Jamani Mimi nimukulya nipo dar ila nimekubali hii nyimbo nikali sana Tena sana japo sjui kiluga Mimi ni muklya pikapu sana kaka kazi nzuri pokea maua yako❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Bro Mr Marco huu wimbo wako nimeupenda sana mno nakusikiliza kutoka hapa Lusaka Zambia lakini mie Mrundi ila niliishi apo Tanzania zaidi ya miaka mitano mikoani ya Geita na Mwanza ndo maana miziki ya Asili naipenda sana hata humu Zambia kwenye Bar yangu napigaga mala nyingi so Big up sana Bro
Kazi Safi Sana
Hongereni sana
Kongera sana kaka piga kazi
BIG TIME DJ kafika kukagua kazi mpya ya j moo masta wa wasanii sio kwa ngumi bali kwa mifumo mbalimbali
Haya ndio mapinduzi ya kweli katika video namkubali Sana Director Migera
Asante boss wangu
Juma marico msalimie sana mrembo pendula mwambie kuwa miso. Misondo umepigaje hapo❤️
haya nitamsalimia
iBRA macomputa kayikubali ngoma❤❤
Sina ubishi na kazi zako migera
❤
Jamani Mimi nimukulya nipo dar ila nimekubali hii nyimbo nikali sana Tena sana japo sjui kiluga Mimi ni muklya pikapu sana kaka kazi nzuri pokea maua yako❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Uko vizuri brother kazi nzuri mnooo karibu geita nyankumbu, keep it up MARCO NG'WANA EASTER.
Mziki ni uwekezaji Juma kajitoa na kaamua kabisa Kwa moyo wote kuwekeza Tena keep it up brother
Video super
Migera killed it
Asante boss wangu
J moo we noma sana
kazi nzuri juma marco make bila bajet basi hata migela sio kitu...
Asante
Unaweza ukapewa bajet zuri Bado ukafeli kuwapaga mandesa na cala Yako ikawa mbaya hivyo migera anajua sana Hana BAYA kwenye video
Kigine ukiagalia video mwazo mwisho utaona kazi anayo ifanya migera anatumia hakili nyigi sana
@@thentuzumusic Asante boss kunisaidia
@@thentuzumusic sawa sawa brother ni mtazamo tu
Jamani nimeangalia hiii nyimbo nimeiludia mala mbili mbili acha wivu laiki na kukoment kwakazi nzuri ya huyu kijana na kamela man
Juma marico Hongela kwa kazi nzuri maana bila maokoto
Yenu Hata Migera Asinge Linga
asante babaangu ubalikiwe sana
Amina by Dj Ntambi Hp
Unajua nimechoka kuniongelea sawa jamani nimechoka staki
Nyimbozulisana❤❤❤❤❤❤❤
Aiseee mambo nimoto washa moto kaka edelea wenye wivu wajinyoge tunakutegemea asili yetu
Waoo
😮😢😅❤
Kazi nzur kaka angu
Oya madesa yako ni noma sana ikibidi uyaongezee mishahara
nimeikubali sani hii uko sawa kabisa labda majungu tuu kazi yako iko vizuli
Wambieee
Bro Mr Marco huu wimbo wako nimeupenda sana mno nakusikiliza kutoka hapa Lusaka Zambia lakini mie Mrundi ila niliishi apo Tanzania zaidi ya miaka mitano mikoani ya Geita na Mwanza ndo maana miziki ya Asili naipenda sana hata humu Zambia kwenye Bar yangu napigaga mala nyingi so Big up sana Bro
Uko juu bro
Uko vzr baba manyon tunakusapoti
Jamani ukweli tuache unafiki Director Migera Ni hatari yani ukiacha msanii kujipanga pia Director kafanya vizuri sana heshima kwako kijana
nelemi tuko pamoja
Asante Boss wangu
Good job my father!!! Welcome to 🇰🇲 🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲
Willy one ap umetisha❤❤❤
masegese ngasa Tv🎉
Poa poa sana
Migera Migera Hatari
Asante boss wangu
masegese ngasa Tv
Nakupenda Sana msan
juma Marco ww nomaa
Bado nipo Hai 🎉
unaweza ukatengeneza figisu zako lakin haki ya mtu Iko pale pale ti
Piga kazi juma
Kaz Zur sana nisaidie namba yako nataka unipe show
mbona wimbo wa mateso hauonekani Juma Marco
mbona wimbo wa mateso hauonekani Juma Marco
juma vip
Nimekukubali
sawaa
Nice ❤
Kaka we ni mwamba geu
Mu🎉😢😅
masegese ngasa Tv
Vema
asante mungu
Poa poa
👏👏👏👏👏👏
masegese ngasa Tv
masegese ngasa Tv