MCH.MAGEMBE AJICHANGANYA KWA MBARIKIWA; AKEMEA MZIKI WA LEGE NA RAP USIIMBWE KANISANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 204

  • @JohanesJester
    @JohanesJester หลายเดือนก่อน +4

    Mtumishi jitahidi kuchukua hekima kwamagembe huyo mtumishi magembe anavitu vyamaana sana

  • @jamesherbalclinic7665
    @jamesherbalclinic7665 หลายเดือนก่อน +5

    Mtumishi sikiliza, anachokisema Magembe Ni kweli. Mungu anataka nyimbo ambazo malaika wanafurahi. Acha kutudanganya rap au reggae kuwa ni Muziki wa kimbingu au kiroho. We know all these things you do as leader of a church. Sometimes things are not good.

  • @AIDANIKAHIMBI-ql6tn
    @AIDANIKAHIMBI-ql6tn หลายเดือนก่อน +3

    Hapo unakosea sana Mtumishi mzee yupo vizuri ndugu neno haliwezi kuja vile wewe umetaka muda Mungu akimpa neno la vile umetaka itafika tu so tuache kuwasema WATUMISHI kwa hapo hapana mwache mzee awahudumie watu

  • @raphaelmwanalinze3912
    @raphaelmwanalinze3912 หลายเดือนก่อน +1

    Hubiri kweli ya Mungu, mwenye kuelewa ataelewa siyo kulumbana na kufuatiliana. Mbaya zaidi watu hasa watumishi wa Mungu wamekuwa na wafuasi wasio na maono

  • @fredmwabulambo6342
    @fredmwabulambo6342 หลายเดือนก่อน +8

    Unajivunjia heshima...huna hata uwezo hata kidogo, na huna Mungu ndani yako kama Mch Magembe,,, hata aibu hunaaaa?

  • @sttevemwangi
    @sttevemwangi หลายเดือนก่อน +1

    Hata Kenya tunaskiza Mch. Magembe maana si kwingi kuna neno la kweli. 3:33

  • @norahkelvin4830
    @norahkelvin4830 หลายเดือนก่อน +5

    Uyu baba anataka kila moja awe upande wake yeye amekemea Kanisani kwake acha kujiona unaubili sana unajifanya mjuaji sana ovyo sana

  • @nero7941
    @nero7941 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo umekosea mkuu Magembe injili yake ni kwa kanisa la Mungu Leo na sio kwa mataifa yote

  • @adamsonkyando-l4i
    @adamsonkyando-l4i หลายเดือนก่อน +6

    !!! Lege ni Dini kabisa na wote wadini hii ni wavutaji sana mda wote ni moshi midomon Mbarikiwa ujifunze kwa wazee wa viwango kama Magembe,umemjuwa jujuu humjui huyu mtumishi, Huyu akifundisha anajuwa Neno na anafundisha kitu anacho kijuwa na kufuatilia

    • @enezermwafrica7443
      @enezermwafrica7443 หลายเดือนก่อน +1

      Bahati Bukuku anaimbaga Rege na mnamualikaga, je mnamualika mkiamini ni mwenye dhambi ktk staili yake ya uimbaji?

  • @GeorgeMabala-v9h
    @GeorgeMabala-v9h หลายเดือนก่อน +8

    Mbarikiwa,kama unataka kumweka sawa magembe mpigie simu,

    • @EmanuelMosses-vm6dr
      @EmanuelMosses-vm6dr หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @RodaMaganga-ye6ye
      @RodaMaganga-ye6ye หลายเดือนก่อน

      Subutu yake atakaona kale kazee😂

    • @HappyFlowers-ee8ru
      @HappyFlowers-ee8ru หลายเดือนก่อน

      ​@@RodaMaganga-ye6yenimech ka eti kale kazee yaani na ana msimamo sana yule mzee

    • @SoosanOman
      @SoosanOman หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂​@@RodaMaganga-ye6ye

    • @MbalaziTv4135
      @MbalaziTv4135 หลายเดือนก่อน

      Kwanza kana elimu kuliko Yeye hata ya dini tu pia ni kakiroho sana na kanajua kusimamia kweli huyu yuko kimwili zaidi

  • @salvinahassan8778
    @salvinahassan8778 หลายเดือนก่อน +2

    Muimbieni Bwana wimbo mpya, hadi upige lege Mungu kaishiwa midundo,. Inaonekana Mungu wako amefirisika midundo mizuri ndo maana una copy Kwa wavuta bangi

  • @DaudiDadi
    @DaudiDadi หลายเดือนก่อน +2

    Alie mlonga mbarikiwa alifanya Kazi kubwa yakimataifa nilikuwa Nampenda Sana Ila Sasa ni mpuuzi tu

    • @peterpanyika6810
      @peterpanyika6810 หลายเดือนก่อน +2

      HAYUKO SAWA. KILA MTU KWAKE NI MKOSA TU. KASORO YEYE. KILA MUZIKI UNA ASILI YAKE.

  • @micheleliakimeliakimmihale8820
    @micheleliakimeliakimmihale8820 หลายเดือนก่อน +3

    Naona unaleta mambo ya kidunia kabisa aisee unahitaji Neema ya Mungu. Hv wahubir wa Tz tusipo jifunza kwa magembe tujifunze kwanan. Maana huyo ndie Moses kulola alie Baki. Unasifia lege na hipop hovyo kabisa. Biblia inasema tusifatishe namna dunia hii inavyofanya , wew unakinzana na maandiko, mmh jaman tusiwe walimu wengi

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg หลายเดือนก่อน +2

    Mungu hakupe hekima apo kwa wageni ao ulio nao ndo watakatifu sana acha kujikweza.wengine apo wakuwanyesha maziiwa we unawapa nyama angalia utawaangamiza

  • @petromakala-il5ts
    @petromakala-il5ts หลายเดือนก่อน +2

    Melody nzuri Ina leta uwepo wa Mungu , kanisa linalopiga hipop halina maombi , maana wako sawa na wamataifa wanavyofanya , ndugu mtumishi wa Mungu Mbarikiwa , Kuna mengine yanakupita ,usijihakikishie TU kuwa wewe ndo mtoa hukumu wa mwisho , Kila mtumishi mwenzako mmbaya TU.aaa hii hapana , kumbuka kuwa tangu Yesu aoondoke duniani akiwa kama mwanadamu hajatikea Tena mmbadala wake aliye mkamilifu , sote tunaishi kwa neema TU. Kwa namna hii unaweza ukaimba hata taarabu kanisani kwako mpendwa. Kwa mtu aliekaa vizuri na Mungu wake, ukisikia mziiki au merolody Fulani , unajua TU hapo ni dhehebu Fulani , na hapo ni baa. LAZIMA TUZINGATIE MELODY ZENYE UWEPO WA MUNGU .

  • @AlvanEdwine-ih4vy
    @AlvanEdwine-ih4vy หลายเดือนก่อน +4

    Hamna uwezo wa Mungu ktk lege na rap camoon usitudanganye nmeyasklza manyimboi yako hamba uwezo wa Mungu camoon

    • @ordafabian5172
      @ordafabian5172 หลายเดือนก่อน

      Unamjua selin Dion wewe,

    • @barakabusima
      @barakabusima หลายเดือนก่อน

      ​@@ordafabian5172 na huo ndiyo ukweli hataki ni hivyo hivyo akubali ni hivyo hivyo

    • @AlvanEdwine-ih4vy
      @AlvanEdwine-ih4vy หลายเดือนก่อน

      @@ordafabian5172 sina haja ya kumjua ase tangu nlpookolewa sina haja ya kuwajua hao kijana

    • @Gospo_beats
      @Gospo_beats หลายเดือนก่อน

      Camoon😁

  • @OswardSanga-ep5js
    @OswardSanga-ep5js หลายเดือนก่อน +3

    Uko sawa Sana mlio wa ala sio ushetani lege hipop zuku takeu sengeli bluzi hakuna mziki wa Mungu Wala washetani

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc หลายเดือนก่อน +3

    Mbarikiwa nakuomba sana Jitahidi kuwa Mnyenyekevu,Sio kwamba wewe Unajua kila kitu

  • @frankiuskilomba4880
    @frankiuskilomba4880 หลายเดือนก่อน +1

    Neno lililotumika kwenye
    zaburi 150:3_4, Zaburi 149:3, neno hilo "kucheza" ,sio kitendo bali vilivyotajwa hapo kwenye mafungu ni vifaa vya muziki
    soma vzr lugha za asili , huwezi kunengua kwenye ibada na hamna mafungu yoyote kuonyesha kwenye ibada wanacheza mitume na manabii kwenye ibada na ibada ya mbinguni🙏🙏

    • @MbalaziTv4135
      @MbalaziTv4135 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli kabisa

  • @AyubuFumbi
    @AyubuFumbi หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana

  • @gerald-s1e
    @gerald-s1e หลายเดือนก่อน +3

    Naomba sana mtumishi tumia muda mwingi juhubiri neno la Mungu aliye hai ili makaya waache pia waombee sio kukosoa wenzeo mpaka unachisha

  • @adamsonkyando-l4i
    @adamsonkyando-l4i หลายเดือนก่อน +8

    Magembe akifundisha au kuhuburi ukimkosoa juwa unashida ya kiroho,Magembe wote yawapasa mmsikilize na mjifunze kwake kwa Kila kitu

  • @ULIMBOKAKIKOSA
    @ULIMBOKAKIKOSA หลายเดือนก่อน +3

    Mbarikiwa moyoni mwako Kuna vichaka vichafu mbona unauzungumzia sana umalaya naona na wewe ni Malaya maana ndio uliyokujaa moyoni mwako

  • @gerald-s1e
    @gerald-s1e หลายเดือนก่อน +2

    Nakupenda lakini huchagui umri unataka kuwa kiongozi wa wa wachungaji wote hapo umeniumiza juu ya mzee huu

  • @shukranmsukwa
    @shukranmsukwa หลายเดือนก่อน +2

    Ukisoma Biblia maandiko yanatufundisha kila mtu na amuone mwenzake ni bora kuliko yeye na kutanguliza wengine,,sasa hapa 😢

  • @Mwesige-s8q
    @Mwesige-s8q หลายเดือนก่อน +5

    Kuna miziki haifai kanisani Magembe yuko sahihi
    We mtumishi acha kupotosha watu

  • @JuhudiNjili
    @JuhudiNjili หลายเดือนก่อน +2

    Weeer😂😂😂😂 Injiri ya kweli sikiliza ya magembe weweeee unakosoa tuu kwa kuongea ongea tuuu😂😂😂

  • @liberatusmathias211
    @liberatusmathias211 หลายเดือนก่อน +4

    ukiona mtoto nasema vibaya baba yake ujuwe basi
    mtoto adabu hana

  • @JAPHETJOSEPH-b6e
    @JAPHETJOSEPH-b6e หลายเดือนก่อน +2

    Samahani Mkuu mm nipo na wewe ila usimgise magembe hajakosea bana , magembe ni mtu mwingine ni baba wa Imani ktk historia ,,,,lege pia ni itikadi ya Imani tulia wewe ,pia historia ya lege sio Mungu Bali ni Shetani

  • @octavianmwakalinga9580
    @octavianmwakalinga9580 22 วันที่ผ่านมา +1

    Wew umepagawa cku izi 😅😅😅😅 Yani wew huna uwezo wa kuhubiri kama magembe ..............yule ni mtumishi anatumiwa na mungu sio mweu kama wewe. Cku nyingine ucridie kufanya upumbavu kama huo.

  • @nasonlyanga4558
    @nasonlyanga4558 หลายเดือนก่อน

    Acheni kutuchanganya watumishi fanyeni Yale Yesu alioyatima❤❤❤

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 หลายเดือนก่อน +2

    KAMA UNAMKOSOA MAGEMBE UMEANZA KUPOTEA KABISA SITAKIELEWA DAIMA JIREKEBISHE

  • @WTC492
    @WTC492 หลายเดือนก่อน +3

    Pamoja na yote mbarikiwa upo creative sana.

  • @Dominant97
    @Dominant97 หลายเดือนก่อน +4

    Uyu mwamba namwelewa sanaaa

  • @DoriceMwalukasa
    @DoriceMwalukasa หลายเดือนก่อน +1

    Jamani nakupenda sana lakin naona kila siku unasema watumishi wengine. Mtumishi unamambo muhimu na kuna kitu kwako tuhubiri watu waache dhambi. Ubarikiwe san mbarikiwa.

    • @makejamaduhu7618
      @makejamaduhu7618 หลายเดือนก่อน

      Yaani ndo hapo tuu hata Mimi huyu jamaa huwa ananishinda. Mbona mwakasege Hana tabia hizo?

    • @HappyFlowers-ee8ru
      @HappyFlowers-ee8ru หลายเดือนก่อน

      ​@@makejamaduhu7618alafu yeye ni mkosaji mkubwa akikosolewa yeye anasema Kuna kazi nyingi za kufanya yaani shida amejiweka kuwa mwenye haki sana kila kitu anaona anapatia hata kama anakosea anataka kusifiwa MUNGU aliye hai amsaidie sana

  • @EmmyJerremiah
    @EmmyJerremiah หลายเดือนก่อน +1

    Yaan stak ata kukusikiliza tena ww ushakengeuka .......

  • @ngusekisu6746
    @ngusekisu6746 หลายเดือนก่อน

    Kweli mtumishi barikiwa kwa ujumbe

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 หลายเดือนก่อน +3

    YAANI WEWE MBARIKIWA UNAPANGIA WATU KILA KITU MPAKA CHA KUSEMA YAANI WEWE TU NDIO UPO SAHIHI

  • @renatus5687
    @renatus5687 หลายเดือนก่อน +2

    Kama Hawa ndo wachungaji hata waumini wao ndo maana wakaitwa makondoo maana hayajitambui

    • @leahsrath
      @leahsrath หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂💔

  • @ngusekisu6746
    @ngusekisu6746 หลายเดือนก่อน

    😮

  • @godfreysanziki1461
    @godfreysanziki1461 หลายเดือนก่อน +1

    Lwititi Lwititi Lwititi injiji njii njii😂😂 yaaniii ahahaha 😂❤

  • @Ngoilanga
    @Ngoilanga หลายเดือนก่อน

    … nabarikiwa sana na huyu mtumishi kwa kwel, mafundisho yake yanafungua sana ufahamu hasa kwa wale wanaoipenda kweli ya Mungu.

  • @GenelinaMwombela-f3n
    @GenelinaMwombela-f3n หลายเดือนก่อน

    Huna jipya umeshaishiwa mtumishi gani wa Mungu huna kiasi pole sana tanya utubu hiyo dhambi wahubilie watu wamjie mungu sio kuwaponda watumishi wa mungu

  • @SamsonHumbe
    @SamsonHumbe หลายเดือนก่อน +1

    Nenda kafanye siasa, umepotea naumepoteza mvuto kabisa. Waheshimu wazee uliowakuta kwenye imani, acha ujuaji.mwingi.

  • @frolatimotheo8107
    @frolatimotheo8107 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi.kaa.kwenye.msingi.wa.neno.watu.wapone.achana.na.stori.simamia.kusudi

  • @lusungungimbudzi4265
    @lusungungimbudzi4265 หลายเดือนก่อน +1

    Uko Sahihi Sana

  • @VascoFeston-w2g
    @VascoFeston-w2g หลายเดือนก่อน

    Amina baba

  • @lameckkategile8657
    @lameckkategile8657 หลายเดือนก่อน +2

    Sure

  • @josephifanda5626
    @josephifanda5626 หลายเดือนก่อน +3

    Mmmh huyu Anashida

  • @ambokilegwakisa3526
    @ambokilegwakisa3526 หลายเดือนก่อน +1

    Lege ni dhambi kwani lege ni dini kubali kuonyeka usipokubali ni hasara yako,dhambi zote sawa

  • @NelsonMaganya
    @NelsonMaganya หลายเดือนก่อน +2

    Kweli

  • @michaelrweyemamu1068
    @michaelrweyemamu1068 หลายเดือนก่อน

    Magembe yupo sahihi kabisa. Ww mbarikiwa umefeli kwenye hili

  • @KabnasNyangi
    @KabnasNyangi หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mtoto mdogo sana acha kubishana na Maghembe kwanza tunakushangaa unatupa shida

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn หลายเดือนก่อน +2

    NaaaM NaaaM.

  • @GODFREYKIPALILE
    @GODFREYKIPALILE หลายเดือนก่อน

    umeshajiunga na casian ni kukosoa tu,hubirini injiri watu waokoke waishi maisha matakatifu,waende mbinguni

  • @JohnEliakim-g5n
    @JohnEliakim-g5n หลายเดือนก่อน +1

    Mpaka sasa sijajua kuwa ni yupi kwako yuko sahihi na unajifunza kwake.

  • @estonngoya4827
    @estonngoya4827 หลายเดือนก่อน

    mbarikiwa Kwa Magembe umebigi, Moses n mtumishi wa Bwana. siyo mwenzako kaka.

  • @elizeimgao2318
    @elizeimgao2318 หลายเดือนก่อน

    Daa sawa

  • @MabulaEliasibassa
    @MabulaEliasibassa หลายเดือนก่อน

    Mtumishi rudi kwenye tenzi ulitubariki wengi sana but kwa magembe kwanza alilazimika kusomea mziki kwasababu walikuwa wanamchanganya waimbaji. Kwa hiyo anachokionhea anaufahamu nacho

  • @dorismkongwe4140
    @dorismkongwe4140 หลายเดือนก่อน +6

    Nilikuwa nakuheshimu lkn kwamagembe umenivunjamoyo sikuheshimu tena mbarikiwa kwendazako

  • @MbalaziTv4135
    @MbalaziTv4135 หลายเดือนก่อน

    Huwa nakufuatilia sana lakini hapa kwenye Muziki umechemka sana insu si kupiga vyombo au tempo ya wimbo insu ni which genre of Music are you singing ndiyo na hayo uliyosema.
    Pia Zaburi 150 pale kwenye kucheza inamaanisha Music instrument not dancing.
    Pia aina ya Muziki inaweza kufanya mtu kucheza hata kama hakuwa na nia ya kucheza.
    Pia Muziki ni taaluma fanya utafiti kabla ya kujibu hoja ya Muziki kuna Muziki wa kupigwa na kuimbwa kwa Ibada na Muziki wa kuimbwa vilabuni ikiwa wewe ni Mch, na utaruhusu kila Muziki katika ibada zako uko keenye hatari ya kuachwa na Mungu maana Mungu hakai mahali panapo changanywa Mambo ya shetani na Mambo yake.
    Ushauri wangu kwako
    Fanya utafiti juu ya madhala ya Muziki kwenye ubongo wa binadam utajua alichosema magembe ni chakweli.

    • @zawadimwaibako4065
      @zawadimwaibako4065  หลายเดือนก่อน

      @MbalaziTv4135 Nenda kausikilize wimbo wa lege wa MBARIKIWA usemao "mtu mwenye ndoto" utajua MBARIKIWA alikuwa anamaanisha nini. Wewe ndiye utakaye toa jibu kwamba unafaa kuimbwa kanisani au la.

  • @AIDANIKAHIMBI-ql6tn
    @AIDANIKAHIMBI-ql6tn หลายเดือนก่อน +2

    Hubiri neno acha hayo,sio mahali pake

  • @NethrinePaul
    @NethrinePaul หลายเดือนก่อน +1

    Namchukia sana huyu baba

    • @nasonlyanga4558
      @nasonlyanga4558 หลายเดือนก่อน +1

      Usimchukie ila muombee na kumuonya❤❤❤

    • @NeemaHamissi
      @NeemaHamissi หลายเดือนก่อน

      Nethrine kwani yeye anakupenda jitafakari

    • @SamsoniMaloda
      @SamsoniMaloda หลายเดือนก่อน

      NO N.t.p usimchukie bali mwombee yanini uitupe nafsi yako motoni sababu ya kumchukia mtu ambae hajui unakulala nn unavaa nn na unalalaje kemea iyo Roho kwa jina la BWANA soma Mathayo 5:44 nikutakie maisha malefu

  • @REBEKAMBONGE
    @REBEKAMBONGE หลายเดือนก่อน

    Nakama we mwenyewe utumia nyimbo za kimbongo na mziki yakidunia mbingu huioni

  • @ushindimbwilo1398
    @ushindimbwilo1398 หลายเดือนก่อน +1

    hapo nimeona unajiunga mkono mwenyewe

  • @HellenBundu
    @HellenBundu หลายเดือนก่อน

    Una hubiri nini ?

  • @mkojeragodsonofficial4664
    @mkojeragodsonofficial4664 หลายเดือนก่อน +1

    Bible is academic
    We need your CV first
    Kabla hujamuongelea baba etu
    He is not your type
    Hata hueleweki unaongea nn
    Inasikitisha Sana pole Sana
    Njoo tyukufundishe Cha kuongea.

  • @bonychitanda6410
    @bonychitanda6410 6 วันที่ผ่านมา

    Hii dunia hii

  • @saimongilala8938
    @saimongilala8938 หลายเดือนก่อน +3

    Baba mangembe achana na huyu naona Hana neno Ra kuhubilia watu ni upuuz2

  • @SamsoniMaloda
    @SamsoniMaloda หลายเดือนก่อน +1

    ACHA USHAMBA & UJINGA HUWEZI MWIMBIA MUNGU KWA MIFUMO YA KIDUNIA ATA YESU MWENYEWE KAMWAMBIA Rachel & Zipporah Mushalla MNANIIMBIA KWA KULAPLAP MM NIMEKUA MBWAAA..?

  • @eliezermsonge7388
    @eliezermsonge7388 หลายเดือนก่อน

    Kimtokacho mtu mdomoni ndicho kimjazacho moyo wake. Tena kimtokacho mtu ndicho kilichonajisi. Chumga Sana kinywa chako. Usihukumu usije ukahukumiwa.

  • @raphaelmwanalinze3912
    @raphaelmwanalinze3912 หลายเดือนก่อน

    Huna hekima pastor

  • @KabnasNyangi
    @KabnasNyangi หลายเดือนก่อน

    Kinachonishangaza ni pale unapowachambua wengine sijajua ni kuona kuwa uko sahihi sana hubiri injili kwa sababu hata wewe hatuwez kusema uko sahihi una mapungufu mengi tu kama hujui .maneno yaliyokujaa kwanza unatukana madhabahuni

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 หลายเดือนก่อน

    Ukweli unauma

  • @evaristkobelo3936
    @evaristkobelo3936 หลายเดือนก่อน +2

    Magembe hajibizani n Wehuu

  • @ajaykilawah2622
    @ajaykilawah2622 หลายเดือนก่อน

    Kwani wewe ni Mungu kukaaa kukosoaa watu? 😅

  • @MugeniClaudine-y8l
    @MugeniClaudine-y8l 7 วันที่ผ่านมา

    Iyo nikweri

  • @octavianmwakalinga9580
    @octavianmwakalinga9580 22 วันที่ผ่านมา

    We jitahid hekima ndo iwe ufunguo wa kinywa chako.

  • @GeorgeMabala-v9h
    @GeorgeMabala-v9h หลายเดือนก่อน +3

    Mbarikwa kana huna neno la kristo tafuta kazi nyingine siyo kukosoa tu,

    • @RodaMaganga-ye6ye
      @RodaMaganga-ye6ye หลายเดือนก่อน

      Matako matako sijui ya nini Hana hekima ya kinywa

  • @propKibali
    @propKibali 27 วันที่ผ่านมา

    Lkn mtumishi, hawa watu wako neno la kuwajenga watalipata lini?

  • @academiazsoft
    @academiazsoft หลายเดือนก่อน

    Unapotea sanaaaaaa

  • @marionoti5760
    @marionoti5760 หลายเดือนก่อน

    Ndo mnagundua leo kuwa kunena kwa lugha zisizoeleweka, kumekaribisha matapeli, ambao wamejipambanua kiasi kwamba hata roho mtakatifu wamembinafsisha, eti anawasikiliza wao zaidi. Rudini kwenye kanisa la kweli ,takatifu na la mitume ili muwe huru.

  • @frolatimotheo8107
    @frolatimotheo8107 หลายเดือนก่อน

    Sasa.wewe.ndio.mkaguzi.wa.hayo.matako.kwaiyo.na.wewe.unabudu.matako.uliyaonaje.sema.neno.watakuchoka.watu.umeprwa.hao.watu.uwape.neno.la.mungu.la.kweri.soma.ufunuo.22-18.namshuhudia.kila.mtu.ayasikiaye..maneno.ya.kitabu.hiki.mtu.yoyote.akiyaongeza.mungu.atamungezea.hayo.mapigo.yalioandika.katika.kitabu.hiki.namtu.yeyote.akiondoa.lolote.katika.maneno.ya.unabii.huu.ya.kitabu.hiki.mungu.atamuondolea.sehemu.yake.katika.ule.mti.wa.uzima.na.katika.mji.ule.mtakatifu.ambao.habari.zake.zimeandikwa.katika.kitabu.hicho

  • @Revocatusfeli
    @Revocatusfeli หลายเดือนก่อน

    Itakuwa vyema watumishi wamungu utakapo ona wamekosea sehemu, mfata inbox umukosoe yeye Kama yeye usimuanike azalani, lakini Nia ya magembe ilikuwa nzuri kwasababu waanzilishi wa lege na ipp hawakuwa watakatifu, kwakuimba lege zao waweza kufufua roho ndani yako zilizo kuwa nyuma yao waanzikishi hao

  • @David-p9c1e
    @David-p9c1e หลายเดือนก่อน

    We jamaa kazi yako ni kusema watu tuu

  • @EliaMhile
    @EliaMhile หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwa bwege kabisa

  • @NaomiWanjiku-q8z
    @NaomiWanjiku-q8z 29 วันที่ผ่านมา

    Acha kupotosha dini giza na nuru haviwezi kukaa pamoja kwanini uweke rege kanisani wakati ni ya watu wa dunia

  • @HoseaMbilinyi-do4iu
    @HoseaMbilinyi-do4iu หลายเดือนก่อน

    Acha polomo mzee magembe yukosawa

  • @mangakwigema
    @mangakwigema หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa vipi😅😅😅😂😂

  • @MathayoNemes
    @MathayoNemes หลายเดือนก่อน

    Unaposema ni sahihi ila msiambiane kwa ukali msmbo yake mungu

  • @frolatimotheo8107
    @frolatimotheo8107 หลายเดือนก่อน

    Unajuwa.akiyekuajili.anaona.unamuibia.mda.wake.kwa.watu.aliowanunua.kwa damu.yake

  • @MagdalenaMatiko
    @MagdalenaMatiko หลายเดือนก่อน

    Hakuna mu waMungu kelele kila siku madhabahuni mmeacha.kuhubiri na kuomba,shetani mmempa shetani nafasi zamaani hakuna Mungu tusidangab
    nyane

  • @NethrinePaul
    @NethrinePaul หลายเดือนก่อน

    Embu jaribu kuhubiri neno la Mungu acha kuchambua maubiri ya mtu wew ni mwema serekali imekushinda?

  • @DanielLetina-j9v
    @DanielLetina-j9v หลายเดือนก่อน

    Ndugu yangu hiyo siyo kazi tulio itiwa hubiri injili siyo kukosowa , jichunguze Wewe mwenyewe kwanza je! Uko sahihi

  • @nasonlyanga4558
    @nasonlyanga4558 หลายเดือนก่อน

    Fanyeni Yale mliotumwa

  • @REBEKAMBONGE
    @REBEKAMBONGE หลายเดือนก่อน

    As washilika wenu huwa tunaomba wachungaji wote Sasaww unaponda injili hiyo du

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 หลายเดือนก่อน

    UMEANZA KUPOTEA KABISA MCHUNGAJI NA UNATOA MATUSI AZALANI HUNA UELEWA

  • @REBEKAMBONGE
    @REBEKAMBONGE หลายเดือนก่อน

    Achen mahubili ya kukejeli

  • @regnaldymambaly9880
    @regnaldymambaly9880 หลายเดือนก่อน

    ushetani ni kuwa huyu anae imba ana mwombia nani au anamsifu nani Mungu au shetani, pia tukumbuke kuwa shetani alikuwa kiongozi wa sifa kwahiyo alitoka na maarifa hayo kule mbinguni na anacho kifanya ni kubadilisha tabia za wale wanao imba na haya tunayaona kwa wasanii wengi yaani msanii ana amini ili aonekane kuwa ni msanii mzuri ni lazima avae hereni kusuka nywele bila kujuwa kuwa shetani ame watega kwenye hayo

  • @petromakala-il5ts
    @petromakala-il5ts หลายเดือนก่อน

    Mhibiri 20:17 ,Zabur 37:37