Ulinitendea Mungu nilipokua mgonjwa, uliponya after two years of illness naye ugonjwa haipatikani hospital. Nilipofika kanisa nikaisha church for 1yrs and months uliniponya bila hata shillingi ya dawa Jamani nitendee tena kwa kufungua mlango ya Kazi nizidi kupata ushuhuda. Jesus for life friends❤😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Those who're bedridden have faith and wish you speedy recovery through the Holy Spirit in Jesus name
Im from Kenya na uu wimbo umenifanya nikajua kumbe mungu ajanisahau kazi ya house girl anaeza akanitoa qwa house girl anipe kazi ya heshima mungu akubariki sana mtumishi🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu hakubariki mtumishi wa mungu Kwa ujumbe mzuri na akuepushe na mabaya yote zidi ya Adui wote wasio penda kuambiwa ukweli ujumbe kutoka mbinguni huo
Kaka nakupendaga tangu albm ya kwa sikuwa na smart mungu kajalia nimepata smat nimeanza kukufatilia bro,na ka ikimpendeza mungu nitakitafuta nikushirikishe kataka nyimbo yangu , mimi ni mch,habakiki na nimwimbaj pia
Nitendee mungu niende nifungue biashara nikae na watoto wangu,mungu nalia kila siku nikikumbuka watoto wangu wako pahali na wanahuzunika ewe baba yangu sikia ombi langu nijibu baba yangu nimelia ya kutosha sina namna mungu wangu nikumbuke baba nikae na watoto wangu nitoke mombasa nifungulie njia jemedari wangu
Am a Ugandan right now in kisii town but this song God is going to a new thing in my life anwere thanks for good msgs in the song atatenda wakati nime omba 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Akuna siku mwanadamu atamsaidiya mwenziye kwa ukarim mungu ndiye ajaa na utendaji WA kutowa ushuhuda mungu Nami nakuomba utende Kwangu nipate ushuhuda amina
Jonas,was happy watching you live sing this song,,nyimbo zako zote zinanifaa sana especially now,,am blessed young brother,,God bless you for blessing our souls
Ulinitendea Mungu nilipokua mgonjwa, uliponya after two years of illness naye ugonjwa haipatikani hospital. Nilipofika kanisa nikaisha church for 1yrs and months uliniponya bila hata shillingi ya dawa Jamani nitendee tena kwa kufungua mlango ya Kazi nizidi kupata ushuhuda. Jesus for life friends❤😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Those who're bedridden have faith and wish you speedy recovery through the Holy Spirit in Jesus name
Amen
A@@matridamakange7286amen
❤
AMEN
Nko Kenya naitwa lsaac Baraza,nyimbo za ndugu yetu Enock, n nyimbo za kubariki nyimbo zenye mafunzo,aky mungu aendelee kumbariki hivyo hivyo
In Jesus name tutapata ushuhuda adui washuhudie,thank you man of God may God bless your work and your family
Ooh my God tenda kwangu nipate ushuhuda , nakuomba please
Kazi poa bro 🙏🙏🙏🙏🙏
Nakuomba baba utende kwangu nipate ushuhuda
Ubarikiwe Jonas unapotubariki kw nyimbo za nguvu
Im from Kenya na uu wimbo umenifanya nikajua kumbe mungu ajanisahau kazi ya house girl anaeza akanitoa qwa house girl anipe kazi ya heshima mungu akubariki sana mtumishi🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu akulinde popote uko inchi za ugaibuni ❤
Tenda kwangu nipate ushuhuda x100.
Nakutengemea wewe Yesu.Nabarikiwa sana.
I am from South Africa , I don't even understand this language, but Holly spirit touched me through this song 👏....🪘🥁🎻🎺🎹🎸🔥🔥🔥🔥
Amen... I also too understand the language but it has cut deep into my soul
@@momoftwins2848❤😅Aghhuhgf😅
kazi nzuri kaka jonasi
Infact this is the prayer always in my heart . Amen . Be blessed bro
Ulitubariki sana hapa kenya siku ya kuvuka mwaka destiny reconciliation church ,mungu azidi kukuinua na kukupa kibali.
Usinipite leo tenda kwangu nipate ushuhuda waaibike wafedheheke Jehovah
kazi bomba kaka mkubwa,pia nasi tunajifunza mengi toka kwako
Tenda Kwangu Mungu wangu nipate ushuhuda, ( Kibali Cha kazi, Kibali Cha ndoa piah bariki na familia yangu)🙏
Eee Mungu wangu tenda Kwang nipate ushuuda
Wahaibishe maadui yangu
Asante kwa kunisikia
Yahweh Nina Imani nawew tenda kwangu nipate ushuhuda 🙏🙏
Amen mungu nko hapa leo uniponye nami na unibari had uzao wangu asante kwa wimbo mzuri
I receive my financial breakthrough, my new car,business, goodwife IN JESUS NAME AMEN
Mungu hakubariki mtumishi wa mungu Kwa ujumbe mzuri na akuepushe na mabaya yote zidi ya Adui wote wasio penda kuambiwa ukweli ujumbe kutoka mbinguni huo
Ongera sana.nyimbo inaujumbe mzito sana sana.ubalikiwe sana mtumishi
Daaa!!! Amina Sana mtumishi nibarikiwa Sana na nyimbo zako hakika bwana nitendeee nishuhudie babab
Barikiwa sana ndugu yangu
TikTok brought me here, ushuhuda coming soon in Jesus Name ❤
Same here from tiktok. God continue touching our hearts
Tenda kwangu na mi nipate ushuhuda 😭😭🙏🙏
very powerful song amen may God continue to bless you ENork 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 amen
Kaka nakupendaga tangu albm ya kwa sikuwa na smart mungu kajalia nimepata smat nimeanza kukufatilia bro,na ka ikimpendeza mungu nitakitafuta nikushirikishe kataka nyimbo yangu , mimi ni mch,habakiki na nimwimbaj pia
Through this song i have faith tomorrow will be better than today
Kupitia Kwa huu wimbo mungu naitaji Kuna baraka zako ,bariki mwimbaji na familia yake
😢😢aki. ubarikiwe sana Huu wimbo umenigusa❤❤❤🙏🙏🙏
Naitwa Judith nyimbohii inatia falaja ubalikiwe kaka
Tenda kwangu baba nipate ushuhuda 2023
atatenda
MUNGU azidi kukubariki zaidi kaka🙏🙏🙏
Mungu ashukuriwe kwa kuwa bado tuna waimbaji wa injiri wanaothamini lugha zetu za asili, Mungu AKUBARIKI Brother
Hi song inagusa moyo wangu sana man of God . God blees you🙏🏾
ENock amen you lost were hallelujah nice songs amen 💪💪💪 hallelujah 👏🏽👏🏽👏🏽 hallelujah ❤️❤️❤️
Nyimbo nzuri,backup na dancers ...poaaa
Nyimbo izuri sana,Mimi Niko Zambia.
hallelujah kweli mungu wangu ameeeeen 🙏🙏🙏❣️ amen 💪💪💪 hallelujah very powerful song amen ❤️♥️ amen
Hii song inanibariki tu sana
Nyimbo zako zinanitia moyo sana barikiwa sana 👏👏👏 nelson
From TikTok and am blessed by song
ameeeeen 🙏🙏 hallelujah very nice one song amen 💪💪💪💪 hallelujah ♥️♥️♥️🍀 ooooh God help has amen amazing songs amen 💪💪💪👍🏽 hallelujah
Amen, nyimbo zako uwa zinanifariji moyo, sana 🙏, 🙏
Hakika nilikuwa nasita kwenda kesho ibadani lakin kupitia huu wimbo nitaenda ibadani. UBARIKIWE sana kwa wimbo mzuri
Mungu wa mbinguni azidi kukutumia sawa sawa na mapenzi yake siku zote mtumishi wa Mungu
Tenda kwangu nipate ushuhuda ,nibariki na Moto na nirudi kwangu
Naomba na mimi utende kwangu nipate ushuhuda 🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
😊
Amen 🙏🙏🙏
Such a blessing song,,,tenda kwangu Yesu nipate ushuhuda
I love this song, tenda kwangu bwana nipate ushuhuda
Mimi ni mkenya ,nyimbo zako zinaelimisha sana.
We have honestly witnessed God doing miracles. He has lifted the lowly and they now live like Kings. God is great.
God be with u man of God
Pita na like ya this blessed minister
Nikumbuke mungu usiniwache nimeteseka yautosha 😢😢Amen ❤❤
Nitendee mungu niende nifungue biashara nikae na watoto wangu,mungu nalia kila siku nikikumbuka watoto wangu wako pahali na wanahuzunika ewe baba yangu sikia ombi langu nijibu baba yangu nimelia ya kutosha sina namna mungu wangu nikumbuke baba nikae na watoto wangu nitoke mombasa nifungulie njia jemedari wangu
Mambo
Poa@@nyarikivincent3426
Tenda kwangu nipate ushuda mungu wangu watot wasikin kam sis tunaomba tuunie
I'm from Uganda but holly spirit have touched me through this song God I need testimonies through this song
This song is really life Transformation to my life,may the Lord elevant and use you for great inspiration
Kweli tumtukuze Mungu anasabaji ya kila matukio ya maisha yetu
Yesu mwema nami intended jambo jipya kabla 2024 kuisha
Nasi mungu utukumbuke tupate ushuhuda
2023 lilly being blessed as I go through this song🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲🤲
Kweli kabisa watu wanauliza sana hata ilikuwa unawategemea Kwa ushauri ndo wanaumiza sana.
iman ya juu hata nmekua na uvumilivu wa kimaisha nikimuona mbele yangu wakati wa shida tu nampata mbele
Ameen,wimbo huu uwafikie maadui wote bado naendelea ndan ya kristo yesu amenishka mkono
Am a Ugandan right now in kisii town but this song God is going to a new thing in my life anwere thanks for good msgs in the song atatenda wakati nime omba 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen and amen,mungu ni mwaminifu kwa kila jambo,am violet moraa from Kenya
Barikiwa sana Bro Enock vibao vyako vyabariki West Pokot
asanti sana kaka mungu akutia nguvu uwendelea ivo
I must sing in church this song this year,, with just piano and my voice i like it
Nyimbo nzuri sana baba mungu akutiye nguvu atende kwako umalize Salama Kaka yangu
Kazi nzuri sana kaka God bless you
Nice worship, lovely video talking reality of life
Amen 🙌🙌🙌🙏 mtumish mungu hakubariki sana nimebarikiwa sana
The song is a foundation of my perseverance in this journey with faith and hope for better tomorrow.
Kwa. mungu. lkilajbo. lawezekana. mungu. nakuomba. utende. kwangu
Enock Jonas wa Enzi zile amerudi Sasa. Kweli BWANA ametenda barikiwa sana mtumishi
Good job jonas
Nami pia nahitaji ushuhuda, what a nice song
Good song ,,bro may God protect you
Tenda kwangu pia mungu nipata ushuuda
Mungu wangu naomba unitendee hata na mimi nikue na ushuhuda.moyo wagu umechoka sanaa
Akuna siku mwanadamu atamsaidiya mwenziye kwa ukarim mungu ndiye ajaa na utendaji WA kutowa ushuhuda mungu Nami nakuomba utende Kwangu nipate ushuhuda amina
Nimehangaika muda mrefu lakini nko Imani wakati Moja nitakuwa n ushuhuda
Mungu atakutendea jmn🙏
Tenda kwangu pia nipate ushuuda eeh mungu wangu napitia mangumu kwa sasa
Jonas,was happy watching you live sing this song,,nyimbo zako zote zinanifaa sana especially now,,am blessed young brother,,God bless you for blessing our souls
Naydya off my mind is good for you not have
Asante dogo huu wimbo ndo maisha tunayo ishi mitaan
Mungu kanitendea mengi Sana,binadam ,hawaishi kulalamika,,,Asante kwa wimbo ,watubariki
what an encouraging song,,,,in the journey of faith never consider what people will say about you but do what pleases the LORD
Wimbo huu ni wa baraka hakika umenikumbusha maisha nimepitia,Asante mungu.
Amen 🙏🙏🙏 huu wimbo unanitoa machozi😢😢
Kwa Imani najua utatenda kupitia kwa watoto wangu
Iko vizuri,Mungu aendelee kukupa ujumbe kwa ajili ya maisha ya watu
Mungu ainue huduma yako brother Eno
Mungu ainue huduma yako brother Enock
Amen Mungu wangu tena kwangu nipate ushuhudu
mung tenda kwang na mimi nipate ushuhud baba sik ya leo iwe njem🙏🙏
Its ahopeful sonng so encouraging mungu bado akupe hekima kubwa
Barikiwa sanaaa kwa ujumbe mzuri
Mungu tenda kwangu 💕 nipate ushuhuda🎉
Amen and amen,nikwa nehema ya mungu tunaishi