Kisima umekuwa msanii bora sana tangu nikuone kwenye #Mwakata na @Bhudagala hakika umepikwa vyema na umeiva. Kutoka #SUNDI mpaka #SHILATU umekonga nyoyo za wasukuma vyema. Keep it up bro.
ujumbe mzri san kaka hongera sana kunamchezaji kasharudi kundini alikuwepo toka kipindi cha selina lakn kunamwingine simuone alikuwepo mziki ya nyuma mrudishe ni binti kisima
Hongera sana wimbo Mzur na Video iko poa Imepamgiliwa kinoma LOCATION IMESIMAMA KINOMA inaonesha uhalisia wa kile kinachoongelewa kwenye Wimbo "Congratulations to You The greatest Singer"
Ndani ya muda mfupi tumepigiana simu kwamba oyàa Susana imetoka chukua bando! Sasa tumesubili ngoma nyingine itapendeza kama utatufatisha na TINDULANO itakuwa poa sana Niko hapa UYUMBU KALIUA
Niko republic of congo tunasikiliza vyema Sana nyimbo za kisima je washabaki wa kisima mnanipokeaje kwa like zenu,♥️
Tuko pamoja
Lubumbashi hapa, tujuane
nite mr mleta nipo igunga tabora nakumuerewa sana kisima
Hie
We acha tu❤❤❤❤❤❤❤
Mungu aendelee kusimamia nyota yako isiwe namuchawi uko vizuri sana
The Greatest Singer in Sukuma Trible 🙌🙌🙌
Kisima nyanda majabala we noma chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂
Kisima ni hatari sana tuna mpatia maua yake🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kaka one love from USA we love your music representative of sukuma land
Good job nyanda majabala🙏🙏🙏
Niko Dodoma Yan wagogo wanakesha kwangu wakiangalia video za nyimbo,zako.......wanakupenda saana....karbu Dodoma bro
Safiiii kaka saruti🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kakavunaweza sanaaa mungu azd kukupa uwez zaid na zaidi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤❤
Bhabha kisima oganilangaga saan nkoi💯
❤❤❤❤
Nazunije, hakika najifunza mengi kutoka kwako kaka piga kaz, majungu sio mtaji
Hakika nyimbo za kisima ni 🔥 huku ug unasikika
Iko vzr brother kisima sema uwe unazipa nafs nyimbo zako angalau at baad ya wiki unaachia nyimbo nyingn au at mwez ni wazo 2
Upo sawa ndugu
@@kisimamajabala135 kilisi nimekuonea huku kwetu mpanda kasekese uko vizuri jamaa
❤❤❤❤❤nakupenda sana Kisima majabala japo sijapata bahati ya kukuona live
Pamoja sana kaka🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kaka we hatari na mwishoni nmemuskia baba angu muzaz lenga chapat ngoma zako kali xan
kazi nzuri 😀😀😀😀
Kisima.chapakazimnyamwezi wa sukuma.dakamayoteipokwako❤❤❤
Jamaa una nyimbo za vina nakubal naomba mungu akujalie Atlanta zaidi
Nakukubal sana mwamba kalib tena msasa chato
❤❤wimbo umenikosha
Kisima umekuwa msanii bora sana tangu nikuone kwenye #Mwakata na @Bhudagala hakika umepikwa vyema na umeiva. Kutoka #SUNDI mpaka #SHILATU umekonga nyoyo za wasukuma vyema. Keep it up bro.
Nyimbo zako nasipenda San Kaka ata sijui cd zako zinapatikanaje maan kila nikiweka mb zote zinaisha kwa ksikiliza nyumbo zko
Hongera sana kaka sauti inasikika vyema kinamapula _ushetu
Igedeja nakusuburi mwambaa 🎉🎉🎉
Mimi niko masumbwe kisima nakukubal sana brother masumbwe mbona huji tumekusubil kwahamu
ujumbe mzri san kaka hongera sana
kunamchezaji kasharudi kundini alikuwepo toka kipindi cha selina lakn kunamwingine simuone alikuwepo mziki ya nyuma mrudishe ni binti kisima
Basukuma oyeeeee
Kazi nzuri Sana kaka endelea kupambana bro
Nakukubali kisima chukua maua yako🎉🎉🎉
Nyimbo nzuri sana kisima kutoka bariad tuko pamoj
Mwamashimba Babu Rin tunasubiri sana
Sana brother wetu kisima kutoka umoja wasukuma chuo cha UDOM
iko sawa kabisa kaka kisima
Hongera sana kk unaujumbe mzuli 🎉🎉
Kazi nzurii Sana kisima tunasubiri wimbo known as bhazunije tunaisubili kwa hamu sanas
Ndio ndio ndioooo ,,,,nakubali sana kaka pande za mwime ya ilindi machimbon hahaha wela hange nho bhobho.
Hapa Botswana naburudika sana na nyimbo za Kisima. Wale madada wanakata viuno da😂
Mie Shabiki wa MTC tuko pa1🎉🎉🎉🎉🎉
Captian jah whom him bless no one curse cant go astray to him i pray music forever i love africa
Nakuona mtt wakinya.wezi.pigakazikisima.tupopamoja
Ngoma kali sn hapo uyole mbeya tunaenjoy
Bro kwa nyimbo zako shule kubwa katika jamii
Endelea kutuletea vyuma msanii wetu , pia HONGERA sana bro director makula
Nikiwa morogoro Sijawahi kukupinga kila kazi ni moto
Bigam bro kwa nyimbo zur very good
Hii ngoma imenigusa mno mungu akupe maisha marefu uzd kutuimbia bro Big Up Sana kaka 👊👍
Shabiki namba moja wako 🔥🔥🔥
Saf sana maja🎉mbara kwawibo wa susans
Mimi Mafuvu nilikua dancer Wa Saida karoli Dhamani sasaivi Niko Nairobi Kenya hii Nyimbo iko 💯💯💯🚴🚴
ipo siku ntakuja kufanya kazi nawewe poa kaka
Kisima upo vizur safi sana
Hongera sana wimbo Mzur na Video iko poa Imepamgiliwa kinoma LOCATION IMESIMAMA KINOMA inaonesha uhalisia wa kile kinachoongelewa kwenye Wimbo "Congratulations to You The greatest Singer"
Kazi nzuri sana kaka, MTC hatujawahi kufeli mzee
My greatest ksima nyanda majabala💖 from THEMBA 🇸🇿🤜🤛💯💓🙏🌟
Kijana wimbo mzuri sana big up
Big up sana Ni unyama mwanzo mwisho
Tungo tata🎉🎉🎉
Kazi nzuri boss,, unapambana 🙏🇹🇿🇹🇿
KISIMA Maisha ni safari ndefu sana wachache sana tunaojua ulikotoka tokea kwa LIMBE leo wewe ndiyo umekuwa namba moja kwa asiri tz
winbo wangu bora wa siku zote nhelimbe bhululu wigafla kutosha
Niko daa huku maeneo ya mbagala lakin huyu jamaa anatisha sana Yuko vizur sana
Nimeipata safi sana ng'wanaobhatele
Kwani "U- LIGWHA! akajamalali?😂😂
Daaah mm so msukuma ila ni miongoni mwa shabiki yako mkubwa kwanza ulinikosha sanaaaa kwenye nzukii
Pamoja sana kaka Sara na ti
Hii nilikuwa nimeisubilia sana
Sawa gete brother ❤❤
Kisima upo vizuri sana
Niko tabora,kazi njema grupu yenu ya MTS
One❤ twendeni uoya
Iko poa sana🎉
Sauti bora kabisa
Gore wizy wa kwanza
Dj fabby senta maria tupo pamoja sana kaka
I like your songs so much.from Zambia
Nakukubali sana kaka
You are the best
Bado sarah
goma kali hatari broow
Itilima yetu kaka kalbu sana lain yetu
Eshitale tukongejee mhembero uzidi kulala kuja mbere wa ngw'ise
Uhakikaaaaa🎉
Ndani ya muda mfupi tumepigiana simu kwamba oyàa Susana imetoka chukua bando!
Sasa tumesubili ngoma nyingine itapendeza kama utatufatisha na TINDULANO itakuwa poa sana
Niko hapa UYUMBU KALIUA
Nice Good Job
Ngoma Kali nipe like zangu
Mbona Iko pw 🎉😂tu
Uko sawa kisima
Iko njema
tupo tayar kupokea video mpya mzee
hongela sana
Wakwanza Leo jmn
📌📌🔥🔥🔥
Unsumba ng'wiyo nashikaga aha jamani kisima apana
Cku 1 uje dar esalaam upge show ya man
Iko powa
Umejua kuteka soko la mziki
Kisima nipe dkka mbili nkuja
Msanii wangu
Huyu jamaa wamuachie kazi hii wsanii wengine waungane na b,bugatama wataua
Kutoka USA 🇺🇸… ngoja tuchenje na ngoma ya SUZANA📌
Kilasiku lazima niskiliza ngoma yako moja ndo akili ikaesawa