HAWA NDIYO NYUSO ZAO ZITAKAZONG'ARA SIKU YA KIYAMA: MUHADHARA BUYENZI BARABARA 24 BURUNDI, SHK KISHK

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @zuwenarajab695
    @zuwenarajab695 หลายเดือนก่อน +1

    ما شاء الله تبارك الله
    Inasisimua, napenda akitajwa mtume Muhammad wanavyoitikia صلى الله عليه وسلم kwa sauti halafu bila kukumbushwa.
    Watu wa Burundi sio mabahili akitajwa mtume wetu Muhammad صلى الله عليه وسلم. Allah awalipe kila la kher.

  • @HakizimanaSalima-sg7cv
    @HakizimanaSalima-sg7cv 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jazzakallahu khayra Sheih Nourden kishki kutuelimisha kwa sunnah kuijua vyema Allah akuifadhi Ameen yaarabby 🤲🤲

    • @FatnaAlly-go7yt
      @FatnaAlly-go7yt 3 หลายเดือนก่อน

      Allah atujaalie tuwe ni wenye kauli zenye kumpendeza allah❤

  • @user-ie3iu5cc5n
    @user-ie3iu5cc5n 3 หลายเดือนก่อน +2

    Shukran sheikh Allah akujalie kilaraheri

  • @zenaibrahim437
    @zenaibrahim437 2 หลายเดือนก่อน

    Jazzakaallah kheri. Sheikh. Akujalia. Kila la kheri

  • @morijomruma
    @morijomruma 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaalaah MUNGU awalinde inshaallah

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 3 หลายเดือนก่อน

    Allahu akbar mashallah

  • @MochammdHadija-pn7nn
    @MochammdHadija-pn7nn 3 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah ❤❤❤

  • @user-lt1tk8vc4d
    @user-lt1tk8vc4d 2 หลายเดือนก่อน

    Allah akilipe kwa kila unachotufundisha na umri mrefu na mwisho mwema inshaalah

  • @mwanajumasaummwangombe3007
    @mwanajumasaummwangombe3007 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah

  • @muhunzijunior5153
    @muhunzijunior5153 3 หลายเดือนก่อน +1

    Allah awaongoze na awalipe yaliyo mema kwa Kazi kubwa mnayofanya in Shaa Allah

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 3 หลายเดือนก่อน

    Oooh allah niongoze vyema

  • @francineniyonzima4986
    @francineniyonzima4986 3 หลายเดือนก่อน

    Allah awalipeni heri kwa kazi mnayo mmfanyiya.. Inch’Allah

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 3 หลายเดือนก่อน

    Allahu akbar mashallah Allah ajaalie nami niwe miongoni mwao inshallah ♥️ ❤️

  • @KhamisMuhammad-wt2ij
    @KhamisMuhammad-wt2ij 3 หลายเดือนก่อน

    Allah awalipe Kila laheri

  • @irakozenurah8990
    @irakozenurah8990 3 หลายเดือนก่อน

    Sheikh karibu kwetu burundi tunakupenda kwa ajili ya Allah

  • @ashanibigira5898
    @ashanibigira5898 3 หลายเดือนก่อน

    Mashaal alaah akulipe kilaheri

  • @faridaally-jp1gx
    @faridaally-jp1gx 3 หลายเดือนก่อน

    Ma shaa Allaah

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 3 หลายเดือนก่อน

    Oooh allah tufanye tuwe ni wenye kuipenda quraan

  • @narutonaruto4303
    @narutonaruto4303 3 หลายเดือนก่อน

    Mashallah allah atujalie tuwe miongoni mwa wat wema

  • @S.Mnguyu
    @S.Mnguyu 3 หลายเดือนก่อน

    Famantaja shuku fahua yeye, allah akupe umri mrefu wenye manufaa tupate kuelimika

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 3 หลายเดือนก่อน

    Watafukuzwa kwenye hozi ya mtume kuomba maji pale mtume atakapo ita umati umati yaluma umati umati wangu njoeni itatokea sauti toka mbinguni ikisema laa tadil ma ladhii muhudathat ataambiwa mtume,hawo so katika umati wako kwanini walizua baada yako.mtume atasema suka liman badala baadi suka liman badala baadi ondekeni wenye kuzuwa baada yangu wakae mbali na mimi

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 3 หลายเดือนก่อน

    siku ya kiama watu wa bidaa watafufuliwa nyuso zao zikiwa na kiza sura zitapoteza nuru kwa wazushi

  • @UkhtyAsiyaah
    @UkhtyAsiyaah 3 หลายเดือนก่อน

    Famanta jashuku fahuwa yeye 😅😅

  • @RahimaSiraji
    @RahimaSiraji 3 หลายเดือนก่อน

    Xxx

  • @imani2870
    @imani2870 3 หลายเดือนก่อน

    Mashallah