ALIYEKUWA MKE WA MADEBE LIDAI AFUNGUKA ANAYOPITIA HIVI SASA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 17

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tulia wakuze wanao urembo wako unazidi kumeremeta yupo utakaye fika uzeeni naye. atakaye kupenda kwa dhati,atakaye kuthamini,kukujali,kukuheshimu.achana na yule jamaa hajuwi mapenzi,usanii unampa kiburi.

  • @mgtanzania9834
    @mgtanzania9834 3 หลายเดือนก่อน

    Presenter uko wise sana!

  • @WardaSalehe
    @WardaSalehe 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ndoa sio cheti mbwaa ww ndoa maneno ukitamkiwa ushaachika 😅😅😅

  • @badendavid8456
    @badendavid8456 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo umempa moyo wako

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 3 หลายเดือนก่อน

    Diva leo mwanzo mpk mwisho swahili tuu😂😂 cjackia yes no yes no 😂😂😂

  • @Majambo_Duniani_Tv
    @Majambo_Duniani_Tv 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nyani haoni kundule....

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi kwann mkiachana mnakuja media kimya kimya

  • @Aishasuleiman-f1m
    @Aishasuleiman-f1m 3 หลายเดือนก่อน +1

    Duh mtihani sana

  • @TellaaxisTz
    @TellaaxisTz 3 หลายเดือนก่อน

    Duuuh😮 #tellaaxistz

  • @badendavid8456
    @badendavid8456 3 หลายเดือนก่อน

    Naenda kamtajili,kama mila kashavunja

  • @chemstry409
    @chemstry409 3 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo Mwanamke mnafki alishawahi kusema mwanzo hamtaki na maneno chungu nzima then akarudiana nae na sasa hivi anasema wameachana nae..sasa huoni kuwa unatuchanganya? and the why unaweka mambo yako hadharani kiasi hichi?? In public

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hajarudiana nae bhn wee na lzm aongee na wawasiline kwa sababu wamesha changia damu wajichanganya ww ile wengine twajua hajarudiana nae talaka alipewa 3

    • @chemstry409
      @chemstry409 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@ruqaiamohammed345 Sawa ndugu yangu nakubaliana na wewe lakini kwanini aje Public??? Sio poa kwa Maoni yangu lakini...

    • @RahmaRadjabu
      @RahmaRadjabu 3 หลายเดือนก่อน

      Hayakuhusu

    • @ErickMwendwa-md2cz
      @ErickMwendwa-md2cz 3 หลายเดือนก่อน

      Yaan anakuchanganya wewe😂😂😂 ya watu achana nayooooo nyokoz

    • @marymanoni5536
      @marymanoni5536 2 หลายเดือนก่อน

      Kwaiyo