MASHARTI MANNE YA WANAWAKE KUINGIA PEPONI: MUHADHARA BUTERERE BURUNDI, SHEIKH KISHK

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 79

  • @RatifaRajabu-yq4ye
    @RatifaRajabu-yq4ye 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah shekhe kishki allah akujaalie maisha malefu na akujaalie mwisho mwema

  • @RukiaShomary
    @RukiaShomary 22 วันที่ผ่านมา +1

    Amini mungu tujaalie katika fungu hilo.

  • @SalamaRajabu-c6h
    @SalamaRajabu-c6h 3 หลายเดือนก่อน +2

    Maashallah nashkur kwa mawaidha yenye mafunzo mema allah akulipe kher hp dunian na akhera

  • @salimmwinyimvua1884
    @salimmwinyimvua1884 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mashaallah shekhe kishki allaha akujaalie mema duniani na akhera pia🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @nadianyamuraka
    @nadianyamuraka 7 หลายเดือนก่อน +7

    Sheikh wetu Allah akuzidishie umri mrefu wenye kheri na barakah

  • @frdosr5794
    @frdosr5794 5 หลายเดือนก่อน +2

    JazzakAllah khayran fii duniya wal Akhera inshaAllah,,Shukran za dhadi shekhe kwa elimu Bora na manufaa.

  • @HakizimanaSalima-sg7cv
    @HakizimanaSalima-sg7cv 7 หลายเดือนก่อน +2

    Jazzakallahu khayra Sheikh Nourdin kishki Allah akuifadhi ukweli wengi awajuwi samahani wanapo kosa ukaidi ume wazidi hadi ww una muiga kwa kweli

  • @Mwanaidi-h6t
    @Mwanaidi-h6t 2 หลายเดือนก่อน +1

    I shaallah mwezi mungu aniweke katika fungu hilo

  • @awejehamimu
    @awejehamimu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akhbal!! Sheikh kishk mungu akulinde

  • @NickyKaznugu
    @NickyKaznugu 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaallah tabarak allah atujalie tuione pepo ❤❤❤❤amin yarabby

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 3 หลายเดือนก่อน +2

    MashaAllah TabarakaAllah
    Amiin Amiin Amiin 🤲🤲

  • @Aisha-qx7kz
    @Aisha-qx7kz 8 หลายเดือนก่อน +14

    ALLAH atujaalie miongoni ya wanawake wenye kufungamana na mambo manne insha Allah

  • @AishaSalem-g2v
    @AishaSalem-g2v 18 วันที่ผ่านมา

    Allah atujaalie mwisho mwema na atujaalie kauli thabithi tuwe miongon mwawatu wema inshallah yarab amin

  • @ZulhaZulha-ot1xp
    @ZulhaZulha-ot1xp 7 หลายเดือนก่อน +2

    Yaa sheikh Allah akuongezee maisha yakuishi hapa duniyani na yenye heri

  • @RehemaWere
    @RehemaWere 7 หลายเดือนก่อน +4

    Àllah atujalie swala zetu ziwe miongioni mwa ibada, na atujale ndoa za halal kwa wenye hatujaolewa 🤲🤲

    • @SalmaKilawa
      @SalmaKilawa 7 หลายเดือนก่อน +1

      Amin 🤲🥹

  • @AishaRashed-m5o
    @AishaRashed-m5o 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah shekhe kishik mungu akujaze mema dunian na akhera

  • @meowzna
    @meowzna 3 หลายเดือนก่อน

    Jazakallah Kheir🙏

  • @NasraOmari-u3g
    @NasraOmari-u3g 4 วันที่ผ่านมา

    Amin inshallah ❤❤❤❤

  • @arafamusa
    @arafamusa 3 หลายเดือนก่อน

    Amin yarabi 🙏

  • @meowzna
    @meowzna 3 หลายเดือนก่อน

    Ameen Yaraabi🤲

  • @JumaJuma-g8h
    @JumaJuma-g8h หลายเดือนก่อน

    Allah akulipe kila la kheri

  • @meowzna
    @meowzna 3 หลายเดือนก่อน

    Masha'Allah🙏

  • @ZulphaPhabian
    @ZulphaPhabian 2 หลายเดือนก่อน

    Allah tujalie mwisho mwema inshallah ❤

  • @Garusahir
    @Garusahir หลายเดือนก่อน

    Allah ummaa bariki

  • @faizabaishe22
    @faizabaishe22 2 หลายเดือนก่อน

    Allah akupe umri mrefu ili utupatie mawaidha

  • @dullahmjapan379
    @dullahmjapan379 4 หลายเดือนก่อน

    Allah s.w atujaalie tuwe miongoni mwa wanawake wema,Amiiiin

  • @SophiaAlly-ih2ss
    @SophiaAlly-ih2ss หลายเดือนก่อน

    Masha allah

  • @nellymethews4111
    @nellymethews4111 4 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah subhana Allah😢🤲🙏

  • @meowzna
    @meowzna 3 หลายเดือนก่อน

    S.A.W🤲

  • @HerbalMedicine-v3z
    @HerbalMedicine-v3z 4 หลายเดือนก่อน +1

    njo South Africa ya sheikh 10:41

  • @sikudhanishembilu2690
    @sikudhanishembilu2690 2 หลายเดือนก่อน

    Maashaanllah

  • @HerbalMedicine-v3z
    @HerbalMedicine-v3z 4 หลายเดือนก่อน +1

    masha Allah nataka kwa nini sheikh hakuji South Africa

  • @Rahma-ns9sh
    @Rahma-ns9sh 6 หลายเดือนก่อน

    Amiiin Allah azid kutuongoza katika mamb hayo manne .

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mashallah tabaraka llah ❤❤❤❤

    • @UkhtyAsiyaah
      @UkhtyAsiyaah 8 หลายเดือนก่อน

      Ulikuwepo chibitoki ?

    • @SuleimanKhdija
      @SuleimanKhdija 8 หลายเดือนก่อน

      @@UkhtyAsiyaah hapana ndugu

  • @GcFd-s8t
    @GcFd-s8t 2 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda sana shekhe wang

  • @MhhmadAlfageer-pu2ng
    @MhhmadAlfageer-pu2ng 7 หลายเดือนก่อน

    Shukran cheh wetu na karibu tena

  • @HusnaAli-j7u
    @HusnaAli-j7u 4 หลายเดือนก่อน

    Yaa alla tujalie tuwe wenye kufanya ibada zetu kwa wakati ufaao yaarabi tujalie mwisho mwema

  • @jahsjjsj583
    @jahsjjsj583 7 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah , shekhe wetu

  • @hadijasalim7769
    @hadijasalim7769 4 หลายเดือนก่อน

    Allah atauongoze insha allah

  • @AswilaChacha
    @AswilaChacha 6 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah 🎉🎉🎉❤

  • @Nasastraissa
    @Nasastraissa 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba uniunge kwenye groop lako la whatssap

  • @ZulhaZulha-ot1xp
    @ZulhaZulha-ot1xp 7 หลายเดือนก่อน +2

    اسلام عليكم ورحمة الله وبركاته vipi mtu kama amefariki kwa dini ya kikristo na hapo awali alikuwa muislmu inaweza fanya vipi ndio ukiimba Dua ikubalike yaa sheikh

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 7 หลายเดือนก่อน

      Kwa nini umeacha dini ya kiislamu ukaenda abudu sanamu ,,Allah ni mjuzi wa hayo

    • @IbrahimAminhassan
      @IbrahimAminhassan 4 หลายเดือนก่อน

      Ameeumiaaaa

    • @hairatyhassan7973
      @hairatyhassan7973 4 หลายเดือนก่อน

      Ndomana tunaambiwa tuombe mwisho mwema huyo alikuwa muislam akaenda kwenye ukristo akifariki huyo hana chake mbele ya mwenyezi Mungu nahamruhusiw kumuombea dua yeyote

    • @halimamohamed9074
      @halimamohamed9074 3 หลายเดือนก่อน

      oh you who believe! Fear Allah as He should be feared, and die not except in a state of Islam. یَـٰۤأَیُّهَا ٱلَّذِینَ ءَامَنُوا۟ ٱتَّقُوا۟ ٱللَّهَ حَقَّ تُقَاتِهِۦ وَلَا تَمُوتُنَّ إِلَّا وَأَنتُم مُّسۡلِمُونَ
      Kama alifariki kwenye hali ya ukafiri huwezi ukamuombea dua.

  • @Saumu-dq9lj
    @Saumu-dq9lj 7 หลายเดือนก่อน +2

    Asalamu alyekumu shehe kishiki sasa kwa mfano sasa mama yangu amefariki muda mrefu sijui kama anadaiwa saumu ngapi nafanyaje hapo ili nilipe deni la mama

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 7 หลายเดือนก่อน

    Wapashe shekhe❤❤

  • @AmissaMuhamed-ds8re
    @AmissaMuhamed-ds8re 7 หลายเดือนก่อน

    Maanshaa Allah
    Maawaidha Madhuri
    Sheikh kishik

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 7 หลายเดือนก่อน

    Aaamiiiin thumaaa aamin

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Allah barik

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 7 หลายเดือนก่อน

    Allahumah Amiin 🤲 🤲 🤲

  • @UkhtyAmina17
    @UkhtyAmina17 8 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah Barakallah

  • @HerbalMedicine-v3z
    @HerbalMedicine-v3z 4 หลายเดือนก่อน

    njo South Africa ya sheikh 10:41

  • @Sidat475
    @Sidat475 5 หลายเดือนก่อน

    السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

  • @UkhtyAsiyaah
    @UkhtyAsiyaah 8 หลายเดือนก่อน +1

    Awo ndo wengi kwa sasa wenye kuchepuka Allah atunusuru kwakweli

  • @mukeshimanarose1334
    @mukeshimanarose1334 3 หลายเดือนก่อน

    😊❤🤲📿🇧🇮🇰🇪

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 7 หลายเดือนก่อน

    Allah atujaalie tuwe ni wenye kuswali kwa wakati

  • @موسيمحمد-ه5ظ1ف
    @موسيمحمد-ه5ظ1ف 7 หลายเดือนก่อน

    Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh..naulizaje Shekhe niko n kkangu alipatwa n ugonjwa mwezi wa Ramadhani akashindwa kumalizia swaum 5 za mwisho akafariki sikukuu je naweza kumlipia???

    • @IbrahimAminhassan
      @IbrahimAminhassan 4 หลายเดือนก่อน

      Hadaiwii isipokuwa yule alipata Ramadan akiwa bado mzima

  • @MwajeyJuma-c7l
    @MwajeyJuma-c7l 3 หลายเดือนก่อน

    Allah atujalie wanawke wote mwisho mwema

  • @fat-hiyarashid4605
    @fat-hiyarashid4605 7 หลายเดือนก่อน

    Kumbe buterere sio uterere nimeelewa

  • @AbdulAlly-f1x
    @AbdulAlly-f1x 2 หลายเดือนก่อน

    Hakika watu wa peponi ni watu wa qur'an miongoni mwao sheikh nurdini kishki

  • @NzobonimpaZawadi
    @NzobonimpaZawadi 7 หลายเดือนก่อน

    Amini amiin

  • @fat-hiyarashid4605
    @fat-hiyarashid4605 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hao waume wa kujishusha wapo sheikh😅kibur mtu

  • @fat-hiyarashid4605
    @fat-hiyarashid4605 7 หลายเดือนก่อน

    Maneno mazur yanaisha baada ya ndoa😂😂😂

  • @fat-hiyarashid4605
    @fat-hiyarashid4605 7 หลายเดือนก่อน

    A aya hiyo mumeihifadhi 😂😂😂

  • @fat-hiyarashid4605
    @fat-hiyarashid4605 7 หลายเดือนก่อน

    Hakuna chambo kwa samaki😅

  • @UkhtyAsiyaah
    @UkhtyAsiyaah 8 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Zuberi unatupiga apo 😅😅😅