Subra huvuta heri na haraka haraka huleta hasara Inshaallah mungu anijalie sbira na uvumilivo kila jambo niseme Alihamdulilah nitasubiri ridhiki yangu ata nilale njaa shukura shekhe inshaallah mungu akupe wepesi katika kila jambo
UTHMAN MAALIM UNGUJA MOJA U............. M........... ALLAH AZIDI KUKUBARIKI KWA KILA JAMBO LAKO,UMRI, RIZQ,ELIMU NA AMALI.. TUNAKUPENDA KWA AJILI YA DINI NA MAFUNZO UNAYO TUPATIA... USICHOKE, JAZZA YAKO UTAIPATA KWA ALLAH.
Utajiri wenyewe wa hovyo.mtu ht huwi tajiri namba moja duniani unakuwa na uwezo wa kawaida tu.pengine kinyumba cha mil.20 vihela kias basi.kisha ukifa hilo joka utamrithisha nani...upuuzi tu Hakuna mtu anaweza kukupa utajiri ukiona umetajirika ujue ww ulitakiwa uwe tajiri na mungu.kwasababu sio wote wanatajirika wanaotibiwa
Hao wasichana wenye nyoka siwaislamu. Wanatumia majina yakiislamu ambapo nimakosa mmoja wao baba ni pastor wachurch amesema mwanawe amemuabisha kijijini
@@stevensosipitangoja ni kwambie hata mapastor wenu hutumia majini ya kikristo kuwateka waumin sasa Yesu wenu alisulubika ili msalimike mbona mnaziki sizisoisha Acha udini hakuna kitabu kinafundisha uovu basi taamaa zetu wanadam ukiona
@@HusnaSharifu HUNA JIPYA WEWE PASTOR GANI ANATUMIA MAJINI?ISIPOKUWA KUNA MANABII WA UONGO WALIOTABIRIWA SIKU ZA MWISHO HAYO MAJINI NI NYINYI WENYE KUYAFUGA KWA TAMAA YA KUMILIKI PESA POLENI SANA.
@@RashidMchenya POLENI WADANGANYE WAJINGA WENZAKO KATKA WATU WACHAWI NA WAFUGA MAJINI NI WAISLAM KAFIRI NI MTU ANAYEENDA KINYUME NA MAMBO YA MUNGU NA NDO NYIE AFU MMEKAZANA KUITA WATU MAKAFIRI NYANI HAONI KUNDU LAKE.
Mi nafikir mashekhe hawawatukanishi wanawake isipokuwa wanawake wenyew imekuwa mtihan leo wamejitoa thaman wanatembea uchi wanafanya zinaa waz waz km wangekuwa na hofu ya muumba wao bas wangeacha kufanya hayo mashekh wangap leo wanapiga kelele kuhus machaf? Mabint wa kiislam ambao hao umewataja wamesoma din lkn wanafanya machaf waz waz ht ile hofu ya kujua molla wang ananiona hana
Ni kweli umepata viewers umeongeza namba ila nakuhakikishia baada ya mwaka huwezi kubaki na na subscriber hata mmoja mwenye akili. Kama millard angekuwa mpuuzi kama wewe asingekuwa wa kutegemewa leo hii. Acha ujinga wa mafanikio ya muda mfupi. Muuza upuuzi wewe.
Mm ndo wakwanza naomba gonga like zenu twende sasa shekhee mungu akupe umri mrefu ni ck ya kiama allh akufufue ukiwa ktk umat muhamandi ❤❤ ❤❤
Ameen yaraby
Hahahahaaa poleni sana amfufue?
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
@@stevensosipita Kwa Kweli Inabidi Tuendelee kusomeshana Na Kumuonba ALLAH Atuongoe
SasaWeweUnashangaaniniUnavyojuaHauta.fufuliwaAu.weWawapi@@stevensosipita
MashaAllah tabarskaAllah. ..kweli sheikh. Mungu atuongoe sote inshaaAllah
Subhanallah umri tawil ustadh twakupenda kwa ajili ya Allah
Mashaalah tabarakallah. Inshaalah Allah akupe afya .amani imani furaha na faraja ktk maisha yako wewe na familia yako sheikh othman.
Amin inshallah
Shukran sana Allah akulipe kheri nyingi inshaallah ❤
Allah akuweke shekhe wetu
SUBHANNA ALLAH,Mungu tuongoze ktk njia ilinyooka njia ya wale uliowaneemesha
Allahumma Amina
Amiin InshaAllah
Subra huvuta heri na haraka haraka huleta hasara Inshaallah mungu anijalie sbira na uvumilivo kila jambo niseme Alihamdulilah nitasubiri ridhiki yangu ata nilale njaa shukura shekhe inshaallah mungu akupe wepesi katika kila jambo
Allaah azid kukupa umri tawil ili utuelimishe shekhee
Shukran jazaka llah kheir kw ukumbusho sheikh wangu
Mungu atujaalie mwisho mwem inshallah
Ya Allah Tujaliye Mwisho Mwema Waislamu Wote
🤲🤲🤲🤲
tamaa kali
Subhanallah astalafilullah eee mola wang tuongoze katika njia sahihi 🤲😢
😭😭😭 Allah atuongoze ktk wenye Imani na subra kwakusubir vyenye kher
Alhamdulillah shukurn sheikh wetu ❤️
Mungu akulinde kwa ajili yetu ❤❤❤
Aamiin
Allahuma aamin
Jazaka.allaah kheir shekhe ❤❤❤❤
Masha allah kwa mawaitha mazuri Allah akupeumri mrefu
Ustadhi tunakupenda kwa ability ya allah
Allah atufikishe akija ameturidhia amiin
Allah akupe umri mrefu shekh wetu uzidi kutupa ukumbusho
Jazakallah khayra sheikh❤
Mashallah mashallah shekhe wetu
Allah bless you and give you long years
Yaarab tujalie rizki zilizo za kheri na halali
Allahumaa Amiin 🤲
Amiin yarrabb
Shkuran shekhe Allah akupe maisha marefu❤❤❤
Allah atujaalie ibada zetu ziwe makbuul ameen
shukran shehe wetu❤
Subhanallah
Mungu tuongoze njia iliyonyooka
Heeee subbhanallah
Shukran shekhe wangu
Ndugu zangu na dada zangu kati ya Mungu na njoka ni nani anaruzuku na ni nani wa kutegemewa visawasawa jini anamtegemea huyo Mungu fikirieni
Mashallh Allah akupe kheri shekh
Allah Atusamehe tukumbuke kumtaka Mola wetu radhi jamni ni kiaamah
Allh akupe maisha malefu ❤❤
Unapata dhambi kwa kuandika tofauti na kinacho zungumzwa
Mungu àkupe kila la kheyri shekhe
Shekh kiarabu chako Masha allh sana allh akupe afya njema aminii
Allah anza na erufi kubwa
Muandishi mungu akusamehe umeandika uwongo yani yaliyo andikwa na mawaidha ya sheikh tofauti kabisa
Alla akupe umri mrefu na mwisho mwema
❤maashaallar napenda Sana mawaidha yako
Shukran sana shaikh
Masha'Allah Tunashukuru Sana Kwa Darsa Tumeelimika
Mbona kichwa cha habari tofauti na mada anayoizungumzia sheikh
Yaani majitu maongo sanaa
😂😂😂@@thabitimkufi7388
Kwakwelii ajab sanaa yalozungumziwaa na kichwa cha habar tofaut
UTHMAN MAALIM
UNGUJA MOJA
U............. M...........
ALLAH AZIDI KUKUBARIKI KWA KILA JAMBO LAKO,UMRI, RIZQ,ELIMU NA AMALI.. TUNAKUPENDA KWA AJILI YA DINI NA MAFUNZO UNAYO TUPATIA... USICHOKE, JAZZA YAKO UTAIPATA KWA ALLAH.
JazakaAllahu khyran
Allah atupe mwisho mwema 🙏🙏😢😢😢😢
Allah atupe mwisho mwema 🙏🙏
Jazaka Allah hkeir
Jazakallahu Kheir
Mungu atujalie mwisho mwema inshallah
Allahumma amiiy khery, inshaallah
Mashallah tabaraka Allah ❤
Jazakallah khayran...❤❤❤
❤ more love ❤️
اللهم حفظ شيخنا
Title ni ingine na mada ni ingine hii ma tv nyingine bhana 😂
shukrani shekhe
Maashaalah ❤️
Maaha Allah
Subhanallah
Mawaidha mazur mashaallah ila jitahidin muend sawa na caption sio caption nyengn na content nyengn, hivo mtakua tunauchafua uislam
ALLAH atupe subra
Tusiwe wanafqi kueleza kisicho husika tuna mnamdhalilisha shekhe aonekane muongo
Kichwa cha habari ni tofauti kabisa na Sheikh anachozungumzia, Nyinyi ni waongo.
Allahuakbar Mashaallah
Subuhanna Wallah
Duuu 😢😢😢
Mawaidha ni mazuri lakini hayahusiani na bint wa nyoka maana hii clip ni yamuda si ya mwaka huu wala mwaka Jana
Masha Allah
Mashaallah
Jazza kwa Allah
Kweli mwenzi Mumgu akupe neema
❤❤❤❤
هل الطاعة ترتكب
ما شاء الله
Kumbe hii kitu kweli mpaka imefika kwa sheikh huyu mimi nilijua kiki yule bint ataka duh mtihani
Ni kweli yapo,ni mtiani mkubwa sanaaaa akuna jambo jepesi wengi wanachoka
Kwaiy jaman ukitowa uku roho inakuuma sasa swadaka ile inakubalika ila huhadisii roho tu unauma
Allah awe na ww shekee
Mtoa post hayo maandishi hata hayaendani na maongezi ya huyo sheikh,acha uwongo
Utajiri wenyewe wa hovyo.mtu ht huwi tajiri namba moja duniani unakuwa na uwezo wa kawaida tu.pengine kinyumba cha mil.20 vihela kias basi.kisha ukifa hilo joka utamrithisha nani...upuuzi tu
Hakuna mtu anaweza kukupa utajiri ukiona umetajirika ujue ww ulitakiwa uwe tajiri na mungu.kwasababu sio wote wanatajirika wanaotibiwa
Allah akibar
Jazajaka allahulkheri
Mtihani wallah
Shehe wangu umeongea kwa hisia sana tunachulia haya maathi kawaida tu lakini ipo tutayakumbuka yote tunayokumbushwa
Mmmmmh hata sielewi
Ewe ya rabbi tustiri waja wako...utu sammeh Madhambi YETU
Ikini nilikua na shida yakujua maan la jina nuhwad nilitaji nijue shekee
Punguza uongo ktk caption nimesha unsubscribe mxiuuuu
Hao wasichana wenye nyoka siwaislamu. Wanatumia majina yakiislamu ambapo nimakosa mmoja wao baba ni pastor wachurch amesema mwanawe amemuabisha kijijini
MSIWAKATAE NI WENZENU HAO NYINYI NI WAFUGA MAJINI AKIWEPO DOCTOR SULE TAFUTA INTERVIEW YAKE UTAAMINI NYINYI MNAENDA KINYUME NA MUNGU KWA TAMAA YA PESA
@@stevensosipitangoja ni kwambie hata mapastor wenu hutumia majini ya kikristo kuwateka waumin sasa Yesu wenu alisulubika ili msalimike mbona mnaziki sizisoisha Acha udini hakuna kitabu kinafundisha uovu basi taamaa zetu wanadam ukiona
Nyinyi makafiri waisramu wamewakosea nini kira mkiona jambo rimefanyika razima muitaje dini nataka nikwambieni uisramu hauruhusu ushirikina
@@HusnaSharifu HUNA JIPYA WEWE PASTOR GANI ANATUMIA MAJINI?ISIPOKUWA KUNA MANABII WA UONGO WALIOTABIRIWA SIKU ZA MWISHO HAYO MAJINI NI NYINYI WENYE KUYAFUGA KWA TAMAA YA KUMILIKI PESA POLENI SANA.
@@RashidMchenya POLENI WADANGANYE WAJINGA WENZAKO KATKA WATU WACHAWI NA WAFUGA MAJINI NI WAISLAM KAFIRI NI MTU ANAYEENDA KINYUME NA MAMBO YA MUNGU NA NDO NYIE AFU MMEKAZANA KUITA WATU MAKAFIRI NYANI HAONI KUNDU LAKE.
Watu tunataka jihad mbn hamsemi au mnaogopa watu
Sawa mnatafuta viewers lkn msiandike na kusema uongo, hapa dhahir umemsingizia Shaikh liwe kubwa liwe dogo yote tutaulizwa.
Kwa hyo huyo nmewake ndio mwenye mjengo
Sasa faida ya kuiweka hiyo picha mama wa nyoka ni?
Mbona maada haihusu na nyoka..please tunataka afichuliwe
Mada ustadh n tofauti n mada uliyoandika confused people
Ingeandikwa sahiha tusingeingia umu mashallah mtoa hii post
WAONENI MASHEIKH HAO WANAOTUKANISHA WANAWAKE NA WAISLSM KWA UJUMLA.HUYO WA NJOKA! na HUYO ZUCHU!!MNAMUOGOPA NINI UKWELI USEMWE ANAJITOA YEYE UCHAFUUU😮
Mi nafikir mashekhe hawawatukanishi wanawake isipokuwa wanawake wenyew imekuwa mtihan leo wamejitoa thaman wanatembea uchi wanafanya zinaa waz waz km wangekuwa na hofu ya muumba wao bas wangeacha kufanya hayo mashekh wangap leo wanapiga kelele kuhus machaf? Mabint wa kiislam ambao hao umewataja wamesoma din lkn wanafanya machaf waz waz ht ile hofu ya kujua molla wang ananiona hana
Kichwa Cha habar kiache sikiliza madini hayo
Nihatari
😂😂😂😂
Koma kutumia picha ya mtu juu huyu shekhe sio mtu wa kiki nai report hii vidio bado naangalia na zengine nononse