Nimeuza kuku wote na sijapata faida | Ulishaji wa broila | Kuku wa nyama

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • Katika hii video najibu maswali mawili, swali la kwanza linahusu kiwango cha ulishaji na la pili linahusu mambo ya kufanya ili upate faida nzuri kwenye ufugaji wa kuku wa nyama.

ความคิดเห็น • 10

  • @dinakyoma5977
    @dinakyoma5977 ปีที่แล้ว

    Very useful, asante kwa somo

    • @LayersPro
      @LayersPro  ปีที่แล้ว +2

      Hongera sana dada Dina, endelea kufuatilia mafunzo yetu hapa TH-cam

  • @johnmgonja-iy8tl
    @johnmgonja-iy8tl 8 หลายเดือนก่อน

    Nitumie hiyo chart ya ulishaji wa broiler kwa faida.

  • @renatusleonard6766
    @renatusleonard6766 6 หลายเดือนก่อน

    Niko Dodoma Nahitaji hicho kitabu nakipataje?

    • @LayersPro
      @LayersPro  6 หลายเดือนก่อน

      Nitumie meseji WhatsApp kwenye namba hii 0659632332

  • @qurannasunnahtzonlinetv7432
    @qurannasunnahtzonlinetv7432 9 หลายเดือนก่อน

    Number yako kk

  • @husseinmndeme3465
    @husseinmndeme3465 ปีที่แล้ว

    Naomba mchanganuo wa kuku wa nyama 900

    • @LayersPro
      @LayersPro  ปีที่แล้ว

      Hatuna video hiyo kwasasa

  • @ErastoShelukindo
    @ErastoShelukindo ปีที่แล้ว

    Broila

    • @LayersPro
      @LayersPro  ปีที่แล้ว

      Tuma meseji WhatsApp kwenye namba hii 0659632332 nikutumie hicho kitabu