Maisha MAGUMU ya mama Mzazi wa MR BLUE kuishi kwenye MAFURIKO (Jangwani) yalipelekea hili kutokea

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

ความคิดเห็น • 13

  • @jumaamohamed2815
    @jumaamohamed2815 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Kiboko ya Mabishoo C.E.0 micharazo, Star anayeshine bila Dili za matangazo.🎉🎉🎉🎉🎉

  • @godluckgmanartist-ju7jp
    @godluckgmanartist-ju7jp 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Brother blue 💙 nakukubali sana man unaga maringo salute sn

  • @drisakamwakitalima1937
    @drisakamwakitalima1937 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Bado uwezo wako tumeuona brother, akili haijifichi ..big up brother

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ukisha kuwa Star ndo ugumu wa maisha yenu unaonekana ila pale before mnakuwa hamuuwoni,

  • @ninjaisma7983
    @ninjaisma7983 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Salute sana BusyBabbiLon

  • @JumaMuhhamad
    @JumaMuhhamad 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mr Blue na Joslin walisumbua Sana hawa Jamaa

  • @musajackson3289
    @musajackson3289 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mr Blue G.OA.T

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    KUMBE HUJASOMA😂😂

    • @sakuranitillya6088
      @sakuranitillya6088 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      We umesoma

    • @paschalsafari9747
      @paschalsafari9747 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Fweza 😂 muhimu ..ila anaweza kusoma hata sasa hivi akiamua.

    • @JonathanNelson-l8h
      @JonathanNelson-l8h 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Njoo mtaan kwangu uone wasomi hawana michongo😂😂

    • @SaidMkome
      @SaidMkome 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Ajasoma anakuzidi Kila kityu ukoo wenu

    • @nsabimanasuleyman2008
      @nsabimanasuleyman2008 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Alisoma Kiasi chake. Kwani kwa muone wako wewe kusoma ni hadi ufikie Degré ya PHD au kama hiyo ndio akili Yako basi ujaelewa maana ya kusoma. Kusoma nikujuwa kuandika na kusome Yale ambayo utaambiwa usome basi na kubwa pia kujuwa Lugha Hayo ndio maana ya masomo halisi