Alhamdulillah twamshukuru Mwenyezi Mgu kwa kutujaalia kuwa na ndugu katika dini ya kiislamu kama wewe na wengine kwa kutuongoza kidini na yanayo tufaa katika dunya.
MashaAllah Allah akuzidishie umri mrefu wenye afya furaha uzima na baraka tele uzidi kutupa daaawa ,akuepushe na kila hasad na akujaalie Pepo ya Firdaus pamoja na waislam wote Amiin
Mashallah mwenyezi Mungu akuzidishie nguvu na hekma yakutupatia mawaidha na tuweze kujiepusha na tamaa ya mambo ya dunia.Alhamdhullah....Allah is great
Yaraby usitujaalie dunia kua ndio mapnz kwet yarabby tujaalie tuipe mgong dunia na mamb yke ispokua tujaalie tuipambe akhera ytu ili tukapte saada hko yaumul-Qiyama ishallah 😘😘❤
Jazzaka allahu ghaira sheikh wetu hakika nimefaidika na mawaidha haya na m/mungu atutilie WEPES aaaamin kila penye zito soteee a aaaamin yaa rabbal alaaamin.
Sheikh Othman anasoma Qur’an kwa sauti mzuri sana - MaashaaAllah Tabaarakallaah. I wish tungenufaika na record zake za tarteel. Qiraa’a ya Sheikh Othman kwa sauti yake mzuri itapatia watu shifaa, sakeena na utulivu InshaaAllah
Allah akupe umri mrefu na akuzidishie elimu ili uzidili kutuelimisha na kutufumbua pale tulipokuwa hatuoni tuione na kuikimbilia pepo ya milele isiyo na karaha allah tujaalie mwisho mwema wa maisha yetu,muepushe shekhe wetu na misukosuko ya dunia.
Allah atujaliee maishaa marefu yenye baraka ndani yakee na atujaliee maisha mafupi kama hayana baraka ndani yakee ilii tusiweze kumuasi Allah (s.w) maaana Allah ni mwingine wa kusamehe na ni mwenye ghadhab kwa walee ambao watakao muasi maaan ni mjuzi wa kuadhibu adhabu nzitooo.... Rabana atina fidunya hasanat Wafil agheratul hasana Wakina adhaba naar Allahumaa ajirna minanar saalimin
Kiukwel Allah akulipe sheikh wetu ujumbe umefika na tutaufanyia kazi 👏
MaashaaAllah sheikh Othman Maalim Allah akupe umri mrefu wenye kheri na wewe tuzidi kufaidika na elmu yako InshaaAllah
Alhamdulillah twamshukuru Mwenyezi Mgu kwa kutujaalia kuwa na ndugu katika dini ya kiislamu kama wewe na wengine kwa kutuongoza kidini na yanayo tufaa katika dunya.
MashaAllah Allah akuzidishie umri mrefu wenye afya furaha uzima na baraka tele uzidi kutupa daaawa ,akuepushe na kila hasad na akujaalie Pepo ya Firdaus pamoja na waislam wote Amiin
Mashallah mwenyezi Mungu akuzidishie nguvu na hekma yakutupatia mawaidha na tuweze kujiepusha na tamaa ya mambo ya dunia.Alhamdhullah....Allah is great
Subhallah Allah atujenge imani ya kuipenda ahera nakuipuza dunia kama mtume na maswahaba zake amin
Yaraby usitujaalie dunia kua ndio mapnz kwet yarabby tujaalie tuipe mgong dunia na mamb yke ispokua tujaalie tuipambe akhera ytu ili tukapte saada hko yaumul-Qiyama ishallah 😘😘❤
Allah akujaliye uingie Jannatul firdaus Inshaa Allah na jamii yote ya Islam Inshaa Allah
Amiiin
Allah akulipe kila la kheri, kwakuzitibu nafsi zetu na akujaalie uhai mrefu. amin.
Alhamndulillah 🙏🙏🙏dawa zako huwa zinanikosha roho sana mwalim wangu♥️♥️♥️💖Allah akupe kila la kheri🙏
Mimi mkristo lakini napenda mawaidha yako sana, unahubiri vizuri tena polepole naelewa kila kitu. Mwenyezi mungu akubariki
Jackie chao ubarikiwe pia wewe unaesikiza maneno ya mungu
Allah akujaalie nawe uwe mwiislam
Mashallah Allah atuongoze kila penye kheri zake amin yaarabii
Allah akujaalie na ww pia Upate kuwa mwislam InshaAllah Allah kariim
mungu akupe uri
Hewe Allah we2 ulie umba mbingu na dunia twakuomba u2samee mazambi y2 nau2elekeze njia njema ameen
Jazzaka allahu ghaira sheikh wetu hakika nimefaidika na mawaidha haya na m/mungu atutilie WEPES aaaamin kila penye zito soteee a aaaamin yaa rabbal alaaamin.
Mashallah mungu akulinde shehe wetu
Unanifaa sana sheikh wangu naomba ALLAH akulipe kheil
tunakuomba Allah umlinde shekh wetu
Baraka za Allah zikushukie sheikh othmqn
MashaAllah MashaAllah shekh shkran sanaa Allah akuzidishie mri uzidi kutuelezea n kutukumbusha yalio mema InshaAllah ❤
Mola wetu mlezi atuwongoze waislam wote, inshallah Na atijaliye mwisho mwema, aniongoze🙏🙏🙏
Sheikh Othman anasoma Qur’an kwa sauti mzuri sana - MaashaaAllah Tabaarakallaah. I wish tungenufaika na record zake za tarteel. Qiraa’a ya Sheikh Othman kwa sauti yake mzuri itapatia watu shifaa, sakeena na utulivu InshaaAllah
Masha Allah,Mwenyezi Mungu akulipe kila la kheiri Shukran.
Jaaazakaallahu ghaira sheikh wetu kwa duaa na m/mungu atujaalie tuwe wenye kuipa mgongo dunia
Masha allah .Allah akupe afya njema na umri mrefu
Allahu atuogoze yaa Rabbi tukinai ya dunia😢😢😢
Hongera sana Maalim Mwenyezi akujalie miaka na hekema Nyingi maana hata mm mnaoniita kafiri nafuatilia mawaidha ya Maalim
Maashaa Shukran sana Shekh kwakweli tunapata faida kubwa Alhamdulillaah Allah azidi kukupa Afya njema ili utupe zaidi nzaid
Ameen thumma Ameen
Mashallah kwa kutupatia dawaa nimejifunza mengi kutoka kwako Yallah akuzidishie afya njema in sha'Allah
Allah akupe umri mrefu na akuzidishie elimu ili uzidili kutuelimisha na kutufumbua pale tulipokuwa hatuoni tuione na kuikimbilia pepo ya milele isiyo na karaha allah tujaalie mwisho mwema wa maisha yetu,muepushe shekhe wetu na misukosuko ya dunia.
Mashaallah Allah akuweke maalim upate kutujuza zaidi inshaallah
Marshallah Allah atukinaishe nafisi zetu na duni turejee kwake tukiwa wasafi inshallah
eellah nijaalieniwe mwenyekuiweka dunia kiganjani mwang nasi moyoni mwang inshallah
Allah akujalie Sheikh OTHMAN MAALIM,Unatufundsha wengi kupitia daawa zako,ALLAH akupe maisha marefu uzidi kutuelimishaaa.....AMEEEEN
alhamdulih mwenyezi akujalie umri mwema mafundisho yako mazuri
Allah akupe maisha marefu na afya njema ili uzidi kutupa ma waidha na mafuzo in sha Allah
Inshallah Allah naomba umpe hidaya shekh wetu azid kutupa elm nampenda shekh othuman kwaajili ya allah❤
Jazakallahu kheir sheikh uthman
E! m/ jaalia wazazi wangu mawili,mimi na wote wanipendao.
Mashaallah Allah akujalie heri umri mrefu wenye afya njema na mwisho mwema nakupenda kwa ajili ya Allah
Yaarabbi, tujaalie tuzidi kutenda mema ili tuipate pepo.
Maaaaaashaaallah jaman Allah akuzidishie na akufanyie wepes mambo ykoo
Daawa nzuri sheikh, Mwenyezi Mungu atujalie iwe niwenyekusikia na kufuata. In sha Allah
ALLAH(S.W) AKUIFADHI SHEKHE OTHMAN MAALIM
Shukran shekhe Othuman
Mungu akujalie mwisho mwema
Allah akuongozee baraka wew nasi pia tuweze kutii kile Allah alichotuagiza
Mashaallah allah akuongozee katka kl htajio lako kwa kututoa katka kizaa ktuleta katka mwangaa alhamdulillah
Hawa wasanii wanatuharibia vyeo kwenye kazi zetu kweli shekh watu Othman Mwaalm.
Ahsantee shekh Allah akubariki akujaalie Kila la kher akupe umri mrefu akuzidishie elimu na maarifa ili uweze kutufundisha
Mashaallah Allah akuhifadh duniani na akhera
Allah akujaaalie mwisho mwema nasi atujaalie mwisho ulio mwema
Alhamdulillah Mola Akujaalie kila la kher hapa na kesho Akhera,,,,Aameen
Qqqqqqq1q1qqqqqq1
Amina
@@hadijabakari3248 m m
You deliver Nice daawa sheikh Othman maalim,ilike so much and so much to listen,so God will bless you and us to be in straight way
MashaAllah mashaAllah may Allah give Sheike OTHMAN MAALIM long life to give as good mwaitha
Inshallha
Mwenyezi mungu atujalie mwisho mwemaaah
آللهم آمين يا رب العالمين 🌹🌹❤❤
Allah tujalie mwisho mwema.
@@nuriakimori769 assalaam aleikum warhamatullah
Waarab yao hawayaoni wanayaona yda Zanzibar na Tanzania tuu Mawaiza mazur kweli shukran bi khair.
Allah anakupa kila kitu bro, kwanza msuli wa sula, then hekima na busara...love you.
Shukran xna kwa darsa zako nzuri Yaa ALLAH tujaalie tusiwe miongoni mwa wenye kuipenda dunia inshaallah,,, ni saidaa
Alla,Akupe,wepesi,Wakilakitu
Maanshaa Allah
Hapo alikuwa Burundi karibu tena sheikh Allah akupe kila la kheri Shukraan saana Allah atukubaliie dua zetu aamiin
Mashaallah shukrani sana ostazi wetu
Mungu akuweke shekhe wang nakupendaga na kuelewa mawaidha yako
Mashaaallah Allah akupe uhai ili tuzid kufaidika dunia na akhera
Inshallah, mola akupe umri mrefu, tuzidy kunufaika sisi Na kizazi kijacho, Na mungu wetu mlezi, aniongoze Mimi Na waislam wote, duniani.🙏🙏🙏🙏
Ehhh Mwenyezi Mungu Tujalie Tusiipende Dunia Nakukuikumbatia
Mungu atupe mwisho mwema..Amiiin Ya Rabbi
Allah akujalie umri mrefu wenye kheri na mwisho mwema
shukran sheikh Othman maalimu allah akupe ujira duniani na akhera allah atupe mwisho mwema inshallah atujaalie mlango mwema wa pepon alfirdauos
Sheikh Othman May Allah grant you janatul Firdaus.
Amin
Allah akufanyie wepec uishi sanaaaaaaa inshaalah tuzidi pata mafundisho yaliyomema inshaalah
Shukrani mungu akupee tajii laa kutuu kumbusha maalimu osoomani
ALLAH awazidishie na awape mahulama waliopo umri mrefu.na waliotuacha wape janatul firdaus Ameen.
Allah atuepushe na matamanio ya dunia nani tupo 2020
tupo kaka biidhnillahi
masha aallah sheikh wetu mungu akupe maisha malefu
Mashallah mwenyewezimung atakuli kila jamb la her
Alhamdulillah mawaidha mubashara allah atuafikishe tuwe wenye kuipamgongo dunia
Yaaa rabbiy tujalie mwisho mwema, ammin
Mashaallah Mashaallah lov u of Allah shekh OTHMAN.MAALIM
Allah akupe umri mref shekh tuizidi kujifunza kupitia kwako inshallah.
Omar Kipwasa @amin thuma amin
mashaa allah
Asallam alaykum warahmatullah wabarakatuh
Aaaamin
Ff
mashallah yarab tujaalie tuwe miongoni mwa wenye kusikiliza yaliomema, na mkinge sheh wetu na mitihan ya kidunia ,tuende peponi pamojaa inshallah
Allah atujaliee maishaa marefu yenye baraka ndani yakee na atujaliee maisha mafupi kama hayana baraka ndani yakee ilii tusiweze kumuasi Allah (s.w) maaana Allah ni mwingine wa kusamehe na ni mwenye ghadhab kwa walee ambao watakao muasi maaan ni mjuzi wa kuadhibu adhabu nzitooo....
Rabana atina fidunya hasanat
Wafil agheratul hasana
Wakina adhaba naar
Allahumaa ajirna minanar saalimin
mashaallah tabarakalaah shekh mungu akubariki
ALLAHUMMA LA TAJ'AL DUNYA AKBAR HAMANA
Mwenyezimungu akuzidishie kheri akupe maisha marefu
MashaAllah tabaraka Allah Mwenye ezi Mungu atuongoze njia iliyonyooka
Mungu atatjlie tuwe ni wenye kushka mema lnshAllah shkrn othmn mashAllah tabaraka Allah
Mashaallah xhekhe
MashaAllah
Alima Alima
MashaAllah shekh Allah atujaalie tusiwe ni wenye kuipenda dunia tukasahau akhera
Mwenyezi mungu akupe umri mrefu ishaallah
Maa sha allah,,mungu akuhifadhi na hasd fitna chuki za majini maishaitwani na bin adamu
yarabii atujalie nasi tuwe wenye kuiweka dunia kiganjan na sio mioyoon
Mashaallah
Saidi Shebuge
Amin
Amin
emwenyez mung naomb unipe mwisho mwema wahp duniani nakesho akhell
Napenda mawaidha zako sana sheikh ..MashaAllah
JAZAKALLAH KHERY SHEIKH ALLAH AKUZIDISHE AKUPE AFYA YAKO KAMILI👌
mashAllah may Allah bless you sheikh I like your mawaidha
Baraka lwahu fiyk sheikh Allah akujaz Elim badal allahum zidyn elm waruzukn fahm
Masha Allah mola akuweke huzidi kutupa darsa
M mungu akuhifadhi napenda Sana unapotoa mawaidha Allah akujaalie rizki yahalali
Allah akulipe kheri na akupe umri mrefu wenye kheri nawe "Amin"
Allah akujaalie pepo sote tuliosikiliza pamoja na shekh wetu
mungu atujalie tuwe watu wenye kupata mwisho mwema
اللهم لا تجعل الدنيا اكبر همنا 🙏
Mashallah mungu akuweke miaka mingi na afya njema shekh wetu kipenzi inshallah
Mawaidha mazur Allah akujarie mwisho mwema...
Mashaaallah mwenyezi mungu ukupe kheri nyingi
mashaalh shehe othomani maalimu Allah akupe umre mrefu kutufikishia dawa warming AMIN
tunashukuru kwa dua zuri
Farida 9922 sawa
Allah Allah
Hello mzima ww
Aa kweli shekh wangu dunia si chochote leo bosi anaenilipa mimi anasubutu kuchukua nusu ya mshahara wangu.
Lete Daawa utufurahishe sisi wafanyakazi tulioko kwenye nchi yao.
Allah akupe mwisho mwema Shekh othman