Pt3_MARKO ALIYEKUWA MSAIDIZI WA NABII WA UONGO•Kuomba mzimu wa yesu•Kuombea watu wafe•mafuta ya watu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
    M-pesa Lipa Namba.5634017
    AirtelMoney Lipa No.3878783
    Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

ความคิดเห็น • 138

  • @hopejohnson7352
    @hopejohnson7352 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hyu nabii wa kigogo mm Dada angu kila nikienda ananishawishi niende nilimjibu hyo sio mtumishi wa mungu kwaza anauza vikacha vya kuvaa mkonon anauza maji hyo nabii ni kwel mm niliskia hbr zake ni mnaigeria kwel mungu tupe macho ya rohon🤲🤲

  • @isayanyingi6387
    @isayanyingi6387 ปีที่แล้ว +3

    Daa! Mungu tuponye kwayote asante promover tv Mungu azidi kuwabaliki kazi zamikono yenu amina

  • @sicholasticamalindogo7127
    @sicholasticamalindogo7127 ปีที่แล้ว +3

    Kwa ushuhuda huu Mungu akufiche sana kwa Damu ya Yesu

  • @AhobokileKapange
    @AhobokileKapange 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amina mtumishi Nimejifunza kitu kitu kwa manabii hao mungu atusaifiye

  • @helenbahati8038
    @helenbahati8038 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa ushuda. Promover tv baraka tele

  • @mahershalalhashbazi2189
    @mahershalalhashbazi2189 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi Marko anahitaji deliverence

  • @elibarikilukasimakala5534
    @elibarikilukasimakala5534 ปีที่แล้ว +1

    M/Mungu akubariki sana Marko kwa kukutumia kutufungua ufahamu kiasi hiki
    👆🙏

  • @marybatamula1402
    @marybatamula1402 ปีที่แล้ว +2

    Pole Marko. Catholics sio wa mataifa. Watu wana Roho ya Mungu.Hakuna kipimo kinachoonyesha kwamba dhehebu fulani kuna Roho ya Mungu.

  • @wemamanikana9791
    @wemamanikana9791 ปีที่แล้ว +5

    Mungu azidi kukutumia, watu watoke huko kwa hao manabii wao

  • @mackfasonmoshi4629
    @mackfasonmoshi4629 ปีที่แล้ว +6

    G M Naona wazidi kubarikiwa. Brother mtatusaidia wengi kuhusu story hii ya Bro Marco...Aisee kumbe Manabii wa Uongo ndio hivi.. Oooh Kutabiriwaaa Aiseee Uuuuuwiiiiiii.. "Mimi pale sirudi tena"..Maombi yangu ni kuwa Kauli hiyo iigwe na wengine wengi waliobaki hukoooooo....Wanafunga ili watu wafe??? Naiona Kuzimu live ndani ya Makanisa ya Namna hiii.... Bwana Tusaidieeeeee....

  • @mariethanjau8815
    @mariethanjau8815 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusaidie Sana

  • @lainacemmmwasote1862
    @lainacemmmwasote1862 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu,kweli Neema yake Kristo inatutosha.Barikiwa mno kwa kumsikiliza Roho Mtakatifu na kwenda kutubu,Mungu akuinue zaidi na zaidi.

  • @RebecaMaloda-xx2qm
    @RebecaMaloda-xx2qm 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @bahatishitindi
    @bahatishitindi ปีที่แล้ว +1

    Ubalikiwe sana

  • @truth7796
    @truth7796 ปีที่แล้ว +9

    When you trust pastor, water, salt more than God you are completely finished. people should fix there eyes on God and put their trust in Jesus

    • @mackfasonmoshi4629
      @mackfasonmoshi4629 ปีที่แล้ว

      Thanks. You have spoken the Truth Mr Truth..

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya ปีที่แล้ว +1

      Yes yes yes

    • @mackfasonmoshi4629
      @mackfasonmoshi4629 ปีที่แล้ว

      @@HappyMwaigwisya Yees. The End Time Church of Believers needs also to experience the Genuine Manifestations of The 9 Gifts of the Holy Spirit and specifically the 3 Gifts of Revelation...(Word of wisdom, Word of knowledge and The Discerning of spirit....) 1 Corinthians 12: 8-10...God have mercy on us....

    • @ServantofGodNehemiahPDA
      @ServantofGodNehemiahPDA ปีที่แล้ว

      Many Christians are not aware of tarrying in the presence of God unless in the presence of their pastors and prophets or prophetesses... You're called to reach God through prayer and acting on His living Word accordingly...Jesus is real and heaven is real for a real people.
      Watu wengi hawapendi kuomba na kusoma na kuishi ndani ya Neno la Mungu ili waweze kumfikia Mungu direct isipokuwa wanapenda kuombewa, kutabiriwa na kuhubiriwa matokeo yake watajikuta wakitegemea wachungaji, manabii na mitume, mafuta na maji ya upako...
      You, even don't understand the meaning of Anointing of God? Water and oil is not Anointing of God....the issues of Anointing is about the presence of a certain "Spirit" and "power".... If the source of Spirit and power is from darkness, surely, you will receive evil spirits and power! Is it true you understand the source of power of your pastor or prophet? This is the big challenge to many Christians because they have never ever reached God or hear the voice of God! Je, baada ya kuomba Huwa unamsikia Mungu amekuambia Nini? Km hujawahi kumsikia Mungu...basi kubali kuendelea kudanganywa vile vile....
      Please if you would like to receive more teachings about the Word of God and how to reach our almighty God and be in His presence, join us with the ministry of MOHSI-COAN on Whatsapp with; +255755 546 697

  • @MwajumaRamadhani-t8w
    @MwajumaRamadhani-t8w 2 หลายเดือนก่อน

    Kakangu hukumtegemea mungu uliwategemea wanadamu ndomana ulitangatanga Sana mtegemee mungu tu

  • @sallymumia8425
    @sallymumia8425 ปีที่แล้ว

    It's very true,they are some churches paying members.,

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana kaka yetu

  • @evelynekomba7216
    @evelynekomba7216 ปีที่แล้ว +1

    Tujifunze kusimamia neno la Mungu,

  • @koletajeanne8824
    @koletajeanne8824 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏 mungu anatumiaya watu kuone megi ile asimame Imara kwasaivi mungu Kaseme ombeni bila kukoma

  • @rerisamba
    @rerisamba ปีที่แล้ว +1

    Mmm kikaragoni hadi motoni pole sana jamani mbona story za kutafuta Mungu zitaletea mtu balaa hivi pole sana

  • @Neema-m6s
    @Neema-m6s 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli umepitiswa kwenye makanisa iliuweze kujua.Mimi binafsi ninaliamini neno la Mungu kuliko mtu kwa sababu na mm niliwahi kuja kwa huyo nabii wa kivule kilichonitokea tetekuanga mwili mzima pia nilikuwa nikijipulizia maji ya ubavuni yale mwili wote unawaka moto ila Yesu aliniweka huru.

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 ปีที่แล้ว +10

    Umenigusa Sanaa Mtumishi yamenikuta mengi Sanaa kwenye Makanisa nimeamua Kukaa Nyumban sielewi niende kanisa Gani

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya ปีที่แล้ว

      Endelea kukaa nyumbani upo salama zaidi nakwambia. Usiwe na haraka mpaka YESU akwambie uende kanisa lipi. Tuliaaaa

    • @mackfasonmoshi4629
      @mackfasonmoshi4629 ปีที่แล้ว

      Pole sana J M. Maombi yangu Roho Mtakatifu akuongoze kupata Kanisa linaloamini Kweli ya Bibla..Usikae nyumbani Dada...Waebrania 10:25 Barikiwa.

    • @ServantofGodNehemiahPDA
      @ServantofGodNehemiahPDA ปีที่แล้ว +1

      Uko maeneo Gani? Kama upo dar tuwasiliane usikae nyumbani unampa Shetani mlango...Cha muhimu kumuuliza Roho Mtakatifu.

    • @mahershalalhashbazi2189
      @mahershalalhashbazi2189 ปีที่แล้ว +1

      Joyce hebu nijuze ulifanywa nini vingi Sanaa ktk makanisa? Au wewe ni mrembo sana?

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya ปีที่แล้ว +1

      @@mahershalalhashbazi2189 hicho unachowaza hahaaaa. Hapana atakujibu yeye mwenyewe. Barikiwa

  • @wemamanikana9791
    @wemamanikana9791 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏

  • @hatiagk4447
    @hatiagk4447 ปีที่แล้ว +1

    Ulitangatanga sana na manabii wa kwanza alikutosha kuachana nao na kurejea ulikotoka.

  • @sharonmasawe5381
    @sharonmasawe5381 ปีที่แล้ว

    Wakristo siku hizi wanatafuta miujiza na sio kumtafuta Mungu sasa huko kwa manabii mnatafuta utabiri si muende kwa waganga tuu tulieni mmtafute Mungu wewe kama wewe siku hizi hakuna anae aminika

  • @gloriakatikiro5945
    @gloriakatikiro5945 ปีที่แล้ว

    Kwa suguye waliletaga young profets toka Nigerian kuombea watu wanajaza maki mdomoni ndio wanawatemea watu kwamba ndio maombi.Halafu mnasisitizwa kushangilia kwa nguvu sana ndio nguvu za Mungu zishuke.Nilishangaa sana

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 ปีที่แล้ว +3

    Mtumishi wa Mungu chuma cha kristo nasema hv ww ni chuma cha kristo na km ilivo chuma hunoa chuma naww umenolewa na kristo mwenyewe pia naww utawanoa vyuma namm nimenolewa naww ase mtumishi maana naskia kutetemekq

    • @mackfasonmoshi4629
      @mackfasonmoshi4629 ปีที่แล้ว

      Huku Klmnjaro (Moshi) Hizi roho za imani potofu zipooooo. Zinapenyeza kwa spidi kali hata maeneo ya Vijijini...God Help Us..!!!!!!

    • @dadaz4653
      @dadaz4653 ปีที่แล้ว

      Mungu atusaidie sana

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 ปีที่แล้ว

      @@mackfasonmoshi4629 Mungu amezruhusu yeye zipenyezwe ili watakatfu wajulikqne

    • @mackfasonmoshi4629
      @mackfasonmoshi4629 ปีที่แล้ว

      @@gosbertmuta5421 Kweli Kaka. Nisaidieni.. Yule anayesema "Watu wanaokula msibani, wanakula mwili wa marehemu" Hapo vipi??

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 ปีที่แล้ว

      @@mackfasonmoshi4629 huyo anaesema hvo ni mganga wa kienyeji km waganga wengne, imeandkwa wapi??? Ww km ww umehudhuria misba mingap na umewah kula mwili wa mtu? Ile ni taratbu ya kibnadam tu km kupoza machungu eneo la tukio zto km hilo ilikuepo na itaendelea kuepo

  • @alexanderkapinga700
    @alexanderkapinga700 ปีที่แล้ว

    Daaaaaaaa kaka ulikuwa umeloea sana kwenye hivi vitu

  • @babafranco3366
    @babafranco3366 ปีที่แล้ว

    Injiri ya kweli ipo efatha mungu amtunze baba yetu apostle mwingira

  • @RachelMlingwa
    @RachelMlingwa ปีที่แล้ว

    Acha kuhangaika kny makanisa ya kinabii, shetani anatabia ya kukupeleka kny madhabahu zake

  • @marymavura7777
    @marymavura7777 ปีที่แล้ว +1

    Christina lengo watu wapone

  • @reenyaysher7639
    @reenyaysher7639 ปีที่แล้ว +1

    Mmh

  • @rhodachanangula7734
    @rhodachanangula7734 ปีที่แล้ว

    Wakat huu mwaka unaanza kuna mtumishi wa Mungu kutoka Zambia anaitwa Rachel Mushalla alisema Mungu amemuonyesha kwamba kwenye huu mwaka 2023 watumishi wengi wa wauongo watawekwa wazi, kwaio aya yanayoendelea n mpango wa Mungu mwenyew kabisaa, jamn mwenye masikio asikie, huu sio muda wa kutafuta miujiza

    • @mackfasonmoshi4629
      @mackfasonmoshi4629 ปีที่แล้ว

      Wacha tu waendelee kuwekwa wazi "Exposed" ili kondoo wema wa Bwana wapone. Kwani wengi wa walioingia "kichwakichwa" kwenye makundi haya wanalia sana kutokana na mabaya yaliyowasibu...

  • @linahmutende-zv4ns
    @linahmutende-zv4ns ปีที่แล้ว +2

    Ukweli kabisa wanafanya watu watumws

  • @sharondivine8994
    @sharondivine8994 11 หลายเดือนก่อน

    Una maana huna macho ya rohoni unaalikaje mchawi nyumbani?

  • @RebekaBivumbo-cc1cg
    @RebekaBivumbo-cc1cg 4 หลายเดือนก่อน

    ila sasa maranyingine ujitahidi upange ushuhudawako vizuri kwa sababu unajichangaka saana na unaongeya haraka saana

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 ปีที่แล้ว +1

    Na mliangaika sana na makanisa kwelikwel pole san Marco

    • @mackfasonmoshi4629
      @mackfasonmoshi4629 ปีที่แล้ว

      Nami niendelee kukuunga mkono kwa kumpa Pole za dhati Bro Marco... Hawa Mnbii "Noma" kweli.. HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA...Sijui naotaaa? au ni Masikio haya yanamsikia Live huyu Marco??? Wapendwa Ombeni, Ombeni, Ombeni ili Wengi wa hawa washirika wao ambao ni "Brain Washed" Waponeeee....Si bure Mtumishi mmoja nalimsikia akisema Watumishi wa Jinsi hii waswekwe magerezani... Yaliyotokea huko Kenya yasije Tz Kwa Jina La Yesu. Amen...

    • @rahelstanley
      @rahelstanley ปีที่แล้ว

      Kwa zumaridi tu ndio hakufika🤭

  • @lidyamwampeta9580
    @lidyamwampeta9580 ปีที่แล้ว

    Mmmmh yani kwa suguyerrr niliendaga kuombewa 2019 lakin chaajabu niikuw naona kama mazingaombwee lakin akiwa ananiombeaa nikawa naona watu wanashngioia alivo kuwa akinifunguaaa mmmh mimi nilikuwa najitambuaaa kabisaaa alivokuwa anafanyaa hapo nikagunduaaa sio kabisaaa

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee ปีที่แล้ว +5

    Kiuhalisia nabii hapaswi kuanzisha kanisa. Kanisa linapaswa kuwa chini ya mchungaji ndiye aliyepewa karama ya kuchunga kanisa. Nabii anatakiwa kuwa chini ya mchungaji ili ujumbe anaopewa na Mungu usaidie kuimarisha kanisa.

    • @mahershalalhashbazi2189
      @mahershalalhashbazi2189 ปีที่แล้ว

      Haya umetunga ama yameandikwa?

    • @papilumona1896
      @papilumona1896 ปีที่แล้ว

      Inategemea na Mungu mwenyewe maana Ezekiel alikuwa mchungaji na nabii

    • @papilumona1896
      @papilumona1896 ปีที่แล้ว

      neno la Bwana lilimjia Ezekielii, kuhani, mwana wa Buzi, kwa dhahiri, katika nchi ya Wakaldayo, karibu na mto Kebari; na mkono wa Bwana ulikuwa hapo juu yake.
      -Ezekieli 1 : 3

    • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
      @RubenMtuwaMungu-bz8ee ปีที่แล้ว

      Fanya uchunguzi makanisa ya kinabii yameibuka kuanzia lini kama siyo mwanzoni mwa miaka ya 2000? Kabla ya hapo uliona wapi kanisa likitoa huduma Kwa mtindo wa mafuta chumvi vitambaa keki nk.? Makanisa ya mitume na manabii ni mission ya kuzimu kuharibu kanisa la Yesu. Tumia tu akili kidogo nini maana ya mchungaji?anachunga nini na nini maana ya nabii? Je nabii jukumu lake ni kuchunga? Kwanini Yesu alisema "Mimi ni mchungaji" mwema"? Makanisa mengi ya manabii yameharibu Imani sababu wanafundisha zaidi maono yao wenyewe badala ya neno la Mungu. Ndiposa maono na utabiri na miujiza ndiyo msingi wa makanisa yao. Swali je nini Yesu alituagiza tuhubiri? Tubuni Kwakuwa ufalme wa Mungu umekaribia.

    • @mackfasonmoshi4629
      @mackfasonmoshi4629 ปีที่แล้ว +1

      @Ruben M w M Kweli. Kanisa lililoanzishwa kwa huduma ya Kitume (Mtume/Mmishionari-Apostleship), linakabidhiwa kwa Mchungaji (Governance/Administration nk.) kulilea, kulichunga nk. Nabii (Prophet) ni Ofisi/Huduma kama ilivyo kwa Mchungaji. Nabii ni "mwonaji, mpewa taarifa, mwelekezaji ktk hayo mema anayopewa na Mungu ili Kanisa liimarike. Asiingilie au kung'ang'ania kubakia kwenye Ofisi ya Mchungaji "siku zote". Kanisa linachungwa na Mchungaji.. Mwalimu (Huduma) anafundisha Neno sahihi la Mungu kwa Uvuvio Maalum unaomtofautisha na Ualimu au Ufundishaji mwingine wa Neno la Mungu.... Mwinjilisti (kama Filipo... Matendo 8) anahubiri Neno na kuwaleta watu kwa Yesu...Wanaosema au kudhania Mtume na Nabii yuko "juu" zaidi ya Mchungaji... Mhhhhhhhh!!!!!! Barikiwa...

  • @pendojeremiah1023
    @pendojeremiah1023 ปีที่แล้ว

    Mmmh kwaiyo ukiahidiwa usipopewa unakwazika??

  • @RachelMlingwa
    @RachelMlingwa ปีที่แล้ว

    Kwani uliambiwa na nani kufungukuwa ni kwa manabii tu
    Na wewe kweli ulilogwa

  • @RachelMlingwa
    @RachelMlingwa ปีที่แล้ว

    Yaani hata wewe unawaamini sana Manabii

  • @marychuwa8159
    @marychuwa8159 ปีที่แล้ว +1

    Amtumainiaye mwanadamu amelaaniwa
    Tumezidi kuwaweka watu mbele na kuamini kuwa bila wao MUNGU amekuacha
    Nani aliyewaloga Neno la MUNGU like kwa wingi ndani yetu Ili tuweze kujua na kutambua Hila za muovu
    IPO nguvu ndani Yako amini na SI kumtegemea mwanadamu.
    Tutafute maarifa kwa Utukufu wa MUNGU la sivyo ni kuangamia

  • @reenyaysher7639
    @reenyaysher7639 ปีที่แล้ว +2

    Ulikuwa na kamdomo kaka marco nawe kwa wachungaji wako😮

    • @jesuspower2390
      @jesuspower2390 ปีที่แล้ว

      Maongezi yake tu anaonekana ni mtu asiyebebeka, anapenda kusaidiwa hataki kujishughulisha anapenda mtelemko, vijana wa dar wengi wako hivyo ndio wengine wanaishia kwenye ushoga. mtu alishasomea u farmacy badala ya kujiendeleza apate kazi akafeli anasingizia alirogwa.. ukiwa mchawi kila kitu utasingizia umerigwa.😄

    • @reenyaysher7639
      @reenyaysher7639 ปีที่แล้ว

      @@jesuspower2390 😃😃🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️simooo

    • @JoJo-xh7ph
      @JoJo-xh7ph ปีที่แล้ว

      Anayoongea ni ukweli mtupu. Mimi nilikuwa nasali hapo enzi hizo. Mnamtetea huyo nabii wa uwongo wakati hadi serikali ilimshtukia ikamfungia ni juzi tu wamemfingulia.

    • @reenyaysher7639
      @reenyaysher7639 ปีที่แล้ว

      @@JoJo-xh7ph mimi simtetei yoyote hata uyo nabii simjui ila msikilize simulizi yake mwanzo mwisho ana shida pahala juu ya wachungaji wake na hao manabii pia

    • @mackfasonmoshi4629
      @mackfasonmoshi4629 ปีที่แล้ว

      ​@@reenyaysher7639 "ila msikilize simulizi zake"....Huo ni utafiti mzuri... Kusikiliza na kupima kulingana na Neno la Mungu....Ukweli daima utadumu, na uongo utasambaratika......Mungu atusaidie...

  • @HappyMwaigwisya
    @HappyMwaigwisya ปีที่แล้ว

    Hahaaaa nimecheka. roho anaambiwa fanya haraka huyo sio Roho Mtakatifu ndo maana nimeandika roho herufi ndogo

  • @DIGNAJASTIN-dl8yj
    @DIGNAJASTIN-dl8yj ปีที่แล้ว

    Mtumishi tupe ushuhuda unaohusu sehemu moja yaan kwa Suguye.

    • @gloriakatikiro5945
      @gloriakatikiro5945 ปีที่แล้ว

      Kwa suguye so kaongelea tayari.namkumbuka huyu young prophet hapo Kwa suguye 2012,2013 nilisali hapo.walikuwa serious sana na kazi yao.Suguye akipita kuombea watu ni hekaheka walivyokuwa wanamzingira.Mi Kuna ndoto nilipata kuhusu suguye nikaacha kwenda Tena kanisani kwake.Matenbele ya pili kivule

  • @sharondivine8994
    @sharondivine8994 11 หลายเดือนก่อน

    Hayo makanisa ya manabii fake no network, isipokuwa makini itazunguka huko huko na pia Ni vema usijibebee utukufu, inahitaji kuwa humble, shuka chini ili Mungu akutoe huko kabisa, natamani tukutane unahitaji knowledge na sio maneno mengi

  • @cristinaruka9293
    @cristinaruka9293 ปีที่แล้ว +1

    Marico punguza kuamini manabii mwamini mungu

    • @carolinederi5690
      @carolinederi5690 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa me ata marafik wakinisihi niende kwa mtumishi fulani hua siwaskiliz spendi kuhangaishwa kabisa....Siku izi sizo lazima uwe careful

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya ปีที่แล้ว +1

      Ameshaacha ndo maana anashuhudia wengine wapone. Waking'ang'ania watakufa huko kabisa kiroho na kimwili watakufa wasipotoka ktk hayo makanisa fake

    • @jesuspower2390
      @jesuspower2390 ปีที่แล้ว

      apunguze kutaka kusaidiwa yeye ni mwanaume inabidi asitegemee mtu ajipambanie maisha yake.

  • @Teacher_01
    @Teacher_01 ปีที่แล้ว

    Marco unawezaje kutambua saut ya mungu na shetani... Nisaidie

    • @rerisamba
      @rerisamba ปีที่แล้ว

      Ni Mrs wamayo huyu🤭🤭🤭

    • @apostlezizi
      @apostlezizi ปีที่แล้ว

      😅 monae,yupomo jamaa yangu..MUNGU awabariki sana mnapofuatilia hizi shuhuda yani ulipotaja wamayo tu nikajua mnapenda kuujua ukweli na kweli itawaweka huru

  • @elishapaul1706
    @elishapaul1706 ปีที่แล้ว

    Wanachukua vitu vya watu ili kuwafunga nyota

  • @apostlezizi
    @apostlezizi ปีที่แล้ว

    Wachawi washaanza kula mpunga😂 walighaili kula nyama za watu?

  • @rerisamba
    @rerisamba ปีที่แล้ว

    Ati fungua daudi wa 2

  • @jesuspower2390
    @jesuspower2390 ปีที่แล้ว

    Yani pambana hapa duniani usitegemee mtu Mungu alisema atabariki kazi za mikono jako. sasa wewe unataka ubarikiwe pesa za mkononi mwa mwanaume mwenzako kweli.😃😃

    • @mackfasonmoshi4629
      @mackfasonmoshi4629 ปีที่แล้ว

      @J P Point yako hii iko vizuri mno. "Mungu alisema atabariki Kazi za Mikono Yetu" Tuchape kaziiiii... Ahsante kwa kutuelewesha....

  • @cristinaruka9293
    @cristinaruka9293 ปีที่แล้ว +2

    Marko ulizidi

    • @jeniphasawere4482
      @jeniphasawere4482 ปีที่แล้ว

      Huyu ni shetani yupo kazini

    • @jeniphasawere4482
      @jeniphasawere4482 ปีที่แล้ว

      Walifunga kanisa wakaona Mungu bado yupo kazini na Mtumishi wake sasa wameona wamlipe huyu ganga njaa ili aeleze uongo Apo ni shetani waziwazi

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 ปีที่แล้ว +1

      @@jeniphasawere4482 shetani ni wewe, wewe ni wakala wa shetani na mmeshindwaaa wachawwi nyie

    • @happymvula
      @happymvula ปีที่แล้ว +2

      Hahahaha Jenifer! Ushetani ni vile vitu mlikuwa mnaagizwa nywele, kucha vitambaa vyekundu, vyeupe.

    • @mackfasonmoshi4629
      @mackfasonmoshi4629 ปีที่แล้ว +1

      ​@@happymvula Tuwe wakweli tu. Unafiki na Ushabiki tuache. Kweli huyu anayetoa ushuhuda huu mzito...ni shetani??? Nami naona Ushetani ni vile vitu walivyokuwa wakiagizwa kmv nywele, kucha, vitambaa.....nk...Hongera M kwa kuwa na FPCT kwa sasa..Mimi siko FPCT, wala hilo halinizuii kusema ukweli kuwa sasa Mrco kafunguliwaaa... Marco Piga Kazi sasa..Endelea kutumika kiUsahihi sasa....Amina...

  • @jesuspower2390
    @jesuspower2390 ปีที่แล้ว +1

    Wewe kaka unaonekana unagubu, mwanaume hata hawzi kujilalamisha kwa pesa za mfukoni mwa mwanaume mwenzake. kila ulipopita unasema wabaya Dar waru ulioishi nao wabaya, Mwanza watu waliokupokea wabaya, kanisa ulilohamia tena dar kwa mara ya pili mbaya 😄😄 yani kiufupi umejawa na chuki tu moyoni

    • @reenyaysher7639
      @reenyaysher7639 ปีที่แล้ว

      Ila kweli inabidi pia ajitafakari na yeye ana shida pahala hapo hakuna mkamilifu duniani

    • @upendochiwa25
      @upendochiwa25 ปีที่แล้ว +1

      Unajua nn yy anaelezea alichopitia Sasa na ww unakuwa kama ni agent unajitahidi kumcrash kupitia kufanya Kaz ww angalia anachokiongea kuhusu manabii wa uongo ili ujifunze kazi atafanya tu

  • @christinamsoka
    @christinamsoka ปีที่แล้ว +1

    Sasa umeshaelezea umepata faida gani?unasema hukupewa kitu hata baskeli na unalalamikia wanaopewa Sasa uko upande gani?km hayo ni ya kweli ni makosa kwake ila wewe umepata faida gani kuelezea hapa?

    • @samwellwiza1098
      @samwellwiza1098 ปีที่แล้ว +7

      Ametusaidia sisi wajinga tunaoangamizwa na waganga wanaobeba biblia NA kuketi katika nyumba za ibada na madhahuni.....

    • @matibafm9728
      @matibafm9728 ปีที่แล้ว +6

      ushuhuda huu ni muhim sana kufungua wengine wengi waliopotea kwenye imani za uongo

    • @rhodachanangula7734
      @rhodachanangula7734 ปีที่แล้ว +3

      Ndugu yangu mbona umekasirishwa na ushuhuda au na wew ndo wanunuaji maji na mafuta na chumvi, sisi ushuhuda huu tumeupenda, na umetusaidia kuelewa wap pa kusimama

    • @mackfasonmoshi4629
      @mackfasonmoshi4629 ปีที่แล้ว +2

      Samweli, Matiba FM na Da Rhoda C nk mmesema ya ukweli mno. Hata mimi nimemshangaa huyo C M Maskini wala simwelewi. Bro Marco anasimulia mambo mazito yaliyomsibu....ili sisi wengine tupone. Wala hajamtaja mtu kwa jina... Ee Mungu tusaidie. Saidia Watu wako. Maombi tu. Mengi yasanuke....

    • @sarahkeivaly3351
      @sarahkeivaly3351 ปีที่แล้ว +2

      Christina ungekaa kimya tu ingekuwa ni hekima;
      Na unataabu ww ambaye hujamwelewa

  • @sarabura8933
    @sarabura8933 ปีที่แล้ว +3

    Amen