Magembe mbona unamruhusu Shangazi kuhubiri.... Haukusoma neno la Mungu likisema kwenye, 1Timoteo 2;11-15 "Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya mwanaume. Mwanamke inampasa kukaa kimya Kwa maana Adamu aliumbwa kwanza, kisha Eva. Wala si Adamu aliyedanganywa, bali ni mwanamke aliyedanganywa akawa mkosaji. Lakini mwanamke ataokolewa kwa kuzaa kwake, kama wakiendelea kudumu katika imani, upendo na utakatifu, pamoja na kuwa na kiasi." au 1 Wakorintho 14:34 -35 "wanawake wanapaswa kuwa kimya kanisani. Hawaruhusiwi kusema, bali wanyenyekee kama sheria isemavyo. Kama wakitaka kuuliza kuhusu jambo lolote, wawaulize waume zao nyumbani. Kwa maana ni aibu kwa mwanamke kuzungumza kanisani."
MUNGU akutunze Sana natamani uwe baba yangu wa kiroho Ili niwe wa kijeshi jeshi safi Sana napenda kuonywa kukemewa na kuelekezwa
Baba Mungu akubariki ndoa zitapona
Baba bwana yesu azidi kukutumia viwogo vyajuu kwamana watumishi wasiku hizi wanaogopa kuusema ukweli nwanaogopa kukimbiwa,,🙏 asante sana baba
❤❤🎉🎉🎉🎉🎉😂 mwanamke au mwanaume mkweche ni hatariiiiiiiiii
Baba yangu nakukumbuka sana hana hata akili yakuazima 😂😂😂😂
Dah baba uko vizuri sana et ukichoka ondoka 😂😂😂 ila apo kwenye ndoa inafungwa apa apa
Mafundisho yake kiboko
Magembe mbona unamruhusu Shangazi kuhubiri.... Haukusoma neno la Mungu likisema kwenye, 1Timoteo 2;11-15 "Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya mwanaume. Mwanamke inampasa kukaa kimya Kwa maana Adamu aliumbwa kwanza, kisha Eva. Wala si Adamu aliyedanganywa, bali ni mwanamke aliyedanganywa akawa mkosaji. Lakini mwanamke ataokolewa kwa kuzaa kwake, kama wakiendelea kudumu katika imani, upendo na utakatifu, pamoja na kuwa na kiasi." au
1 Wakorintho 14:34 -35
"wanawake wanapaswa kuwa kimya kanisani. Hawaruhusiwi kusema, bali wanyenyekee kama sheria isemavyo. Kama wakitaka kuuliza kuhusu jambo lolote, wawaulize waume zao nyumbani. Kwa maana ni aibu kwa mwanamke kuzungumza kanisani."
Baba kiboko huyu
Hahaha kama unaharakaharaka toka