Jamani baba mwakatobe na mwanawe clamu wote wanapoteza kumbukumbu 😂😂😂😂sikaz hii nayo kipara umenifuraisha iyo nyimbo yako Atari 😂😂😂😂😂😂bigap wazee mko sawa mia mia ❤❤❤❤❤❤❤❤
Big up clam vevo .am a Kenyan 🇰🇪but watching from kingdom of Bahrain🇧🇭.Tunakukubali man , guys kwenye anakubali clam hajawai kutuangusha ,agonge like apoooo👍👍👍
Ahsante mno kiongozi vevo umenifanya nimjue kijana mmoja mpambanaji bigup bro #bennyshizzol #kamaikitokea bonge moja la ngomaumemsapoti kweri hauna hiana vevo Mungu akusimamie sana na ufike mbari na mbari mno🙏
Bro vevo kindly come in Rwanda 🇷🇼 cause your performances is not only for Tz but also internationally level bro. Sometimes I find my self acting with you through dreams ❤️❤️ always your actions inspires us . Clam I'm your Best fan amongst the fan you have all of the world
Clam kwakweli amekuwa mkali kwa acting sio kama miezi ilopita ...keep it up bro kwakweli unatupa burudani kwa sasa since uanzishe kipindi cha big boss sahi tunafwatilia best frnd.....tukisubiri part 2 big boss
Kama na wewe ni team mwakatobe nipe like zangu..... Rafiki yako ni mcheshi mchanga nfu!😂😂🇿🇲🇿🇲
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mwakatobe to the 🌎
@@donaldswebe we mchumba tu we zuchu🤣😂🤣
Kashahongwa ela mwakatobe hawezi msifia kibaka bure
@@beyondmediatz1607 inapeleka shobo
Uko zambia ipi iyo
Tuko hapa mzgo tumeunasa BOSS,Likes kwako mkuu tunaenjoy kaz zako ubarikiwe…Gonga likes za upendo kwa CLAM 😊❤
Hawa wanafunzi wakubwa aisee
th-cam.com/video/aoKkjzpIbHk/w-d-xo.html
Ivi iyo nyimbo ya nani
Wimbo awaja uweka TH-cam
@@JumanneSalum-sp5coilo swali ata mm nilitaka kuuliza
Nyie hii movie Clam umeuaaaaaa...yani hadi nywele zinasimama nikiwanaangalia🎉❤
the heat is amazing.naomba hiyo song nijue inaitwa vipi kama umeipenda nipe likes jamani
Kama ikitokea by Benny shizol
❤❤❤Same here
Safi sana
@@preciousnasha2074shukrani sana umenisaidia na mimi pia maana nilikuwa naitafuta.
Yote kwa yote kama na wewe unaisubili BIG BOSS season 2 gonna like hapa 👍
Kwa hamu kabisa
Clam vevo anatafuta ugomvi asiouweza 😢😢😢😢❤❤❤😂😂😂
Uyu jamaa mkali sana 😂😂😂😂 nimefurai sana nipeni like ata kumi jamani
😂km taila
Samahan hv jina la wimbo huo unaitwaje
Clam nasubiri ep ya 2
Kaka nimekuelewa Kwa hii kishule shule
Benny shizzol kama ikitokea
i kali sana tungali twasubiri big boss kwa hamu fanya upesi
Ivi kwann azam wasiwe wanatushia mvi za uyu jamaa da la sana mwamba anajuwa sana 😂😂😂
Dadeki Clam ni 🔥🔥🔥🔥,,kaamua kutuletea dubwana jipya I hope 🤞 tutaenjoy 😊,,kama na wewe umeikubali hili ingizo jipya la season gonga like 👍 hapa ❤
hili DUBWANA nnaliludia bila kujali MB zangu @clamclis 🙌🙌
Itakuja lini?
Clam
👍
@@SamweliMwakalibela-xp5yk6:35
Clam vevo never disappoint nakubali Sana 👏🏼👏🏼 wale wapenzi wakusoma comment huku tukiangalia tujuane kwa like Clam kanyoa jamaniiiii 😲
😂
😂😂
😂😂 para
Dah uyu jama anatisha nimkar
Jamani tunaomba yakuendeleaa bona parti 2 tu 😢😢😢 mtuburudikishe man iyi ni moto walahi ❤❤❤😊
Clam kweli namkubali Ila ananikela kuinamia vile mbona kama anajiarbia uigizaji😮😮
Talanta imekukubali Clam.....napenda utahira wako.....barikiwa sana kwenye juhudi zako👏👏👏Toka Kenya
Nyimbo ya vevo nimeipenda kwel ❤❤❤❤
Brother, you absolutely killed it, I agree with you very much
Kumbe ni msanii mkali mnooooooooooooo calm 💣💣💣💥💥💥💥💣💣
Namba one kutoka Kenya🇰🇪 kutizama MY BEST FRIEND episode 1,,kama unampenda #CLAMVEVO Kwa kipaji chake nipee like tafadhali
Vevo vevo😂😂😂😂😂😂
Thevango osiemo...
@@JackclyneAchola-vd9ol mbuya
Nakubali baba sukuma mavitu iyi ni Moto
#CLAM VEVO upo vizuri sana brother kazi safi sana pongezi kwako.
Absolutely 🤜🤜🤜❤❤❤❤ clam cris
Good talent!!!!
Duh nlivyotafuta huu mwimbo sasa hadi kuupata nimetoa jasho😊
Nakukubali Clam maana wewe ni kijana mwenzangu mpambanaji big up saana from *254
Mimi wakwanza jamani Kama wamkubali clam vevo rusha like zangu kipenzi chenu kutoka Zambia
Naikubali sana kazi ya kaka clam 👑👑👑 best friend kaz nzur
Nakukubaligi sana clam alafu mzigo mkali sana huo , tunahusubiri kwa ham sana
Kazi mzuri sana #Clam vevo upo vizuri sana KAZI KAZI bless.
CLAM VEVO🔥🔥🔥✊
@clam vevo you are best of the best keep going...
Clam vevo nakubali sana kazi brother 🇲🇿, naomba like zangu
I'm ur fan from Kigali Rwanda 🇷🇼 nawapenda sana watanzaniya ....turabakunda
❤❤❤❤❤❤❤
nakupenda sana clam.. pambana unawezaaa
Nahh ni nzur sana hongela clam mungu akupiganie japo namm nataman niigize nawe sana sana tu!!! Please clam🙏🙏🙏🙏🙏
Wangapi wanamkumbuka huyu jamaa wa Bongo dar es salaam like hapo tujuane Bigg boss anatupatia burudaniii
Sana dude on fire
*Team Clam VEVO gonga like kwake na kwangu pia ❤*
🎉
16:28 ...hapa shangaza aduiii🙏🏾🙏🏾🙏🏾🤭🥳🥳🥳💯💯💯 #Clam Vevo🎉
Clam BEST FRIEND imekaa powa ebu iendeleze ep 2 bas tupate uondo ngoma kali
Napenda chapati na maharage😂😂😂😂😂😂
Hellow mamb..
Jamani baba mwakatobe na mwanawe clamu wote wanapoteza kumbukumbu 😂😂😂😂sikaz hii nayo kipara umenifuraisha iyo nyimbo yako Atari 😂😂😂😂😂😂bigap wazee mko sawa mia mia ❤❤❤❤❤❤❤❤
Ni ya nani uyo song
Hii nyimbo kaimba nani Jaman
@@FellyAbnel-wt1ybBenny shizzol
@@neemanelius2478Benny shizzol
@@neemanelius2478 ipi iyo my dear
❤❤❤ I'm so sorry to watch late I wish I could a were mwanzo. big love clam and the rest of your time big respectful ❤❤❤❤ love you 🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴
He can fit in any character, this man is very creative.
th-cam.com/video/wF5Lfgm_hSA/w-d-xo.htmlsi=9bGkAYqwk413jcjG
👎
Big up clam vevo .am a Kenyan 🇰🇪but watching from kingdom of Bahrain🇧🇭.Tunakukubali man , guys kwenye anakubali clam hajawai kutuangusha ,agonge like apoooo👍👍👍
yaani idea ni nzuri kweli 😅😅 unastahili tuzo yako broo
Tuko hapa mzigo tumeuona BOSS mkuu mara nyingi au mda mwingi haukosei kazi safi👏👏
Yaani clam alinyoa kwa ajili ya huu mchongo au ni editing😂😂. This man is a beast
Haka kawimbo unaweza tamani kaendelee. Aaaaaah!!!! This is my Best 💽
Iko poa sana yaani
Sjui ya nan hii nyimbo
daaah Clam vevo nakuona mbali sana##.....big up brooh
Waoooo nzuri sana jamanii hadi rahaaa❤❤😊😊
Ndo tumeanza hivyo nkubal sana cram mwamba sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Clam vevo unachuwa hadi unajuwa tena ❤ baada ya big boss nikajuwa utapotea kumbe ndio kwanza unaanza 😂❤❤❤❤❤
Part 2 clam vevo 🐐🐐🐐goat geatest of all time❤❤
....guy is on high🎉🎉big up kwa Clam❤
Waiting for big boss Season 2😊
What?
kila hatua ni moja ya safari mmeua sana keep up and kerp going bro ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
I'm so happy to see your work again Clam VEVO!! From Burundi 🇧🇮🇧🇮 we love your works!!
video th-cam.com/video/wMQV7d-Y2EU/w-d-xo.html
Aiye nipitie n mm usubscrib🙏🙏🙏
Kazi nzuri big up sana clam vevo
Duuh umetisha VEVO,nzuri mpaka nzuri tena👌👌
Another banger 🔥🔥🔥
Wapi likes wanangu
Ahsante mno kiongozi vevo umenifanya nimjue kijana mmoja mpambanaji bigup bro #bennyshizzol #kamaikitokea bonge moja la ngomaumemsapoti kweri hauna hiana vevo Mungu akusimamie sana na ufike mbari na mbari mno🙏
CLAM VEVO your always the best bro.. One love from Songea
Awesome 👍 boss congratulations 👏🎉 do you best tunangoja part 2 ....
Kama umeikubali like comment zifike 100k🙏🙏🙏
Kuna MAISHA ambao WENGI wetu tumepitia tukiwa shule na kuna mengi ya kujifunza juu ya movie hii #BEST FRIEND
Hatari kaka umetisha Sana
Ulikuwa muuni au
Variation for me 😂💔🙌🏼
Nakubali sana [Clam] kazi nzuri ♥️♥️
God bless you bro 🤜🤛
🇹🇿🇹🇿😁😁
Supper clam...hii imetisha na nikama itafunika bigboss...Ila Kama unaitafsiri hii ka hit...gonga like
😂😂
@@user-xo9ue1pq5ywewe uko kila kona hupitwi my dear
Respect for you my role model ad my best comedian clamvevo umetisha sahna 🎉🎉 nataman hata another episode ungetoa mda huu
Bravo sana clam unajUwa kuigiza mungu akuzidishie tunaenjoy
On fire 🔥🔥🔥 Mr clam VEVO tunasubir mwendelezoo broo
Kutoka Burundi mnipe like zangu🇧🇮🇧🇮🇧🇮
The creativity of clam is on another level,,, big up sana bro utafika mbali
Bro vevo kindly come in Rwanda 🇷🇼 cause your performances is not only for Tz but also internationally level bro. Sometimes I find my self acting with you through dreams ❤️❤️ always your actions inspires us . Clam I'm your Best fan amongst the fan you have all of the world
Thank you and me is also your friend
Ungeandika tu Kwa lugha yenu.😂😂
😂😂😂 kazi nzuri sana❤❤❤
Number one Mombasa kenya🇰🇪pitieni hapa❤clam nakupenda bure na mzee mwakatobe❤ na kipara ❤😂😂😂
001 Inahit
Mambo mpenzi
Saf sana Rakin vp Kuhusu BOSS mwendelezo wake
Hakuna maish matam shule kma mwanafnz ukiwa unjitambuaa like nbest ake vevo
Clam vevo international 😄😄😄 love you from Rwanda 🇷🇼 bro.
😂😂😂😂nimecheka sana clam umeupiga mwingi kuliko baba love from sweden ❤❤❤🎉🎉😂
Kaka clam tunatak iyo nyimb ❤
Alie muona dude mwizi wabongo gonga like hapa
Naipenda saaaaaana Tangu RD Congo 🇨🇩🇨🇩❤️
Clam kwakweli amekuwa mkali kwa acting sio kama miezi ilopita ...keep it up bro kwakweli unatupa burudani kwa sasa since uanzishe kipindi cha big boss sahi tunafwatilia best frnd.....tukisubiri part 2 big boss
We have to support this guy,he is really creativity
Mzigo tumeupokea kwa mikono yote miwili
We jamaa unajua😂😂🙌
Najifuza mengi Sana kwako Kaka nyimbo zangu ninazo imba mashahili natoa kwako Kaka wewe ninoma Sana mungu akulinde sikuzote 👏👏👏👏❤️
Jamani huu wimbo Nani kaiambia umenitoa machoz😢Mzuri sn❤❤❤
Jaman mm mwenyew nimeupenda sana huo mziki ila cjui ni msanii gani
Namimi kabisa huwo wimbo umenitoa machozi😢
Nitumie
Nakupenda dogo Clam,big brain,mbunifu sanaaaa
Baba na yee anasahau😅😅😅❤
Jamani Nani aliimba hiyo nyimbo❤
Huu ndoo Clam tunaye mtaka, anaye penda chapati na mahalagi😅😅😅
🇨🇩
Daaaah hongera sana asee🙌🙌🙌hiyo ngoma aliyeimba tafadhali tumjue ni🔥
Mimi nimecheka sana hapo honey honey 😂😂😂😂😂😂
Ata mimi 😂😂
Creativity in another level 🔥🔥🔥🔥
Kazi mzuri cram nakuombea kwa Allah azidi kukuongoza tupo pamoja
wagwan menn yaani hizi movie zinakwenda viral ...nikianza kuwatch ilikuwa 1,600 after imeisha ishakuwa 8,058views waaaa.... am glad vevo
Jaman kaka clam hupoi wala huboi bandka bandka love❤❤
🔥 🔥 blaza u r the best comedian 4rom kenya
wale tunaoisubiri big boss tugonge like 💥💥💥 from Kenya
My best friend number one😂😂
Clam vevo,you are too much bro🔥🔥🔥I love you bro, Kee it going,I appreciate you
Clam vevo you never disappoint
Na Subiria season ya big boss 2
Best friend ni nzuri but Clam ame shindwa kujiteteya kwa yule demu ingawa demu kasha mpenda Clam,naenda nyumbani.
Hiindo best performance naitaji like kamazote🎉🎉🎉🎉🎉❤❤