Azam TWO - Jinsi Kikwete alivyoutetea uenyekiti wa Magufuli CCM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 26

  • @WaleedWaleed-qe4dl
    @WaleedWaleed-qe4dl 2 ปีที่แล้ว

    Kikwti احسن رءيس في أفريقيا كلها

  • @nicholausjuliusmassawe6080
    @nicholausjuliusmassawe6080 2 ปีที่แล้ว +1

    Duh mzee bhna

  • @mwinyi5270
    @mwinyi5270 7 ปีที่แล้ว +1

    Dah huyu mzee 🙌🏽

  • @lucasoketch
    @lucasoketch 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwa maono yake, mwacheni aende akazindue MV Victoria, Huyu ni mzee wa kuenzi.

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 2 ปีที่แล้ว

    innalilah wainna ilayh-rajuun

  • @maigegerald3559
    @maigegerald3559 4 หลายเดือนก่อน

    Ndio ukweli..Unaowaomba kuwaongoza wakikuamini unapata nguvu

  • @atikombogolo2356
    @atikombogolo2356 7 ปีที่แล้ว +3

    AWE ANA AKILI NZURI KAMA HANA!!!??? Sasa malizia unachotaka sema Mzee wetu J.K

  • @karakatamuumba4310
    @karakatamuumba4310 2 ปีที่แล้ว +5

    Baada ya kumuua Magufuli siku hz wanafuraha kweli..wameanza kunenepa siku hizi..Rais tuliyenae amerudisha majizî..Mungu atatulipia

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 2 ปีที่แล้ว +1

      Acha kugawa Watu , Tanzania ina amani, hivi Kwa Ulinzi alionao Amir Jeshi Mkuu nani anaweza msogelea,acha upotofu tafuta jambo la kuandika ili tuweze Kujenga Nchi pamoja

    • @AbrahamSekuza
      @AbrahamSekuza 11 หลายเดือนก่อน

      Mtaendelea kuuwa wenzenu mpaka lini?

    • @NyorokaNyenge
      @NyorokaNyenge 6 หลายเดือนก่อน

      Umekosea sana.katubu hiyo dhambi,

    • @NuhuMabena-gh1wo
      @NuhuMabena-gh1wo 3 หลายเดือนก่อน

      Kwahyo hauamini kwenye mungu SI wote ni wa mwenyezi mungu na kwake lazima turejee

  • @amankayinga3475
    @amankayinga3475 2 ปีที่แล้ว +2

    Kikwete hajielewi ila magu alikuwa bora kuliko aliyofanya yanaonekana

    • @hgltv5336
      @hgltv5336 ปีที่แล้ว

      Akili ndogo

    • @saidbakar-qo6ri
      @saidbakar-qo6ri ปีที่แล้ว

      Kikwete ni rais pekee aliejenga mtandao mkubwa wa barabara za lami tanzania kilometa 17700 amejenga madaraja makubwa la kigamboni na Malagarasy kigoma na madogo 22 ameleta mwendokasi na umeme vijijini rea amejenga chuo kikuu dodoma amejenga ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa nyerere dsm amejenga hospitali ya mloganzila
      Hata urais wa magufuli ni juhudi za kikwete wanaombeza kikwete na wale wasiofatilia masuala ya kisiasa na kiuchumi na ya taifa

  • @salminmayila4395
    @salminmayila4395 2 ปีที่แล้ว

    Nyie ndie wahabifu mnaona alichokifanya sasa mpaka leo watu wanamsema japo marehemu

  • @hadijamagufuli2661
    @hadijamagufuli2661 3 ปีที่แล้ว

    Yani kikwete musilimu lakini cha ajabu una kubali shetani akutawale hiv hiv, na kusahau kesho yako kwa muumba wako, na ili hali wajuwa shetani kalaaniwa na mwenyezi mungu ila cha ajabu umemkadhi maisha yako loh, kweli upo usemi usemao kosa mail upate akili,

  • @feisalfaraj44
    @feisalfaraj44 2 ปีที่แล้ว

    machakochekezuimteteyaa

  • @aishafadhil4426
    @aishafadhil4426 7 ปีที่แล้ว +1

    Wee kikwete ata kidogo usijaribu kujidai mjanja umekwishiwa baba...Rais magufuli amekamalika tangu zamani kwa tarifa yako.lol

    • @jagnamohamed6298
      @jagnamohamed6298 5 ปีที่แล้ว

      we ndo wasema kumbuka kulikua na Lowassa

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว +1

      Ingekuwa inawezekana, tungewapambanisha kwenye siasa magufuli akae huku na JK akae kule, wapambane jukwaani kisiasa halafu uone!!!

    • @Bruno-ed1ps
      @Bruno-ed1ps 3 ปีที่แล้ว

      @@jumakapilima5674 acha dharau, kikwete sio wa mchezo

  • @thelifestyle6077
    @thelifestyle6077 7 ปีที่แล้ว +3

    Tumia app hii ya kumspay mpenzi wako bila yeye kujua th-cam.com/video/kUBJuCessSI/w-d-xo.html

  • @Jackson-n2c
    @Jackson-n2c 7 ปีที่แล้ว +1

    Kama kawaida yake kuzuga zuga

    • @saidbakar-qo6ri
      @saidbakar-qo6ri ปีที่แล้ว

      Hazugi kwani ni yeye ndie aliempigania mpaka magu akawa rais