Byser ni Mchizi flan ambae hajawahi kuharibu kazi toka aanze mziki miaka io , mi ukiniuliza bongo nani anajua kama blue ntakwambia ni Blue mwenyewe🙌🏾🔥🙏🏾...respect nyingi sana man, this is 2020 na bado moto unauwasha ile ile💪🏾...mega love
huyu jamaa angepata management yenye kujua kusimamia mziki vizuri kama ya diamond aki angetisha sana dunia nzima cz ako na mafans wengi wanaopenda mziki wake.mimi namuita king of fiesta .fiest bila mr blue hau haina ladha kiukweli.
Yaani hii show ya huyu jamaa nashindwa kuicompare na ROMA na STAMINA wadau wadau hawa wote wamesepa na kijiji Sijasikia cha KIBA wala cha TEKNO kubaabake BLUE he is very tallented asee mlomuita KING OF FIESTA hamjakosea
laiti blue xhaw hii ingelifanyika huku Zanzibr ndani ya Ngome kongwe .mji mkongwe watu majumbani waxingeli lala kwa zogo dah! ww nyani mzee kwelii acha na hilo jina waliibe .
kweli swali zuri .ustar hasa wakimziki unafaa uwe na identity and unique hasa mambo ya mavazi .siwote wanaokuja kwa show wanavutiwa na nyimbo hata pia muonekano wako hasa life sytle yako hasa mavazi ionekane kweli huyu ni msaani .ckua kama mtu wa kawaida unapoteza ladha ya show.kwanini wamarekani wanependa vitu vya dhahabu kama chain hiyo inazidi kumpa marks nakutambulika vyema kwa watu kama msanii.kwa kweli alikiba asijieke simple sana yeye ni star mkubwa uzingatie viegezo vya ustar la cvyo atamshusha hadhi yake.
Byser ni Mchizi flan ambae hajawahi kuharibu kazi toka aanze mziki miaka io , mi ukiniuliza bongo nani anajua kama blue ntakwambia ni Blue mwenyewe🙌🏾🔥🙏🏾...respect nyingi sana man, this is 2020 na bado moto unauwasha ile ile💪🏾...mega love
Oya mnao cheki mwaka huu 2024 gonga like kama mm
Saloote brue hakuna kma ww amin gonga like 1000 hapa
bongo nzima sijaona mtu anaeweza kukufunika jukwaan #blue, waue
Truth
blue hatari aisee 👏👏👏👏👏👏👏👏 kweli ndo alikuwa king wa fiesta
Blue tangu henzi za mapozi number one Kenyan fan
kIJANA HATARI SANA. its one thing to hit the radio waves and another to excel exceptionally on live performance. Nakukubali aisee
huyu jamaa angepata management yenye kujua kusimamia mziki vizuri kama ya diamond aki angetisha sana dunia nzima cz ako na mafans wengi wanaopenda mziki wake.mimi namuita king of fiesta .fiest bila mr blue hau haina ladha kiukweli.
kweli aiseeee
Billy Zokah yuko very tallented
tatizo hana manager
kiba love sana na kabaisa
kwasha wahi kukuambia kuwa anashida na manegment au
Nimeinjoy balaaaaaa hii show
I love this man mr Blue
Respect ninjaaa
Am from Sudan. Like u Mr blue where to gether always
blue una energy aisee ya ku perform
I love that energy, Blue ni 🔥 🔥
blue never die.
keep hustling moving my nicca
Mr.blue itisha jina lako simba bro...
Yaani hii show ya huyu jamaa nashindwa kuicompare na ROMA na STAMINA wadau wadau hawa wote wamesepa na kijiji
Sijasikia cha KIBA wala cha TEKNO kubaabake
BLUE he is very tallented asee mlomuita KING OF FIESTA hamjakosea
noma
Fiesta Man of the match all the time
Mr Blue ndio umefanya nitumie image blue na kujiongeza na royal blue na kuipenda rangi ya blue. .ukweli ww hodar cabaixa
bluuu siku nzote katika show zake utafurai sana
Darsalaam baki na sisiiii....Blu Mambo mbaya King mreal wa Fiesta..kijana mwenye energy taipu yake...Baisaa
nyani mzeee umetisha
Nimepnd allykiba kafny show yko kukuheshim dingi wke kwny game nimepnd mana nimoj ya watu umemfny kiba awe msanii
Hii show aliuwa sana ila Chidi Benz pia ni kisanga.
Huyu ndo mr.fiesta
B gap sana bay saaaa umetisha kinyamaaaa 👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊
I like u Mr blue. When u per form
Mr blue is the deal..come to Kenya once again and perform bro
Blue umetisha!
asante blue your a good entertainer
Nakubali bloooo
this was massive. busy Babylon
Big up bro..we mkali hatari saaaana.
Kesho kitwa harus hamna tena zinaaaaaaaaaaa!!!! Bablony byserrrrrrrrrrrr
#Blu 🔝🔝🔝🔝🔝🔝🔝🔝🔝🔝🔝🔝🔝🔝
Best of the best .....
been bizzy noma
noma
SALUTE YOU BYSER
safi blue
anapendwa waaah the energy is real. he can also make a good pastor he's voice is commanding😂😂😂😂😂😂
Original kitadum fek hakitadu blue we noma
hahaha mr fiesta.Tisha mbaya
uyu kawaida yke
kabaisa Nakupenda sana..
Show kama hiz ndo zinatakiwa sasa
Mr Bongo flever
Huyu jamaa Noma
hajawai kuaribu show bluu
Uyu kama mkali can namuelew mzee baba uyu
Ongela bruu """""
Blue wewe noma
laiti blue xhaw hii ingelifanyika huku Zanzibr ndani ya Ngome kongwe .mji mkongwe watu majumbani waxingeli lala kwa zogo dah! ww nyani mzee kwelii acha na hilo jina waliibe .
Mikonoo juu dar salaam
best perfomer i have seen sooo far...but daah wale akina chura na chilole hapana milard hahahahhahahahhaa
Fred Mathube jr hello
BG UP MR BRUE
Ka byser mwenyewe
Mwenye Bongo flever
Umetish%
Blue ni home yajiji kaamsha malaiya kinyama yani adi raha
Man of the match
Haaaa mi nilijua ya 2017 kumbe ya 2016
Kwangu huyu ndo kasepa na kijiji
wanaotoa tunzo niwasengeeeee huyu jamaaa balaa lake sio la kitoto
Nice
hUYU jAMAAA nI nUXIIIIIII....>!!!! baki na sisi
Hii show huwa sichoki kuitizama
Ivi hamna wa kumshauri alikiba jins ya kuvaa kama star
kweli swali zuri .ustar hasa wakimziki unafaa uwe na identity and unique hasa mambo ya mavazi .siwote wanaokuja kwa show wanavutiwa na nyimbo hata pia muonekano wako hasa life sytle yako hasa mavazi ionekane kweli huyu ni msaani .ckua kama mtu wa kawaida unapoteza ladha ya show.kwanini wamarekani wanependa vitu vya dhahabu kama chain hiyo inazidi kumpa marks nakutambulika vyema kwa watu kama msanii.kwa kweli alikiba asijieke simple sana yeye ni star mkubwa uzingatie viegezo vya ustar la cvyo atamshusha hadhi yake.
Gabriella Faith 😂😂😂😂mbavu zangu
Sijui nani ambae akupendi yani kama a town tunakukubali kinyama
#RESPECT
huyu ndo simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhh
Huja wai niangusha babilon
thumbs down roho mbaya tu mamae zenu blue kaza
mboga saba iliimbwa mara mbili au?
Shikamoo baba
hujawah kutuangusha wadau wako
Team kabaisa iko wapi
Jamani alikiba hajawahi kumwangusha mtu akishirikishwa
Mr. alisababisha balaa kama hakua kiroba sijui
noma sanaaaa
Somebody call bluuuuuuuuuuuuuuuuuuuue
T-pan oya Korea okay nnnn
eshima yako mkubwa
wish ningekua 😬😬😬
what is kiba wearing😩😩
pwaaaaaaaaaaaaa
Byser
🤪🤪
Aaah zogo tu,hajulikani anaumwa na kifua au pumu
mlakapolo mzenji09 😂😂😂😂😂ww mm unanivunja mbavu
Blue umeuza kinoma noma
Respect ninjaaa
Uyu kama mkali can namuelew mzee baba uyu