadae aliamua kushusha pumzi na kushauriwa aongee na demu wake, Jamaa kapiga simu demu kapokea kwa mbwe mbwe utadhani yupo sahihi kwamba hana kosa. Jamaa alipoanza kumueleza ujinga wake demu anaonesha kweli kamfanyia ujinga mshikaji, demu akaendelea kuka kimya kusikiliza akichanywa ujinga wake Mnyamwezi amemaliza kumwambia kwa uchungu kinyama, eti demu anaomba msamaa. Dah! Mshikaji akauna huo Ni ujinga, hakujibu kitu, akabidi awashe gari na kusepa zake. Good song, good creativity, good Idea, good video and audio in all.
Lyrics,story so fantastic He is killer ,,not young anymore,,he is just an assassin...watch out KWA wale wanaopenda kUjiFunza kuimba waje hapa#imbatokamoyoni
Hyuu Msukuma Mwenzangu xx hizi sifa mbona hii ngoma cyo ya inchi hii kaka Nakuona kama umezaliwa ulaya umejifunza tu kiswahili Daaah ngoma kali xna Hii hata J.Z akisikiliza anakupa Corabo 💪💪💪👏👏👏
Hii ngoma kwenye flesh yangu lazima uikute tuleik 2024
"NA ULIVYO MWEPESI KAMA TEBO YA PILI...." huyo ndo Young mwenye Killer zake🔥
This song anayesikiliza till now aweke like❤️
Young killer best rapper of all time..
Kama unakubali nipe like zifike hadi buku kwa ajili ya mkali huyu..
Fid Q anaimba taarabu au sio
Bonge ngoma bro this real hip hop in tz kwa sas on trendng 1
Yap am like every day
Dogo ungekuwa mbele kwa nyimbo kali kama hizi ungekuwa billionaire lakini vijana wa bongo wanapenda bana pua. Ujumbe kuntu sana na hongera.
Kabxaa
Duuuuu hufai broooooo like hata 3 jamani.nimemkabidh ngombe anilindie majaniiiii....
Big killer🚳🚷🚷🚷🚷
unajisema Lilian tumewakabidhi mtulindie majani nyie
Msodoki Mdogo angu eeee, l'm older than you, lkn nasema hivi,
"SHIKAMO YOUNG KILLER (MSODOKI)
John Mwandu 😂😂
Huy jamaa ni hatar Yan hii ngom kaandika kinomaaa du🔥🔥🔥
😂😂😂😂😂 ukubwa pesaa
"Aina za wanawake na tabia zao"pita na link hii kujua ...
th-cam.com/video/CuO1gbIMdss/w-d-xo.html
🤔🤣🤣
Young killer..... Like Kama unaelewa mambo yake 🇹🇿🇺🇬🇰🇪
Tunasubiria hii video ifikishe 1M gongeni like hapa
Mzee naElewA toka unaanza music Kama una mkubali Kiler Zaidii ya dondosha like hapo mzee
Jaman na mm naomba like hata 10 kwa kaka msodoki
Edwin gwesso nomaaaaaaaaaaa sanaaaaaaaàaà godo anajua
"Aina za wanawake na tabia zao" pita na link hii kujua ..
th-cam.com/video/CuO1gbIMdss/w-d-xo.html
Kubali sana young killer u kill it broh respect....!!!
Nice
Og
Hii ngoma nimekuangalia mara mbili mbili sana. Kama. Wewe pia. Umefanya ivyo. Coment. Reply. Na gonga like twende sote.
Budaaa... Ngoma kali kabla sijaangaria we mtu mbaya msodok,, like zenu kwa uy msukuma mazee
Young Killer Msodooooki 👌👌, I'm watching from Kenya, ndugu zangu wa Bongo nipen likes aisee 💪💪
Aiseee bonge la song Umeuwa xana nimei❤️
Uakika 🇹🇿
@@jacquelinejohn5415 yakila
@@jutoomaachurauklourownandy9175
C,mu bp.b 🥰😋🥳🥳
Worry out bro👎👎
Noma sana....!!!
Hii ngoma najua ina dis Kama zote Kwa wanaojilinganishanae😁😁😁 #my favorite rapper in East Africa
Bonge moja la ngoma la hisia linalofaa kuchambuliwa kila mstari kama unakbaliana na mm nipe like
Bonge la ngoma miaka na miaka 🔥🔥🔥🚀🚀🚀
DAH NIMEFUNGA LAKINI NIMEANGALIA NIPE LIKE YANGU 🔥
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tujuaneeeee mashabiki wa Killer gonga likeeeeeee
hiyo ngoma kali sanana we nomaa sanaa
Killer umeuwa sana kwenye hii🔥🌹. Mafans wa youngkiller kujen hapa🙌💔
Yan ww unapenda like Kama chakula vile
Killer 💯🔥
He's the best for sure
unapend like kwa ibra na konde boy umeomba like uku pia upo
Me nkomet kbxx kaz mzr
Naam Young killer msodoki...Tupiteni huku jamani na malikes
Shikqmoo big killer
I still listen to this Killer's song mpaka wa leo💙 Young killer is always gonna get respect from Kenya👊
Mdogo wangu YangKila Umeaua sanaa hii Ngoma
Lyrics-100%✅
Young mweke killer zake, mitaa imetulelea kipaji, maudhui, dhamira, wahusika bila kusahau msimamo wa mwandishi, japo umtokea puani! Hili ndio tawi la fasihi(sanaa), lenye kulenga hadhira kulingana na muktadha wa jamii lengwa..!!
Msodoki popote ulipo bro,
Tunahitaji hit song kama hili
Kama kweli anamkubali Y,killer kwa michano,,, gonga like twende xawa guys,,.
Msodoki...creativity miakwa mia...yaaani apa this song inathamani ya taji👌👌🇹🇿🇹🇿🇹🇿 ++🇸🇸🇸🇸🇸🇸....tunakubali saanaa
like zishuke
ngoma kali sana hongera sana kijana wetu Never dissapoint Love from Drc Congo Lubumbashi
"Sio kila YOUNG ni Killer"....💥💥💥💥💥
Hhhh uwezo unajieleza au sio, Lunya aukalie mbal sn uwu 🔥, kwnz amuweze maarifa kwnz nd aje afkirie level izi....
Daah Aisee young killer nahisi umenipatia kile nilichokua nakiwaza I like Song like kama na ww umeikubali kama mm
Bonge la vidaa mwenyetu umeweza
Kama unaamin nyimbo iko kimambele achia like
🙌 hata jina lina stahili kuwa lako wewe Ni KILLER💥💥💣
Yaani mistari ziko Sana kwako kaka, Chana Kabisa bro.. 🇰🇪
Nani amefeel line za #Blue #Mapozi,,gonga like tutambae pamoja! Umerudi killer, boom sana hii💥💥💯
kwa ma young ote killer ndo baba lao kama unaamini hilo gonga like twende sawa
🇰🇪
Kabisaaaaaaaaa
Haipingwiii yan
"Aina za wanawake na k zao" pita na link hii kujua ..
th-cam.com/video/CuO1gbIMdss/w-d-xo.html
Bonge ra ngoma Hadi nimetowa machoz Yasha wahi kunitokea wakenya mpoo kimya
Mchaneeee tuuuuuuu uyooo demmm ni mbupuuu @ young killer
Naiona hit song hapa, who else sees? Press 👍
Wote naomba tu like hapa show love to young killer
🙏🙏
Ku like kwako ndo kushare love Kwa Young killer🤔
Muachage kujipigia promo zisizokuwa na maana
Sa kupata like katka comment yako inamhusu nn young killer
Labda ungenambia "wote tulike wimbo coz wapo wanao view bila Ku like "
Wewe man acha uzeche wewe
♥️♥️♥️♥️♥️
@@manbravofitnessempire7041 punguza gubu bro kha
Daaah kama unamkubalii broo young killer like na comments kwa ajili ya ngoma yak hii daaah bro wew noma!!!.............
Me sikuping broo
The best HIP HOP artist in Tz ukimtoa fid q na Joh makini kwa sasa
Mnyabi we ni mbaya, balaa 2pu
Gusa like ka unamkubal msodoooki!!
Great rapping style.
Nice Beat.
Nice video.
Great production.
I love the song from deepest part of my heart.
Young Killer you did the best brother. Keep it up.
Since wayback Dear Gambe mpaka leo my New Girlfriend story is not easyy..Killer dem bro
Your magnificent super dupa fan ever👑
Dogo umeua.
Killer yhu never dissapoint me since day one until now, besides that yhu talked really story I'm going thru with. watatokezea mayoung ila akuta kuwepo kama (Msodoki) 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I see weedogo nishida
@@muhamedialiy5469 freshy
Dayoniz masoga mlembeza
Huyu kijana n fireeeeyaaaa moto manze
Hii ngoma Ni kali kinyama. Ameanza kumwambia mshikaji wake jinsi demu wake alivyo mzuri na anavyo mkubali.
Baadae kageuka fasta na kumueleza mshikaji jinsi alivtobadilika na vituko anavyomfanyi mnyamwezi.
Baadae aliamua kushusha pumzi na kushauriwa aongee na demu wake, Jamaa kapiga simu demu kapokea kwa mbwe mbwe utadhani yupo sahihi kwamba hana kosa.
Jamaa alipoanza kumueleza ujinga wake demu anaonesha kweli kamfanyia ujinga mshikaji, demu akaendelea kuka kimya kusikiliza akichanywa ujinga wake
Mnyamwezi amemaliza kumwambia kwa uchungu kinyama, eti demu anaomba msamaa. Dah! Mshikaji akauna huo Ni ujinga, hakujibu kitu, akabidi awashe gari na kusepa zake.
Good song, good creativity, good Idea, good video and audio in all.
Story ni kali sanaaa hiii
Hivi wale wa gonga like hapa lengo linakua ni nn hasa
Mtuatariiiiii
kama unaamini killer ndo young king gonga like twende sawa 👍
Young killer nilishakwambiaga kuwa we si #young tena bali ni #Bigkilla
My Tz rapa napendaga Floww michano nomaaa🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Msodoki ni mmoja wa wasanii wachache wa hiphop waliobaki ...huu ni muendelezo wa hiphop tunayoijua toka enzi za 2Proud,Balozi Proff j...BigUp chief
Nakubali msodok umetisha sanaaaaaaa
Yoh killer... I cant count times ive watched this. THIS IS MORE THAN A HIT SONG, SALUTE MSODOKI
Nasikia juzi..... Na selee. Jamaa mkali sana wewe
Dah naombeni ata like 1
Chukua hyo
Nakubal mzee baba
Most complete Swahili rapper...more love from 🇰🇪🇰🇪
Aiseee brouh sijawahi ona idea na ngoma kali kama hiii....your the HIPHOP KING❤️
Walio irudia kuangalia Mara 2
#gonga like tujuane
Kizzo Bin Ze lemed mi x11
@@husseinbakary1969 nakubal
kwaleo hii mala ya7 naocheki
Kizzo Bin Ze lemed oya fanya kusubscribe youtube channel yangu
th-cam.com/video/9GMXtIwoDwg/w-d-xo.html
Mara ya 10 sai
Lyrics,story so fantastic
He is killer ,,not young anymore,,he is just an assassin...watch out
KWA wale wanaopenda kUjiFunza kuimba waje hapa#imbatokamoyoni
Hyuu Msukuma Mwenzangu xx hizi sifa mbona hii ngoma cyo ya inchi hii kaka
Nakuona kama umezaliwa ulaya umejifunza tu kiswahili Daaah ngoma kali xna
Hii hata J.Z akisikiliza anakupa Corabo 💪💪💪👏👏👏
Oya tunaipandisha namab mmoja like one💪🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Bado sana try your best young boy kuwachambua hao wanao kukondeshaa duu!!
From 254 feeling the vibe...izo views infaa iwe zaidi!!! Grown killer msodoki
Young killer umemkabidhi ng'ombe akulindie majani duh...!! ni bora uwe kama mimi ngumu zaidi ya ugumu wenyewe..
Nimerudia zaidi ya Mara 5 ngoma Kali
Hii nyimbo Ni bora Sana katika nyimbo za young killer hii kali
Haipiti siku bila kusikiliza hi song #💥💣
Ni hatari sana yani ni fire
Yani nimemkabidhi ng'ombe anilindie majani kama umesikia hilo gonga like hapaa!
Demu mwepese kama tebo ya pili
saidi kalama hahaha noma sanaa
✊👏
😂😂😂
@@saidikalama1828 🤣🤣🤣
Rapper Bora kwa East Africa kwa Sasa!
The story is really amazing....hahaa hiii Kali eeeh bwana eeeh
Young Killa tunajua Ni fundi was miamba haujawahi kuangusha🔥🔥 new
Ichii kiumbee achna nachoo kaimbaa kitu story love nakubaliiii 100%%%%
Mamaeeee kill ujawai fanya ngoma kali kama hiiiii wakat nsikiliza nimeimba baadh ya mistar na kupiga kelele sanaaaa!! Salute
Bonge la ngomaaa📸. "Na ulivyokuwa mwepesi utasema table ya pili"
Daaah blo killer we ni moto mwingin aiseeeeeeeee
Na ulivyokua mwepesi kama table ya pili....creativity ya hali ya juu
Mmmh!!nimekaelewa sana!!"unajuwa mi sinaga swaga kabisa"!
More love from Kenya Young Killer Msodoki this is lit
G
Nakukubali Sana msodoki
Mistari kwenzi big up killer mwanza mwanza
Safi, dogo ngoma Kali mwana big up"""
Mzee hii nyimbo ndio maisha yaliyonitokea na mtoto wa 2000 mwaka huu
ANYONE WATCHING THIS IN 2024.
Am here bro 2024
Yessir
✌
🎉
🎉🎉🎉
🌝🌝🌝 nakubal young killer boy kam unakubal young killer ngonga like👍👍👍👍👍
Mimi ndo mtu nausikiliza kila siku huu wimbo sababu napenda vitu classic.
Mapozi ya Mr Blue ndani pia, bonge la Idea Msodoki 🧘♂️🙏🙌
Haujawahi kuaharibu kazi
Wote mnaomkubali Young killer weka like yako hapa
Dogo waga ana ua sanaaaaa...
Dah, hii ngoma imeniondolea stress za CORONA✊
Kipengele dua haipingw nimeilewa sn
Two years later, this song still hits hard like yesterday release......sometimes I wonder if YK is fairly rated, way above a lot of rappers. 🔥🔥🔥
I wonder why they don't give ashit about him
Young killer mwenye kila ya aina yake ....dah umetisha aisee🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Imekaaa poa xana iyo official team Young Killer
This s a hit song ...mwanagu killer umekill... professional kill tenaaaa..
Unarusha Vina Sana japo siipendi hipo hop Young Killer amenifunza nipende hip hop nimekupa asilimia Mia moja
Dah huyo new girl friend atakua kasifiwa kinomanoma,. I'm waiting for dat shit #youngkiller
Umemkabidhi ng'ombe akulindie majani 😂😂😂😂😂🙌🙌🔥🔥🔥🔥
Nakubali MSODOKI Umebadilika bonge la ngoma
"Kuna kosa kalifnya ule wa muda kuvutana nikachukua simu" Balaa lilianzia hapooo😁😁 ni yeyeeee Wolper
Wolper!! ahhh Noo
Hatari
Hatari yangikr