MAUMIVU YA KUONGEZEWA MKE YANAUMA KULIKO YA KUZAA / ALIJAZA WANAWAKE CHUMBANI KWANGU - CHANUO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 มิ.ย. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 51

  • @SaraUlaya-is2ch
    @SaraUlaya-is2ch หลายเดือนก่อน +10

    Chanuo mdogo wangu umependeza Sana hongera Kwa Hilo ila usharudi wangu usiangalie ulikotoka my kaza tengeneza furaha yako mwenyewe wanaume wanatunyanyasa Sana wakijua bila wao hatuwezi wakome❤❤❤

    • @jacquelinemwakasala9563
      @jacquelinemwakasala9563 หลายเดือนก่อน

      Watt bila wanaume ungepataje sasa

    • @user-sv6zy3hc8o
      @user-sv6zy3hc8o หลายเดือนก่อน +1

      We nae mpuuzi kweri na ingekua mtu kuzaa ndo kila kitu si angehudumia watoto wake

    • @AntoinetteDorothea-mz7qp
      @AntoinetteDorothea-mz7qp หลายเดือนก่อน

      Chanuo unasema ukweli maumivu ya uke weza inahuma sana

  • @Zainab_salat
    @Zainab_salat หลายเดือนก่อน +2

    Chanuo mrembo masha allah

  • @neemawekab2306
    @neemawekab2306 หลายเดือนก่อน +2

    She’s beautiful ❤

  • @VexMaizoOfficial
    @VexMaizoOfficial หลายเดือนก่อน

    🧭🤳 interview mzuri ongereni sana na pole beautiful chanuo.
    From Msumbiji 🇲🇿 Mozambique mkoani Cabo Delgado mjini Pemba CarioCa

  • @eprolucas326
    @eprolucas326 หลายเดือนก่อน +2

    Pole Sana chanuo ❤

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 หลายเดือนก่อน

    Dango kwa mganga waliosikia like plz 😂😂ila diva kawachukia ndg wa mganga mpk bac 🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @MariamBakari-im5ef
    @MariamBakari-im5ef หลายเดือนก่อน +1

    Naelewa hayo hata unavyoelezea nahisi maisha yananirudia upya sipendi kukumbuka chochote maana naumia kuliko maelezo nikieleza

  • @rayasalum3044
    @rayasalum3044 หลายเดือนก่อน

    Kanenepa mwenyewe nzuli❤

  • @badendavid8456
    @badendavid8456 หลายเดือนก่อน

    Chanuo unaniangusha maisha
    yapo bila mwanaume

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy หลายเดือนก่อน +1

    Acheni ujinga kuzungumza2 katika dini ndoa haiwez vunjika kirahis hivyo nenda kwenye vyombo vya dini ukapatiwe haki sio2 kusema umekaa miezi mi3 basi hakuna hicho ki2

  • @ConfusedLighthouse-so9mc
    @ConfusedLighthouse-so9mc หลายเดือนก่อน +1

    Nikweli dada inauma sana

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 หลายเดือนก่อน +2

    Dada mbona wewe Bado mnuso aise

  • @ifmknowledgepower7333
    @ifmknowledgepower7333 หลายเดือนก่อน +2

    Mtenda akitendwa inauma kweli

  • @EphronSanga
    @EphronSanga หลายเดือนก่อน

    Kinachosumbua ni ubinafsi. Ungekuwa hujabahatika kupata mume na asiwepo WA kukutafuta Kwa vile wote wameoa ndo ungejua machungu ya kutokuwa kwenye mahusiano mile.

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z หลายเดือนก่อน

    UNAKANA ILA UNATOA MAMBO....APA UNAKUJA KUONGEA UTUMBO..😊,,NA KUOGOPA AIBU KWA WA TZ WATAKUPAKA....VITU VILISHAONEKANA BLOGS KIBAO..UNAVIRUDIA KWANN USIKANE KUONGELEA...UNAMPENDA ILA UMESHAINGIA KWENYE MIFUMO YA MITANDAO😊 NA KUOGOPA MASHABIKI

  • @NeemaMwakyasima
    @NeemaMwakyasima หลายเดือนก่อน

    Da diva Mimi nakuja

  • @jacqueli18
    @jacqueli18 หลายเดือนก่อน

    Huyu chanuo utafikiri kaolewa na devi wa huba anavyofanya media tour kumbe kaolewa na madebe Yule wa kusinzia huku anaangalia...yaani sijui anamuonaje Ila Mimi madebe hanivui nguo ....Kama ni wasanii hukuona wengine em pumzika dada acha interview kisa madebe😂😂😂😂

  • @user-ch1tt1yo7p
    @user-ch1tt1yo7p หลายเดือนก่อน +1

    Nakuunga mkono chanuo maumivu yake hayaelezeki

  • @user-mr7gl5ox6u
    @user-mr7gl5ox6u หลายเดือนก่อน +12

    Mwanaume uliyempenda anauma isee asikwambie mtu na ukiamua kumtoa moyon ndo forever

    • @user-sv6zy3hc8o
      @user-sv6zy3hc8o หลายเดือนก่อน +1

      Mapenzi yanauma bwana asikwambie mtu dada angu pambana mim nikisha umizwa Hadi sasa nafanya maisha yangu mwenyew nimemuacha mtoto mdogo wa mwaka moja na miez minne asaiv nipo zangu omani na mambo yangu ni safi kabisa

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 หลายเดือนก่อน

    Nice interview

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa ni waongo nawe wako wote

  • @EphronSanga
    @EphronSanga หลายเดือนก่อน

    Usione wenzako wanapokuwa wanaitwa kwenye upepo WA kisulisuli ili wapate mume na hawapati. Ingekuwa vipi ufiwe na mumeo au uachwe. Ndo utajua maumivu yake

  • @badendavid8456
    @badendavid8456 หลายเดือนก่อน

    Vidonda vya tumbo vinakuhusu Chanuo mwanangu

  • @gundemushimushi9385
    @gundemushimushi9385 หลายเดือนก่อน

    Wameanza mapenzi akiwa na miaka 14 au

  • @kulwamkwachu7399
    @kulwamkwachu7399 20 วันที่ผ่านมา

    Rudi kwa mumeo dada

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli sijuwi kwanini sivutiwagi na wasichana waupe lakini sauti ya huyu dada mtangazaji inanivutiyaga sana kwenye interview ni nzuri ivi utakuwaje kitandani kwenye lile tendo?mpaka raha.achana na limadabe lina unabii mwingi kichwani kwake,ivi wewe ulishaga vunjika kidole,mbavu,jino kuuma kisha lingolewe.apana maumivu ya mwili yanauma kuzidi ya mapenzi.unakuwa mrembo nakumbuka ulikuwaga na shepu nzuri kabla jaribu kunenepa kidogo uone njisi wavulana watakumiminikiya.mtampata atakae kupenda na kukijali.yupo.

  • @user-kg1fs3zf7o
    @user-kg1fs3zf7o หลายเดือนก่อน

    Chanuo uyo au sio aya bhana kikubwa una pumua

    • @user-sv6zy3hc8o
      @user-sv6zy3hc8o หลายเดือนก่อน

      Wenae kaa kwa kutulia kwaio ulitaka asipumue kwa kukosa madebe 😂😂😂😂

  • @salimbilali5174
    @salimbilali5174 หลายเดือนก่อน

    Oleweni acheni kelele

  • @ludovickmutalemwa7387
    @ludovickmutalemwa7387 หลายเดือนก่อน

    Wanawake shda yenu umalaya tu

  • @hawaramadhani6954
    @hawaramadhani6954 หลายเดือนก่อน

    Kumbe wengine hampati maumivu ya kuzaa eeeeh mwehu ww usifananishe maumivu ya kuzaa na ujinga wako watu tumeachwa na tunaowapenda hakina hakuna maumivu hayo bhana eeeeeeeeeh kuzaa mchezo eeee

    • @user-sv6zy3hc8o
      @user-sv6zy3hc8o หลายเดือนก่อน +1

      We naona hujawah kupenda mim cku ya pili baada ya kujifungua mwanaume wangu anaenda kutambulisha mwanamke kwaio yani nikijickia maumivu makali kuliko nilio ya ona Jana yake

    • @hawaramadhani6954
      @hawaramadhani6954 หลายเดือนก่อน

      @@user-sv6zy3hc8o pole jipende kwanza ww ndo umpende mwingine, siku za zote kwenye suala la mapenzi ifanye nafsi yako kipaumbele hutajutia

  • @luqmanomary3558
    @luqmanomary3558 หลายเดือนก่อน

    Wanawake miongon mwenu mnaozikataa neema za ndoa mna dhima kubwa mbele ya Allah yaan leo imekuw kitu cha kawaid kuvunja kwa sabab zisizo za msingi aloo dada Allah akurejeshe katik hadhi yak ya mke sio single media zisiharib akher yako unalilia talaka kitu kinachomkere Allah ,ulihifadhiw badal ya kulind hifadh yako unapamban kuiharib ,na ifike kipind sheria ya tz ibadilik watu kama hawa ndo wanshawishi wengin kuvunja ndoa zao kwa kukosa subira ya maswaib

    • @aisharamadhan4541
      @aisharamadhan4541 หลายเดือนก่อน +2

      Huyu hakukataa ndoa but mateso aliyokuwa anapitia ni makubwa sana kama ulifuatilia interview zake za nyuma utamwelewa

    • @user-lq6mt5ji4l
      @user-lq6mt5ji4l หลายเดือนก่อน

      Mateso tunayopitia ndio yanatupa ujasiri wa kukaa ndoa 😢😢😢

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 หลายเดือนก่อน +1

      Umeckiliza kwa umakin lkn ? Au unajaza lawama kwake tuuu ht nyie mwanaume mna dhima pia kwa Allah mnataka wake zaid ya 1 lkn hamna uadilifu 😢

    • @givenessdavid3743
      @givenessdavid3743 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂Sikiliza upya kabla ya kujieleza

    • @sakinaunderwood
      @sakinaunderwood หลายเดือนก่อน

      Endelea kuvumilia mpaka uumizwe​@@user-lq6mt5ji4l

  • @jeunajuatv817
    @jeunajuatv817 หลายเดือนก่อน +1

    Hizi ni kiki

    • @bigbro-my6xj
      @bigbro-my6xj หลายเดือนก่อน

      Sasa kiki kivipi hapo mjomba? Naomba nieleweshe

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 หลายเดือนก่อน

      @@bigbro-my6xj hawajaachn

    • @bigbro-my6xj
      @bigbro-my6xj หลายเดือนก่อน

      @@jeunajuatv817 kwa hio wanaishi nyumba moja ?yani kupika na kupakua na mume wake ? Hapo kahojiwa kwenye tv kudanganya tu ?

    • @ahmadlitwe7190
      @ahmadlitwe7190 หลายเดือนก่อน

      Una akili sana brother