Allah tujaalie tuwe na mazingatio na tupe moyo wa utiifu Wa kutekeleza swala za Sunna hizi baada ya kuwa tunatekeleza faradhi ili utujengee nyumba peponi Kwa idhini Yako.
Tunakuelewa shaikh watu lakin usiombe kukosa hiyo nyumba wazee wetu wanakosa utulivu 😢 leo yuko hapa kesho hapa Wanakosa utuliv hata ibada haiwi tuliv kwao tena bora mama zetu kuliko wababa Mungu atusaidie tupate hio saada fil dunia Amiin
Ya Rabb Mlinde sheikh Nurdeen kishk na kila baya na mashekh wote kwa ujumla, Aamiin
Aamin 🤲
Amiin Yarabby
Allahumma Aaameen
Oooh allah tusamehe na utuhifadhi kwa Yale tusoyajua nacuwajaalievwenye kujua kama kishki watuelimishe
Masha Allah shekh wangu shukuran Sana kwa funzo muimu Sana in shaallah mwenyezi mungu akulinde na kila Baya
Allah atupe taufiq tuzifanye ibada zetu kwa ufasaha
Allah atusamehe pale tulip kufuru yarabi
Allah atujaalie tuwe nimiongoni mwao
Mashallah
Allah akuhifadhi ❤❤
Masha Allah 🙏🏽
Siyo wazazi wote sheikh
Allah atujaalie na atupe taufiq tuweze kuziswali 🤲🏻
Allah tujaalie tuwe na mazingatio na tupe moyo wa utiifu Wa kutekeleza swala za Sunna hizi baada ya kuwa tunatekeleza faradhi ili utujengee nyumba peponi Kwa idhini Yako.
Mashallah tabaraka llah ❤❤❤
MASHAALLAH TABARAK LLAH
Masha Allah tabarakallah nakupend kwa ajil ya Allah
آللهم آمين يارب العالمين
Allah akubarik
Tunakuelewa shaikh watu lakin usiombe kukosa hiyo nyumba wazee wetu wanakosa utulivu 😢 leo yuko hapa kesho hapa
Wanakosa utuliv hata ibada haiwi tuliv kwao tena bora mama zetu kuliko wababa Mungu atusaidie tupate hio saada fil dunia
Amiin
Jibu ni idul_aladhha
Nakupenda sana Sheikh kwa ajili ya Allah na wakenya twakupenda sana..
Jamani Allah akujalie umri uliyo mrefu🙏🙏🙏🙏
Allah atujalie ndimi zetu ziwe zenye kusema uwongo
Mtumeeee zenye kusema uwongo😮
Asalam aleikum naomba kuuliza hizi rakaa mbili kabla ya dhuhur ndio yaitwa dhuha am ni yengine
Waaleykum salam warahmatullah wabarakatuh
Zipo raka 2 za dhuha ...na kuna raka 4.. kabla ya dhuhuri
Mashallah