MADEBE LIDAI AFICHUA MADUDU YOTE YA MKE WAKE, AONGEA MAZITO, MWANAMKE MUONGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 693

  • @KWAROJINGALAO
    @KWAROJINGALAO 10 หลายเดือนก่อน +7

    Hakika madebe nimekuelewa vizuri sana nakuombea Dua uishi vizuri na haki katika maisha Yako inshaallah

  • @NammanaMobile
    @NammanaMobile 10 หลายเดือนก่อน +12

    Mi nimekuelewa vizur sana mzee... Tena kitu ambacho umenifurahisha ni kutoongea aibu zake hii ndo maana halisi ya mwanaume...kwasabu wanao kukosoa kwa coment wengi wao ni wasiooa na hawajui nn maana ya ndoa na wengine ni wale waliooa afu hawajui haki zao za kimsingi kama baba wa familia ndomana kila anacho fanya mwanamke wao wanaona ni sahihi... Kwasababu utandawazi umewaalibu vijana na kuona ndoa ni kama chaka la kufanya mapenzi tu lakin hawajui haki za ndoa na heshima baina ya mke na mume

    • @JamalDihon255
      @JamalDihon255 10 หลายเดือนก่อน

      Ni kwel kabxa kk

    • @mubarakamohammedi5303
      @mubarakamohammedi5303 10 หลายเดือนก่อน +3

      Kwa wanaume madebe yupo sawa ugomvi upo kwenye ndoa wanawake wanajiangalia wao tu

    • @joysilayo
      @joysilayo 10 หลายเดือนก่อน +2

      Ndoa nikitu kingine kbs lkn wanaojua niwazee wetu😂awa vijana amn kitu kizazi chanyoka ndomn wengi wanaishia kujiua

  • @faustinhommedetatnifasha9669
    @faustinhommedetatnifasha9669 10 หลายเดือนก่อน +17

    Mwanaume yeyote lazima amuelewe #madebe.

  • @EstherMbeyu-t9p
    @EstherMbeyu-t9p 10 หลายเดือนก่อน +19

    From kenya.. sipendi movies zako tena

    • @sophiakachemramba2568
      @sophiakachemramba2568 10 หลายเดือนก่อน +1

      Nakuunga mkono

    • @MansaMusa255
      @MansaMusa255 10 หลายเดือนก่อน +2

      Kwaio mlikua mnapenda movies zake kwakuwa amemuoa chanuo au? Manaake sijaelewa apo.

    • @fahmiiidrisa5110
      @fahmiiidrisa5110 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@MansaMusa255😂😂

    • @augustuscaesar2816
      @augustuscaesar2816 10 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu sio mkenya kwanza😂

    • @philipwangila244
      @philipwangila244 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@MansaMusa255 achana na hawa hawajielewi kamwe

  • @neemaalphonce1333
    @neemaalphonce1333 10 หลายเดือนก่อน +36

    Sema nilishamuona huyu Madebe tangu siku anamuoa Chanuo ana ubabe sana. Sijui kwa nini mimi huwa ninakuaga na uwezo wa kumsoma mtu mapema. 😢

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 10 หลายเดือนก่อน +3

      Unaotembea nao unawasoma au mganga hajigangi

    • @herimornchriston6083
      @herimornchriston6083 10 หลายเดือนก่อน +1

      hahahaha !!! unadanganyika na maneno anaeyasema chanuo au madebe !!!! je unauhakika gan alioyasema 100% chanuo au madebe n ya kweli ?? mambo yao waachieni yao nyinyi watazamaji hamuwez jaji kwasababu ukweli wanajua wenyewe

    • @frocoissango8973
      @frocoissango8973 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kila mwanahume na ikiwa mmeho au wewe mwanahume siyo mmbambe basi umefeli

    • @maishaforreal7798
      @maishaforreal7798 10 หลายเดือนก่อน +1

      Ndiyo sifa ya mwanaume ubabe,uongozi,ufalme,misingi,vision,dikteta.

    • @herimornchriston6083
      @herimornchriston6083 10 หลายเดือนก่อน +1

      hakuna mwanaume mbabe mbele ya mwanamke mnyenyekevu ukiona mume wako n mbabe tatizo unalo wewe either unamdomo,unadharau,unakibuli na unakejeli . jitahidi kabla yakumsema mwanaume jitahid kufix tabia zako wewe kwasababu mwanume wewe unaomwona mbabe anaweza akaishi namwanamke mwengine vizuri !!!! jifunze kuishi kama mwanamke kwanza kwasabau mwanaume anapenda kuoa mwanamke sio mwanaume mwenzake !!!!

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 10 หลายเดือนก่อน +22

    Namhurumia huyo mke mpya anaesubiri kuolewa. Huyu jamaa yuko kama hajielewi.

    • @zuenajohn8325
      @zuenajohn8325 10 หลายเดือนก่อน

      Sio kujielewa Tu huyu 9

    • @rerisamba
      @rerisamba 10 หลายเดือนก่อน

      Wanawake wengine wako na moyo kweli yani mimi siwezi mwanzo nione mwanamke mwenzangu analia

    • @Mohamed-uz8id
      @Mohamed-uz8id 10 หลายเดือนก่อน

      sio kma hajielewi ni hajielewi kabisaaaaa**

    • @ahz6907
      @ahz6907 10 หลายเดือนก่อน

      Kila mtu ana uchizi wake.huyu anatakiwa aende milembe😂

  • @yogwemwakulola1634
    @yogwemwakulola1634 10 หลายเดือนก่อน +14

    Madebe anaemuelewa ni mwanamme Tena mwenye Akili nyingi sana lkn wanawake na wanaume mabwege ndo hawaelewi

    • @ochu_85
      @ochu_85 10 หลายเดือนก่อน +1

      Umemelizaaaaaaa👍👍👍👍

    • @waitaramwita4923
      @waitaramwita4923 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @shafiilottazinho3610
      @shafiilottazinho3610 10 หลายเดือนก่อน

      Hv unaakil wew

    • @AnethJoseph-m5i
      @AnethJoseph-m5i 10 หลายเดือนก่อน

      Huna hakiri wanawake kumi na Tano ni suna au jando la uongo

  • @Mwigaa95
    @Mwigaa95 10 หลายเดือนก่อน +7

    Maisha ya wasanii full maigizo tu yaani wenyewe kucheza na kontent ndio life style yao, tujifunze kuishi maisha yetu na sio vinginevyo 😃

    • @joysilayo
      @joysilayo 10 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂 maisha yawasanii nisawa nasiasa tyu ishi maisha yako uokoe roho yako ayaaa😅

  • @allymugisha9883
    @allymugisha9883 10 หลายเดือนก่อน +4

    Madebe yupo smart sana,

  • @SaraUlaya-is2ch
    @SaraUlaya-is2ch 10 หลายเดือนก่อน +25

    Nimependa jamani kutambua hilo wanaume niwajeuri sana na hawana huruma sio wote ila asilimia nyingi mimi nilimwelewa sana yule dada uyu nimuongo sana mungu anakuona we baba

    • @advinofficial6570
      @advinofficial6570 10 หลายเดือนก่อน +1

      Shda yenu mnadanganywa na machozi

    • @joyce55727
      @joyce55727 10 หลายเดือนก่อน +1

      Tena huyo madebe muongo sana

    • @maulidympembeta6045
      @maulidympembeta6045 25 วันที่ผ่านมา

      Sijui jinsia Yako lakin nimependa namna ulivyo comment, you well commented kuhusu wanaume japokuwa nami mwenyewe pia ni mwanaume.

  • @iddysufiani4963
    @iddysufiani4963 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mwaume lazima uwe mbabe nimekuelewa madebe😊

  • @cptnbazil6121
    @cptnbazil6121 10 หลายเดือนก่อน +15

    Anavyotafuna Big G anajiona Bonge la Handsome analiliwa 😂😂😂

    • @emmanuelchacha6718
      @emmanuelchacha6718 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @halimamohammed7863
      @halimamohammed7863 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂Mtaniua 🙌

    • @officialbasheer13_tz
      @officialbasheer13_tz 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @officialbasheer13_tz
      @officialbasheer13_tz 10 หลายเดือนก่อน

      Kumbe bwege tu😂😂😂😂

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂 umewaza nini jamani

  • @Bombwejr18
    @Bombwejr18 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sitetei Upande wowote but madebe kuna namna kama anazingua ila sawa kila mtu na maisha Yake

  • @pudensianaosward
    @pudensianaosward 10 หลายเดือนก่อน +19

    Mkeo hata kwa macho tuu anaomekam anayopitia ni magumu we baba badilika unajificha kwenye kimvuli Cha misemo na mineno yako iyo Ila kama nikweli badilika

    • @DellerdoneDeller
      @DellerdoneDeller 10 หลายเดือนก่อน

      Jifunzeni kuwa wanaume kwa wake zenu. Mwana mke mwenyewe yule anaonekana muhuni aliekosa Uhuru wa kufanya uhuni

    • @TashwillKaroolse
      @TashwillKaroolse 10 หลายเดือนก่อน +1

      Lkn jamaa hajaeleza aibu za mkewe hata moja
      Msiwe mnalaumu tu

  • @yusrathomas5373
    @yusrathomas5373 10 หลายเดือนก่อน +27

    Mmmh huyu baba anaonekan katili kweli

    • @joysilayo
      @joysilayo 10 หลายเดือนก่อน

      Umsimuhukumu mtu sio kazi yenu iyo nikazi ya MUNGU

    • @yusrathomas5373
      @yusrathomas5373 10 หลายเดือนก่อน

      Sawa mtumishi🤝

  • @Joyce-qf5px
    @Joyce-qf5px 10 หลายเดือนก่อน +7

    Hovyoooo unamtesa mwanamke mwenzangu Kwa Nini shenzi

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @anitamollel8982
    @anitamollel8982 10 หลายเดือนก่อน +5

    Ki ukweli ni bora tu unge kaa kimya maana hatujakuelewa kabisa unacho kazania hapo kufundwa Vina husiana nn? Na unyayasaji wa kijinsia mmnao ueneza wana ndoa wa sasa watu tunao waamini na kutamani maisha ya leo hii tuna iogopa ndoa kwa kweli 😢😢😢

    • @FatumaMohamedi-t6t
      @FatumaMohamedi-t6t 10 หลายเดือนก่อน +1

      Km una mchumba olewa hakuna kitu chochote ktk maisha kisicho na changamoto Omba Mungu tu akupe busara ktk kutatua hilo litakalokukwaza kwa mda huo.

  • @lizzybeth6344
    @lizzybeth6344 10 หลายเดือนก่อน +15

    Huna point madebe,,,sikupendi tena

    • @chidybwax8080
      @chidybwax8080 10 หลายเดือนก่อน

      Duhhhh

    • @isihakaabdul1134
      @isihakaabdul1134 10 หลายเดือนก่อน +1

      Usimpenda wewe ndo nn ndo unafunguo za rizki ?

    • @lizzybeth6344
      @lizzybeth6344 10 หลายเดือนก่อน

      @@isihakaabdul1134 we umetokea wapi harusi sio yako unaivalia shera..... kwendra kakojoe ulale

    • @philipwangila244
      @philipwangila244 7 หลายเดือนก่อน

      Jipende wewe basi

  • @asiasalim9323
    @asiasalim9323 10 หลายเดือนก่อน +11

    Mwanaume mjuaji ana shida

  • @AbdullahiMukaria-te6kr
    @AbdullahiMukaria-te6kr 10 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤umeongea kwa kutumia maarifa waonekana bado wampenda mkeo licha ya changamoto hizo...sunna ni wanne madebe akikataa atana naye akivumilia sawaa❤❤❤

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 10 หลายเดือนก่อน +18

    hizo Sura yaonyesha katili,,,

  • @marthajohn6532
    @marthajohn6532 10 หลายเดือนก่อน +11

    Madebe hana point anajikanyaga tu.

  • @MauwaAuwa1991
    @MauwaAuwa1991 10 หลายเดือนก่อน +14

    Huyo madebe nimuongo hata anaonyesha umalaya mpaka hapo mbona mkono hauondoki begani kumbe mshenzi huyo jamaa

    • @Mohamed-uz8id
      @Mohamed-uz8id 10 หลายเดือนก่อน

      kabisa kumbe umeona eeeh**!

    • @twayasinilukokelwa625
      @twayasinilukokelwa625 10 หลายเดือนก่อน

      It's fact Hana Hof juu ya kumshika mwanamke ambae sie mkeo,dada au mama

  • @zainab8251
    @zainab8251 10 หลายเดือนก่อน +7

    Kaka leo auna point 😂😂😂😂😂kimeumana

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 10 หลายเดือนก่อน +9

    Ndio maana chanuo kasema Huyu atamshinda point ktk kuongea ,,,Akil huna madebe mungu atakuadhibu adhabu Kali hapa hapa Dúniani.

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 10 หลายเดือนก่อน

      Apewe Adhabu Kwamakosa Yapi. Hata Sisi Tunakosana Nawake Zetu. Lakini Matatizo Yetu Hatuyatangazi Yanaishia Kwenye Mavikao Yetu Yakifamilia

    • @sadially-r6r
      @sadially-r6r 10 หลายเดือนก่อน

      Inategemea na hayo matatzo hiv unajua matatizo ya kuachwa na njaa wew

  • @hellenngala-o2l
    @hellenngala-o2l 10 หลายเดือนก่อน +14

    Mafumbo mengi ya bure,kama hukutosheka kwa mkeo hata kwa huyo mwengine pia hutoridhika,amani ya familia yako ni muhimu kaka usiache mwenzio kutoa machozi juu yako kuwa na huruma.

  • @benedictinelusambo069
    @benedictinelusambo069 10 หลายเดือนก่อน +20

    Wanawake muwe mnaangalia basi na tabia zetu msiangalie pesa tu sasa angalia namuonea huruma chanuo aliruhusu mtu asiyesahihi kwenye maisha yake daaaaah so sad...

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 10 หลายเดือนก่อน +1

      Tamaa ndo zina tuponza mtuy mwenyew huyu hajitambui

    • @benedictinelusambo069
      @benedictinelusambo069 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@omanoman2044 nakuambia ni shida ni shidaaaaaa....

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@benedictinelusambo069 acha sie tupambane tuepuke kuzarauliw na hawa magaid wakiume

    • @benedictinelusambo069
      @benedictinelusambo069 10 หลายเดือนก่อน

      @@omanoman2044 ni kweli kupambana na kumuomba mungu basi ndo kikubwa..

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 10 หลายเดือนก่อน

      @@benedictinelusambo069 haswaaa kikubwa subra tuy kwenye kaz za watu

  • @cresensiangunga5358
    @cresensiangunga5358 10 หลายเดือนก่อน +7

    Unapoteza mashabiki broo

    • @emmanuelwanjara6495
      @emmanuelwanjara6495 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kwan amekwambia anakulazimisha kumfuata?

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 10 หลายเดือนก่อน +17

    Ndoa wanaojua ukweli ni wenyewe lakin watu wanapenda kuingilia mambo hayawahusu kuna mengi sana kwenye ndoa na ukweli wewe unayesikiliza waweza ukaona wa kumlaumu lakin ukawa wewe ndiwe una makosa. Alooa wake akaishi nao au aloolewa akaishi katika ndoa anajua kuwa wakat mwingine watu hukosana kwa kupishana lugha kidogo sana. Kuvumiliana na kuficha mambo ndio uzima lakin haku a ndoa hata za hawa wanaolaumu humu kama wana wenzao hawako salama asilimia mia zote zina migogoro hakuna ndoa ina mteremko

    • @bertinnaftari7026
      @bertinnaftari7026 10 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kweli kabsaa ndoa ina mambo mengi

    • @allyissa2744
      @allyissa2744 10 หลายเดือนก่อน +1

      Naam kbs

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 10 หลายเดือนก่อน +8

    😂😂😂jandoni umetoka lini sura tu inaonesha ata uyo alio kitani pia haukumsikiliza

  • @elimukwadada
    @elimukwadada 10 หลายเดือนก่อน +7

    He's a narcissist husband plain and simple. # boycott madebe movies

  • @gerraldgready8051
    @gerraldgready8051 10 หลายเดือนก่อน +2

    Madebe mm binafsi nimekuelewa sana yaan ninachojua kwanza unampenda sana mzazi mwenzio seme mke ataka akukontroo ww asicho jua angekua mnyenyekevu na msikivu sizani kama ata tungefikia huku yule nijeur, Kwanza kitendo cha mwanzo tu cha kua na mahusiano na ww baadae kwenda kuzaa na mwingine mm nasema ww unaupendo sana, baado kwa kuzihilisha bado unampenda ulimuoa japo amezaa na mwingine.

  • @zubedabello2102
    @zubedabello2102 10 หลายเดือนก่อน +2

    Eti mwanamke ukimbilia kwa mungu that’s true but when it’s to much sometimes you need action 😒.
    Yote asemayo nikama vile yuko namu chamba ule mwana dada😢

  • @EvanceMilimo-ei1xv
    @EvanceMilimo-ei1xv 10 หลายเดือนก่อน +2

    Uko sawa kaka kuna ki2 nime pata kiukweli

  • @MariaHamis-cl3nu
    @MariaHamis-cl3nu 10 หลายเดือนก่อน +5

    Lea watoto wako bro bna usitupe siasa 😂😂😂

    • @BethMwampamba
      @BethMwampamba 9 หลายเดือนก่อน

      Sura tu inaonyesha unajitetea tu,huyo unaemuoa ajiandae Julia tu

  • @jossejunior5668
    @jossejunior5668 10 หลายเดือนก่อน +2

    "Wasanii Wanaigiza maigizo ya maigizo yao" neno la mwaka

  • @joysilayo
    @joysilayo 10 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo mnapenda sana kuingilia maisha yawatu.jmn maisha ya wapenzi wowote wale sio wanandoa tyu sio yakuingilia maana baadae wakipatana nyie mnaonekana ndo wachawi wenyewe😢 naataivyo saiv watuwengi awapendi kujishusha kilamtu anataka kujiona hana atia nakutolea maneno machafu nawisho ndo wanafika kwamitanda😮kumbe nihiv kumbe vile lkn amjui ukweli ukweli wanaujua wap bhn acheni kutete upende mmoja alaaa🤫

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 10 หลายเดือนก่อน +12

    Madebe hana point ndio wale wale wakimbia majukum lkn tambua ya kuwa chozi la mwanamke halitakuacha salama

    • @ndogolofadhila6203
      @ndogolofadhila6203 10 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

    • @AsilahHamad
      @AsilahHamad 10 หลายเดือนก่อน

      Madebe ni mtihani wallah duuh ila wanaume wa dizaini hii wanejaa Tanzania akikuzalisha wanakimbia majukumu huyu baba haogopi chozi la mwanamke na hao malaika wake

    • @enockmaiga6820
      @enockmaiga6820 10 หลายเดือนก่อน

      Aawapi,, acheni kufanya makosa alafu action ikichukuliwa nmakua wa kwanza kulia

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 10 หลายเดือนก่อน +2

    Madini sanaaa niko naww madebe shida nihuyo chanuo

  • @CathelinLeonard-ks5tz
    @CathelinLeonard-ks5tz 10 หลายเดือนก่อน +1

    Msitizame upande mmoja kingine sisi hatuwezi kujua mambo ya hawa wawili mambo ya ngoswe tuwaachie wao

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mtu mzima hovyo msenge wew mbwa wew unashindwa kulea familia unaona kuoaoa ni sifa

    • @RajabuBojo-j2l
      @RajabuBojo-j2l 10 หลายเดือนก่อน

      Mitus ya nn sasa familia umeona Mali

    • @ndogolofadhila6203
      @ndogolofadhila6203 10 หลายเดือนก่อน

      Kama siyo mali aliitafuta yanini

  • @CharlesMlowe-g3h
    @CharlesMlowe-g3h 10 หลายเดือนก่อน

    Good bro maamuz magumu yanatakiwa kama mwanaume na kichwa cha familia

  • @marysaituni4584
    @marysaituni4584 10 หลายเดือนก่อน +12

    Huna jipya 💔💔💔🇰🇪

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wasanii mtihani .. wanaowapenda kwandoa hawawasanii.wajipange. wengiwao. Dini wameiweka pembeni pesa zakisweitwani zinawaponza

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 10 หลายเดือนก่อน +11

    movie zako sitaki tena hata kuziona madebe

  • @kasimsaleh7103
    @kasimsaleh7103 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka wafundishe hao Archana na inanger mbovu hiizo wanakupotezea muda tu

  • @MartineThomas-lh8qo
    @MartineThomas-lh8qo 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mim Bado stohitaji kutoka lawama popote pale...jamani ndoa inasiri nyingi msijaji kitabu kwa kava la nje

  • @miruhongin
    @miruhongin 10 หลายเดือนก่อน +14

    Uyo kaka anaongea sana subiri siku moja atawajua wana wake

    • @peterdaimon-ug6fd
      @peterdaimon-ug6fd 10 หลายเดือนก่อน

      Unaoa oa tuu pole dogo

    • @JemsOzil-wx1io
      @JemsOzil-wx1io 7 หลายเดือนก่อน

      Uyu jamaa ana akili nyingi sana dada 😂ogopa

  • @shanimpenike7568
    @shanimpenike7568 10 หลายเดือนก่อน

    subhaanallaah ...madebe muogope mungu wewe acha kumtusi mkeo na kumdhalilisha kwa kuwa wewe ndo mtu wamisamiati inamwisho hiyo...we mwenyewe uko mitandaon ndo inakupa kula acha ujanjaujanja

  • @zakazakazi-fn6zy
    @zakazakazi-fn6zy 10 หลายเดือนก่อน +6

    Madebe wewe choko tuu unatenda ukatili huku unajigamba acha ufara brothor nimekuchoka ghaflaa sikuitaji na kazi zako zoooteee

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 10 หลายเดือนก่อน +9

    Huyu ni zaidi ya mnyama Allah ndie anae kutosha kwa unavyo dhalilisha wanawake 😢😢😢

    • @PutinYahya-z1o
      @PutinYahya-z1o 10 หลายเดือนก่อน +1

      Huo ndo uanaume we ulitaka afanye atakavyo yeye.

    • @Mariam-fm8vq
      @Mariam-fm8vq 10 หลายเดือนก่อน

      @@PutinYahya-z1o afanye lakin ss tutasema tu

  • @koffianodichisesa238
    @koffianodichisesa238 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ukiona mwanaume anampiga mkewe jitahidi sana umuelewe

  • @MariamJuma-o9z
    @MariamJuma-o9z 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu mtu ni Muslim kweli Waallah hapo this men he anthing huyu mmmmmmmmmhapana ndioooooo naombeni plz plz wanawake jamani ni nini ndiooo

  • @shangwefisima3993
    @shangwefisima3993 10 หลายเดือนก่อน +7

    Libaba la hovyooooo hili

    • @barbiepixie92
      @barbiepixie92 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @stellakyando8433
    @stellakyando8433 10 หลายเดือนก่อน

    Hauko serious madebe,,,,watoto wanna kosa gani,,,,jandoni,,,,jandoni,,wewe kuwa makini ,,walimwengu ni shule tosha,,aiseee hawaangalii Aina ya adhabu ukifeli,,,kumbuka hiloo....

  • @jumaalmasjuma1700
    @jumaalmasjuma1700 10 หลายเดือนก่อน +2

    Madebe hebu kuwa mkubwa na kuwa mwanaume achana vijembe mtandaoni hayo ni maisha binafsi

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 10 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂Kumuhoji madebe yataka moyo
    eti nimekatwa jando nime,,,,polini

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 10 หลายเดือนก่อน +62

    MADEBE hana point kabisa. Huku sio kutetea hoja kabisa. Ndoa zinachangamoto nyingi kila upande hauna ukamilifu lakini kwahili MADEBE unaonekana wewe ndiye unamakosa mengi zaidi. UNAJIKANYAGA SANA sio kawaida yako kabisa ndugu yangu. Maelezo ya mwanadada yalinyooka sana ingawa huenda mlikuwa mkipishana kwenye kauli kwasababu kakulia uswazi yule mwanadada hawezi kukubali kupelekwa kijinga na wewe jinsi ulivyo lazima ulitaka kuonesha umwamba HAPO NDIO TATIZO... 😢😢😢😢😢

    • @Yangaone-h8j
      @Yangaone-h8j 10 หลายเดือนก่อน +3

      fasaha kabisa

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@Yangaone-h8j ❤⚘

    • @olivanooraladin5436
      @olivanooraladin5436 10 หลายเดือนก่อน +1

      Wote wanamakosa

    • @kaimbazongwe657
      @kaimbazongwe657 10 หลายเดือนก่อน +2

      Madebe dinga kabisa nsitamani ata kwangali film zako katili wewe

    • @sadiqselengu4197
      @sadiqselengu4197 10 หลายเดือนก่อน +7

      Siku ukiwa mwanaume na falsafa zako UTAMUELEWA huyo jamaa..
      Zingatia,
      UKISHINDWA KUMBADILISHA MTU BADILIKA WEWE

  • @jackrinlekule7377
    @jackrinlekule7377 10 หลายเดือนก่อน

    Nakuchukia hata cjawahi kukupenda ila kwa maumivu unayompa mwenzio mungu atakulipia ckumoja

  • @Kombo2989
    @Kombo2989 10 หลายเดือนก่อน

    TATIZO LENU KIZAZI HIKI CHA 2000 NDOA ZENU NI ZA "KUOANA"(wote ni watawala) LAKINI KZAZI CHETU KUNA KUOA(mume) NA KUOLEWA(mke) ndio maanadoa zilidumu5 Nipo pamoja na madebe.

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huna Sela madebe ww, jmn wanaume wengine huwa hawakubali kushindwa

  • @kambiyusufu2776
    @kambiyusufu2776 10 หลายเดือนก่อน +1

    Msenge nasula lako hilo mzee malaya tu kwenda kanye

  • @rachelmliwa-gj1eh
    @rachelmliwa-gj1eh 10 หลายเดือนก่อน +7

    Kiazi huyu jomoni😂😂😂😂😂😂😂

  • @faithfaith-zr6gz
    @faithfaith-zr6gz 9 หลายเดือนก่อน

    Liongo liongo hana point mjinga sana

  • @kilifinewsonlinetvkntv7701
    @kilifinewsonlinetvkntv7701 10 หลายเดือนก่อน +3

    #madebe unaongea utopolo mshenzii sana wewe team Gulf tumiaibishe huyu

    • @sophiakachemramba2568
      @sophiakachemramba2568 10 หลายเดือนก่อน

      Fii kalam wajid basi hadha sura mafi good 😅😅😅

    • @kilifinewsonlinetvkntv7701
      @kilifinewsonlinetvkntv7701 10 หลายเดือนก่อน

      @@sophiakachemramba2568 aiwa hadha rijal mukhmaf lesh jip girgir ziadha sawsaw family🥺😂😂😂

  • @thomasnachenga795
    @thomasnachenga795 10 หลายเดือนก่อน

    Mi nlijua unaakili kweli 😂😂😂 kumbe HAMNA KITU APA

  • @youngchezo2744
    @youngchezo2744 10 หลายเดือนก่อน +4

    Nimeipenda iyo ukishindwa kumbadilisha mtu badilika wewe

  • @stewartmgallah
    @stewartmgallah 10 หลายเดือนก่อน

    Daaaah huyu ndo nabii mswahili kweli 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅muongo balaaaaaa

  • @aminaaaminatah5737
    @aminaaaminatah5737 10 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢😢yan kwa movie zake na maneno yake watu kama sisi tumetaman kupata wanaume kama yeye lakin kumbe ndo watu wabaya ata kwa jamii sasa huyu n kiyoo cha jamii ama nmuharibifu wa jamii 😢😢😢😢😢😢

    • @ghaosalsalum
      @ghaosalsalum 10 หลายเดือนก่อน

      Eee kwani iyo ni maigizo voo jamani kwani mtu snaeingiza ujambazi ndo jambazi?

    • @aminaaaminatah5737
      @aminaaaminatah5737 10 หลายเดือนก่อน

      @@ghaosalsalum yes maybe your right bt hii yake n tofaut kwasababu maneno yake yana mafunzo sana na kila mtu anaeza taka kuwa kama yeye na kingine je unaeza kubali kufunzwa mapenzi na mtu alie single offcouse not so kama ye mwenyewe anaoa kama takataka na anafunza watu kuwaeshimu wanawake pamoja na ndoa ju ukipeana talaka dunia nzima yatikisika na mungu hukasirika mbna ye anazipeana usiku na mchana?

  • @meshacishara
    @meshacishara 9 หลายเดือนก่อน

    Mimi ninaco jua nikwamba "wasanii wanaigiza maigizo ya maigizo yao" 😊😊😊

  • @NshimirimanaSalim
    @NshimirimanaSalim 10 หลายเดือนก่อน

    Mbona hana point yoyote huyu mjinga .... anajarib kujitetea tu lkn anakunya

  • @miruhongin
    @miruhongin 10 หลายเดือนก่อน +9

    Ndugu acha kuwa tesa wa maman zetu wewe uli funwa kuhowa sana

    • @fahmiiidrisa5110
      @fahmiiidrisa5110 10 หลายเดือนก่อน

      Kamtesa mama yako???? 😂😂😂😂

  • @MatokeoJoseph.Fonkol
    @MatokeoJoseph.Fonkol 10 หลายเดือนก่อน

    mjinga hawezi kuerewa madebe anazungumzia nini hawo wandishi wao wanapenda muda wote wasikie madebe ana pambana na mke wake mtandaoni

  • @MargaretKimani-v5b
    @MargaretKimani-v5b 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nilikuwa napenda sana movie zako nikidhania maarifa unayotupatia waizingatia wewe kumbe kinyume,,ila sio vizuri watoto wahangaike ukikula raha na wengine damu yako zingatia hata kama mmekosana na mamayao

  • @AnitaMkuhili
    @AnitaMkuhili 10 หลายเดือนก่อน +1

    Oyanyie msiingilie ndoazawatu wenyewe ndowanajua

  • @MohdTryson
    @MohdTryson 10 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂kuwa mwanaume sio kaz ndogo

  • @MozesPaul-h6i
    @MozesPaul-h6i 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu maelezo mengi,Ila siku za ubabe ziliputwa nawakati huwezi kuwa unamwendesha mwanamke Kama gari mbovu Ila fainali uzeeni Kaka tumeona wengi , Kama ww, kumpiga chura teke nikumwongezea hatua, huyo utakuja kumpigia magoti finga tuone!

  • @SakinaNjoka358
    @SakinaNjoka358 10 หลายเดือนก่อน +2

    Unapoteza watu wew watuwalikua wakakupenda sana nakukuamin lakini siamini kama wew mkaka ni oa acha sana

    • @Yangaone-h8j
      @Yangaone-h8j 10 หลายเดือนก่อน

      Mimi nilikua fan wake ile mbaya ila kwasasa nimeamua kutofuatilia mambo yake ule usemi msanii nikio cha jamii hapa haupo kabisa

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 10 หลายเดือนก่อน +2

    Lione liuso lake na mimacho yake ndo maana hujui kuvaa mbwa mwitu

    • @Rogathe-Rogathe
      @Rogathe-Rogathe 10 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @rachelrodgers5080
    @rachelrodgers5080 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaaa anamaneno sana Domo Jing hashidwi kufanya hivo

  • @Bigbossman-e1h
    @Bigbossman-e1h 10 หลายเดือนก่อน +1

    Tahayuri imemja machoni brother kaumbuka

  • @janetkanini2233
    @janetkanini2233 10 หลายเดือนก่อน +1

    From Kenya na hatukupendi duh

    • @agnessbahamu3931
      @agnessbahamu3931 10 หลายเดือนก่อน

      Anakera huyu baba ameulizwa swali anajianya mjuaji

  • @AlbertYangson
    @AlbertYangson 10 หลายเดือนก่อน

    Hayo maneno ya madebe waachie wazee wa busara! Huna jipya nzehe!!

  • @littlelunie.7653
    @littlelunie.7653 10 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu jamaa ni mwanaume haswaa

  • @godymasilingi4750
    @godymasilingi4750 10 หลายเดือนก่อน +8

    Duuh kweli unaweza ukamuona mtu ukajua wa maana kumbe muonekano unatudanganya, jamaa anaongea pointless kabisa sijamuelewa

  • @karimjuma4019
    @karimjuma4019 10 หลายเดือนก่อน

    Anasema swala la kufundwa hapo binafsi kawatus wakwe zake ni matusi kabisa zahri shair

  • @barakayusuph8862
    @barakayusuph8862 9 หลายเดือนก่อน

    Na hakikisha uwe na hela sio huna hela uje utusumbue vichwa uwe na hela pia ndio utagundua matatizo ya wanamama

  • @noahfilimoni4703
    @noahfilimoni4703 10 หลายเดือนก่อน

    Madebe hongera hata kuwapa ruhusa wakuhoji bado ni uanaume tosha.
    Chanuo anahisi machozi yake yatatufanya tumhurumie.
    Mimi sijui unatangaza radioni situnzi watoto 😮hivi mnajua viburi VYA wanawake kweli, ukienda anavyotaka unaweza kuishia jela.
    Mhimu mpe talaka akiona hawezi kutunza watoto alete home tutawalea sisi yeye akale maisha .

  • @andrewgathua-dz8uw
    @andrewgathua-dz8uw 10 หลายเดือนก่อน +5

    Haya jipya yani anakera kama iyo sura yake

  • @ArafaAlly-dy3nv
    @ArafaAlly-dy3nv 10 หลายเดือนก่อน

    🙆🙆🙆🙆🙆 duuuuu tatizo hilii tena limeanzaa upya 😭😭😭😭😭😭😭

  • @Perfect-migomigo
    @Perfect-migomigo 10 หลายเดือนก่อน +2

    Dah niatari kweli no comment

    • @EverlynKenneth
      @EverlynKenneth 10 หลายเดือนก่อน

      Kwakweli ukimya nimzur❤❤ MUNGU AINGILIE KATI ,DUNIA HIII TUNAMUITAJI MUNGU SANAA

  • @jonathanndunguru1195
    @jonathanndunguru1195 10 หลายเดือนก่อน

    Sijaona hoza alitoa madebe zaidi amezunguka kuonesha jinsi gani Chanuo alikua sahihi

  • @MasudSuleiman-n6t
    @MasudSuleiman-n6t 10 หลายเดือนก่อน

    Madebe we ni malaya tu thts all hao ni mamazetu

  • @pascalseleman7919
    @pascalseleman7919 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sura tu yenyewe changamoto

  • @MwanaidiFaki-g4d
    @MwanaidiFaki-g4d 10 หลายเดือนก่อน

    Mwamba upo sawa katika mazungumzo yako

  • @mariamsungura1664
    @mariamsungura1664 10 หลายเดือนก่อน

    Mbwembwe nyingi ziro kujifanya ana misemo kwendaraaa

  • @dullysmart9560
    @dullysmart9560 10 หลายเดือนก่อน

    Bwna wee muongo maneno yko tuu yanajionesha kma kwel unamzulumu kihaki 😢😢

  • @AnethJoseph-m5i
    @AnethJoseph-m5i 10 หลายเดือนก่อน

    Wake kumi na mbili bado unajifanya mwalim mimi nasema mme mwenye busara anavumilia na kuheshim ndoa haiwezekani wote wale walioachika ni wabaya angemvumilia ata mmoja na kama alioa bar hakuona wa msikitini madebe hana lolote bora huyo dada kasema je wengine simwamini huyu ni taper wa mapenzi atoe sitahiri za huyo dada

  • @ZuenaChabani
    @ZuenaChabani 10 หลายเดือนก่อน

    Kamani natamani kumu uliza Mr madebe n'a uyu mke wa kwanza alikuwa n'a tatizo mpaka ukamu acha tumesikiya

  • @SaleheSanze
    @SaleheSanze 10 หลายเดือนก่อน

    Madebe hana point kabisa unachokiigiza na matendo yako sio sawa kabisa unawakosea sana hao wake zako

    • @OmarAliy-jz2xh
      @OmarAliy-jz2xh 10 หลายเดือนก่อน

      We umeoa halafu mke akawa hafati sheria zako au unaona rahisi tuu