NUKUU: "Usirithi adui wa mtu" - JAKAYA KIKWETE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • Ni nukuu kutoka kwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alipokua akizungumza Chuo Kikuu cha Dar es saaam weekend iliyopita.
    "Ushauri wangu kwako usirithi adui wa mtu, tengeneza adui yako... na ushauri wangu kwako huna sababu ya kutengeneza adui ni jambo halina tija, mchukulie kila mtu vile alivyo sio kwa kuambiwa ,utakapo fanya nae kazi utajua nani ni nani, hii ndio maana ya akili ya kuambiwa"

ความคิดเห็น • 31

  • @leolaswai5784
    @leolaswai5784 6 ปีที่แล้ว +10

    the most intelligent diplomatic everseen in presidency.long live Dr jakaya mrisho kikwete

  • @chamlilemhando7478
    @chamlilemhando7478 6 ปีที่แล้ว +9

    Toka atoe hii kauli hata one week hajaisha babu seya ametolewa nadhani Mzee alikusudia kusema hivyo .

  • @revocatusmaige9116
    @revocatusmaige9116 6 ปีที่แล้ว +6

    We mzee huwa nakuelewa saana na speech zako asee

  • @daudhenry913
    @daudhenry913 6 ปีที่แล้ว +2

    Mzee Kikwete upo vizuri sana, hakika nakuelewa sana

  • @mhandyeyoo6591
    @mhandyeyoo6591 6 ปีที่แล้ว +2

    Congrats mr president kikwete ,,,,,, musema kweli mupenzi wa munguuuuu

  • @stiviemshuza446
    @stiviemshuza446 6 ปีที่แล้ว +8

    Nice speech,

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว +5

    Maneno ya hekma ayo

  • @josephmeratah2509
    @josephmeratah2509 6 ปีที่แล้ว +7

    He is a leader.

  • @haroldsenyagwa4756
    @haroldsenyagwa4756 6 ปีที่แล้ว +4

    Hahahahahaha busara za mzee

  • @waridaharidi8232
    @waridaharidi8232 6 ปีที่แล้ว +2

    Hahaaaaa dah😂😂😂😂 umenifurahisha

  • @alphoncekagezi4950
    @alphoncekagezi4950 4 ปีที่แล้ว

    Maneno ya hotuba hii ni dalasa kwa kila kiongozi anayejitambua

  • @zclassicfashionz1573
    @zclassicfashionz1573 6 ปีที่แล้ว +3

    Ni maneno mazuri na yenye kutusihi

  • @yassininabwera62
    @yassininabwera62 6 ปีที่แล้ว +6

    Kumbe aliishawishi Mahakama wafungwe maisha jela kwa sababu ya uadui wake na wao na sio kwamba walifanya makosa ya kulawti?Kweli hii ndio Tanzania,kwa hiyo hata Mh.Magufuli,maadui wake afanye mipango na Mahakama wafungwe na akija Rais mwingine awape msamaha!!mbona hili ni tatizo kwenye nchi yetu?

  • @samngax_123
    @samngax_123 4 ปีที่แล้ว

    Uyu bro ana akili Sana'a an___
    Check link apaa uone rafk wa kweli...
    th-cam.com/video/Gix2DYLYfq0/w-d-xo.html

  • @mcjabbyevents4938
    @mcjabbyevents4938 6 ปีที่แล้ว

    Mungu ayabariki maneno yako na ujumbe ufike kwa mlengwa professor azingatie ili kuboresha elimu hakika unyenyekavu wake umfanya afike huko Mungu akutie nguvu saña udsm oyeee

  • @ramadhanishabani9595
    @ramadhanishabani9595 6 ปีที่แล้ว +1

    sawa nimekuelewa mkuu

  • @khadijambuta4360
    @khadijambuta4360 6 ปีที่แล้ว +4

    kama umemuhelewa mh Jk gonga like hpa @tumekumis bhaana

  • @alphoncekelemani6759
    @alphoncekelemani6759 6 ปีที่แล้ว +1

    wonderful quote! Na ametoa reference!

  • @hendrycomonsiwenga1084
    @hendrycomonsiwenga1084 4 ปีที่แล้ว

    Maneno mazuri sna hayo. Ahsante

  • @shhbansha4228
    @shhbansha4228 3 ปีที่แล้ว

    Kweli mzee jakaya kikwete

  • @TopTenKaliTV
    @TopTenKaliTV 6 ปีที่แล้ว +2

    Millard ayo bonyeza picha hii kucheki video kal

  • @mariameena5630
    @mariameena5630 6 ปีที่แล้ว

    ni kwel baba adui wako abak kwako2!

  • @lovenessgoodluck3486
    @lovenessgoodluck3486 6 ปีที่แล้ว +4

    👏👏👏👏safi sana rais mstafu kwa naneno yko hyo

  • @agnessamuel4385
    @agnessamuel4385 6 ปีที่แล้ว

    I salute you

  • @jaydon3361
    @jaydon3361 6 ปีที่แล้ว

    We kama ni mtanzania mzalendo bonyeza picha hii kisha subscribe uangalie video mpya Son P Iyele

  • @dichodaplaiza
    @dichodaplaiza 6 ปีที่แล้ว +1

    Jiwe gizan