HURUMA ...OTHMAN MAALIM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 288

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 5 ปีที่แล้ว +23

    Namshukuru Mungu, Nawashukuru Wazazi wangu kwa Uislamu wangu, Mungu awaangazie Pepo huko mbele za haki, InshaAllah.

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 5 ปีที่แล้ว +24

    Alhamdulillahi RabilaAlamina shukran ya RabilaAlamina Mola ajalye safari iLio bardani wasalama! Shukran Jazeelan jazak Allah khayri 🌺 🌹 karibu te naaaaaaa🌻🌻😭😭😭😭🙏🤲🙏Mola akupe umli mrefu wenye khayri na barka teli gutokan kwa ya Razaq akuraisishie kwakirajambo akiweka usahali kwa Chochte ukifanyacho kije nichema ln shaa Allah myaka hio urudi tena 🇧🇮 ❣️💞💞💞💞💞💞

  • @mohamedmsangi4621
    @mohamedmsangi4621 4 ปีที่แล้ว

    Mwenyezimungu anakuona sheigh Othman maalim kwakazikubwa unayoifanya ktk njiayake alotuhusiasisi wajawake tufuate alhamdulillah rabbil_ aalamin Allah akuhifadhi sheigh Othman umekua kioo ktk uislam mashallah

  • @AfiSoul103
    @AfiSoul103 8 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah mwenyzimungu..amjaalie kheri sheh othman maalim..tangu udogoni mwangu namsikiliza sheh maalim..😢 Allah akulipe ujira mwema..nasisi tunaoangalia nakufatalia darsa zake.. Allah barikk

  • @yusuphyusuph4334
    @yusuphyusuph4334 5 ปีที่แล้ว +11

    mashaa Allah, shekh wetu wew ni mfasaha Wa lugha unaeleweka Sana , Allah akupe mwsho mwema.

  • @حسينمحمد-د7ص4ج
    @حسينمحمد-د7ص4ج 5 ปีที่แล้ว +19

    ما أحلى الكلام Ni maneno matamu na mazuri yalioje Allah Akuhifadhi Sheikh na akujaalie daawa yako iwe ya ikhlaas tuzidi kufaidika na darsa zako tukiwa popote pale na Allah awahifadhi waalimu wetu na masheikh wote wa kiislamu kwani- العلماء ورثة الانبياء

  • @zanmedia5225
    @zanmedia5225 4 ปีที่แล้ว +27

    Nakupenda kuliko maisha yangu kwa ajili ya Alla shekh wangu 😢😢 Yaa Alla tujaalie pepo wajawako na shekhe wetu Shekhe Othman Maalim tukawe wote Jannat firdaus Muhammad rasululla akawe ndio jiranietu Inshaalla 🤲🤲

  • @zuhurambonde6959
    @zuhurambonde6959 4 ปีที่แล้ว +5

    Shekhe othmani mungu akupe uhai mrefu

  • @MarshedOthman
    @MarshedOthman หลายเดือนก่อน +1

    Allah azidi kukuongoza katika kheri zake sheikh othman kiukweli ww ndio sheikh zaid ninaepend kukuskiliza ktk mawaidha yako pamoja watoto wangu

  • @bintsimiyu485
    @bintsimiyu485 4 ปีที่แล้ว +2

    mashaAllah nampenda huyu sheikh Othman kwa ajili ya Allah s.w.t sijui ntamuona vp

  • @hassanhamisimwaropia2314
    @hassanhamisimwaropia2314 5 ปีที่แล้ว +31

    Masha Allah, Mungu akupe malipo mema sheikh wetu na akupe mwisho in sha Allah.Binafsi huwa nafarijika Kwa mawaidha yako

  • @zaitunizaitunihotti1469
    @zaitunizaitunihotti1469 5 ปีที่แล้ว +6

    Maashallah shekh nimejifunza kitu kuwa na msimamo ktk iman unakher kubwa aliedanganywa kakosa ngamia na mtume wetu kashindwa kumuamin

  • @aminasalim3792
    @aminasalim3792 5 ปีที่แล้ว +7

    MashaAllah Allah akulipe kila lenye kheri Sheikh Othman Maalim, na atujaalie na sisi tuwe wenye kuyafanyia kazi maamrisho yake inshaAllah.

  • @zulfahhussein505
    @zulfahhussein505 5 ปีที่แล้ว +4

    Allaah azidi kumuhifadhi Sheikh wetu fil dunia wa Khahara
    Huwa twafarijika sanaa kwenye darsa zake

  • @rahillhamidu2544
    @rahillhamidu2544 5 ปีที่แล้ว +75

    Niombeeni mungu anijaalie katika umri wangu Mara moja nimlete othman maalim, kijijini kwetu kwa uwezo wake Allah, nampenda Sana kwa ajili y Allah

    • @nureyna629
      @nureyna629 5 ปีที่แล้ว +3

      Aamyn, Allah akuwezeshe

    • @faridaalwaily4260
      @faridaalwaily4260 4 ปีที่แล้ว +3

      Allaah Akuhefadhi sheikh othman maalim.uzidi kutufunguwa nyoyoo zetuu.na kutoka ujingani.

    • @abdallahissa2617
      @abdallahissa2617 4 ปีที่แล้ว +1

      Inshaallah
      Nami ni miongon mwa wa2 wanaomfatilia sana basi Allah akujalie ufikie malengo

    • @mariamhussein7554
      @mariamhussein7554 4 ปีที่แล้ว

      Inshallah Allah atakuwesha na me inshallah Allah aniwezeshe nimlete mtaani kwetu.

    • @laythatsuleiman7184
      @laythatsuleiman7184 4 ปีที่แล้ว

      Allah akufanyie wepes na imani yako
      Allah atakupa unachokihitaji

  • @jumwaaabdull5728
    @jumwaaabdull5728 5 ปีที่แล้ว +3

    Maashaallah allah ampe maisha marefu ili tuzidi kunufaka na darasa za oth. Maalim

  • @زينببنتسعيد-د9ح
    @زينببنتسعيد-د9ح 5 ปีที่แล้ว +21

    Maasha Allah sheikh Othman na ma sheikh wetu wote Mwenyezi Mgu awatangulie kwa kila hatua munayopiga,awape umri,uzima na afya njema muendelee na kutupa madarsa ya kutangaza mambo ya kheir kila kitongoji In shaa Allah 🤲🏽🤲🏽🤲🏽

    • @maimunaathman4664
      @maimunaathman4664 5 ปีที่แล้ว +1

      Amiin yarabi

    • @shammoha5297
      @shammoha5297 5 ปีที่แล้ว +1

      Ameen yaa Rabbil Alamiin 🤲🏼

    • @mutaladjasmini4815
      @mutaladjasmini4815 5 ปีที่แล้ว

      Ameen Ya Rabbin

    • @حسينمحمد-د7ص4ج
      @حسينمحمد-د7ص4ج 5 ปีที่แล้ว +3

      ما أحلى الكلام Ni maneno matamu na mazuri yalioje Sheikh Allah akuhifadhi ,akujaalie daawa yako iwe ya ikhlaas na akuzidishie ilimu tupate kufaidika na Allah awahifadhi Waalimu na Mashekhe wote wa kiislamu na waislamu wote kwani العلماء ورثة الانبياء...

    • @زينببنتسعيد-د9ح
      @زينببنتسعيد-د9ح 5 ปีที่แล้ว +1

      @@حسينمحمد-د7ص4ج Amiin ya Rabbil Allamin shukraan jazzakah Allahu kheir kaka nimekuelewa

  • @nassirhabibu4273
    @nassirhabibu4273 5 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah....Allah akulipe kila la kheri sheikh Othman Maalim

    • @moussabigirimana9823
      @moussabigirimana9823 4 ปีที่แล้ว +1

      ASALAM ALAYKUM NAMUOMBEYA SHEKH OTHUMAN MAALIM KILA LA KHERI
      ALLAH AMPE

  • @asiahmariam3942
    @asiahmariam3942 5 ปีที่แล้ว +11

    Allah azidi kukupa afya njema sheikh wetu uzidi kutupa daawa

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 5 ปีที่แล้ว +1

      Asiah Mariam 🙏🙏Allah amjaalie maisha marefu

  • @zajode
    @zajode ปีที่แล้ว

    Allah akujaze kheri akuifadhi akupe maisha malefu sheikh Othoman❤🙏🙏🙏💖💞💗💕🥰

  • @fatmakombo7584
    @fatmakombo7584 5 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah mashallah tunakupenda shekhe wetu othman unatupa dawaaa

  • @bobsule4036
    @bobsule4036 4 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah Allah akupe umri mrefu amiin sheikh wetu

  • @rahmaalfan1776
    @rahmaalfan1776 3 ปีที่แล้ว

    Shukran sheikh wetu barrak allahu feek allah akupe upright twawila uzidi kutunufaisha biidhnillah

  • @hawaa2227
    @hawaa2227 5 ปีที่แล้ว +3

    Ma sha Allah Rahman ya shekh Allah akupe umri mrefu wallah

  • @emmanuelikua7932
    @emmanuelikua7932 5 ปีที่แล้ว +13

    Inshallah very soon i like Muslim teaching, mola nifanyie wepesi! .

  • @aishasalum1918
    @aishasalum1918 5 ปีที่แล้ว +11

    Amin Thumma Amin Allah akujaalie kila lo kuwa na kher na akujaalie mwisho mwema na umri mrefu

  • @mayaaymaan510
    @mayaaymaan510 5 ปีที่แล้ว +17

    MashaAllah sheikh mawaidha yko ni dawa kubwa kwa wengi Allah akupe kheri na urudi salama nyumbani MashaAllah toka niwe mdogo nilipenda ata niolewa Na ww kwa hakika busara Na imani yako ya dini.
    Naomba tuelewa kitu kimoja nilichopenda kwa usitadhi ni hakima vijana Siku Hz atuna imani ya dini busara nidhamu naomba vijana tubadilike tuwe watu kma sheikh anatufuza mengi tuwe vijana Wa imani ya dini InshaAllah sheikh wee ni mfano wakuingwe MashaAllah

    • @abdulramadhan981
      @abdulramadhan981 5 ปีที่แล้ว +1

      Maashallah hukuchelewa pita ktk madrasa yake vjn wake Wana Hekma Kama Sheikh

    • @aminaabdiabdi7112
      @aminaabdiabdi7112 4 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah nikweli kabisa sheikh wetu hyu amejaaliwa hekma na busara na pia amelelewa katika mikono salama ndomana yuko Ivo tumuombee Kwa Allah amjaalie afya na umri mrefu azidi kutuelimisha hakika hyu sheikh nampenda Sana kwaajili ya Allah

    • @fewminutestv568
      @fewminutestv568 4 ปีที่แล้ว

      Ni natafuta Mke mwema we Uko wapi kwani

    • @fewminutestv568
      @fewminutestv568 4 ปีที่แล้ว

      0687777137

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 5 ปีที่แล้ว +16

    MashaAllah. Kila la kheri. Allah baarikk 🙌🏽👏🏼💐

  • @shakilam6320
    @shakilam6320 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah
    Kumbe pia Burundi Wanaongea kiswahili kizuri kabisa

  • @foxstreet8458
    @foxstreet8458 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah Mwenyezi Mungu anijalie siku nikutane na ww khesh wangu

  • @mwajumahaji3718
    @mwajumahaji3718 4 ปีที่แล้ว +6

    Shukran maalim Allah akulipe kheir zaid...🙏

  • @adamidrisa9232
    @adamidrisa9232 5 ปีที่แล้ว +9

    sheikh mungu amekujaalia hekma sana

  • @AbdulAbdul-vp2np
    @AbdulAbdul-vp2np 5 ปีที่แล้ว +5

    Mwenyezi Mungu akulipe mema Shekh wetu na akuongoze kwenye safari ulionayo.

  • @mudimaarifa9394
    @mudimaarifa9394 4 ปีที่แล้ว +31

    dah Allah nijalie unikutanishe nae uyu othman maalim peponi insha Allah🤲🏻

  • @kamalujafary
    @kamalujafary 4 ปีที่แล้ว

    Jazakallah khairah shekh Othman Maalimu

  • @aminajafari5619
    @aminajafari5619 5 ปีที่แล้ว +17

    Maa Shaa Allah
    Allah azidi kukusimamia katika harakati za Kiislam Sheikh Othman Maalim

  • @masikakhamis5089
    @masikakhamis5089 5 ปีที่แล้ว +7

    JAZAQALLAHU KHEIR shekh wetu

  • @jumah1101
    @jumah1101 5 ปีที่แล้ว +4

    Mwenyezi Mungu akulipe kila lilojema sheikh wetu Othman Maalim.

  • @lolooman9170
    @lolooman9170 4 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah mungu akuzidishie bikhair Qi raat .

  • @arnoldschwaristen7916
    @arnoldschwaristen7916 4 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah Allah Amzidishie kheri Shekhe Othmani

  • @halimandune7317
    @halimandune7317 ปีที่แล้ว

    Mashaallah x2. Mwenyezi Mungu akujaze kheri innshaallah kwa mafunzo yko.

  • @AHMEDHASSAN-pq9tg
    @AHMEDHASSAN-pq9tg 4 ปีที่แล้ว

    Sheikh tunafurahi kwa kuitambua na kuifata Sunnah ya kueka ndevu ya Mtume s.a.w

  • @munamuna7488
    @munamuna7488 3 ปีที่แล้ว

    Allah atuxidishie umri sisi na ww othman lengo tuweze kuendeleza kusikiloza mawaidha yako

  • @aishajeaninejeanine8934
    @aishajeaninejeanine8934 5 ปีที่แล้ว +14

    Nakutakia kila la kheri katika safari yako sheikh wetu mpendwa Allah akufikishe salama insha'Allah.

  • @sifajacky7779
    @sifajacky7779 4 ปีที่แล้ว +2

    Subhanah Allah. Allah Akbarr!
    Jazakh Allah heir Shaikh

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 ปีที่แล้ว +7

    Allah akulipe mema sheikh wetu na akujaalie mwisho mwema amiin

  • @halidiyasin7485
    @halidiyasin7485 5 ปีที่แล้ว +30

    Alla amuhifadh shekhe watu akufikishe salm allahuma ameen

  • @abdulally9745
    @abdulally9745 5 ปีที่แล้ว +5

    Abdul Ally Mohamed mungu akuzidishie kila jema

  • @muhamedwardah5144
    @muhamedwardah5144 5 ปีที่แล้ว +13

    Shekh uthumani nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @fatmakiraga4016
    @fatmakiraga4016 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah Akbar sheikh Mimi pia huota ivyo... naeza ota nimeongea na mtu labda na iyo siku nikiamka lazima nitaongea nae...

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 3 ปีที่แล้ว

    Allahumma amiiin yarab napenda Sana mawaidha ya shekhe othuman yanasisimua inshallah

  • @wasafichibu8825
    @wasafichibu8825 5 ปีที่แล้ว +3

    In sha Allah mungu akupe umr mrefu uzidi kutujuza zaid

  • @zainabrashid385
    @zainabrashid385 4 ปีที่แล้ว

    Mwenyez mungu akujalie jaanna shekhe othuman maalim

  • @idrissajumakona5871
    @idrissajumakona5871 5 ปีที่แล้ว +5

    ماشاءاللہ......... جزاك اللهُ‎ یا شیخ

  • @zenanassor2716
    @zenanassor2716 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah shekhe napenda mawaidha yako hayanishi ham wallah

  • @aminatwalib339
    @aminatwalib339 5 ปีที่แล้ว +4

    Jaaazakaallahu ghaira sheikh wetu kwa ukumbusho

  • @uthmanihimbawe5244
    @uthmanihimbawe5244 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah Akbar,nimestafidi Sana maasha Allah

  • @camillas.edrees6155
    @camillas.edrees6155 5 ปีที่แล้ว +38

    Mola Amjaalie Nuru Hadi khatam yake,,, Mola Amfikishe Salama yaa Rabb

  • @rahmasalum7107
    @rahmasalum7107 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah shekh wetu tunafaidika kwa mafunzo yako mwenyz mungu akupe umri mrefu ili uzidi kutuelimisha

  • @ganettsofa7015
    @ganettsofa7015 5 ปีที่แล้ว +13

    MashaAllah mwenyezi mungu akulipe kila la kheyri nakuzidishie umri uzidi kutuelimisha inshaAllah

    • @issanoor7563
      @issanoor7563 5 ปีที่แล้ว

      Usiseme inshaaAllah sema ameen

    • @twalibabubakar2016
      @twalibabubakar2016 4 ปีที่แล้ว +1

      Masha Allah mwenye ezi mngu akujaliye kila lakheri na afya njema utupe faida zaidi na tuweze kufuwata

  • @athumanikaroyo5999
    @athumanikaroyo5999 5 ปีที่แล้ว +7

    Allah akufanyie wepesi inshaallah shekh othmani

  • @احمداحمد-م3ق7ك
    @احمداحمد-م3ق7ك 5 ปีที่แล้ว +3

    Allah.akibar.allah.agupe.umur.mulefu

  • @fatyakauga2951
    @fatyakauga2951 ปีที่แล้ว

    Nakupenda shehe wangu mungu akujarie kwa mawahiza mazuri inshallah

  • @nafesamohamed7553
    @nafesamohamed7553 5 ปีที่แล้ว +3

    Mashkura sheikh jazakAllah kheri

  • @mwantumjuma9025
    @mwantumjuma9025 4 ปีที่แล้ว

    Allah akulipe kheir shekh Othman maalim

  • @mutaladjasmini4815
    @mutaladjasmini4815 5 ปีที่แล้ว +14

    Maalim Outhman Allah akupe janat firdaus

  • @maryamjilo7318
    @maryamjilo7318 4 ปีที่แล้ว +3

    MashAllah mabruck

  • @aishasalimaishasalim1323
    @aishasalimaishasalim1323 5 ปีที่แล้ว +7

    Swadakta ....mola awe nawe ..leona kesho kwa Elimubuliyojaliwa....napenda kusikiliza ..mawaidha...yako...maashaall?

  • @zulfasaleh2981
    @zulfasaleh2981 5 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah allahuma barik llana kheir

  • @husseinchiaseeds2653
    @husseinchiaseeds2653 5 ปีที่แล้ว +8

    Allah akuhifadhi shekhe wetuu

  • @chukwani
    @chukwani 5 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah allah akupe umri mrefu uzidi kutuongoza

  • @hibaalfarsi7756
    @hibaalfarsi7756 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akufanyie wepes ktk umri wako wote

  • @Aisha-om9go
    @Aisha-om9go 5 ปีที่แล้ว +7

    Shukran kila lakher ktk safari yako inshallah

  • @mohamedsaidi2756
    @mohamedsaidi2756 4 ปีที่แล้ว

    nakupenda sana kwa ajili ya alla alla akuhifazi hapa duniani na kesho akhera

  • @otienoabdulsalam3963
    @otienoabdulsalam3963 5 ปีที่แล้ว +6

    nakushukuru kwa ukarimu wako,ALLAH akupe nema kweli? kweli?

  • @fatmajama4010
    @fatmajama4010 5 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah TabarakaAllah Sheikh.

  • @balkisamisi2131
    @balkisamisi2131 5 ปีที่แล้ว +4

    barakallahu ya sheikh

  • @bakarimwakabebe9649
    @bakarimwakabebe9649 5 ปีที่แล้ว +1

    Mawaidha mazur..Islam ni njia ilionyooka

  • @sifa4946
    @sifa4946 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah tujaarie huruma 😪🙏

  • @salmaslma832
    @salmaslma832 5 ปีที่แล้ว +4

    Shukraan shedhe Mungu akulipe kilaladheri amiin

  • @mohamedchibingu136
    @mohamedchibingu136 5 ปีที่แล้ว +6

    MASHALLAH ALLAH AKUPE MAISHA MAREFU INSHALLAH

  • @shufaahashim5855
    @shufaahashim5855 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah darasa ntuzur Allah akulipe kheri

  • @seluwahabdull7223
    @seluwahabdull7223 5 ปีที่แล้ว +5

    mashallah jazak allah kher

  • @bukursalma6103
    @bukursalma6103 4 ปีที่แล้ว

    Allah akupe kila la kheiri akupe afya njema

  • @harrietmwamburi2903
    @harrietmwamburi2903 5 ปีที่แล้ว +4

    Baraka Allahu fikum

  • @احمداحمد-م3ق7ك
    @احمداحمد-م3ق7ك 5 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe.ukoburundu.manshaalah

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 5 ปีที่แล้ว +3

    Assalamu alaykum shekhe
    Mashaallah daawah nzuti sana
    Mwenyeezi mungu atujaalie tuwe na huruma allahumma amiin

  • @ismailmaundu1300
    @ismailmaundu1300 4 ปีที่แล้ว +1

    Allha atujalie mwisho mwema ishallha

  • @selemanomaryabeid2316
    @selemanomaryabeid2316 4 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah Allah akupe afya njema na kheri

  • @nasramasoud9449
    @nasramasoud9449 9 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah shekhe wetu allah akulipe kher inshallah

  • @monesa-8159
    @monesa-8159 5 ปีที่แล้ว +5

    Jazakallahu kheir.

  • @yussufkuwayawaya3061
    @yussufkuwayawaya3061 3 ปีที่แล้ว

    huyu shekhe namkubal.sana na inshallah mungu atanijaalia nitaonana nae peponi

  • @ZaituniMwinyi
    @ZaituniMwinyi 3 หลายเดือนก่อน

    Kwakwe mm nayapenda sana mawaiza yake allah humma amiin

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 5 ปีที่แล้ว +5

    Walaikum salam warahmatullah wabarakatuhu 🌹

  • @halimandune7317
    @halimandune7317 ปีที่แล้ว

    Katika hilo la tabia nzuri jaribu kufanya kwa uwezo wa Allah upate uwezo wakuongea na hawa waarabu .Saudi Arabia ulimwengu mzima unaona jinsi hawa wanavyo tesa wafanya kazi hdi kuwauwa na tukiangalia Mtume wetu kazaliwa hpa Makkah akiwa kielelezo kwa umma mbna Ina niuma mm kuona maasi yakikithiri.Uislamu unatukanwa ni vibaya sana kusikia ulimwengu ukiituhumu hii inchi yenye utukufu mkubwa kwani ulimwenguni kote watu huja Makkah kuhiji.Shimex2 waisilamu tusaidie kufanya Mtume wetu atukuzwe kwa dua zetu waisilamu ibaadilike hii Saudia.

  • @laylisaid9563
    @laylisaid9563 5 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah mashaallah 👏👏💞💞💖

  • @husnahhhahahausys7810
    @husnahhhahahausys7810 5 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah Allah awabariki

  • @kingwabaonlinetv7914
    @kingwabaonlinetv7914 5 ปีที่แล้ว +3

    Jazakallahulkheir

  • @haloshmuni1095
    @haloshmuni1095 5 ปีที่แล้ว +3

    Jazakallah kher

  • @fatmarashidi2790
    @fatmarashidi2790 5 ปีที่แล้ว +7

    Masha alla