MZEE PINDA AFUNGUKA KUTAJWA KWAKE KUMRITHI KINANA CCM, KUMBE NI WASIRA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 3

  • @KandidaMtitu
    @KandidaMtitu 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kuna mahali chadema watakwama, huu ni mwaka wa kuiangusha CCM lkn kwa hali ilivyo watashindwa. CCM imesha lainika kati yao hakuna kiongozi ambae ni muaminifu kwa taifa. Kama watabanwa kwa hoja za kisiasa haswa basi hawana pakujitetea kuanzi juu hadi chini. Chadema kama wataamua kufanya siasa na kuacha harakati wataiangusha CCM mwaka huu...

  • @hakimundabila7940
    @hakimundabila7940 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu jamaa bado yupo kwenye siasa hadi leo

    • @Kanyawela
      @Kanyawela 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Siasa ni MAISHA