#PART

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ม.ค. 2024
  • Upendo ni Matendo ukajionyeshe kuwa ni Mwanaume

ความคิดเห็น • 10

  • @glorify650
    @glorify650 หลายเดือนก่อน

    Amina 🙏🏻 🙏🏻 🙏🏻

  • @EmmanuelLuwanja-sb9wj
    @EmmanuelLuwanja-sb9wj 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mzee

  • @DafrosaSanya-fk6zz
    @DafrosaSanya-fk6zz หลายเดือนก่อน

    Aaaamen

  • @rafikiwayesu7814
    @rafikiwayesu7814 5 หลายเดือนก่อน +2

    Baba yangu ubarikiwe sana nakuombea Mungu aendelee kukupa nguvu.

  • @wanyemalusao4525
    @wanyemalusao4525 5 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu Asiwe Tunabarikiwa kwa NENO 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @bintiwayesu2226
    @bintiwayesu2226 4 หลายเดือนก่อน

    inaboa na kukatisha tamaa kabisa mtu unamjali kwa moyo wote boxer unamfulia alafu anaenda kumvulia mwanamke mwingine km Yesu usiponitetea binafsi nimekata tamaa ya furaha ya ndoa saivi kwenye ndoa yangu ni bora liende siku zisogee hakuna ukweli unafiki na uongo mwingi Yesu nakuachia wewe. Asante mchungaji kwa mafundisho mazuri

    • @jepemedia
      @jepemedia 3 หลายเดือนก่อน

      poleeee dada

  • @NuruMbwile
    @NuruMbwile 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu akutunze baba

  • @gregorydavid8077
    @gregorydavid8077 5 หลายเดือนก่อน

    Bwana YESU aendelee kukupa afya njema na kukutumia sana Mzee wetu.

  • @haningtonkabuta9387
    @haningtonkabuta9387 5 หลายเดือนก่อน +1

    KWA KWELI TUPENDE KWA VITENDO...!! NINAFUATILIA KWA KARIBU. ASANTE SANA NYTV KWA KUTUFIKISHIA YALIYOJIRI.