Bonge la ngoma la mwaka, kila mmoja kaonesha kuwa anaweza zaidi ya sana, Ila Blue byser hujawahi kosea we ni noma tena zaidi ya noma, unajua kurap zaidi ya dunia inavokujua
M nlishangaa jux kaandika vipi chorus Kali ivo kumbe kaandika bizy babilon bayser yan wmbo mzma blue ndo sh'kamoo baba..na shetta kidooogo kajtutumua bar ya pili
Bizzzy babilon kasaidia sanaaa anaaidia kama zoteeeee mzeee heshma kwake #jux saut kal hakuna mfano #shetaaaaaaa sanaaaaaaaa hii ndo nyimbo yang ya mwaka shule wahun kama wote tunaikubal
blue kaumiza kichwa sana kwenye hii ngoma, mpka chorus ya Jux kairekebisha yy...kweli bayser level nyengine anahitaji credit yanguvu kwenye hii ngoma ... jux chorus hataar, shetta kanyoosha size yake... goma la funga mwaka
Sekunde ya 0:27 byser Kuna lines amechapa inasound Kali ila haiko kwa hii ngoma....Kama umeskia nipe like hpa🔥🔥
Jamaa kaua
Bonge moja la free style
Da wabongo tukiwa na ushirikiano kama hivi naona upendo pia utajitokeza kwa Watanzania wote. Nawapenda wote. Mbele zaidi wanangu👍😍
Naikubal xana iii ngoma kati ya ngoma zangu qal 2019 iih namba 1 kama na wew unaikubl fanya una #like twende xawa
Mr blue was like a boss in here and from there look they all respect him💯💯💯
kama wakubali blue byser ndio shikamoo baba umu likes nyng apa
Africain boy iko saw
😂😂😂😂
Jux ndo corasi killer wa mwaka 2018
Sheta ndo msanii mwenye ngoma bora ya kufungia mwaka 2018
Bluuu mamaaaaaaaaaaaaaaaa hajawakosea tangia ajue mziki
Wizzy Fernando bruh kumbe unajuwa Byser babele Hapo frsh congratulations 🎈 Mr Blue Lion 🦁
Wizzy Fernanda Hernando's,
Amazing guys najua nimechelewa kucomment lakini thats talent.
Chemistry on Top... Hivi kama Mandugu. Nawapenda my Bongo top 3💖❤💖❤💯 KENYA LOVE.
Great love to you ma continent people... ila Kenya wasanii ubinafsi. No ushirikiano kama huo kwa sana. big up guys
kumamaaaaao sheta haujawah fanya ngoma kal kama hii mr blue hajawah kukosea hata cku moja
Good music ma men.....I like it gonga like kama unaitazama 2020
Kumaamazenu wasenge mmeua kinyama Yn kinyamwezi sana big up wanyama wakali
Shkamoo ma brothers 👌🏼 one,more🔥🔥🔥
At minute 10:35! Now that's what you get when you loop experience and humility. #MrBlue
Blue anavyoongeag hua nakubali sanaa sauti flani hv amazing sanaa
daah mziki mgum
kudadeki sema wote
Wameua ngoma
itakuja kuwa hit sana
na itasumbua mtaani
kinoma noma
subilini muone.....
Napenda vile Mr blue anavyo tingisaa kishwaa yani amee feel wimbo
Daaaa bruu umetisha sana
Ngoma Kali🔥🔥kenya tuko ndani
Noma sana 🔥🔥🔥🔥 blue ni moto
The perfect definition of good music chemistry
Huyu Mr. Blue daaaah hatar sana
I didn't know if BYSER was mastermind of this whole idea!!! He is LEGEND!
Exactly
The epitome of enjoying the process. Still one of my favorite songs to date.🔥🔥🔥
Mr Blue ni mtunzi mzuri sana
I love Mr blue more than my breath😘😘😘😘😘
Alice Moses Hahahaha how
Duuh kama nimemuona Q-Boy Msafi hapo amezubaa kinoma. Daah achangie hata mada basi🤓🤓🤓
BEN DIGITAL Hahahaha kweli nnenuona
kama umemuona Q boy anang'aza sharubu gonga like kama zote
hahaha anataman angejua kuimba
😁
Noma sana
Sheta unamwambia mrblue dadazoa nao hawatujui vzr daaah😀😀😀
Wanyama watu wameacha mbuga, mji unakazi ❤
Beat la kinyamwezi sana #kimamba wasanii wazuri ma producer wazuri wacha tule ngoma kali..... #BongoFleva
Mr blue tisho saaaana. Jux chorus uliua baba. Shetta kali sana
Mr blue is talented
Oiiiih @shetta iy ngmaa ni Kali snaa yni ni moja ya ngoma ya jumalizia au kufungia mwka
I like it 💪💪👊👊👍👍
Mmefanya kaz mzr sana Nakubal sana hii ngoma hapa nko kigeto naburudika nayo
Hii ngoma inatibu magonjwa sungu inaongeza na nguvu za kiume 😂😂😂😂 kama unakubali gonga like hapa
Steven Shonza heheee
KLB Studioz 😂😂😂😂
African boy
😍😍💪
Wewe chali chenga
Umoja ni nguvu, great chemistry, mtoe na nyingine
Dah aise mm ngoja nifanye kazi nyengine tu mziki sitoweza
😂😂😂 nimecheka nusu ninye
Duh!!! kaaali
Noma
Byserr man behind the fire 🔥 💯 🙌🏽
Mr blue ✅ ✅ good music 🎷 🎷 🎷
Asante asante asanteeeeeh
SALUTE LEGEND BLUE, straight from MALAYSIA. GUYS, mmefanya kazi safi sana SHETTA n JUX. RESPECT to KIMAMBA
Bonge la ngoma la mwaka, kila mmoja kaonesha kuwa anaweza zaidi ya sana, Ila Blue byser hujawahi kosea we ni noma tena zaidi ya noma, unajua kurap zaidi ya dunia inavokujua
Goma la Studio, linanogaga Sana..
Kali Sana Jamaa Mna Jua
2020! Still a banger....you nailet it guyz....Boom!!!
M nlishangaa jux kaandika vipi chorus Kali ivo kumbe kaandika bizy babilon bayser yan wmbo mzma blue ndo sh'kamoo baba..na shetta kidooogo kajtutumua bar ya pili
Blue mnyamwezi sana
Kumbe jamaa walifanya kuivamia beat na wakaibaka kisawa sawa hahaha wameifumua funua i say 😃
Mnajua sana jamaaa wakubwa kabayse wote na juma ft mashauzi shetter.
Ukimtoa marehemu A ngwea, Bluu ndo mwana hiphop mwenye ladha 4 nw
sahihi
Kweli kabisa
Mmeuwa jamn hiki kitu
Noma aaaa
Nomaaaaaaaaaaaaaa
Nomaaaaaaaa Kabisa
HATUFANANI NAO
imefunga mwaka kama unabisha
Kunywa sumu kabla ya mwaka mpya 😙😙😙😙
Fatuma Said mwanza nyegezi
samson musa hyo hapana
😂😂😂😂😂ww mchokozi
Byser.. Big up
Daaaah kiukweli hii nyimbo weka mbali na watoto na kweli mji umevamiwa
Real studio vibes🔥🔥
Bor i am happy nikiwaona kwenye hii behind
Kitu cha uhakika,mumetisha sana
hamna collabo kali kama hii tz ukishamueka blue halaf tena na jux kuna nn tena sasa imeisha hyo
very nice vijana
Bizzzy babilon kasaidia sanaaa anaaidia kama zoteeeee mzeee heshma kwake #jux saut kal hakuna mfano #shetaaaaaaa sanaaaaaaaa hii ndo nyimbo yang ya mwaka shule wahun kama wote tunaikubal
natoka kenya na kwa nkweli this is my song of the year gonga like kama unaifeel as me..
Mr. Blue kabysaaa I luv the way u've maintained big up bro
Nilichokisikia mm ni "kuma mama ake" kutoka kwa shetta 12:12
Hiingoma ukiwanayo getto inatbu nguvu za kiume km nawew imekutbu like hapa tujuwane
kkkkkkkk
duh we we blue nihatar
Nakubali mzee wa micharazo
acha zko nguvu za kiumee?
Love u more
shkamooni kaka zangu mumetisha nawapenda sana
Maninaaaa hit ilianzia mjengoni
Km umesikia tusi gonga like twende maana goma kaaali
Kawaida tu... ngoma... sio kali kiivyo...... hapa nazani shetta hakustaili kuwepo coz ajul kulap... hapa anakaaa GOSBE...alafu uone ilo pini
noma sana
Sijuwi muliwaza nini yani mziki mtamuuu mzuriiii nyie wenyewe muko poa asa asa blue ndo kabisa
hata sisi tutoe wa kwetu hhhh
Good music with vibes
Still new in KENYA
Byserrrrrrr 💯
mnaonaje sheta jux na mr blue muwe group moja iko poa sana
Salute kwako KIMAMBO Bonge moja la beat,na hili ndio goma la kufungia mwaka.
blue kaumiza kichwa sana kwenye hii ngoma, mpka chorus ya Jux kairekebisha yy...kweli bayser level nyengine anahitaji credit yanguvu kwenye hii ngoma ... jux chorus hataar, shetta kanyoosha size yake... goma la funga mwaka
Hilichupa sio powa bonge la ngoma
kama umsikia sheta katukana like apa
Aisee blue nimwepesi sana kujua
npo na ear phone naisikiliza nyimbo nzuri. ##sheta. ##jux. ## mr blue
Ngoma Kali mmetisha
shkamooo babaaaaaaa!
Unyama unyamani saluute to the 3 Legends
Mr Blue was hot... full of ideas
we ninomaaaaaaaaaaaaaaaa
blue hyo ni talent halisi kabsaa c mambo na freemason
safi wanangu endeleeni kupepelusha bendela ya tz🇹🇿
nomaaa sana jux kwa chorus ndio mmepatia saana
Niseme lolote tu .
Hilo Collabo liko JUU kama juu ya Jux na V.Mtonyo.
Hata mkifanya collabo tena haitavunja viwango vya Hiyo Truck |Hit Song
Kumbe usanii kazi kweli kweli
Jaman uyu Baisa Ni Jin ✅✅
WANYAMA wa 3 🔥🔥
Shetta anakata sana maneno pmzi ndogo mziki wake lazma uwe lain
BLUEEEEEEEE FOREVER
Na furahi sana kuwaona mkiwa ivo wazee wangu duuh noma sana , @Shetta , @Jux @Mr kabaisa
Kimambo fire
Yaaan blue wee nibaba
Hahahaha duh pole sana INSA YOU TUBE uyo mwenye Nyumban ataerewa tu Njoo nikupangishe kwangu aseee tule marahaa, hahahaha