Amen 🙏 Mungu atupe neema.. kanisa tuombe na watu warudi kwa njia ya kweli. Maana tumekosea tuombe toba na Mungu ni mwenye huruma ataturehemu... promover mbarikiwe sana... mmewekwa kwa ajili ya Mungu... mungu awatunze
Mungu wetu tusaidie, tuhurumie, hatuwezi jambo lolote pasipo wewe, tupe hekima na utii wa kufuata maagizo yako, na kuwasikia watumishi wako mitume na manabii maana unasema kwa kupitia vinywa vyao, tuondolee mioyo migumu ya kuto kutii, basi tupe mioyo myepesi ya nyama na kupondeka mbele zako. Amen
Mwenye sikio na asikie ujumbe huu, na tuchukue hatua tumrudie Mungu jamani tuombe rehema, tusikalie tu kulalamika hali ngumu, ndo haya Mungu anatuonyesha ili tuchukue hatua.
PROMOVE ni chombo Cha Mungu chombo kilichoamriwa na Mungu Mungu akubariki mtumishi Angel ,mda tulio nao kweli sio rafiki tuombe Toba na rehema kwa Mungu
Jee nchi za Saudi Arabia , Uingereza ,Turkiy mbona umeme haukatikii ? Au unachangaje dini na siasa au unateteya siasa ya mama mambo yote hayo ni technoloy mbona umeme haukatiki Indiya ? Jee ulale unasali jee mda wa kazi utaupata wapi ? Njoo huku ulaya halafu ufanje hayo, nani atakulipiya umeme, maji na chakula
Jumbe mingi nimesikia hivi karibuni kutoka kwa manabii ni ya kwamba tukae tayari kwa sababu hizi ni nyakati za mwisho. Tukue tayari wapendwa.
Asante mtumishi, umefikisha ujumbe wako! Mwenye masikio na asikie neno roho ana waambia mataifa
Ee Mungu Bwana wa Majeshi ,uturehemu.sawasawa na fadhili zako.kiasi Cha wingi wa rehema zako,uyafute makosa yetu
Amen BWANA awabariki sana promover tv
YESU amekaribia kulichukua kanisa Lake,Shika Sana ulichonacho Asije Mwovu akakupokonya.
Mungu atuhurumie maana sisi ni wanadamu tunamkosea Kwa mawazo maneno ,matendo atusaidie tuweze kulisikia neno lake mwisho tufike kwake amina
Mungu Akubariki sana dadangu usivunjike moyo endelea kupaza sauti. Promover TV Barikiweni sana watumishi wa Mungu
Mbarikiwe Promover TV Ubarikiwe Angel Mungu Awatunze kutufikishia Ujumbe
Amen
Asante kwa ushauri mwema Bwana akatuonekanie tuwe nahamu yakulisikia neno nakutenda jinzi anacyotaka..Eeh Yesu tuhurumie
Amen 🙏 Mungu atupe neema.. kanisa tuombe na watu warudi kwa njia ya kweli. Maana tumekosea tuombe toba na Mungu ni mwenye huruma ataturehemu... promover mbarikiwe sana... mmewekwa kwa ajili ya Mungu... mungu awatunze
Mungu wetu tusaidie, tuhurumie, hatuwezi jambo lolote pasipo wewe, tupe hekima na utii wa kufuata maagizo yako, na kuwasikia watumishi wako mitume na manabii maana unasema kwa kupitia vinywa vyao, tuondolee mioyo migumu ya kuto kutii, basi tupe mioyo myepesi ya nyama na kupondeka mbele zako. Amen
😊
Mwenyezi Mungu uturehem uctuangamize kwa ghadhabu yako
Amen nime kupata, ilaah naomba kujua mnafanyaje ndio mna faulu kusema na Mungu?? na mm pia akaseme na mm🇰🇪💪.
Barikiwa mutumish wamungu nenolakweli hakika
Amen,,,, BWANA atujalie mioyo ya utii na unyenyekevu
Mungu akubariki sana
Mwenye sikio na asikie ujumbe huu, na tuchukue hatua tumrudie Mungu jamani tuombe rehema, tusikalie tu kulalamika hali ngumu, ndo haya Mungu anatuonyesha ili tuchukue hatua.
Ujumbe mzuri sana barikiwa sana mtumishi wa mungu
Amin jumbe zuri sana
Amen
Amina Dada yetu MUNGU akubariki Sana
Nimepokea ujembe barikiwa Mtumishi
PROMOVE ni chombo Cha Mungu chombo kilichoamriwa na Mungu Mungu akubariki mtumishi Angel ,mda tulio nao kweli sio rafiki tuombe Toba na rehema kwa Mungu
Hakika kabisa
Huyu ni mjumbe WA kweli hata nahisi upenyo,Kwa hio introduction,Amen
Promover tv inajulikana Mbinguni kwa Baba na si mara moja watumishi kusemeshwa juu ya promover ata
Barikiwa dada yetu
Blessed all❤ the power of testimony❤
Ameeen
Mungu atusaidie juu binadamu ni vichwa ngumu kabisa
Hata mimi all those things happened to me
Litukuzwe Jina Lako Bwana WA Majeshi Utupendae kuliko maelezo. Kutuonya tubadilike. TUREHEMU EE MUNGU.
Mbona wengine wana sema 2016 mwisho wa dunia
Huu ndio mwanzo wa utungu,kanisa likaribu kunyakuliwa