After listening to most of them without sound effects,i swear you don’t need a voice to sing! i mean zuchu,ray,mbosso and some of them are natural talent.
Nilichojifunza kwa video. It's not Illuminati. It's just good production [audio & video] + management imara + Marketing + Talanta [ambaye ni wewe]. Yale mengine utajifunzia kwa kazi [experience].
Rayvan,mbosso and shusho in magical chorus nailed it
rayvany is talented and smart brain, luv it
Rayvvany Talented, anapenda kuwa Unique
Nampenda sanaa
Ur so unique
Rayvany genious wa mziki
Mbosso is such a humble guy.
Rayvvany is talented and unpredictable....
V vanny bway
Kwangu mm binafs shusho ndo kauwa sana na mbosso kama upo pamoja nami like
Nikweri
Fact
True
Hata Gnako kwakweli kaua kifooooooooo kifoooooooo
Joel lwag katisha nae
Big up Sana shushu kwakuonesha tofauti Kati ya wanao imbiya Kristo nawanao imbia dunia hiyi
After listening to most of them without sound effects,i swear you don’t need a voice to sing! i mean zuchu,ray,mbosso and some of them are natural talent.
True
Diamond is no he needs sound effects
Rayvanny is a genius...interlectual
Rayvanny duuu!
Hatari nimekubali ✌🔥😂
Shusho line ingekuwa hook ya song nzima shusho and mbosso killed it
Rayvanny Never disappoint
This💯🔥
Rayvany he's the genious
Vanny vanny love you so much 💗💓
Shusho na mbosoo😍😍😍😍❤💕🙏
Christian ashusho, mbooso na rayvanny 👍👍👏👏
Carry on Tanzanians, don't let his hard work go to waste. Make TZ even better!
baba levo is a star indeed
Alivosikia beat tu akatamani aweke verse ..chibu 🔥🔥🔥🔥
Verse ya Christina shusho ina hisia kali sana
Rayvany talent
Napenda sanah sanah #Rayvanny na ucheshi wake pia
Babu tale alishawahi kusema Rayvanny dio mwenye kipaji kikubwa pale WCB
Rayvanny ni genius, chuchu Magufuli mambo bad, Gnako ameua, kiherehere babalevo pia
Kifooooooo kifooooooooo Gnako namba 1, shusho halaf mboso
Mbosso ,Marioo 🔥🔥🔥
Utasikia mjinga mmoja etiiii ohooo wimbo mbaya wallah waweza msomea albadiiri maana hajui shida wanayo pata kutunga nyimbo hawa jamaa
RIP gold father
@rayvan ww ni next level
Rayvanny talented
Rayvanny, music genius
Rayvanny nailed it
Ravnnnyn never disappoint
Vannny soooooooooo taleeennnttttteeddddddd
Namvulia kofia simba....salute
Rayvanny n fund 🔥🔥💪🏾💪🏾💪🏾
Nilichojifunza kwa video. It's not Illuminati. It's just good production [audio & video] + management imara + Marketing + Talanta [ambaye ni wewe]. Yale mengine utajifunzia kwa kazi [experience].
Christina Shusho 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mungu amlaze mahali pema peponi
Intro ya kwanza ya refresh ilikuwa nzuri bhana
Mbosso na christina wamenifanya nimelia sana wameimba vizuri sana
I like the part of Dulla mkabila
Apo kwa Rayvanny kaua..shusho kama kawaida Mbosso as usual then ule wa singeli sijui Nani uyo Mimi mkenya 🇰🇪
Mzeee wa nimeghair kufa
Nampenda Calypso
Me namwelewa kinoma kuliko hata Aaliyah ❤️❤️❤️🎤🎤🎤🎧🎧🎧🎙️🎙️🎙️
🇰🇪Rayvanny💥
Rayvany is next level
VANNY BOY SAUTI KABARIKIWA
Vanny mbosso na christina ndio wamenitoa machozi
Shosho mama Lao HAIELEWEKI BABA KALALAJE UMELALA BABA OOOH MAGUFULI NAENDA WE!
Daaa Christina 😭😭😭 so sad nammis magufuli
Christian chousho anasauti moja kali kweli
Daaa mtt wa green city uyuu fire sana
Malkia karen♥️♥️♥️♥️♥️
Bosso Nakupenda tena saaaana
Daaaah!!! Vocal ya B levo nlijua ni tunda amani then vocal ya Dula nlijua ni chibu
10:11 kwa rayvanny
Kumbe baba levo yupo vizuri sana sifa tunampa mbosso ila tune katoa baba levo
Kenya twawakubali 🇰🇪🇰🇪
The all crew 👊
Machozi Yanitiririka nimeshindwa kujizuia imekuwa ghafla kweli Innalillah wainnaillah rajiun
Huyu reyvani daaah huwa hata nikijikaza vipi machoz lazima yatoke huwa anaomboleza sana
Kumbe baba levo sio mwimbaji😂off key kbsa mpk mwenyewe kajua😂
Baba levo ni aina ya msanii ambaye mpk apewe beat lenye mikito ndo atatembea kwenye key
My gal calypso
Dulla Makabila 😅😅👊
Rayvanny💥💥🔥🔥
Uyu diamond ana sauti jmn
Vany boy 🥰
Ila ray vanny huwaga kipaji sana huyu jamaa
Kazi nzuri sanaa
the story book n lin
Nikajuwa niko pekee yangu😂😂😂😂😂
Nimependa hiyo part ya dura❤
Vanny boy chui ndie amenitowo machozi😢😢
Christina shusho, umeimba kwa hisia sana
So amazing
Dula was the bomb!
😊😊
I love the way he came out too
Kumbe ni kazi heve
Yaaa
Nyie baba levo😂🤣🙌
Vanny boy chuiiiiii mh aseatar sana
Shusho ni hatari tupu🔥🔥🔥
I love this
Rayvanny understood ze task
rayvann ni ile dhahabu ya tanzania alwas a fan
Mapema tu🙏🙏🙏🙏
Ray wamemcheka ila amewafunik
Vanny end mboso 👌👌👌
One Take pekee, hapo lazima umvulie kofia.
Mboso,shusho na rayvan wameua sana🔥🔥🔥🔥🔥
Sura jali talent kids
Wcb for lifeee
Vanny boy, darasa, shusho
Wa pili baba levo MPENDA MAENDELEO UMEENDAAA SIJUI NINI NA NINI
Simbaaaa
Vany mtu mbaya katisha..shusho nd sina chakusema kbisa
Ckuzote afanyaye kaziyamungu hataabiki ndomaamana kristina kapax bila shida
Tz vipaji ndio Nyumbani kwake Naipenda Nchi yangu
Rayvanny mwambaa sanaaa
Somo kwa wasanii wakenya unity
Abby Chams cjamuona... huyu mtoto ni balaa...
Calpsooo mbona hayupo Kwenye kipindi jaman tumekumiss sana
Atapata tu kipind coz wasafi badi haina vipind weekend na usiku pia
Ray van huwa nakumkubal sana mcheshi sana alafu ana akili na akikutana na baba levo tena noma
Msimsahau joel lwaga katisha xan na yy kweny hii ngoma
Jaman rayvanny anajua