JK Asimulia Mkapa Alivyotangazwa Mshindi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Rais Mstaafu JK Asimulia Hali Ilivyokuwa Siku Ambayo Mkapa anatangazwa Mshindi wa U Rais

ความคิดเห็น • 55

  • @linusjohn4941
    @linusjohn4941 ปีที่แล้ว +6

    Safi sana mh jakaya kikwete Bado wewe ni tegemeo la watanzania safi jk Kwa hekima zako

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 ปีที่แล้ว +4

    Jk stories zako tamu kusikiliza, ulifanya kazi kubwa kwenye uongozi wako inchi ilikuwa ngumu kisiasa

  • @hulilolutaha1277
    @hulilolutaha1277 ปีที่แล้ว +6

    Mwenyezi Mungu aendelee kukupa afya timamu mstaafu Rais

  • @jumannemagumba619
    @jumannemagumba619 ปีที่แล้ว +3

    Ndio maana unaonekana kijana kwani hukuwa na mambo mengi ya ajabu ,ulipenda maisha ya watu kuliko vitu

  • @tumainimalulu7708
    @tumainimalulu7708 ปีที่แล้ว +8

    Mkapa alitengeneza njia nzuri ambayo Kikwete na wengine wanapita na watapita. Imani yake ya kujenga taasisi yenye nguvu ndiyo inayotupa kujigamba. Mkapa na TASAF, TRA, MKURABITA na mengine mengi. Alistahili kuanza kabla ya Kikwete. Ndio sababu Kikwete alisema Mkapa kaifikisha nchi kwenye njia ya kurukia hivyo viongozi wengine wanatakiwa kuirusha nchi hii.

  • @kiliankamota7922
    @kiliankamota7922 ปีที่แล้ว +4

    Mzee Kikwete is larger than life celebrity leader. Tunaomba aandike vitabu tuje kijifunza kwake. God Bless Kikwete!

    • @iskiji1240
      @iskiji1240 ปีที่แล้ว

      Alianza muda sana kuandika nadhani mwakani anaweza kuzindua

  • @kennedykaduma9104
    @kennedykaduma9104 ปีที่แล้ว +2

    But Mzee kikwete umenisaidia Sana kufanya maamuzi Bora katika mazingira ya kinyang'anyiro na ushindani uliojaa fitina na figisu.
    Hongera sana. Ukionesha ukomavu mkubwa Sana kisiasa. Hatimaye Mungu hamtupi mja wake.

  • @samwelmsalaba9132
    @samwelmsalaba9132 ปีที่แล้ว +3

    Nimecheka sana,eti kambi wakasema tujiunge tukasajili chama kingine kweli wapambe noma,

  • @Marjeby
    @Marjeby ปีที่แล้ว +8

    Wee mzee wallah unanafasi yako peponi

  • @eladiuspeter586
    @eladiuspeter586 ปีที่แล้ว +5

    Wewe Mzee nakukubali sana..

  • @ombenimalisa4499
    @ombenimalisa4499 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali Sanaaa mzee wangu

  • @egnokapinga16
    @egnokapinga16 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa ana miakili sana.

  • @omaryngitu2443
    @omaryngitu2443 ปีที่แล้ว +6

    Wewe ni Rais Bora kabisa,tunajua ila tunajitoa fahamu

  • @kennedykaduma9104
    @kennedykaduma9104 ปีที่แล้ว +2

    Aliyepiga konyagi ni Nani please!😂😂😂😂😂

  • @Ibratz255
    @Ibratz255 ปีที่แล้ว +1

    Raha sana kuskiliza the good old days

  • @IbrahimHassan-ex7sn
    @IbrahimHassan-ex7sn 6 หลายเดือนก่อน

    Hiki kichwa achana nacho kidiplomasia hakuna kama hiki raisi poa sana live long life president.

  • @user-oq3dd5xj9m
    @user-oq3dd5xj9m ปีที่แล้ว +2

    One day you'll come up with really really really really good if not better story than this. There is a day and that day will come

    • @theteacherchance6750
      @theteacherchance6750 ปีที่แล้ว

      Those are just the tip of the iceberg, there is plenty more underground

  • @godcompeter9844
    @godcompeter9844 ปีที่แล้ว +6

    Nipeni Konyagi

  • @user-zl3le1wz2u
    @user-zl3le1wz2u 6 หลายเดือนก่อน

    Unalilia ni cheo chako mwandishi fafanua vizuri kichwa cha habari

  • @user-uk5ym5qv5m
    @user-uk5ym5qv5m 8 หลายเดือนก่อน

    Namheshimu Sana huyu kiongozi,,,,,,,,,,,

  • @DadialiDadi
    @DadialiDadi ปีที่แล้ว

    Wewe unasemaa mwiz lakn wiz wakeee ulikuaa na faida kwa watu hakula peekee akee nyau la bar wewe huyu ni tpdf staminaaaaaaaa goodbles jakayaaaa

  • @ramadhanimtambo6755
    @ramadhanimtambo6755 ปีที่แล้ว +6

    Huyu Mzee ni mkweli yote anayosema we angalia hata baba wataifa alimkubali huyu alishangilia sana baada ya kikwete kutoa kauli ya kumuunga mkapa

  • @ismailjumanne1609
    @ismailjumanne1609 ปีที่แล้ว +5

    m/zimungu akuongezee umri, tuendelee kuchota hekima zako, kiukweli maneno yako matamu saaana!!!!

  • @ludengelumufrancis5539
    @ludengelumufrancis5539 ปีที่แล้ว +2

    Nakubari Sana Mzeeee wangu . I HOPE ONE DAY WE WILL MEET 🥰🙏

  • @user-fj5qi8ej6y
    @user-fj5qi8ej6y 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi namkubali sana huyu mzee anauchungu sana nchi yake bingwa sana wa siasa za bongo

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION ปีที่แล้ว +2

    Mange kimambi kumbe yupo kwe mkondo...wa maji

  • @iddysonyo266
    @iddysonyo266 ปีที่แล้ว +4

    hiyo ndio ukweli wa chama cha ccm wanafanya wanachotaka kwenye uchaguzi sio ushindi wa halali katika kura

  • @mkande
    @mkande ปีที่แล้ว

    Huyu mzee noma

  • @rockcitynative9985
    @rockcitynative9985 ปีที่แล้ว +2

    Yaani wewe ulikuwa ni kajanja sana.
    Wenzako waliendeshwa na mihemko lakini wewe ulishajua Rais wa wakati ule na viongozi wakuu wa chama washaamua mgombea wao ni nani na kwakuwa wao ndio wenye serikali ukijaribu kupambana nao watakuimiza ukaamua uwaache wenye nguvu alafu wewe uendelee kujihimarisha taratibu. Ulikuwa na akili mingi sana.
    Ila ninakulaumu kutuwekea yule dikteta uchwala ulipokuwa unaondoka.

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 ปีที่แล้ว

      Sawa sawa mm nakuunga mkono asilimia mia ila yule magu mkapa ndiye aliyemuweka pale ila akakosa shukrani .!

  • @kashindisimon5265
    @kashindisimon5265 6 หลายเดือนก่อน

    Sasa kama ni nani aliteka mchakato kusema urudiwe ili kumbeba mkapa Kama sio Mwl?kuna kitu unatudanganya bana na Bahati mbaya wakuulizwa wote ni marehemu

  • @bullekisimikwe3852
    @bullekisimikwe3852 ปีที่แล้ว +2

    Leo mzee ndo umeuthibitishia umma kuwa CCM ni chama cha figisu figisu yaani hakunaga uchaguzi huru na haki

  • @ip_header
    @ip_header ปีที่แล้ว +2

    Kiongozi muungwana

  • @hassanhamudy982
    @hassanhamudy982 ปีที่แล้ว +1

    mange kimambi.......!!!!!!

  • @ntufyemwakigonja2277
    @ntufyemwakigonja2277 ปีที่แล้ว +1

    Aliyekunywa Konyagi ni nani 😀😀😀😀😀

  • @omarylugusha
    @omarylugusha ปีที่แล้ว +2

    Nipeni konyagi😂😂

    • @fredma21x
      @fredma21x ปีที่แล้ว

      ninywe nife🤣🤣🤣

  • @jituakilimali15
    @jituakilimali15 ปีที่แล้ว +4

    Huyu jamaa anaona yeye ndio amefanya kila kitu katika urasi wake kumbe ndio jizi kubwa subiri kaburi linakusubiri

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 ปีที่แล้ว

      Nani hatakufa? Hao waliokufa walifanya nini, hakuna wa Milele haya maisha

    • @karaoglan9444
      @karaoglan9444 ปีที่แล้ว

      Utatangulia wewe usipoangalia

    • @hassankurwa464
      @hassankurwa464 ปีที่แล้ว +1

      Ndio alivyo ana penda kuona amefanya kila kitu. R.I.P JPM hamfikii hata kidogo.
      Kumbe Mange anatumwa

  • @shamte9musicofficial126
    @shamte9musicofficial126 ปีที่แล้ว +2

    Mi naamini mzee uyu katoka hijja ataongea mengi tu