MADEBE AMWAGA MBOGA, AMJIBU CHANUO - "ANAPELEKA WATOTO Kwa MASHOGA, ANALEWA" - PART 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 330

  • @SAIDMSAFIRI-y7q
    @SAIDMSAFIRI-y7q 9 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu jamaa nilikuwa namuheshimu sana nakupenda movie zake Hira anaonekana nimswahiri sana napia mnyanyasaji mno rione kwanza baya kama boga

  • @JemsOzil-wx1io
    @JemsOzil-wx1io 7 หลายเดือนก่อน +1

    Maisha yana siri kubwa yape sikio yakunongoneze ❤ be blessed my brother madebe lidai ❤

  • @JonhMsumari
    @JonhMsumari 10 หลายเดือนก่อน +5

    Bwana madebe Mimi Huwa nakuelewa sana Kwa misemo mingi pamoja na kuwa kioo Cha jamii ila kwahili umeharibu mrudishe chanuo Jabra mambo hayajawa mengi acha kujitetea

  • @AngelMorrice-r7f
    @AngelMorrice-r7f 10 หลายเดือนก่อน +14

    Mwanaume wa hovyo mtoto wa miaka mitano hajaanza shule😂
    Dada dida nakupenda Sana umemuweza madebe

    • @saidkipalo4427
      @saidkipalo4427 9 หลายเดือนก่อน

      Yaani miaka mitano mtoto asipo pelekwa shule ndio mwanaume anakuwa wa hovyo? Kweli kuishi na msungo ni kipaji Kinacho jitegemea

    • @chancekambale3498
      @chancekambale3498 2 หลายเดือนก่อน

      Hauelewi nikichwa ngumu pia

  • @KOATV
    @KOATV 10 หลายเดือนก่อน +6

    Noma lazima iingie trending 🔥🔥

  • @jayeventstv313
    @jayeventstv313 9 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂 Yaaani madebe Yuko sawa kabisaa. Hadi mnaona evidence Lakini mnamuonea Madebe. Even if it's me,nitafanya alivyofanya. Hongera Madebe.

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kheeee sa ayo makubaliano gani jamani hapana kwakweli et asimchunguze mumewe 🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @Abdallahlipipa-n7c
    @Abdallahlipipa-n7c 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nimefurahi MADEBE alipowauliza dida na lokole mupokwenyendoa jibu hawapo kwenyendoa lakini mukawamajaji kwenyendoa zawatu nimeipenda hii sini

  • @AngelMbaga
    @AngelMbaga 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mke alikuwa straight forward..... Akiongea vinaeleweka Sana.

  • @maximusalnono6425
    @maximusalnono6425 10 หลายเดือนก่อน +4

    Niliposkiliza interview ya mkewe aligusia kuhusu suala la kulewa ilionekana kama madebe anaruhusu mkewe awe analewa nilimuona madebe mtu wa ajabu sana haswa katika misingi ya kidini now nimepata picha nimeelewa..vizuri kuskiliza malalamiko pande zote mbili still nahisi kuna matatizo pande zote mbili

  • @bensonmtutwa4583
    @bensonmtutwa4583 9 หลายเดือนก่อน +1

    Yeye alikuja na mission Mimi nilikuja na vision. Chunguzaneni kabla ya kuoana ndoa ni dude kubwa

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 10 หลายเดือนก่อน +6

    Hawa wanaume wa hivi ndio wanadaigi mpaka chupi😢roho mbaya tuuuuuu msheeenziii

  • @KelvinMaganga-ew7xb
    @KelvinMaganga-ew7xb 10 หลายเดือนก่อน +3

    Jamaa yuko smart sana wanawake siku hizi wanazingua sana

  • @marthakinyaga8342
    @marthakinyaga8342 10 หลายเดือนก่อน +16

    Yaan hapo mngewaita wote ilikuepusha unafiki na longolongo fanyeni muwaite pamoja .

  • @PauloMisagaro
    @PauloMisagaro หลายเดือนก่อน

    Madebe nikweliii ❤❤❤❤

  • @magalila3761
    @magalila3761 9 หลายเดือนก่อน +1

    Madebe ni mpenda ngono kaniboa sanaa msaniii wangu

  • @mtorowaziri2645
    @mtorowaziri2645 9 หลายเดือนก่อน

    😂madebe kamuua chanuo kweupeee😂kwaio saiv madebe ndo HERO

  • @CamelyneAtsenga
    @CamelyneAtsenga 4 หลายเดือนก่อน

    Sio kimakosa, Ila ni arudi nyumbani kwake audumie familia yake.
    Napenda Sana movie zake, kumbe ovyo😮

  • @abdulsimbarakiye4145
    @abdulsimbarakiye4145 10 หลายเดือนก่อน +12

    Ndungu yangu Mr. Madebe sisi Wanaume tuko wa janja sana ikiwa kama humpendi lazima umfanyie visaa wewe unajitetee muogope mwenye zi mungu kaka yangu punguza kuoa uko unajitetea ok fine

    • @isihakaabdul1134
      @isihakaabdul1134 10 หลายเดือนก่อน

      Apunguze kuoa ? Afanyeje ajichue! Ushauri huo tena unatoka kwa mwanaume ? Hii dunia mbona hivi!!

    • @muhsiniissa8151
      @muhsiniissa8151 10 หลายเดือนก่อน

      Kwanini asioee?

    • @IssahWanga
      @IssahWanga 10 หลายเดือนก่อน

      We mwanaume ahogaaa vipiii kwanza wewe abdu wajua maaa ya abdul kweliii

    • @salmabasil385
      @salmabasil385 10 หลายเดือนก่อน

      @@isihakaabdul1134we nawe hamaanishi ajichue bali apunguze gubu atulie na mke sio kuoa na kuacha kilasiku

    • @PtahEnki-go3io
      @PtahEnki-go3io 10 หลายเดือนก่อน

      Na vile sura kama kielekezo Cha hofu
      Nakuchukia tokea Kenya,sikudhamini tena

  • @beatricemartin474
    @beatricemartin474 10 หลายเดือนก่อน +7

    Uyu mwanaume wanaomgombania labda wamelogwa kwa kweli maana kimuonekano haeleweki, mfukoni hasomeki uongo uongo mwingi sanaa.

    • @MmohamediSaidi
      @MmohamediSaidi 10 หลายเดือนก่อน

      We mbona mjane tuu

    • @janechaula2870
      @janechaula2870 10 หลายเดือนก่อน

      😁😁😁

    • @IssahWanga
      @IssahWanga 10 หลายเดือนก่อน

      Mlete wako tumuone dada

  • @KarimLamar-x5g
    @KarimLamar-x5g 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna sentensi aliyewahi kusema kweny filamu yake yawezekana ndio ambayo anatembelea,, Alisema hivi "NJIA RAHISI YA KUMUHADHIBU MWANAMKE USIEMPENDA NI KUMUOA" sijui alikuwa anamaanisha ao,, maaaana naona ni mwana Psycholojia

    • @tarisilamandy1835
      @tarisilamandy1835 6 หลายเดือนก่อน

      Inakaa wewe ni fan wa movie zake😂😂😂😂

  • @katonyamaybe5753
    @katonyamaybe5753 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ningekua mungu nigepea wanaume matiti , mwanamke akizaa mwanaume ananyonyesha so sahii madebe angelikua hakuna kesi hapo juu hiyo time hata asingependa yakuja kwa studio angekua ana focus na breastfeeding ..sim naona hiyo ni ku solve ikona peace 😅

  • @lailalaila9114
    @lailalaila9114 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mi uyu baba ata wanaume waishi siwezi kua nae Jamn mungu anisamehe tu😂😂😂

    • @KAHINDITV
      @KAHINDITV 10 หลายเดือนก่อน

      Umeonaee na lilivyo na sura km limetokea kwenye mapango ya kolelo

  • @MRHURUMAHuruma
    @MRHURUMAHuruma 10 หลายเดือนก่อน +1

    Alyo yaongea mke wa madebe yote ni kweli acha kutumia umaarufu wako vibaya

  • @samiriahmadi4632
    @samiriahmadi4632 10 หลายเดือนก่อน

    Mimi kwa maoni yangu kusema ukweli mimi naona ukweli usemwe tu maana naona naweza nikaongea na katika hatua hii ndugu zangu nafikiri na naona kabisa kuwa kwa muda huu naona na natamani niongee kuhusu haya na nina mengi ya kusema moyoni lakini kuhusu hili acha nichangie hoja kwa kusema ni kweli mnayosema na mimi sina la kusema

  • @EmmanuelSabibi
    @EmmanuelSabibi 9 หลายเดือนก่อน

    Mgeita wote Ili muwaulize na sio mmoja mmoja ,hata mahakaman hua wanaitaji watu wote ,ila mkiita mmoja mmoja hampopata ukweli wa uhakika

  • @mtukufusafari5535
    @mtukufusafari5535 10 หลายเดือนก่อน +3

    Usipokuwa makini madebe kumuelewa inaweza kukuchukua muda

  • @JosephCharles-z8f
    @JosephCharles-z8f 10 หลายเดือนก่อน +1

    Me cjakusaliti mwamba nawajua wanawake vizur sana mwanaume hawez sema sir za ndan thus way tunaonekana wakosaj

    • @IsmailElmazroui
      @IsmailElmazroui 10 หลายเดือนก่อน

      Msichan analew , marafik zake mashoga, anaiba hati ya nyumba serikal ya mitaa imemuony matendo kaona akimbilie mitandaon kumchafua madebe mpare katumwa hela

  • @yustakipenya6231
    @yustakipenya6231 10 หลายเดือนก่อน +5

    Mpaka mwanamke kusema vile ujue yamemfika wanaeake wanaweza kuvumilia mapungufu Sana ikizidi ndo anafunguka kama chanuo

    • @martinemaganga5253
      @martinemaganga5253 10 หลายเดือนก่อน

      Hivi unawajuwa wanawake wa kirangi, kinyaturu na kimbulu?

    • @janechaula2870
      @janechaula2870 10 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

    • @yustakipenya6231
      @yustakipenya6231 9 หลายเดือนก่อน

      @@martinemaganga5253 kabila halihusiki bwana kwahyo unataka useme huyo mwamke muongo

  • @jacklineandrea
    @jacklineandrea 10 หลายเดือนก่อน +4

    Huyo madebe anaonekana dikiteta

  • @AbduliHalim-o2y
    @AbduliHalim-o2y 10 หลายเดือนก่อน

    Ndowa za kikiristo mungu alie umba mbingu na arizi hazijuwi wala hajaziandika

  • @fix_tv
    @fix_tv 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi safi sana. Pitia hapa

  • @salmabasil385
    @salmabasil385 10 หลายเดือนก่อน +1

    Shanuo alisha sema kwenye maneno hakuna wakumshinda madebe

  • @asmahchongoe1117
    @asmahchongoe1117 10 หลายเดือนก่อน +1

    Chanuo sio chizi jamani ila Mungu hamfichi mnafiki

  • @jkayombo_jr858
    @jkayombo_jr858 8 หลายเดือนก่อน

    Yan toka leo movie zako mwiko kwang

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 10 หลายเดือนก่อน +1

    Itoshe kusema tu kwamba ndoa zinasiri kubwa so kesi za wanandoa tuwaachie wanandoa wenyewe maana wao ndiyo wanao jua chanzo na mwenye mapungufu ninani kati yao.

  • @VestineKankindi
    @VestineKankindi 10 หลายเดือนก่อน +4

    Madebe wewe ni muongo kwakwerixinaonekana unanyanyasa wanawake kwejiri yahera😢😢

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 10 หลายเดือนก่อน +3

    Kweli Dida zamani ulikua pambee enzi za times 100.5' saizi kwishney huna jipya umedorola

  • @AsiamandutaAsiamanduta
    @AsiamandutaAsiamanduta 4 หลายเดือนก่อน

    Namuoneya uluma sana chanuo naelewa maumivu anayopitiya mwanaume kama madebe munqu awalahan daimaaa

  • @AZHAD26-gl9xf
    @AZHAD26-gl9xf 10 หลายเดือนก่อน +10

    Niliwambia angalieni na upande wa pili..kiweni na Akili musiropoke tuu maisha yana Siri kubwa

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 10 หลายเดือนก่อน

      Huyu ni muongo madebe

    • @rajabdibwa6415
      @rajabdibwa6415 10 หลายเดือนก่อน

      Madebe ni mpangaji maneno

    • @IsmailElmazroui
      @IsmailElmazroui 10 หลายเดือนก่อน

      Wamejua ukwel wote najua madebe jajatoa vya ndani km akina lukamba

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 10 หลายเดือนก่อน

      Huyu ni muongo hana lolote

    • @yordanyona1234
      @yordanyona1234 9 หลายเดือนก่อน

      kumbe Mpare😂

  • @SaquinaMinrage
    @SaquinaMinrage 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nilikuwa nakukubali sana kumbe huna lolote nakuchukia

  • @HancyKabisama
    @HancyKabisama 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ukiona mwanaume anashona kitenge!ogopa Sana huyo mwanaume

    • @Yangaone-h8j
      @Yangaone-h8j 10 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣🤣hee kitenge tena

    • @janechaula2870
      @janechaula2870 10 หลายเดือนก่อน

      😁😁😁

  • @abdillahabdalla
    @abdillahabdalla 3 หลายเดือนก่อน

    Madebe muogope mungu

  • @ReginaLenatus
    @ReginaLenatus หลายเดือนก่อน

    Surambaya sema era²

  • @josephinethoya
    @josephinethoya 10 หลายเดือนก่อน

    Mmhh,uyu nabii mswahilifu,anajifanyaga mstaarabu hana lolote😢😢

  • @RBSMABATI
    @RBSMABATI 10 หลายเดือนก่อน +1

    Content za ndoa zimeamia mitandaoni😊

  • @mubuyafrancis3979
    @mubuyafrancis3979 10 หลายเดือนก่อน +7

    Tukubalitu wanangu mbele ya Mwanamke kwasisi wanaume kwahapa Duniani kwenye kesi zetu kutobow mziki jamani.Yani sisi tusubir aheratu siku tukiwa peponi kwasis wanaume mbele ya mwenyenz Mungu tutatoboa tofauti nahapo uwongo wanangu.kwahapa Duniani kimahakama Dunianzima hutoboi kisa Jinsia yakiketu.Kwahiyo yote nayote weangalia kwenye Ndoa Mtu wakwanza kutow sili zandani kama ananyanyasika autoi uduma ya waototo ni Mwanamke kuongea nnje yandoa ila siyo sisi wanaume utaskia tunaenda sijui Redion kuonge umpuuzi tu.Kwahiy wadau mbele ya Mwanamke utoboi Mamae yani sisi wanaume tutaendelea kuonwa kama ni wanyanyasaji wakijinsia kirasiku.

    • @tukuyufm
      @tukuyufm 10 หลายเดือนก่อน +1

      mwanaume kwa dunia ya sasa asikulizwi, ni vigumu kujitetea mungu anajua yeye yaliyovifuani mwa wanaume wanaoumizwa kuanzia mahakamani mpaka jela mambo ni mengi sana

  • @MohammedNyabusani
    @MohammedNyabusani 9 หลายเดือนก่อน

    Mapenzi kumbe nalo ni tawi la sanaa

  • @BinSalim-sx8yx
    @BinSalim-sx8yx 9 หลายเดือนก่อน

    Badebe aseme kweli

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 10 หลายเดือนก่อน +3

    Point time nyingine shida niwanawake hakuna mwanaume anaependa mwanamke anajipangia chakufanya sasa mwanamke mrevi mimi niko naww madebe

  • @neemamalila4155
    @neemamalila4155 10 หลายเดือนก่อน +37

    Mapenzi yafungiwe Tanzania tumechoka 😂😂😂😂

  • @amosjoseph7241
    @amosjoseph7241 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanamke WA Aina Hii ni hatarii,huyo anaongea sana, ukimsikiliza vizuri nimchonganishi, pia amelenga kuvuna nyumba

  • @chancekambale3498
    @chancekambale3498 2 หลายเดือนก่อน +1

    Madebe humuwezi kwa chochote 😂😂😂 nakukubali. Huyo muke nikichwa nguvu ukishindwa kuishi na madebe nahizo hakili zake jua uwezi kuishi na mume mwingine

  • @abdallahdullah8642
    @abdallahdullah8642 10 หลายเดือนก่อน +2

    Saiv hakuna ndoa kwasabb ndoa ni heshima na ndoa Ina siri zake na ndoa ni kustiriana, huwez kutoa aibu za ndani ya ndoa kwasabb ukitoa aibu za ndoa yko unajidhalilisha ww mwenyewe.
    Ucdhani kusema mabaya ya mke au mme wako humkomoi yy Bali unajikomoa mwenyewe.
    Jianike baba jivue nguo mchana kweupeee udhaifu wa chanuo ndo udhaifu wako halisia.

  • @MajubuElias
    @MajubuElias 10 หลายเดือนก่อน

    Kumuelewa Madebe inatakiwaa Akili wanawake wengi ni wahovyo

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele 10 หลายเดือนก่อน

    Hiyo barua imeandikwa VIBAYA sanaaaaaa imeegemea upande mmoja

  • @tonphilipo7760
    @tonphilipo7760 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yaana anayoyaeleza ayaeleweki mbwa uyu mnafki tu alishajipanga kuja kujitetea tu

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani hata sura inainyesha kuwa mnyanyasaji

  • @Jayden8412-tq4ig
    @Jayden8412-tq4ig 9 หลายเดือนก่อน

    So kwel kabisa bwana madebe

  • @AgnessPaschal
    @AgnessPaschal 7 หลายเดือนก่อน

    Wale maoenda na mission kwenye ndoa badala ya vission tujuane hapa

  • @KAHINDITV
    @KAHINDITV 10 หลายเดือนก่อน

    Ukimuangalia madebe usoni unaona kbs uso unahaya nacho hayana nguvu hana nguvu yakupinga kiukweli kwa sis wasanii tunajua madebe hapo amefanya km yupo mbele ya kamera,lkn kwa maisha ya kawaida asingeweza kupinga hizi tuhuma😏😏😏😏

  • @Adje244
    @Adje244 10 หลายเดือนก่อน +4

    Wanawake tunahuruma sana😂😂😂 yani huyu na sura yake bado anapata mwanamke anamsumbua😅😅😅

    • @Mariam-fm8vq
      @Mariam-fm8vq 10 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂usinivunje mbavu

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 10 หลายเดือนก่อน

      Nyie watu 😂😂😂...aah we! Mapenzi upofu eti

    • @TashwillKaroolse
      @TashwillKaroolse 10 หลายเดือนก่อน +1

      We mwenyewe kupata bwana wa kukidhi haja zako unahurumiwa tu😂😂😂 ukute wa ovyo tu

    • @Adje244
      @Adje244 10 หลายเดือนก่อน

      @@TashwillKaroolse 🤣 ila siyo kama uyo 😩

    • @janechaula2870
      @janechaula2870 10 หลายเดือนก่อน

      😁😁😁

  • @Alf-e2x
    @Alf-e2x 10 หลายเดือนก่อน

    Yaan anajiuma una tuu wallah mwanaume wa hivyo san ww

  • @AbduliHalim-o2y
    @AbduliHalim-o2y 10 หลายเดือนก่อน

    Muhimu sio sura muhimu mashine

  • @ReginaLenatus
    @ReginaLenatus หลายเดือนก่อน

    Mzee siyo mzee kosa era uone

  • @Ustadhihamza
    @Ustadhihamza 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sio mapenzi yafungiwe hapana ujinga ndio ufungiwe

  • @pascosalvatory5274
    @pascosalvatory5274 10 หลายเดือนก่อน +3

    Madebe Janja janja sana

    • @othumanlorenzo260
      @othumanlorenzo260 10 หลายเดือนก่อน

      Uwezo mdogo wa watangazaji wanawekwa kona na mtu mwenye maneno mengi kuliko facts,media zetu hazina uwezo wa kuhoji ....,watu waoweza ku twist maneno

    • @mubuyafrancis3979
      @mubuyafrancis3979 10 หลายเดือนก่อน

      Ivi kwanini kilasiku kwenye maswala yandoa mtu wakwanza kulala Mika na kutow sili zandani ni mwanamke jamani ila siyo sisi wanaume.Ndomana tutazingishiw sana kwasabab kwenye kesi ya mwanamke kutoboa sisi wanaume katika Dunia hii bad sana tutazidi kuonew 😢

  • @zenamtembezi4921
    @zenamtembezi4921 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ailishen kupendana mue km mm no love no sress😂😂😂

  • @nusrathmanyawa4501
    @nusrathmanyawa4501 10 หลายเดือนก่อน +1

    Lione kwanza janaume hovyo sana

  • @eunicekiilu7485
    @eunicekiilu7485 9 หลายเดือนก่อน +1

    Lkn yeye mwenyewe 😏 ako na ngeli simuchezo🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @VeroAbell
    @VeroAbell 8 หลายเดือนก่อน

    Mm ndio mana natafuta vyangu mahana mwanaume ukichuma nae baadae anakukataa

  • @AishaJumaa-u9w
    @AishaJumaa-u9w 10 หลายเดือนก่อน +1

    Uuyo madebe Hana jipya ajing'ata ng'ata tu Hana hoja uyo

  • @renatusmwanakatwe-gl9xb
    @renatusmwanakatwe-gl9xb 9 หลายเดือนก่อน

    Dunia Mapito Abdukiba aliimba, Masuala ya ndoa sasa Mitandaon Tutafika tu ila mh.

  • @deathrow8004
    @deathrow8004 10 หลายเดือนก่อน

    MASUALA YA FIQHI KUHUSU NDOA YANAHITAJI ELIM

  • @AllyshabaniPandu-g7y
    @AllyshabaniPandu-g7y 2 หลายเดือนก่อน

  • @LatifaAthumaniOmaly
    @LatifaAthumaniOmaly 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mhmmmm kiukweli mungu amfichi mja wake madebe so mtu kabisaa

  • @SharonAron-t1j
    @SharonAron-t1j 10 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu kaka anajua kujitetea balaa yani anamaneno hatari

  • @jarufuramadhan2734
    @jarufuramadhan2734 9 หลายเดือนก่อน

    Dida unaongea sanaaa aiseeh unabowa

  • @KhairatyMustapher-zp1vz
    @KhairatyMustapher-zp1vz 10 หลายเดือนก่อน

    Aiseeee...mh atari

  • @huseintajo8113
    @huseintajo8113 10 หลายเดือนก่อน

    Vitimbi vya wanawake ni vikubwa sana, ndoa ni kunga makuti kuungaunga

  • @PaulKisui
    @PaulKisui 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hii imeisha endelea ukurasa mwengine

  • @MariamAbuubakar-e5o
    @MariamAbuubakar-e5o 10 หลายเดือนก่อน

    Me nauliza kweli ameoa kama ameoa nikweli maneno yote aliyo sema mkewe ni kweli kabs

  • @MbarakAhmedAbdalla
    @MbarakAhmedAbdalla 10 หลายเดือนก่อน

    Hafai chanuo kumbe hana dini kabisa sio muislam kweli simuonei imani kwa hilo

  • @MohamedBotto
    @MohamedBotto 10 หลายเดือนก่อน +1

    Madebe lidai mnafiki sana hata lafiki zake wanasema machafu yake je wanamuongopea

  • @enercknoah220
    @enercknoah220 10 หลายเดือนก่อน +1

    Anajitete tu huyu baba … yule manamke alikua analia keasababu ya watoto wake, watoto wake mbona hawajaenda shule yaya kama baba katulia tu mtotowake ajaanza shule… na kama shule hajawapeleka nawala hajui je watakua wanakula kweli?

  • @PatrickTeshaTesha-zp4ld
    @PatrickTeshaTesha-zp4ld 5 หลายเดือนก่อน

    Huyo mwanamke anaonekana yeye ndyo itilafu kama mwanaume angezembea angelilia chooni

  • @abdulngenda6475
    @abdulngenda6475 10 หลายเดือนก่อน +3

    Kwanini yeye Madebe haku peleka mtoto kwenye orodha na kumpesha mtoto keti cha kuzaliwa? Mjanja huyo hamtamweza.

  • @CharlesLusekelo-h3l
    @CharlesLusekelo-h3l 10 หลายเดือนก่อน +1

    Walioshindwa kwenye ndoa na ndio wamekua makungwi😅😂

  • @msanifgdf615
    @msanifgdf615 10 หลายเดือนก่อน

    Nilichogundua madebe hapewi muda wa kujieleza mnakatisha katisha ovyo.

    • @IsmailElmazroui
      @IsmailElmazroui 10 หลายเดือนก่อน

      Ndio dida anaingia anakatish maelezo

  • @Lodrickmwambene
    @Lodrickmwambene 9 หลายเดือนก่อน

    Hapo sasa madebe nimekuelewa

  • @OmarOmar-ob9tb
    @OmarOmar-ob9tb 10 หลายเดือนก่อน +1

    Haeleweky kabxa

  • @MatridaMhanzi
    @MatridaMhanzi 10 หลายเดือนก่อน +2

    Naona kama ana tabia za kuku tena jogooo kama msanii ni aibu sanaaa

  • @MRHURUMAHuruma
    @MRHURUMAHuruma 10 หลายเดือนก่อน

    Ndoa za kikristo ni ngumu sana kuvunja lakin hiz za.kiislamu ni rahiz kuoa nakuacha nakuoa tena alafu eti kwa kiisilamu ukimwacha mke humpi fidia yeyote

    • @Rmkh88
      @Rmkh88 10 หลายเดือนก่อน

      Kwa mtindo wa kutoa fidia, kila siku wanawake watakuacha ili wapate fidia. Wazimu gani huo

  • @RoseMwakyambiki
    @RoseMwakyambiki 9 หลายเดือนก่อน

    Dada dida hao masta nishidatu hawajali watoto wao kudandiatu wadada waige mfano Kwa kakayao mondi anajuakudandia napia tunamwona anajali wanae na anawapenda maana tunamwona hatamitandaoni tunamwona anakula Bata na wanewe huyo binadam hatujawahi hata malamoja yupo nawamewe weangaliatu hatamwonekano wa wakezake inaonyeshatu halijali

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ati mashoga zake ni wanaume walileft😂😂😂...aah we!

  • @SaumuNjama
    @SaumuNjama 10 หลายเดือนก่อน

    Ndomana ukaambiw moyowa mtu nimsitu bt sipoa unavyomfanyia chanuo

  • @dulaabdallah6127
    @dulaabdallah6127 10 หลายเดือนก่อน

    Haya ni yaleyale ya kadhi kuoa kungwi na ndoa kuvunjika

  • @MariamAhmadaMwikalo
    @MariamAhmadaMwikalo 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hyo,malaya anajitetea tu

  • @mishitellah2897
    @mishitellah2897 9 หลายเดือนก่อน

    Yote ni kuwa Kam fungua chanuo kwa kazi na mradi. Kawaida c ni Kaz na mpk achakaruke. Mbona kumnyanyasa. Mtu ni msani n maneno a nayo so muhimu kukubali tu majukum n. Ashajihukumu n mwanadamu.

  • @khadijab7066
    @khadijab7066 10 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu jamani mtiani tu namchukia sana