Heee tutakuwa wachamungu wote na pepon wote Tanzanian magu haingii kwa huyu BABA hasira zake yan Mm nampenda had nahis kutu cjui kwann magu kamstaafisha Hili jembe
Waovu wanafulai chuma icho kuondoka,hla kuna ktu kizuri tuu kitatokea kuhusu uyu mzee tuwe na subra ndg zangu cc wapenda haki tunampenda xn uyu kiongozi,naamin atapew nafs nyngne tena,wazee wapo kbao kumxhnda uyu na wapo na wanapga kazi
Tutakupenda siku zote, unastahili kupendwa, kwa sababu wewe mwenyewe unajua kupenda na kujali watu. Naomba Mheshimiwa Raisi akupe nafasi nyingine baba.
Lets wait for a big suprize , Atakuwa mtu mwenye cheo kikubwa , kustaafu kwake n maandalizi , tufurahi , tumuombee kiongoz hyu mwenye busara za kipekee
Mh.rais MAGUFURI NAKUOMBA KWA HESHIMA ZOTE MPATIE KAZI NYINGINE mh.MWANRI KAZI INGINE HUYU MZEE ASIPUMZIKE BADO TUNAHITAJI UONGOZI WKE ANAFATA KAZI ZKO MKO VZR SN NAWAPENDA
Simba wa yuda aliye shina la daudi ndiye awezaye kufungua mambo yaliyoshindikana kwako karibu YESU ataweza kukufungua na kuwa huru kabisa chat.whatsapp.com/HVlulo8b9HwBjaeKXnBvn7
Acha mdomo wako kawanyanyasa vipi au Una kiranga cha maisha! 😏😏😏😏😏😏😏😏 watu wasielekezwe utaratibu unaotakiwa kwa kuogopa kusemwa kwamba wananyanyasa raia? Kojoa ukalale huko usilete mdomo
Daa mzee nakuhusudu sana ndani ya moyo wangu umenyoka mungu akupe umri mrefu ishaallah natamani siku moja nikutane na wewe tusalimiyane
Mungu alibariki tumbo lilo mzaa huyu baba
Kazi ya kichwa ni kufikiri sio kubeba mizigo 😂😂😂baba I will miss a lot
Kazi ya kichwa ni kufikiri siyo kubeba mizigo 😂😂😂😂I like him
Haha! 3:50
😂😂😂
Nakukubali san agrey mwanri unafany kazi vzr san
Mkuu wa mkoa nitakukumbuka sana baba , upo vizuri ile mbaya huonei mtu , unafuata sheria
Tia bangili wote, sitaki lumbesa gonga like hapa
Nuceeeeeee
Uncle Magu huyu mzee anatufaa mtafutie kazi nyingine katika umri huo
uyo kaacha Ukuu wa mkoa kwasababu anataka kugombea ubunge mi namuonambali sana akipata ubunge yani uwazir waz waz ..BigUp
Sawa kazi ya kichwa kufikili sio kubeba mizigo 👉👉👉👉
Mimi wa Tabora japo sipo Tabora kwa sasa ....mkuu usingestaafu maaaana umerekebisha vingi sana mkuu...uwe unakuja kututembelea mkuu
Hakuna mtu anae NOAA amasaa yakununua bandoo kama mwari cjutii kumalzaa bando kumsikilizaaa love u
Ila sikupenda kustaafu kwako ila hakuna namna basi
Mara papppppp Raisi wa2025
Umewaza kama mm mkuu, good
Mamaweeee!! Wapinzani watasema magufuli alikuwa mtu mzuri mtu wa watu mpenda democrasia na alikuwa anasilikiza ushauli..nchi itasonga kinyama.
Lumbesa maana yake nn
Josh lumbesa ni kujaza kuliko kipimo cha kawaida kinachotakiwa
Heee tutakuwa wachamungu wote na pepon wote Tanzanian magu haingii kwa huyu BABA hasira zake yan Mm nampenda had nahis kutu cjui kwann magu kamstaafisha Hili jembe
Tutakumis sana kwakweli mzee wetu😂😂😂🤣🤣
Mchapa kaz na ni mtu ambaye hafichi jambo kabsaaa 👏👏👍👍
Naomba Mungu huyu mzee arudishwe Tabor
daaaa afisa tarafaa apigwa maswali makavuu😂😂😂😂🔥 mwari balaaa maswali makavuu
Rudishwa tuu baba Tabora
Yesu ni Mungu na ni njia ya kwenda kwa Baba
Kwa imani yko ndo ipo ivooo
Amen
Huyu anaandaliwa kuwa waziri kupitia hata ubunge wa viti
MUNGU AKUBARIKI RC MWANRI
Tutakukumbuka sana mkuu wa mkoa wetu wa Tabora
Mzee aendelee kupiga kaz suaf sana ...
Uyu baba nampenda sana
Daaaaa hukustahili kustafu kabisa
Akitoka magufuli huyu jamaa anafaasana kuwa rais
Like kwa miladi ayo kwa kuleta habali adimu
Ulitaka wapimie nn
Waovu wanafulai chuma icho kuondoka,hla kuna ktu kizuri tuu kitatokea kuhusu uyu mzee tuwe na subra ndg zangu cc wapenda haki tunampenda xn uyu kiongozi,naamin atapew nafs nyngne tena,wazee wapo kbao kumxhnda uyu na wapo na wanapga kazi
Ametufaa sana huyu mkuu wa mkoa
Namkubaree san Huyu mzee
"Kazi ya kichwa ni kufikiri Sio kubeba mizigo" #ChukuaHiyo🔥
🤣🤣🤣🤣👍
Unastafu kwanini washenzi hao wanatusumbua Sana ww mzee kiboko yao
Sukuma ndani
Mkulima rake jembe bhuana
😂😂😂😂😂
Hapo kweli wafanya biashara wa vitunguu wezi sana kwa mkulima. Limenigusa Sana'a kwani mi ni muhanga HV vitu.
Pole
brother wakulima awaibiwi isipokua mfanya biashara anavyojaza hivi ni kusave nauli tu na ushuru kadri anavyotaka kulipa
Rais tuletee huyu mzee kwetu moro kumepowa
hahaha huyu mzee ana takiwa aendelee kuongoza bwana tuna mtaka
Watu kama hawa kustafu hapana,nibora aongezewe mda
Penda sana mkuu wa mkoa huyu saaaaaana
Ovyooooooooooo tena ovyo sana huyu msenge, Hana kazi za kufanya?
@@Rashidmhedhery Kwan lazima afanye unacho taka ww, we mpotezee tuu, tupo tunae mkubali sanaa kuliko unavo fikiri
Bado sisi wa singida maana wanunuzi wa mahindi wanapima na ndoo zao
Sio kweli mnatukataliaa na mliweka mkakati tupime kwa kola
Ata uku kwetu wanapima na ndoo
@@edwardkudoha6272 kwenu wapi
Chukuwa fom kaka ugombee ubunge tabora tanzania haina ukabila popote kambi.
Shishimbi hoyeeeeeeeeee ahahahaaaaaa hatari sana
Tutakumiss sana wa tabora
Usistaafu bhana tutakumisi
Kweli kabisa hastahiki kustaafu kwa7b ya utendaji wake wakazi
Tutakupenda siku zote, unastahili kupendwa, kwa sababu wewe mwenyewe unajua kupenda na kujali watu. Naomba Mheshimiwa Raisi akupe nafasi nyingine baba.
Namuona Mh Alex😂😂😂😂😂
Aletwe dar
Mungu tulindiye baba yetu
Daaah tunakumis tabora 😭😭
Kaondoka au? 🤔
Daaah huyu Mzee awe tyu rais 2025
Mbavu zangu jaman kazi ya kichwa kufiikiri sio kubeba mizigo
Lets wait for a big suprize ,
Atakuwa mtu mwenye cheo kikubwa , kustaafu kwake n maandalizi , tufurahi , tumuombee kiongoz hyu mwenye busara za kipekee
Ni moto
Rais mpendwa mpe mzee agrey nafasi nyingine
MR. Aggrey Mwanri.
Waziri Wa awamu ijayo huyo
😂😂😂😂 kazi ya kichwa ni kufikiri sio kubeba mizigo
tuulizane maswali makavu ndo tuelewame vizuri 😂😂
Waziri wa ujenzi ndio unafaa kabisa
Biashara ni makubaliano ya mnunuzi na muuzaji ukiona unaumia unaacha
Mmeisomaaaa hiyoooo
Come on man
😁😁😁😁😁😁kichwa ni kufikiri siyo kubeba mzigo
Mh.rais MAGUFURI NAKUOMBA KWA HESHIMA ZOTE MPATIE KAZI NYINGINE mh.MWANRI KAZI INGINE HUYU MZEE ASIPUMZIKE BADO TUNAHITAJI UONGOZI WKE ANAFATA KAZI ZKO MKO VZR SN NAWAPENDA
uyu jamaa itabidi aendeleeetu maana kila kitu kita lala
JPM angemuongeza mwaka mmoja huyu mzee aiseee tutammisi
Nakubali jembe
Mjomba Magu huyu siwakuacha akae nyumbani mpe nafasi bado ananguvu kina Mkuchika waweze ashindwe huyu
Kama ulishalima alafu unapimiwa hivyo inauma sana ila kama wewe nidalali hujui jembe hujui uchungu wa mkulima
Raisi wetu tukupendaye huyu bado ana nguvu mkuu
Hilo gunia linaitwa shishimbi 😂
Vp
Waziri mkuu huyu awamu ijayo
Aisee chukua fom tukupe ubunge mkuu
Eleza ulivyowagombeza😁😁
🍾🍾🍾🍾
"Kazi ya kichwa kufikiri siyo kubeba mizigo"
Tunaoangalia huku tunasoma comments tukutane hapa😂
Simba wa yuda aliye shina la daudi ndiye awezaye kufungua mambo yaliyoshindikana kwako karibu YESU ataweza kukufungua na kuwa huru kabisa chat.whatsapp.com/HVlulo8b9HwBjaeKXnBvn7
KARIBU KWENYE TH-cam CHANNEL YA @TINOMASTORY USISAHAU KUSUBSCRIBE @TINOMASTORY
POSS NDIO NN
Rumbesa ni kitu gani
mana yake ni mzigo wa wizi🙂🙂
Ni kujaza gunia LA mazao kupita kiasi kuliko ukubwa wa mfuko, km unavyoona hayo magunia yamejaa hadi wakashonelea kikofia juu YAKE
Nani ni mbaya? ona hii 👇
th-cam.com/video/lbkoaTToIjk/w-d-xo.html
Hahahaaaaa
Ctamsahau kbx
bonge la jembe
Tazama zitto Kabwe akiliongelea hili linkth-cam.com/video/KB2AiWN1kvI/w-d-xo.html
Diamond plantiumz ampiga lavalava kisa zari KUNUNULIWA GARI HUONDO th-cam.com/video/qrNuUatgdB8/w-d-xo.html
Kwakweli madalali ndio niwabaya kuliko matajili wenyewe
Kumbe ndo mana katumbuliwa anawanyanyasa mpaka wafanyabiashara
Kastaafu hajatumbuliwa kaka vipi
Hajatumbuliwa Bali kastaafu2
Wewe @abubakari kisuju Muheshimiwa kastaafu mbona unaongea usivyo vijua?
Acha mdomo wako kawanyanyasa vipi au Una kiranga cha maisha! 😏😏😏😏😏😏😏😏 watu wasielekezwe utaratibu unaotakiwa kwa kuogopa kusemwa kwamba wananyanyasa raia? Kojoa ukalale huko usilete mdomo
@@prettynesspastory3111 mwambie na weww