Hadi raha jamani tanzania yetu hakika inapendeza sana ona maraisi wetu amani tele mwemelemwemele hivi wengine afrika munao kuwa na uroho wa madaraka munashidagani mungu bariki tanzania ameeni
Lakini kwenye WAKENYA mmechemsha sana. Yaani Magufuli aliwaheshimu akawatumia 2 former Presidents kwa musiba ya Moi. Nyie mnaleta watu wadogo wadogo tu na bado mnatufungia mipaka? SAD
Kikwete you still being in hearts of Tanzanians & Africans ,,
Hadi raha jamani tanzania yetu hakika inapendeza sana ona maraisi wetu amani tele mwemelemwemele hivi wengine afrika munao kuwa na uroho wa madaraka munashidagani mungu bariki tanzania ameeni
asante sanaa waheshimiwa mgu awabaliki tz
Big President mrisho
Kikwete on fire
Urafiki au uunduku kamili ambayo Tanzania ulionyesha juu ya kutumana marais wawili God bless you Tanzania
Kikwete nakupenda pia nakukubali sana
Mie wakwanza, Kikwete is my niga. May Moi aishi milele.
Safi Sana kamanda
Kikwete kweli umefundishwa uongozi nakukubali. Leo unakumbukwa
Too Sad Kenyans didn't send any one at the funeral of Benjamin Mkapa
I miss uhuru
Baba twakupenda Tanzania na Africa
Uhuru jifunze jinc gni marais wa Tanzania wanavo peana Hishima.
Ģgć
Jakaya Kikwete 'mkulu wa hano'
Jk👍
Jk
Lakini kwenye WAKENYA mmechemsha sana. Yaani Magufuli aliwaheshimu akawatumia 2 former Presidents kwa musiba ya Moi. Nyie mnaleta watu wadogo wadogo tu na bado mnatufungia mipaka? SAD
GGSA min
Tunawependa marais wetu