VIDEO: S2KIZZY Akutana USO kwa USO na ABBAH/ Angalia WALIVYOTENGENEZA BEAT ya PAMOJA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 มิ.ย. 2020
- Hivi ndivyo watayarishaji wa muziki ABBAH, MOCCO GENIOUS, S2KIZZY, MIX KILLER, DAV MACHORD , DEEY CLASSIC walivyoandaa BEAT ya pamoja kwenye birthday ya MOCCO GENIOUS
...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#S2KIZZY #ABBAH - บันเทิง
From +254,ive never seen such great minds producing the best art,the way you guys interact is so mature,amaizing.Repin +254,we're waiting to see,hear what becomes of this result.Deuces✌
Shukran
Yogo and D classic have mastered this art very well.
An cjawah Onnah Tokea nmeujua mzik that is amaizing good things our brothers
multi talented big up zombie,Abbah, D CLaaaasic!
Jamani Maproducer was Tanzania...nawaheshimu..
Skizzg,Abbah,MixKiller na wengine.....am praying for your prosperity ❤️
KENYAN PRODUCERS SHOULD BE HERE TAKIN NOTES!!!
Mim kilicho nivutiya ni upendo ambao muko nawo, katikati yenu!! Vizuri sana kuona muna kula bata pamoja, big up wazito
Young Keez Morento ali ni inspire Kuwa Beat Maker Nakumbuka way back 2011 alikuwa na studio ya Ki geto geto Pale manzese Kama sikosei Nikaenda Ku record single yangu Moja Na Ivan Talent Sikuhiz Anaitwa director Ivan Nilipotoka pale niliona Wivu Mtoto mdgo Anapiga beat Kali sisi tunaimba nikasema Hapana na mimi naacha Kuimba Ntakuwa Beat Maker since then Mpaka leo Nimekuwa hivo Big Up to U Young Keez Morento (the mix killer).
i always come back to watch this video as a kenyan music producer.. i wish we had a kenyan version of this
We'll bro.. Let's keep doing it
Safi Sana umoja ndo kitu Cha msingi
I like this vibe
Halaf hyo beat wapewe wasanii wachanga kutoka sehem mbali mbali wafanye ngoma watume data ngoma itakayofanya vzuri ndo inatambulishwa hadharani anaweza patkana star mpya kwenye muziki sio kukalili wale wale tuu haijengi muziki wetu
Ili industry itanuke kila kukicha inatakiwa vizalishwe vipaji vipya vya muziki
Daah aisee heshima kwako dee Classic 🙌🏽
Good kitu amazing combination ya producer's bongo 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🎶🎶💯💯🧨🧨🧨🔊🔊🎷🥁🎹🎚️Bado vocal🎤
david machord kitambo best piano tukiwa o level edmund rice school class 2007
Hii inaonyesha umoja wa hali ya juu sana,kila mmoja ana kazi yake lakini kwa kufanya kazi kwa pamoja huleta matunda mazuri,kazi safi kabisa
Naichekigi mara kibao hii beat so fire
Hakuna mwenye amefutilia hii video mara nyingi zaidi yangu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Unishind mpk leo naifuatilia 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mimi adi leo hii mar ya 14578
I hope kenyan producers are learning a thing here.
Beatz zingine hizi zitatufanya tuanze kuimba salute to dem all
Watching this najiskia Nina passion Nakutengezea tunes 😋🚀⚡
Mzee producer nini?
Nakubar wakuuu mmenifanya nimepata aidia kupitia kord zenu
Lengo la kuja kuangalia hii video Ni kwaaababu nimemtafuta mix killer nikamkosa kwingine ..nikasema ngoja nimchek s2kizzy na abbah coz Sina jinsi..
Khaa loh and behold namuona mix killer for the first time..sijaamini..the dude nakukubali Sana una kazi nzuri..and yet unamuonekano flani very humble..I couldn't expect ungekuwa na muonekano huo..sio ajabu ndio Mana nimekukubali...
THE MIX KILLER..
bro you always kill..I wish to see you one day.
Mix killer ndo yupi hpo Kati yao
@@ramsdenjames9782 ooh..angalia mpaka mwisho utamwona wanamuita the mixkiller
Noma Sanaaa Inafurahisha Sanaaa hii..
Producers wakali ndani ya mdundo mmoja wa Hataree
Kazi safi hii hebu naomba sisi pia uku kenya bana mtushike mkona bana twaipenda mziki freshi
Hii kaz ni mfano mzur sana wa Upwndo wakweli kwenu Mabeat meker.. mm naukubali mziki sana lakini Music kali ni mikono yenu Mabeat meker.. leo ni 2024 May11 Bado nainjoy hii kitu
Mungu azid kuwapa mafanikio katka kaz ya mikono yenu....
i wish this love ingekuwa kwa whole music industry ya Tz
Noma Sana. Hizi ndio program tunazozitaka. Salute kwenu
Hahaha hongera sanaa
Producers wa kenya wanawaza kushusha nyimbo za watu mitandaoni wapate kiki shame mjifunze
Wale mafala wananiuzi kweli
Kama umegundua beat hii katumia alikiba__ so hot gonga like
Hapanaaaaa , so hot imetengnezwa na Kimambo from the scratch... Na Nata hazifanani
@mocco genius & abbah process are beasts..from 254 nawakubali.
Kelele nyingi hao wengine mngewatoa nje tu huko wakaangalie kwenye flat screen. Ila kazi nzuri hakika
Nmependa this work of art. Original work of art. Sasa itiwe vocal na wasanii wakubwa ili Bday gift ikamilike.
Dah d classic kanisuprise
Good job 💯abbah respect
s 2kiz anasema tukimaliza iyo beat tunauza million 20
Nakubali sana, , , unyama ni mwingi aiseee💥💯💯✊
Much love... great move
Yogo beat🔥🔥
Binafsi Dee classic huwa namuelewa sana yupo kimya kimya lkn mambo yake ni firee
We zoombi!!!!, D classic na abbaaaha!!
bonge la beat nasema kila msaani nchi tz afanye kazi tujue nani mkali...
Beat kali kiukweli umoja ni nguvu kasiba John b toka Congo DRC
daaah nimeenjoy sana kuangalia hizi talentsss
Japo ilikuwa inatakiwa wawe maproducer tuuh hao wapambe wengine kelele nyingi wangekaa nje vihere here kinoma
Aaah
@@lydiaprettytz7480 b
Tumia akili hao ndo wamefany wew uione hii video
studio wapambe wengine wana masikio mepesi ideas nyingi inakua poa
napenda maskio ya s2kizzy
Ila nimependa wana umoja sana
So great to watch
For real music is a Feeling. I Like and appreciate it
Nimependa hii... Magwiji wa muziki
Mocco Kuna key kagusa hapo kanikosha sana🙏🙏🙏
Anaanzisha Devi Macode (mwenye red t shirt), Mwenye miwani na kibegi huyo ndio mkali Abbah, mwenye miwani saa mkononi na virasta ndio Moco Genius mwenyew, mwenye kipara na timberland mrefu zaid ya wote shati la mauwa anaitwa Yogo beats, Mwenye bleach kichwani kijana mdogo wa kuitwa Kapipo, Yule tall mwenye shati ya draft wa kuitwa Nicklass, kuna brother ana kama mzula kichwani na t shirt flan kama nyeupe hivi huyo wanamuita Donny, na huyo bwana mdogo mwenye mwili mdogo kupita wote alyemalzia shoo ndio young kiz morento AKA the mixing killer
Asante sana kwa kutufahamisha
N s2kisz je
Hiyo bass anayoipigaga abbah huwa ni plug in gani ???..anayefahamu anijuze tafadhali
nakbali bloody brother
Nimekuja kuwajua baada ya Wewe kuwa taja ipasavyo
... Damn... How we post to match this talent up here🇰🇪🇰🇪🇰🇪😂😂😂
DEEY CLASIC KAGUSA SEKUNDE MOJA TU.....Wengine wote broky majina makubwa amna kitu
Hii nmetizaga zaidia ya mara 10 😃🔥
Noma sana
S2kizzzy iyo bit na nunua milion 200
Hii kali sana. Nitairudia baadae
Abbah katishaaaaa
Nawakubali sana, mna umoja sana
D classic mshikaji flan iv tall afu hana at wenge aiseee
Yogo umeua brother ila abbah mkali ila kama vile minato kibaooo
abbah minato mingi
S2 kizzy mkali
Safi 🎹🎸🎤🎧🎙
Hii beat auziwe Diamond
najiuliza hiv kwann isiwepo hii ABAH FT S2KZY X MIXING KILLER
Noma sanaaaa..big up.
Saf, mziki wa bongo umekuwa Sana , bg up wakubwa mmefanya poa Sana.
Eeeh Yogo Ni Mkali Melody Composing ❤
Bonge moja la video plus beat
Xanaa abaah,s2kizzy
Naomba kuuliza tu,
Kale kamsemo ka wazee wetu kwamba "MANAHODHA WENGI CHOMBO HUENDA MRAMA" Sjui "WAPISHI WENGI...(...) Hakawezi kuvuruga hapo..? Wataalam wa muziki nasubiri majibu plzz
Mnayumbaaaa
Oya mbona nomasana vp ishapata m2hiyo au kamabado pigahapa 2fanyekazi 0689300337 fanyahvyo
Kazi nzuri sana
S2kizzy atari
Yogooo nomaaa
Du s2kizzy,i salute you bro
Haya watafuteni Diamond,Ally Kiba na Harmonize watie Voko no wimbo w dunia utakua
Iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiilm78iuyiikoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiioll8k9liiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiikkk77i7iiio7l7ki77kkklli77hhhhihhho99klll9lpk77uu7klkn8u78lko8jk
iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiioliioll8k9liiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiikkk77i7iiio7l7ki77kkklli77hhhhihhho99klll9lpk77uu7klkn8u78lko8jknl9879u6j6ilnli87i8l9y8u88
8lni0
Llo6unilnnnn
kjit9u6nk
Ik
9
moisy9jk6n
ali kiba atasema amelogwa !
haha
wafanyanye kama vile riddim.....yaani wasaani kibao kwenye beat moja...
Duh!!! Ama kweli umoja ni nguvu napenda sana kazi ya maproducer kongole
Abah 🔥
Dee classic...mnyama sana
Mtuwekee nyingine inayo malizia mpaka mwisho hii session
WOW WOW AMAZING
One day i will sing with s2kizzy
D classic big up sana mwana
Kali sana
S2,kizzy noma hiyo mi percussion hataree 🔥🔥🔥
Daah natamani ningeweza kupata mamba ya s2kizzy au abbah nifanye nao kazi sku moja et
Dah chemist niyahatarii👊👊👊👊👊👊👊🙌🤙🤙🤙🤙👌👍
Yap nawakubari kinyamaaaaaa
S2kizzy katishaaaa oyoooooo
Amazing
Much respect
Namkubali sana Abbah
siku nyingine ukiweka video ya hivi weka na majina yao ili iwe rahisi kuwatambua. hapo wanajulikana Abbah na S2Kizzy zaidi
Yogo beat ujamuona
Me cmjui hata m1
Bit Kali Sana
Wazamiaji wanapiga kelele sana mpaka kero bhana wakati beat Bomba kabisa
Where the regend Kinywere ki1....my best sound engineer P funk
Good job s2kiz
Mbn imeishia katikati? Mu-upload na beat yenyewe ikiwa imekamilika
Kati ya wote namkubali abbah na young keyz morento
Mmefanya vzr kukuta make mkifanya kazi kwa ushilikiano tutafika mbali
Beat ya wimbo mpya wa alikiba na marioo ,sumu imetoka hapa
Kiz mapianolize the beat❤❤
Hongereni