Jaman namimi nnionjeshe hizo like zenu nivimbiane huku nimekuwa wa pili tunasindikizwa na snake boy season two na baadaye clip safi za magoli ya yanga akimdabangula ihefu
Kwa niaba ya mashabiki wote ningependa kutoa shukrani kwa kuyasikiliza malalamiko yetu,niliona ep 18 iko na dakika 25:44 na episode 19 ikiwa na dakika 31:43 tofauti na episodes zilizopita zilikua fupi mno.Tunawashukuru sana kwa kuongeza muda kwenye episodes,kazi nzuri #we_are_enjoying_it 🇰🇪💙🔥
Leo tumefurahi imekua na dakika nyingi mwenye amefurahi kama mm gonga likes alafu clm wajua kupanga movie yako ndio bora tena bora Tanzania kw Africa yote
Ushamba tu inatakiwa tukosoe walipokosea Ili walekebishe Pia tupongeze walipofanya vizur Sasa utakuta mijitu mingine et wa kwanza mm shenz kabisa Kama huna D mbili huwez kunielewa
Leo sitoomba like yoyote ila naamini nitapewa kwa sababu ya hiki nitakacho kisema. Kusema ukweli leo wengi tumeburudika katika series yetu mpendwa kabisa kisa tuh tumeogezelewa dakika kwenye snake boy EP 19❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😂😂😂😂😢😢😢❤❤❤
😂😂😂😂Aisee tunaomba mwendelezo wake please. Mtoto wa gwiji anaanza kuwatembezea vichapo wanaotaka kumuua mama yake kabla ajazaliwa😂😮akizaliwa itakuje😂😂😂 Yeye atakua anawageuza watu kuwa Bata kwenye imaya😊😢
Nani anabisha kua hii ni bonge Moja la story hapa nyumbani TZ. Nb: wekeni subtitle hata ya kiswahili Ili wagen waambulie japo kiduchu yaan Swahili to the world..
Watanzania mnaroho mbaya sana like zenu mnapeana wenyewe from CONGO LUBUMBASHI
Sasa like zinakusaidia nini😅
Et tunaroho mbaya nawakat unalike 86😅😅
Sisi hatuna roho mbaya watanzania sifa yetu ni wakarimu tena tuna upendo sana ko usiwaze mkongomani🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Unapenda kusumbulia ya mingi
Nimependa sana watanzania kumbe muko na roho mzuri sana
Jaman namimi nnionjeshe hizo like zenu nivimbiane huku nimekuwa wa pili tunasindikizwa na snake boy season two na baadaye clip safi za magoli ya yanga akimdabangula ihefu
❤
@@eliassalimo6984jumapili safi sana hii
Hahaha
Hahh umetisha
😂😂😂😂😂😂😂
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲, leo nimechelewa kidogo ila samahani naomba like ata 100
Sehemu ipi bro
Mweny series aombi like ...nyie wengine vp amtoi maon 🤔🤔mnataka like ..sahv sheria amna kuomb like🙃🥴
Tuliofuatilia toka season 1 tujuane gonga like❤❤🇰🇪💯
❤❤❤
Umeona eghh
nakubali mwamba
Mimi ni wa mwisho kutoka bujumbura 🇧🇮 rakini hata like moja inatosha jameni💫
I'm proud to be Tanzanian, Nchi ya Amani, Nchi ya furaha, Nchi ya vipaji, Gonga like kwa Snake Boy twende ❤
Kwa niaba ya mashabiki wote ningependa kutoa shukrani kwa kuyasikiliza malalamiko yetu,niliona ep 18 iko na dakika 25:44 na episode 19 ikiwa na dakika 31:43 tofauti na episodes zilizopita zilikua fupi mno.Tunawashukuru sana kwa kuongeza muda kwenye episodes,kazi nzuri #we_are_enjoying_it 🇰🇪💙🔥
TUMSHUKURU MWENYEZI MUNGU KWA KUTUAMSHA SALAMA SIKU YA LEO AMEEEEN 🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥
Ameen wew ndo umeongea kitu Cha maana sio kutomba like kama wajinga
Aamin❤❤❤
@@user-sv6zy3hc8o kufanyaje?
Ameeeen
Ammin ammin
Wa kwanza jaman from zambia🇿🇲🇿🇲❤ please naomba more like like zanu kwa kuwahia
Umeniwahi 😢
@@gloriamutula9492 Sana tena sana kabisa 😂😂😂
2:54
Jamani film zuri tatinzo munachelewesha alafu Leo mumefanya vizuri sana kurefusha
Xahiv wame jitahid kuweka dk nyingi
Leo ndefu
Big game big movie big reaction Mnajua kinoma Embu nipen hvyo vi like hata5❤❤❤😢
Wakwanza jmn naombeni like zangu 😂😂❤❤
Kuma nyoko wewe eti wakwanza leo nipeni likes kambe unalipwa ukipata likes
❤❤❤
Pendaneni jamani haifai kutukanana kwnye mitandao,Tumshkru Allah kw kutupa uhai mpka sai tunapumua ❤️🙏
Wechukuatu izo like zako usijali
Nomaa sana nikiwa pande za South Africa nakubal sana home line kazi nzuri
Nimefanikiwa kuwa wa kwnza nipe like hapa toka Congo/Bukavu ville
NA MIMI NIKO BUKAVU
Hongera sana
@@MoiseJosue powa sana
Ambao tupo New York Tusemaje sasa
Like zinawasaidia nin
Leo nimekuwa wa kwaza Kutoka Zanzibar nipeni like zenu
Shabiki wazinga Niko hapa😂😂😂❤❤❤ Dom ktkt ya Tanzania 🔥🔥🔥🔥
Wenye tumefurahia kuona Tete hajauawa gonga like 👍👍👍hii naifuatilia ata ikifika episode 50😂😂😂
wanaomkubali Mganga wa waacha, kurukutanta mantete😂😂
Mganga wetu kafungiwa kwenye chupa
Leo tumefurahi imekua na dakika nyingi mwenye amefurahi kama mm gonga likes alafu clm wajua kupanga movie yako ndio bora tena bora Tanzania kw Africa yote
NAMI naomba like Tano Kam itafaa😮😮
Me wa mwisho ila naombeni like zangu kingine hiii move nn inafundisha au wwe nni umejifunza napokea mahoni
Mbna mahoni😂
Burudan kujifunza kaanze shule
Duuuuu kweli mahoni
Nipeni hizo like zang aseee nimekumban nayo leo paaap ni mm sasa fanyen yenu chap aseee
Huyu jamaa BUTUA anajua sana namuona mbali sana Ana kipaji sana
Yaan acha kabisa
Anakipaji ghaswa MashaAllah
Naona Kila mtu anasema wa kwanza, aya mim wa mwisho naombeni like zangu sas
hi guys na mm nimewahi naonba like wangap wanampend calm
Sema ndembo anaweza akawa nyoka hadi kwenye maisha yake ya uwalisilia maana anatisha kweli
Yaani nyoka haswaaa na hiyo sura yake
😂 😂 😂 😂 😂
😁😁😁😁
Wa kwanza kutoka Congo goma nipe like zangu asheni ushoyo🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kwasasa katika Tanzania hii sidhani kama kuna mtu anaweza akaigiza nafasi ya mganga wa kienyeji kama Chil.
Jamani watu mnawai sangapi duuuh na mm nimewai naomba like zangu
❤❤❤
❤❤❤❤
Naombeni like zangu
Uwe.macho mda wote
Sawa pole😊
Wa kwanza Leo Kutoka kenya naomba like zenu
Kwa hii snake boy season 2 Iko na familia nyingi sana
Saaafi sanaaa picha inazidi kuleta mvuto wa kipekee barani Afrika. Hongera sana wahusika wote.
Team strong mko wapi jmn yaani tumechelewa kwa pirika ila kujeni apa tugonge like 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲♥️
tupo uduguuuu tupoooooo
Tupooo
TEAM IRAQ 🇮🇶🇮🇶🇮🇶🇮🇶
Tupooo😂
Tupo hapa kwa mpigo
Asanteni kwa kutuletea mwendelezo wetu mtamu wa snake boy asante kwa mara nyingine clam na director kakoso nawapenda bure🎉🎉🎉🎉🎉
🔥🔥
Leo mmejitahidi imekuwa ndefu zaidi...Alafu nzuri sana...
Alooooh kwa hii snake boy season 2 stress za mapenz zinatoka wap 😂😂 snake boy season 2 ni 🔥🔥
Yan watanzania hatutoi maoni ya movie na hisia zetu tanang'a ng'ana wakwanza wakwanza
Aky wanaboesha kamwe 😂
Umeona eghh
Nahisi awaelewi maana ya comment
Ajabu
Ushamba tu inatakiwa tukosoe walipokosea Ili walekebishe
Pia tupongeze walipofanya vizur
Sasa utakuta mijitu mingine et wa kwanza mm shenz kabisa
Kama huna D mbili huwez kunielewa
Mi ndo wakwanza Leo please like zangu
Dahh jmn roho imeniuma wakinazinga kumshind uyoo mchawi
Leo mmejitahi imekuwa ndefu kuliko zingn
Leo wamejitaidi kutuletea mapema kama naww umefulah gonga gumba apo chini🤭🤭
Leo wa mwisho kutoka Mozambique🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿nipe mauwa yangu
Jamani mtoe haraa harak wa tz mnaroho mbaya naombeni me like zenyu from UGANDA🇺🇬
Are you really from ug
Ya clam top la ma top wa bongo movie jamani umetishaaaaaaaaa na leo umeongeza muda basi mambo ni bull bull🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
We Acha uko vzulii mdogo we2
Wa kwanza like zangu please 🙏🙏 team strong hoyeeeeeeeeee 🇸🇦🇰🇪♥️♥️♥️♥️ nawapenda saaana Niko Riyadh
MUNGU AWE NASI JUMAPILI YA LEO AMEEEEN🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌
Hapa kila mtu asema yeye ndo wa kwanza apewe likes zake😂😂😂😂😂😂haya nipeni na Mimi like zangu ni wa 46,483😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂
Nakukubali sana kaka clam I appreciate your works 👍
Wakwanza kutoka Congo Drc liké zangu
Kazi kubwa kwa director kakoso hakika unastahiloi sifa zote na tuzo zote za mwaka huu zije kwako
Hizi ndo comments zinazotakiwa sasa.. siyo mijitu kuomba omba likes kama mataira
Haswaa sio mm wa kwanza kila siku
Hilo la kweli kbs
Bonge la episode jmn hongereni sn team Clam Kazi nzuri sn
Walokua hatujua man tetere (vila)ni chili gonga hapa tujuane
Wakwa nza leo
Nawapenda sana
2nakupend piyaa
wakwanza hapa leo ni mm ebwana eeee
I can't get bored when I'm watching this movie, I wish it was full saison two yhoo I really like it . From south Africa 🇿🇦 🇿🇦
From south Africa 🇿🇦 🇿🇦
Wakuomba Like Ndo wanatyping... now 😂😂😂
Tunaofurahia dakika zimeongezwa hapa❤❤
Mimi cjui wangapi ila pambe tu😂😂😂
Mimi wa mwixho naombeni za kunifaliji 2
Wakwanza kutoka 254 Kenya naombeni likes zangu
Haki mbona munachelewa Nairobi uwa tuna wagojea sana nipeni like pia
Jamani mwasi ananimaliza kwa huo usirias wake
Kila mtu wa kwanza..me sijui wa gapi ila nipeeni likes ata tatu basi😊
Oyaaaae Clam VEVO mimi ndo wa Kwanza kutoka Kenya
Musiniachee ivi ivi likes zangu
Pia napongeza sana sana team mzima kwa kusikiliza kilio chetu cha mdluda
Wa mwisho hapa gonga like kwa sisi wachelewevu
Duuuuh clam clam nakuita mala. 2 unajuwa kaka unajuwa kaka we jin nakupa mauwa yako❤❤❤🐍🐍🐍🐍
Waaa wapi likes kama unamkubali clam vevo kwa best comedian TZ
Kwan hii ni comedy
Vip
Leo wa kwanz from burundi
Umekuta ndefu sana ipo good
mzee wangu wa kenya wapi likes za vevo😊
Wakwanza tena kutoka Kenya Clam VEVO never disappoint more love From Kenya .... Like za Kenya hapa plz
Haki wana himaya wanateseka sana bila clam
Kipara ni baba lao😂😂😂 Kila muda ashaacha tabia za mmbea! Real definition of me😂
Nko na swali jamani Huwa natamani kuuliza, huyo mwasi ni dadake kakoso
ndo kakoso mwenyewe huyo alibadilishwa na mizimu ety😂😂😂
hata mim ilo swali hilo hilo maana wame fanana sana mwasi v kakoso
kiuwalisia itakua ndugu maana ukiangali kwamakini unaona kunamfanano kidogo kat ya kakoso na mwasi
Mmeboresha kwenye dakk hongereni sana
Kwelii kabxa saiv wana tahidi tu wape maua yao
Mimi wakwanza nip like zangu snake boy❤❤❤❤❤
Ayo majani yanaitwaje ndugu wacheni kuuliza mambo ya like za ujinga na kuna mafunzo apo ndani
tuko pamoja hadi season 3...much love from 🇰🇪 usijaribu kumaliza hii movie mapema clam.
Wow,hongera sana VEVO na team yako nzima,Leo mmefanya kazi safi kuleta episode refu ,nimependa
Wa kwanza Léo nipeni like zangu jamani
Tupo nyuma yenu n'a wafwata toka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kazi nzuri sana aisee Na leo umetufurahisha sana Mashabiki zako kaka Mana umetuwekea Dakk 30 nzima Asanten sana Team Snake Boy 🎉🎉 tunawapenda sana
Wa kwanza leo wapi like zangu ata moja please 😅
Wakwaza mimi kutoka Bd🇧🇮 naombeni lik hapo nawapenda sana ❤❤❤
Wa kwanza kutoka kenya❤, likes zangu tafadhali
Leo sitoomba like yoyote ila naamini nitapewa kwa sababu ya hiki nitakacho kisema. Kusema ukweli leo wengi tumeburudika katika series yetu mpendwa kabisa kisa tuh tumeogezelewa dakika kwenye snake boy EP 19❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😂😂😂😂😢😢😢❤❤❤
Natazama kutoka Australia jamani clam vevo you are doing a nice job
Mzee baba Asnt kwakuongeza Dakika❤❤❤
Nakubali kwa hizo dakika mwamba umetisha
Blessings to you bro Ahsante kwa kutuongezea urefu wa kipande❤❤❤
I wish na 20 inakua karibu jameni hizo like nipate na mm
Nawapenda kikosi cha Snake boy chini ya Clam vevo.
Likes 🎉🎉
Naleo kaongeza dakika kweriii bigapuuu sana
Kazi nzuri timu clam
😂😂😂😂Aisee tunaomba mwendelezo wake please.
Mtoto wa gwiji anaanza kuwatembezea vichapo wanaotaka kumuua mama yake kabla ajazaliwa😂😮akizaliwa itakuje😂😂😂
Yeye atakua anawageuza watu kuwa Bata kwenye imaya😊😢
leo nimeipatilia 👏
Safi sana..Leo mzigo umeshiba 30 minutes..dadeki..huyu ndio Clam Vevo
Nani anabisha kua hii ni bonge Moja la story hapa nyumbani TZ.
Nb: wekeni subtitle hata ya kiswahili Ili wagen waambulie japo kiduchu yaan Swahili to the world..
Filamu ndefu na nimeinjoy ❤❤🎉🎉
Wakwanza Leo unyama sanaa