Ni utotoni, ujanani, ukubwani, uzeeni Mungu anamtokea mtu. Omba bila kukata tamaa yeye hachelewi wala hawahi bali ni kwa wakati wake alioupanga ATAKUTOKEA. Amini tu!
God I'm carrying ministry in me,I'm the one standing on behalf of my mother's house,I'm a single mother too😢😢😢😢😢😢😢God don't let me to give up please,nitie nguvu Jehovah😭😭😭😭😭😭nitokee Baba yangu
Napenda Nyimbo zako dada. Nikama vita zilianza kitambo sana. If you believe in Jesus Christ then the fight is not yours. Keep fighting at end you will win kwa Jina la Yesu
Let me live this comment here,i will come back with my testimony,my time is coming ,no matter what am going through, Isaiah 60:22,thanks for this song ,may the LORD bless you servant of GOD🙏🙏.
Ni utotoni, ujanani, ukubwani, uzeeni Mungu anamtokea mtu. Omba bila kukata tamaa yeye hachelewi wala hawahi bali ni kwa wakati wake alioupanga ATAKUTOKEA. Amini tu!
Exactly Amen 🙏🙏
God I'm carrying ministry in me,I'm the one standing on behalf of my mother's house,I'm a single mother too😢😢😢😢😢😢😢God don't let me to give up please,nitie nguvu Jehovah😭😭😭😭😭😭nitokee Baba yangu
Like wise.
God is in control
🙏🙏
Mungo atakuonekania. Mimi aliniokana. Amen
Mungu atakuja2 you will shine🧡🧡🧡🧡🧡🧡👍
Ipo siku yangu pia na siombali wakati wangu wakukumbukwa na Mungu umefika Amen🙏
This song remember me how we passed sometimes God with us am blessed ❤
Napenda Nyimbo zako dada. Nikama vita zilianza kitambo sana. If you believe in Jesus Christ then the fight is not yours. Keep fighting at end you will win kwa Jina la Yesu
ipo siku Kaka itaku yako mungu ako karibu Sana Kaka usipe MOYO MY brother enock Jonas thenk you God bless you Kaka yangu 🙏🏼🙏🏼
😊😮
Ipo siku ya kila mtu the only person who knows is God keep going brother enock God bless you so much for the song ❤
🎉🎉🎉
Ipo siku yangu namiini mungu atanitokea Wala sio mbali matezo haya yatageuka historia hio part unipa nguvu na matumaini 🙏
Mungu akuzidishie sana nyimbo zako zina nikubusha nikiteseka sana na sasa mungu amenibadilishia maisha yangu
Kwel
Kwa kweli huu wimbo kama alikuwa ameniona umenigusa sana maana mapito nilikuwa nimeyapitia kama huu wimbo ubarikiwe sana nakuomba mungu akutie nguvu
Walizika mume wangu akiwa hai. Lkn habari ziwafikie hangali hai na hataishi in Jesus name
Usijali 😢braza IPO siku utafutwa machoz yko
Wachanikusubili mungu. Ipo siku yangu 😢😢😢😢😢.😭😭😭
Je reçoit cette bénédiction au nom de Jésus depuis RDC.
Hii inaguza sana,,may God bless your work 🙏🙏
Ninaiona kesho yangu najuwa ipo sikuyangu nami mungu ataniyokeya
Mungu ni wawote utoa kwa wakati sahihi ipo siku ivi karibu utakuwa na furaha nakupenda sana nyimbo zako❤❤❤
Surely GOD 🙏 he will make a way for who believe in him 🙏❤️
Hiyo nyimbo ni yangu.Stay Blessed 🙌 🎉
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏. Hii song imenigusa Sana iko siku hats Mimi mungu atanikubuka Kwa jina la yesu iko siku🙏🙏🙏🙏
Ameeen 🙏 🙏 ipo siku yangu na mimi Mungu atanitokea wala sio mbali. In Jesus name 🙌
Nyimbo zako zinaninguza sana kaka wacha Mungu akutie nguvu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Huu wimbo umenitoa machozi na kunikumbusha machungu nimepitia kwa maisha yangu ila iko siku Mungu wangu atanitokea
Yote yataisha
Nashukuru kaka kwa wimbo huu umenigusa sana nimeteseka sana lakin saiv namshukur mungu kuku kwangu nikitu cha kawaida
Kilio ni cha mda tu,ipo siku yangu mungu atanikumbuka 🙏🙏
Let me live this comment here,i will come back with my testimony,my time is coming ,no matter what am going through, Isaiah 60:22,thanks for this song ,may the LORD bless you servant of GOD🙏🙏.
Ninaimani na mungu kilahali ninayo pitia
Itakuwa swa tu
Wimbo huu unanitia moyo sana najihisi kwendelea hatua baada ya hatua
Ipo siku kakaa usikate tamaa mungu yupo pmja nawe 🙏
Nikweli IPO siku Mungu mwema atatenda tub barikiwa.
I don't understand but your songs are very nice and touching. 😊
A fan from Namibia 🇳🇦
Wimbo mzuri sana 😊 barikiwa kaka
Amen mungu mm atanibariki❤❤❤
Ipo siku yangu .E Mungu wangu acha nkusubiri .acha niwe historia Kwa wengi 😢😢😢😢
Nyimbo zako zinanitia moto sana mungu akutie guvu 🙏🙏🙏🤷🙌
Wimbo mzuri ,ubarikiwe ndugu
Nyimbo zako zinanibariki Jonas be blessed and may God blss you aboundantly 🙏
I feel like crying, such a heart touching song 😢
Ameeeeeen Ipo siku kweli
This song really uwa nikiisikiliza najikuta tu machozi inanitiririka yaani inaniguza sana ❤❤❤❤
Amen be blessed kaka 🙏🙏🙏🙏🙏
AMEENI, KILA SIKU NI MUNGU ANANITIA NGUVU MPYA YA KUENDELEA NA MATUMAINI KUWA IPO SIKU NITATOA USHUHUDA IN JESUS NAME.
Amina mtumishi
Kaka wimbo wako inipa matumaini kua cku moja Mungu atanikumbuka na kesho yangu itakua istoria Mungu akubariki 🙏🙏
This song is not a jast a song l cry alot about this song because it's lemaind me about something in life 😢😢😢
hakika ipo siku yangu najua mungu utanitokea na Aya maisha yatageuka historia🙏🙏🙏🙏😘😘😘😘😘😘😘
Keep going your songs touches my heart alot. Barikiwa sana
Mungu aendelee kukuzidishia kipaji chako nyimbo zako zinanitia faraja sana
Mungu Akuinue Kakangu 😭😭😭UMEGUSA MOYO WANGU BROTHER NATUMAINI MUNGU SIO MWANANDAMU ATAFANYA KWA WAKATI WAKE 🙏
Be blessed bro nothing l pay God u make me cry the way my life be some few years back thanks lord to bless me 😢❤
🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌ipo siku nami nitabalika in Jesus name Amen 🙏🙌🙏
Baba mungu akupe nduvu za ugiza ajili nyimbo zako ninzuli sana
Ipo siku yangu hakika naisubiri Mungu atutie nguvu wote tusizimie mioyo
iko siku yangu mungu atanitokea🙏🙏
❤ napend san nyimbo zako
🙏🙏🙏nyimbo zako nikisikiza na hisi nimebarikiwa❤❤❤
Barikiwa mtumishi wa Mungu.
Ipo siku yangu tu mungu atanitokea 😢😢😢😢😢
My everyday song,the song strengthens my soul
Hii wimbo inanipaa moyo yakuvumia kwa kila jambo ambalo napitia😢😢😢😢
Balikiwa sana kaka kwa Imani tu naamini
Am getting restored in my soul,thank you Lord for this Glorious song
Amen 🙏🙏🙏 this song has really blessed,,,be blessed too
Mungu ni mwaminifu na SI mchoyo ukiomba ni lazima atatenda🙏🙏🙏
God bless you great messages God bless you
Amen iko siku yangu na mm mungu atanitokea sio mbali barikiwa sana bro
Mungu yupo na wenye subira
Ubarikiwe nimepata hopes kwamajaribu napitia
Nainua Imani yangu zaidi Kwa ushuhudah🙏🙌🏻🙏🙌🏻🙏
❤Wimbo wa delete niliwafuta wore walio nikosea ndugu yangu
Nyimbo zako zibarikiwe daima mtumishi hki ziko juu sana
Huuh, wimbo unanigusa moyo kwakweli, Mungu nimudawangu ss nikumbuke na mm.
Jonas naomba namba yako Tafadhali
Naitafuta sana
Mungu hutenda makuu kuwaaibisha watesi wako ,hakika tumkilieyeye tu
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ❤❤❤❤❤ ipo siku yangu kweli
Amina,ipo siku yangu...😢😢😢,
Yani mtumishi nikama unajua ni nini napitia ila siku yaja kesho ya heshima yangu😢
Wimbo mzuri sana ❤barikiwa kaka mungu akubariku sana
Amen umeniguza sana najua umeniwazia mema kutoka kenya.
Much love from Kenya,huu huniguza sana
Wimbo mtamu balaaa kwa kweli mungu kila mtu anampa fungu lake,
Really my friend ni muda tu utafika tutasahau
Amen najisikia kutiwa moyo na huu wimbo kweli IPO siku
Ipo siku yangu na Mimi 😭😭
For sure God will gonner do something in somebodies life
Ipo siku yangu ukweli,nimelia machozi miaka mingi
Ipo siku yangu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mungu akubari sana kwali hii wimbo umenigusa sana🙏🙏🙏
From TikTok to here….🙏🏻🙏🏻🙏🏻amen
Kaka nyimbo zako zinanabariki Sana ubarikiwe
Bwana asfiwe ata mm ipo siku no tacheka
Iko siku yangu,mungu ni mwema.Asifiwe mungu.
Ipo siku yangu namimi nitabalikiwa na mungu wangu na aipo mbali.
May god guide you with your e family and be blessed and continue for all you're plan
hii nyumbo inanifaruji sana
Hakika bro siku ipo amini mungu
Mungu yupo kwa kila jambo
Pia mmi ipo siku nitakujacheka mmi mungu atakuwa amenikumbuka mmi kweli kila jambo Lina wakati wake poa
Brother nyimbo zako zinanibariki sana
Amen be blessed bro, Nyimbo zako sinanibariki sana .
Nina Imani Mungu ananipeleka mbali na amentoa mbali sana yote itakua historia
Naamini pia Mimi upo siku Mungu atanitokea.
Bariki wa sana kaka
Nyimbo hizi zinanitia nguvu AMen 🙏🙏
God remember me through this song