Naitwa Juma marco Nawakalibisha Kutazama Video Yangu Mpya Itwayo_Sophia #JUMAMARCO_SOPHIA #Director_Migera #Production_Mbasha_Studio th-cam.com/video/sc4DBj6RjAo/w-d-xo.html
ndugu wapendwa nyimbo za juma Marco bado zinakuja kwahyo ww mshabiki inatakiwa subscribers tu ili nikitowa wimbo usihangaike kuupata by j marco kalibuni sana nyumba kwetu africa
Nazipenda nyimbo zako lakni Sasa kwann kiswahili kingi wakati hulu vijijini tunaongea kisukuma tu Basi nyimbo zako hazitaendeleea kwasabab Wale bibi wa kisukuma kiswahili hawakielewi ebu Rudi kweny utamaduni wetu juma Marko please
Mi tangu nimjue kimziki Juma Marco hajawahi kuniangusha piga kazi bro
Shinyanga mjini uje upige show nyimbo zako zinachezwa sana
Juma Marco nyimbo zako nzuli sana tunakuomba ss mashabikizaki zako uongeze bidii tunakukubali sana
Kiboko azeeki anajinoa and mavazi mwamba wew
Kazi nzuri naona sniper Migera katika ubora wake wa viwango vya juu kabisaaa kila kitu kimekaaa poah💪
🌸
Na kuona boss wangu
Kazi nzuri sana Boss wangu unaumiza sana kichwa
Wewe kwa sasa ni hatar💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Uko vzr kaka Niko pand za igunga hapa tulikuwa tunasubir nyimbo zako Kwa hamu sana nawasambazia
Twende sawa Juma
Daaa, kutoka jiteng'we ngese kupitia Veronica mpaka Sophia ni hatua kubwa na mafanikio makubwa sana , hongera sana kaka Juma Marco.
Bro unajua San mungu akurnde 🙏 unatuwakilsha vzur
Juma karibu Kona mnyangala mpanda hii goma kapiga na Nan huyo
Moraaa xana
Unaweza kaka mungu akubarik
hello hello viva bana ya tanzania avec juma marco musik kitoko mingi ici se charly ngimbi de bundes toleli misiki naba clip nayango du courage
Kazi ipo hit kwa ajili ya kufunga mwaka
,👍👍👍
Nice Brother Good Job
S
Mimi Siyo Ngosha Lakini Nazipenda Miziki Yenu Hasa Wewe Hongera Unavaa Kinyawezi Sana🔥🔥🤝🤝
😂😂😂
Kaz nzuli sana kaka
Kazi iko poa Sana Juma malico
Mamb
❤uko vizur mzaz
Chapa kazi j nakkbari nakikongo unakijua wenoma nakucheki nikiwa kazini somaria tunakuchekitu turaga nimo tureamo
Kazi safisana kaka
Kazi kubwa
Mbona kuna sauti mbili tofauti. Collaboration hiyo!
Kali sana
Nawapenda san
Kari sana hii
Mbn ngoma unajua kupga ile kelele mwamba wengine tunataka chorus sjui ndo bit Check ngoma ya maringita
Naitwa Juma marco Nawakalibisha Kutazama Video Yangu Mpya Itwayo_Sophia
#JUMAMARCO_SOPHIA
#Director_Migera
#Production_Mbasha_Studio
th-cam.com/video/sc4DBj6RjAo/w-d-xo.html
congore sana kaz nzuri
Asante
ndugu wapendwa nyimbo za juma Marco bado zinakuja kwahyo ww mshabiki inatakiwa subscribers tu ili nikitowa wimbo usihangaike kuupata by j marco kalibuni sana nyumba kwetu africa
Hakunashida nazipenda xaaaaana nyibo za juma marico
Vp
ok
Jifunzeni kwa kisima kuziiimba hizi Asiri
asante kwa maoni yako nitayafanyia kazi ndugu yangu nitajitahidi kujifunza ili nifikie kuimba kama kisima nimekuelewa boss wangu
Piga kazi bro
Kuna nyimbo uliimba nyang'hoge naitafu ila sijapata inaitwa wimbo gani mana uliimba ukasema umeitoa juzi
Kalibu sana inyonga
🔥🔥🔥🔥
10:13 _10:20,13:38 13:52 ,na kwingine kaua kuliko wote ingawa na wengine ni nyoko anitafute nina zawadi yake mrefu kuliko wote
Nazipenda nyimbo zako lakni Sasa kwann kiswahili kingi wakati hulu vijijini tunaongea kisukuma tu Basi nyimbo zako hazitaendeleea kwasabab Wale bibi wa kisukuma kiswahili hawakielewi ebu Rudi kweny utamaduni wetu juma Marko please
Kazi Nzuri
Sophia whatever little I have I always give you really Sophia I love you.
Nmekuona uko vizur kaka
Ndio kaka
Ukovizuri enderea kupambana
❤❤❤❤❤❤❤
Kakongo
Janja
Sophia whatever little I have I always give you really Sophia I love you.