Majibu Sahihi Dhidi ya Sheikh Nurdin Kishki | Part 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 มิ.ย. 2023

ความคิดเห็น • 243

  • @sihamjamal2234
    @sihamjamal2234 ปีที่แล้ว +2

    Allah azidi kukuinua na kukupamba kwa Elmu na akulinde na hasad za majini na watu yarabbal alameen shekh wetu mbarak

  • @sabdiduwil8436
    @sabdiduwil8436 ปีที่แล้ว +1

    Kwani haji iko afrika! Mnampenda hayo ya madhehebu yenu! Lakuwa wangelikuwa hai hao waloleta ilhitilaf ktk dini na wangeona utandawaze ulivyo leo. Wasingeandika vitabu vyao. Hasha! Mwenyezi mungu ndiye mjuuzi wa kila kitu na ndiye mwenye kujuwa yaliyo fichikana na akayadhihirisha. Hapo kale taarifa itoke mwanza to dar miezi 2!

  • @amohammed3390
    @amohammed3390 ปีที่แล้ว +3

    Quran haibadiliki basi hata fatwa za Masheikh ambazo zimepitiwa na wakati zifuatwe tu. Watu wamesimama ARAFA tuma waona live. Basi weye bado unasubiri mwandamo wa mwezi MOMBASA au LAMU ili ufunge ARAFA. Subhanallah

  • @MohammadJumah-qk2xc
    @MohammadJumah-qk2xc ปีที่แล้ว +2

    Allaah sw akupe taufiki innalhalala bayyin wainnalharaama bayyin mm msimamo wangu ni kuungana na mahujjaaj

  • @user-yk3kp4fd1t
    @user-yk3kp4fd1t 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna kufata mwandamo wa maka watu watafata mwandamo wa sehemu husiku tu kishki kasome usijione unaelimu kubwa kishki elimu yako bado ndogo sana na mungu happening mtu kujiona yupo juu jua kunawaliyokuzifi tu soma kisa cha. NABII MUDA UTAJIKUTA HUNA LOLOTE KASOME SAWA

  • @dashuu5295
    @dashuu5295 ปีที่แล้ว +5

    Allaah ndo mlipaji wa matendo yetu sote nia zetu ni kupata ridhaa ya Allah tutafunga Arafa yyt ile

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz ปีที่แล้ว

      Kweli lakini tusome maana kama tutakua tunafunga skuku si itakua gharam sasa tutapata nn kufunga mie nahisi bora 2someni dini ye2

    • @dashuu5295
      @dashuu5295 ปีที่แล้ว

      @@KassimAlly-xp4dz unadhan hawa masheikh hawakusoma kila mmoja kasoma na kapata maarifa yake ndo mana kila kundi lnajiona mcmamo wake ndo sahihi.... Hata na cc baada ya kusoma mawazo yoote ya namna mbil ndo tunachanganua uu niufate uu niuwache...laaa ikraah

  • @sheikhyusufdiwan2489
    @sheikhyusufdiwan2489 ปีที่แล้ว +11

    بارك الله فيك وجزاك الله خيرا استفدنا فائدة تامة

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 ปีที่แล้ว +1

      Umetuwekea video ya aweso mtu muongo muongo huyo tunamjua na vitabu tunavyo tunasoma menone anayo soma hajui hata yanatumika wakati gani maneno yake.
      Au fatwa hiyo ilikua wakati gani

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 ปีที่แล้ว

      Waona faida ilo timia kwako kumbe mnaharibu asili.
      Arafa ni siku ya tisa Dhulhijja makka sio Tanzania labda mje na video muwaambie watu na nyinyi mna Arafa yenu

  • @allylassuh4947
    @allylassuh4947 ปีที่แล้ว +3

    Shukran sana al habeeb sheikh mbaaraq aweis

    • @amohammed3390
      @amohammed3390 ปีที่แล้ว

      Ndio umefaidika na nini ktk ulimwenguu. Unawaona watu live wamesimama ARAFA kisha wewe unasubiri mwezi uindame Mombasa au LAMU

  • @mossikocha5926
    @mossikocha5926 ปีที่แล้ว

    Mashallah Allah akupe kila la kheir inshallah

  • @wastarayusuf93
    @wastarayusuf93 ปีที่แล้ว +7

    Mashaa allah sh.Mubaarak awes allah akuhifadhi umejaribu kuweka wazi na dalili kadhaa wa kadhaa.

    • @user-im4zr3hw5y
      @user-im4zr3hw5y ปีที่แล้ว

      Kasome , pengin utapotea kwa bei rahsi

  • @NahilVelji-sx9vv
    @NahilVelji-sx9vv หลายเดือนก่อน +1

    Masheikh mnatuchanganya,acha tufate mwandamo wa sehemu tulip it make sense

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv ปีที่แล้ว

    MASHA ALLAH

  • @eshaali4597
    @eshaali4597 ปีที่แล้ว

    allah atakuhidhadhi akubarikiye shekh

  • @OmarSaid-nt2xd
    @OmarSaid-nt2xd หลายเดือนก่อน

    Sheikh kishk Ako sawa mashallah

  • @AyubuYasini
    @AyubuYasini ปีที่แล้ว

    Maaashaallaaah

  • @shabirhatibu5259
    @shabirhatibu5259 ปีที่แล้ว +1

    Quran 2:
    211. Waulize Wana wa Israili: Tumewapa ishara ngapi zilizo wazi? Na anaye zibadili neema za Mwenyezi Mungu baada ya kumfikia basi hakika Mwenyezi Mungu ni mkali wa kuadhibu.

  • @banihashim5347
    @banihashim5347 ปีที่แล้ว +1

    Masufi mnashida sana,

  • @MohammadJumah-qk2xc
    @MohammadJumah-qk2xc ปีที่แล้ว

    Kinachozingatiwa kitendo cha mahujaji sis tusoenda tumesuniwa kufunga shekh allaah sw akupe taufik

  • @khatibujuma4933
    @khatibujuma4933 ปีที่แล้ว

    Mashall

  • @sanda960
    @sanda960 ปีที่แล้ว

    Allah atuongoze. Elimu ni kitu kipana sana. Wallahu aalam

    • @amohammed3390
      @amohammed3390 ปีที่แล้ว

      Hamna hawa ni Masheikh wanaopotosha watu kwa faida Yao . Hawatumii akili zao

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 ปีที่แล้ว +6

    Sheikh Nurdeen kishk yupo sahihi🧡

    • @wahidabdul1365
      @wahidabdul1365 หลายเดือนก่อน

      Yupo sahihi kivipi? Amekariri maneno kimakosa maneno ya Sheikh Ibni Uthaymeen.Sheikh Mbarak Awes amelisema kwa usahihi na kupatia hayo maneno ya ibni Uthaymeen. Mimi pia nimeziona hizo kauli mbli za Ibni uthaymeen kwenye fatwa yake. Jibu ni hilo hilo , kila mmoja aangalie kwake

  • @dinocastico8495
    @dinocastico8495 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu sheikh kishki siku alipo kualika sheikh kutoka soudia akaulizwa suali la muandamo ndio siku niligundua wapo masheikh wapo kimisimamo haijalishi ya kuvunja kilicho bora.

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 ปีที่แล้ว

    والله المستعان.

  • @user-nj9sl5bu2x
    @user-nj9sl5bu2x หลายเดือนก่อน

    Mashekhe allwa awahifadhi ni mtihani mzito mana kuna dimma kwa always ila kwa kuwa ya kheri allwa atuhifadhi

  • @shafieirey9838
    @shafieirey9838 ปีที่แล้ว +1

    روى ابن خزيمة وابن حبان والبزار وأبو يعلى والبيهقي عن جابر رضي الله عنه، مرفوعاً أيضاً: (ما من يوم أفضل عند الله من يوم عرفة، ينـزل الله تعالى إلى سماء الدنيا، فيباهي بأهل الأرض أهل السماء، فيقول: انظروا إلى عبادي، جاؤوني شعثاً غبراً ضاجِّين، جاؤوا من كل فج عميق، يرجون رحمتي، ولم يروا عقابي، فلم يُرَ يوماً أكثر عتقاً من النار، من يوم عرفة).

  • @yusufadanmoha311
    @yusufadanmoha311 ปีที่แล้ว +3

    Kweli ya kishki

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 ปีที่แล้ว

      Ukweli Gani ? Fatwa za masheikh zenu wakiwahabia munazikataa? Nyie Ni watu wa ajabu.😮

  • @kitosio
    @kitosio ปีที่แล้ว +4

    Wewe shekhe ivi unatumia na hiyo akili yako ktk kufamu zaidi au elimu yako ndio imefika hapo. Siku ukiambiwa atakaekula ndizi ataingia Peponi nahisi kama utakubali akili yako ilivo. Huna uwezo wa kufikiria zaidi. صيام يوم عرفة. Kama huna lugha itafute. Ila nyny Masufi wakaidi Sana namutibiki. Ashakoelekezwa mtu ndiko huko2. Masufi hadithi hamuzitakiiiiiii. Tena nyny wa Tanzania na Saudia mukoje. Mbona nchi nyingi sana hawauoni mwezi washangaa nini. Ivi lazima watu wote wauone mwezi.
    Russia, UK,..... Machi mingiiii. Akili zikuwe mfikirie sio mnakokotwa Kwa kamba ya meli

  • @MulhatOmar-dx7ry
    @MulhatOmar-dx7ry ปีที่แล้ว +1

    Na nyinyi viongozi wa dini naapa Kwa Allah muumba wa Kila kitu minamaswali mazito mbele ya Allah kesho

  • @athmandaba1420
    @athmandaba1420 ปีที่แล้ว +1

    Yaan waona akizungumza sheikh kishki sauti iko chini...akizungumza sheikh Aweis sauti iko juu!...Hamna hoja hapo ni chuki tu kwa kushabikia matwari tu!...

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 2 หลายเดือนก่อน

      Kwel kabisaa masufi ya mahulidi ni mijitu mijinga na mizushi sanaaa

  • @user-it3ee7zq2y
    @user-it3ee7zq2y ปีที่แล้ว

    Hebu atusome fatwa ya Ali juma mufti wamisri kuhuso idd Adha

  • @MulhatOmar-dx7ry
    @MulhatOmar-dx7ry ปีที่แล้ว +1

    Wote huo ni unafik tuliojaza ktj nyoyo zetu na ndio maana waislam Leo hii tunatujanana innalillahi wainna ilayhi rajiun😟😥😥😥

  • @user-vn6vx1qk5i
    @user-vn6vx1qk5i ปีที่แล้ว +1

    Mimi suali langu ni moja tu jee nani anaweza kututhibitishia kuwa Saudia wanazingatia mwezi wa kuandama ( Natural moon site ) au wanazingatia ule ambao wameshautayarisha kwenye Calendar yao ya miaka 30 inayokuja mbele. Hili pia ni jambo la kuzingatia sana
    Na Allah ndie mjuzi wa kila kitu

  • @AhmadaTahir-cu8se
    @AhmadaTahir-cu8se ปีที่แล้ว +4

    Anachokizungumza Sheikh Mbaraka ni haki Wallaahi

  • @aljabery.binruz
    @aljabery.binruz ปีที่แล้ว

    Asalam aleikum, kaka shekh bin uweis na wanae pinga tarekh arafa,au hija naomba mwende kule mkapambane na wanae toa fatwa.mana nyie mashekh mnatupoteza,sisi wengine mambumbumbu na maumina kaziyetu kufata.tafathaleni muende mkafanye nagash zenu huko huko mje na natija.

  • @cosmasjoshua1973
    @cosmasjoshua1973 ปีที่แล้ว

    Sheikh Qassimu Mafuta amefafanua vizuri kabisa acha kudanganya

    • @riddi676
      @riddi676 หลายเดือนก่อน

      Alivyofafanua ni kana kwamba uislam haujakamilika. Anaacha maswali mengi sana.

  • @mohamedimcheni2068
    @mohamedimcheni2068 ปีที่แล้ว +3

    Kishiki akasoma hakuna mahusiano kati ya sisi tunaofanya na mhujjaji

  • @nassorkhalfani1467
    @nassorkhalfani1467 ปีที่แล้ว +2

    Arafa itakuwa tarehe 27 mwenzi huu na tarehe 28 ni siku ya kushinja insha Allah kwaiyo akili kichwani kwenu kufata watu ambao wakienda makka wanafata kule na wakija hapa wanakuwa tofauti yani mimi huwezi nambiya ni tarehe 28 ndio arafa wakati watu washatoka katika viwanja vya arafa

    • @Same-ol5ll
      @Same-ol5ll ปีที่แล้ว

      hio imeanza mwaka gani shekhe? maana hicho chombo cha taarifa kimekuja juzi tuu . unazungumziaje kuhusu miaka ya 1800 na kurudi nyuma

    • @ahluldhikri6054
      @ahluldhikri6054 ปีที่แล้ว

      We unajua maana arafa ama unaropokwa tu ibada ya haji na kuchinja ni vitu viwili tofauti ibada ya hija imefaradhiwa Tano baada ya hijiria na wanavyuoni wengeni wanasema mwaka wa tisa baada ya hijiria riwaya ni tofauti sasa ukae ukijua miaka yote huko nyuma mtume rehma na amani zimfikie na maswahaba zake walikua wakifunga siku tisa na ya kumi wakichinja kabla ya ibada ya hijjah kufaradhiwa someni jamaa msikurupuke kama majahili

    • @Naseemsalum
      @Naseemsalum ปีที่แล้ว

      Hoja yako dhafu sana wakati mahujaj wako viwanjani baadhi ya sehemu nchi ya urusi ni usiku na wao wafunge usiku kisa mahujajj wamesimama?

  • @user-ci5wm8fb1x
    @user-ci5wm8fb1x ปีที่แล้ว

    Huyo shee Mbaraka hajuw inabidi akasome tena

  • @amohammed3390
    @amohammed3390 ปีที่แล้ว

    Hata kama SHEIKH AHMAD BIN SALEH INN TAIMIYA alisema basi hajuzu kuwa na ARAFA zaidi ya moja. Mahujjaj wakisimama ARAFA basi nyinyi mfunge na wakichinja nyinyi msherehekee nao kwa Eid. Sasa itapatikana wapi hii kama kutakuwa na ARAFA 2.

  • @AbdulmajidChakusaga-ee6vk
    @AbdulmajidChakusaga-ee6vk หลายเดือนก่อน

    huyu shekhe mubaarak hajyi kiarabu ndio chamchanganya uwelewa wake kwenyekiarabu bado sana

  • @user-cg4zb4bz1b
    @user-cg4zb4bz1b ปีที่แล้ว

    Afu awajui makka na tanzania atutofautiani masaa,

  • @sefuriyembe7864
    @sefuriyembe7864 หลายเดือนก่อน

    Kishki anafuata ushabiki wa wafadhili wake, moyoni mwake anajua. Hapa ni tatizo la ukweli vs pesa !!!.

  • @pastor.frank.tmwaisemba7401
    @pastor.frank.tmwaisemba7401 ปีที่แล้ว

    si sawa Wafuasi wa dini yenye haki kutukanana kwa sababu ya Arafa.

  • @ashirijuma9810
    @ashirijuma9810 9 หลายเดือนก่อน

    Kishki awe sawa wap

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 ปีที่แล้ว +1

    Kishki iyo nikuabudu watu wa Makkah

  • @user-ci5wm8fb1x
    @user-ci5wm8fb1x ปีที่แล้ว

    Shekh Kishki yupo sahihi sana

    • @rashidhemed1444
      @rashidhemed1444 ปีที่แล้ว

      Hata kitabu hajakutajia lolote ila Yuko sahihi Kwa mihemuko yako na itikadi zenu za kiwahabi tufahamishe mtume na maswahaba na tabiina na tabii tabiina walifunga vipi

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 ปีที่แล้ว +2

    Haya mambo kwa sasa hayana Nafasi
    maana sasa hiv watu wa Makka na wa tz eneo lolote Duniani
    Tunawasiliana tu leo ARAFA leo Eid n.k

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      ushahidi wa maneno yako kwamba sharia yaangalia mitandao uwapi? au wazungumza wajifurahisha tu

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      tumsikilize nani? wanachuoni wenye akili au nyie msokua na akili

    • @HaidarOmar-tx7cc
      @HaidarOmar-tx7cc ปีที่แล้ว +1

      Saf ww unaakili san

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 ปีที่แล้ว

    Kila ikifika idi au Ramadhan ni malumbano

  • @abdallahhalifa5860
    @abdallahhalifa5860 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh,Mawahabi waache km walivyo watakupasua Moyo hao hawakubali kushindwa

    • @ayah844
      @ayah844 ปีที่แล้ว +1

      Bora mutuache manake majahili masufi waache wacheze ngoma zao hawana muda wakusomeshana,wanasomeshana qasida na kucheza ngoma

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 ปีที่แล้ว

      ​@@ayah844Unaetakikana kusoma Ni wewe Juha ambae umekataa fatwa za masheikh zenu wakiwahabia. Kasome utoke ujingani

    • @Naseemsalum
      @Naseemsalum ปีที่แล้ว

      ​@@ayah844wewe unasoma au unatishwa na maneno ya huyo kiongozi wako😅

  • @Wastara001
    @Wastara001 ปีที่แล้ว

    Huyu Awes, hana dalili. Kishki katoa clip ya sauti ya Utheimin . Awes aonesha kitabu wala hajasoma.

  • @AhmedHassan-yz4lr
    @AhmedHassan-yz4lr ปีที่แล้ว

    Tatizo hapa ni dogs9 sana.
    SAUDIA HAWAONI MWEZI.wanakisia tu

  • @user-yk3kp4fd1t
    @user-yk3kp4fd1t 3 หลายเดือนก่อน

    Kishki ukasome tena hao waarabu saudia wanasema arafu sio kufata maka Acha kudanganya watu kishki arafa ni tarehe sio siku kasome

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg หลายเดือนก่อน

    Huyu kishiki, hamjui ni nani huyu ni Mfumo

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 ปีที่แล้ว

    Na mbona Eid ingine stil munaangalia hukohuko pia utaona hawana msimamo kabisa.

  • @SaidChambia-hl6rl
    @SaidChambia-hl6rl ปีที่แล้ว

    Hujielew Arafa ni moja

  • @alimau7939
    @alimau7939 ปีที่แล้ว

    Assalam alaikum laiti kama juhudi hizi tunazifanya kwa kupambana na makafiri kwa kuulinda uislamu wetu tungepiga hatua kubwa sana hizo tofauti za wanawavyuoni tuwaachie wenye isifike pahala unampiga mwanazuoni kwa kusimamia hoja yako, tujuwe fika hizo ni fitna za makafiri ama uzishike na kuzipalilia ama uwachane nazo akili kichwani mwako

    • @Naseemsalum
      @Naseemsalum ปีที่แล้ว

      Sasa mtu anae lazimisha kufunga siku ya Eid au anaefunga siku ambayo sio ya Arafa anatofauti gani na kafiri

    • @alimau7939
      @alimau7939 ปีที่แล้ว

      @@Naseemsalum huyo mtu huwa hakusudii kufunga sikukuu niya yake anafunga mwezi tisa hayo mambo sio ya kulumbana waislamu wakweli huwa wanapenda wala hawadaharauliani, wala kuitana majina mabaya asante

  • @zuwanahemedy9170
    @zuwanahemedy9170 ปีที่แล้ว

    Asalamu alekumu waratulah wabarakatu njamiya nawashukuru sn Kwa alimu mnayo tupa ila hili Moja mnakoseya mashekhe wetu man mjadalo wenu itaneni mkutane muoge mpate muafaka hivi mnajizalilisha nyie Kwa nyie mnalubana nini faida yk mamuma twede wapi tushike lipi mashekhe na waomba sn mitadao achani nayo

  • @khalifaahmed5232
    @khalifaahmed5232 ปีที่แล้ว +14

    Tatizo mawahabi wanategemea mitandao na sio maneno ya wanavyuoni ingekua hakuna mitandaoni cdan ka kungekua na ubishi ka huu

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 ปีที่แล้ว +2

      Kwani hiyo kauli iliyoitoa kishki si ni kauli ya ya huyo huyo mwanachuoni Uthymin

    • @ayah844
      @ayah844 ปีที่แล้ว +5

      Masufi maqurafat ndio mashekhe wa mitandao,sisi tunafuata kitabu na sunna bass hatuna uzushi

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 ปีที่แล้ว +1

      ​@@ayah844Alutheimin alimfuata Nani? Si Ni sheikh wenu wa mawahabi? Ama pia yeye Ni ghurafi? Ama nyinyi Kweli Ni wagonjwa.

    • @shabirhatibu5259
      @shabirhatibu5259 ปีที่แล้ว +1

      Ila inabidi msome vizuri kuhusu huyo kiongozi wao..wahabi ni jina la kiongozi...na mji aliozaliwa hata mtume s.a.w aligoma kuwaombea...

    • @ahluldhikri6054
      @ahluldhikri6054 ปีที่แล้ว +3

      ​@@ayah844sijaona mshenzi kama ww duniani makhuraf ni kina nani? Waita waislamu wenzako punda kwanza ckiza vizur yoyote mwenye chembe ya kibri haitaingia peponi na ww kuwaita wenzako punda c unamaana umewadharau chunga usione mtu anasema neno na ww ukapatiliza na hujui maane yake

  • @kingmrume
    @kingmrume ปีที่แล้ว

    miaka miwili iliyopota hakujafanyika hijja makah,je nchi nyingine atukufunga Arafa na kuswali eid?na kama tuliswali tulifata nani?jibu sahihi nadhani nikufata muandamo ulipo,

  • @mohamedsalimaljahdhamy1436
    @mohamedsalimaljahdhamy1436 ปีที่แล้ว +1

    Shekh Kishk anajitia aibu kweli anapokazia suali ambalo tayari lipo wazi sana. Yaani hakuna mahusiano ya kisimamo cha mahujaj na funga ya arafa.

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      mbn kakake abdul kadiri ajibu mas ala haya sawa
      na vitabu anavyo ukienda atakuonesha ikhtilaf
      wala sio mchoyo sheikh abdul kadir

    • @Redhwany
      @Redhwany ปีที่แล้ว

      Kwani hapo kajibu kwa kichwa chake bila dalili ya quran na sunna?!! Na ulienda kwake akakutalia kukuonyesha ikhtilaf baina 😏😏 @ mafiatv

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      @@Redhwany fata yako nami niachie nafasi nifate yangu, ikhtilafu zipo, heshma yatakikana

  • @nureinimohamed449
    @nureinimohamed449 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe Nurudini huna elimu ya kutosha, neenda usome elmu vizuri. Yako ni kelele tu.

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman ปีที่แล้ว

    Nauliza mwaka wa kiislam unapo ingia huwa kila nchi unaingia kwa siku yake?
    Wapo wanaotangulia kuingia kwa mwaka wao na wanaochelewa kuingia mwaka wao mpya?

    • @riddi676
      @riddi676 หลายเดือนก่อน

      Ndiyo kwasababu mwaka wa kiislam upo kwa nyakati za mwezi, kwahiyo haupo sawa na ule wa kirumi. Ndo maana calendar ya kiislamu inaandikwa pale juu unaweza kubadilika mda wowote

  • @user-rg3tu2nc2f
    @user-rg3tu2nc2f ปีที่แล้ว +2

    Tutafuata Makkah tu kwa hijjah na Arafa.

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 ปีที่แล้ว +1

    MAWAHABI HAWASOMI WAMEKABIDHIWA MISIKITI NA MAKAFIRI WAKAWA WANALIPWA. WANATUPA SHIDA TU WAHUNI HAWA.

    • @ahmadlitwe7190
      @ahmadlitwe7190 ปีที่แล้ว

      Duuuuuh Maneno yako yamehifadhiwa Allah ndio mjuzi

    • @saidyusuf9245
      @saidyusuf9245 ปีที่แล้ว

      كبرت كلمة تخرج من افواههم ان يقولون الا كذبا

    • @ayah844
      @ayah844 ปีที่แล้ว +1

      Wewe ndio muhuni tena muhuni kwelikweli masufi ngoma,kazi kuchezeshana ngoma, mawahabi wanafuata sunna na quran, mawahabi hawafuati qasida na ngoma

    • @abuuamourmuhamed1934
      @abuuamourmuhamed1934 ปีที่แล้ว

      @@ayah844 sawa kabisa

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 ปีที่แล้ว

      @@saidyusuf9245 Usizichezee aya za Mwenyezi Mungu sw ukaweka sehemu sio yake. Huo ni ukafiri. Unajua sababu nuzuli ya hio Aya?

  • @omaryissa2562
    @omaryissa2562 ปีที่แล้ว +1

    Masufi wanakoment upuuzi mtupu

    • @shariffali7780
      @shariffali7780 ปีที่แล้ว +1

      Achana na lugha ya kusema masufi hivi masufi vile, njoo na hujja zako tujue haqqi iko wapi

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

      tuoneshe huo upuuzi, wewe ndo puuzi

    • @AhmadaTahir-cu8se
      @AhmadaTahir-cu8se ปีที่แล้ว

      Acha ujinga weweee...mukiambiwa musome munakataa ama kwa kuvaa vikemba hamushindwi

    • @omaryissa2562
      @omaryissa2562 ปีที่แล้ว

      @@AhmadaTahir-cu8se wewe pia unaniiita mimi mjinga
      Innalillah wainna ilay ragiun
      Allah akusamehe bure

  • @user-ll6xf7ki3j
    @user-ll6xf7ki3j ปีที่แล้ว

    Ckizeni nyinyi waumini ..allah .s.w hawatakua radhi mayahudi na manasara mpaka mfate mila zao ...tumeenda kuchukua elimu kwa mayahudi na manasara bure bila malipo hayo ndio .atumda yake

  • @MulhatOmar-dx7ry
    @MulhatOmar-dx7ry ปีที่แล้ว

    Hivi kwanini waislam tumejigawa hivi JJ aman kwahaki JJ a tukumbuken as ni wamoja Haina haja ya kutukanana tujue Kila tunachokifanya Allah atakwenda kutuuliza

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 ปีที่แล้ว +1

    Huwezi kumsaidia mtu ambae hajui nini shida yake.Ukimshika kichwa anashika mguu anasema unamuumiza ndio shida za mawahabiiii 99% ni majaaaahil.

    • @omaryissa2562
      @omaryissa2562 ปีที่แล้ว

      Watu wa uzushi wanatabu sana

  • @AbdalahMtambuka-rh1dp
    @AbdalahMtambuka-rh1dp ปีที่แล้ว

    apojibu kuu tosome

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 ปีที่แล้ว

    Uthaymeen ni mwanadamu anaweza kukosea na kupatia

    • @bahashachembea6922
      @bahashachembea6922 ปีที่แล้ว

      Je Bin Baazi pia hayuko sawa?

    • @bahashachembea6922
      @bahashachembea6922 ปีที่แล้ว

      Mashekhe wote wa 3 itakua wamekosea

    • @ayah844
      @ayah844 ปีที่แล้ว

      Wote ni ibn adam

    • @ayah844
      @ayah844 ปีที่แล้ว

      ​@@bahashachembea6922hata mashekhe 10 wote ni ibn adam

  • @suuahmed71
    @suuahmed71 ปีที่แล้ว

    Jee 2020 mwaka kulikuwa na Corona. Si hakukuwa na Hajj?? Ama ilikuweko? Kama hakuna watu si hawakusimama Arafa. So kwani hakukuwa na Arafa ? Watu hawakufunga ambao wako nchi zengine

  • @MwanaishaHemed-xi6rj
    @MwanaishaHemed-xi6rj ปีที่แล้ว

    Ata hatujui tumfuate nani maana kila mmoja anatoa dalili mungu tu ndie ajuae

    • @Naseemsalum
      @Naseemsalum ปีที่แล้ว

      Fuata tarehe 9 ya muandamo wako wa mwezi ufunge, pia jaribu kuwauliza wazee wako kama bado wako hai na mungu aliwajaalia kuwa waslam walikuwa wakifunga siku ya 9 kutoka muandamo wao au walikuwa wakipanda majahazi na punda kwenda kuangalia mwezi wa saudia

    • @aisha-rj6uc
      @aisha-rj6uc ปีที่แล้ว

      Assakamu alykum my wajina suluhisho ni kusoma utayajua yote na kutokuwa bendera kwa kufuata upepo.

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 ปีที่แล้ว +1

    Watu hawatumii akili dini inafata sheria acheni mambo ya akili tunafata mwezi mwandamo sio Maka hadithi Ina Sema hivyo

  • @abdulymohamed4591
    @abdulymohamed4591 ปีที่แล้ว

    Wacha uswahili toa hyo qauli wacha kuropokwa

  • @hamisi6910
    @hamisi6910 ปีที่แล้ว

    Mwezi uki thibiti Makka tuzingatie huko kwa kua ndipo hijja ina fanyika sawa. je kwa Ramadhani na eid fitr tuna fuata saudia kwa jambo gani?? Na jambo lingine kwa hao saudia kweli wana fatisha mwandamo wa mwezi au wana tuzeveza tu maana miaka yote kwao ndo mwezi uanze kuandama?.
    Pili ni kwa vipi makka wana fatisha mwezi mwandamo ilihali wana fixed calendar mwaka ya mwaka mzima? something is wrong binafsi sisadiki kila jambo la saudia hasa kwenye miandamo naona kuna chuplichupli nyingi

  • @shariffali7780
    @shariffali7780 ปีที่แล้ว

    Achana na lugha ya kusema masufi hivi masufi vile, njoo na hujja zako tujue haqqi iko wapi!

  • @amohammed3390
    @amohammed3390 ปีที่แล้ว

    Hatuhitaji BIN BAAZ kupata mantiki ya kuwa na ARAFA MOJA. Mashia sunni ibadhi wote lazima waende Makkah kuhiji kwa masiku 10 makhsusi. Na si mengine

  • @azizihfarijala5307
    @azizihfarijala5307 ปีที่แล้ว

    hivi huyu sheikh nurdin hajui kuwa dunia inazunguka k
    wa hiyo haiwezeka tukawa du

    • @ibnomar8144
      @ibnomar8144 ปีที่แล้ว

      Weye njoo unayizungurusha😂😂😂😂😂 aliyakwambiya nani kama dunia inazunguruka😂😂😂 akili nywele

    • @twahaally7251
      @twahaally7251 5 หลายเดือนก่อน

      SHAYKH Dunia haizunguki Wana geography wasikupoteze...jua na mwez ndio vya zunguka

  • @user-im4zr3hw5y
    @user-im4zr3hw5y ปีที่แล้ว

    Hawa wajinga walio vishwa kilemba cha ushee bila ya elimu , wanapotosha umma , Allah awajie mwisho mwema

  • @hafidhabdi2004
    @hafidhabdi2004 ปีที่แล้ว

    Hakuna arafa mbili na hakuna tarehe mbili kwa siku moja angalia uzito arafa na miujiza yake utaelewa mfano muda wa Al-asir kuwa makin

    • @NahilVelji-sx9vv
      @NahilVelji-sx9vv หลายเดือนก่อน

      Ndio mana wao wanasimama arafa sisi tunafunga na kuchinja hatupo makka

  • @saidkuwingwa485
    @saidkuwingwa485 ปีที่แล้ว

    Sheikh awes anaweka ushahidi wa wazi kabisa tena ushahidi wa kutosha sijui tatizo nini haiwezekani wote duniani tukaendana na makka kuna tofauti za masaa mfano Marekani na saudi wamepishana masaa 7

  • @AhmadaTahir-cu8se
    @AhmadaTahir-cu8se ปีที่แล้ว

    Mboni huyu Sheikh anatoa fatwa saaafi

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 ปีที่แล้ว

    Kwani hija na idi adh ha ili tangulia ipi si ilitangulia idi na saumu ya arafa sio hija wala kisimamo ni upotoshaji na bidaa mbaya mliozusha

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 หลายเดือนก่อน

    Tatizo hukumwacha Kishki amalize hio video umeikata na yote kupoteza umma...Sheikh aliulizwa live kuhusu hilohilo suali akasema watu wafuate mahali patoea la Arafa...Sufi watu wakupotosha kwa kusudii sijui lengo lao hassa ni nini.

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 ปีที่แล้ว

    Sio hadithi ni shekh uthaymiya sasa mbona huna dalili nyinyi ni watu WA hadithi vp kishki tunataka dalili nakli sio dalili ya akili vitabu vyote vya fikhi vina Sema mwezi kwa matlai husika sio wakimataifa tunataka dalili za nakliyu sio akili

  • @dashuu5295
    @dashuu5295 ปีที่แล้ว

    Mawahabi+masufi= mizozo daily....jmn Uislaam tunaupeleka waaap

    • @Naseemsalum
      @Naseemsalum ปีที่แล้ว

      Lazima wapate elimu wanaoyoyafanya ni kinyume na uislam

  • @majidsaid08
    @majidsaid08 ปีที่แล้ว

    Ayah gani yasema tufwate muandamo wa makkah?? Mbona wachemsha kishki.... mashekhe wa makkah wenyewe wasema mufwate miezi ya kwenu. Ingelikuwa hakuna mitandao ungefwata wapi?? Na tumeambiwa tuangalie mwezi tulipo sio tufwate nchi zengine..... kabla ya hijja kufaradhishwa mtume s.a.w alifunga siku tisa kulikuwa na ibada ya arafa hapo????? Musiseme mambo kufavour matakwa yenu....Alafu makkah wako na calender zao ya 10yrs to come na wafwata hivyo hivyo bila kubadilisha, kwa hivyo hawaangalii mwezi

  • @stn4873
    @stn4873 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @giltaemi4017
    @giltaemi4017 ปีที่แล้ว

    Watu wa bidaa mnajuana kuweka video za kuondoa asili ya uislamu na kuleta talbisi katika dini

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 ปีที่แล้ว

    Hawa Mawahabi wameaza manneno tena tuwapigeni kwanza niwachache kuliko sisi sisi tuko hadi vijijini maporini Mawahabi wapo chache mijini

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 ปีที่แล้ว

      Haina haja maana hawana hoja . Kila walichokipinga wamejibiwa kwa ushahidi .Siku hizi wamebaki kidogo na wanaendelea kumaliza.

    • @ramygichero1016
      @ramygichero1016 ปีที่แล้ว

      @@hassanalhussein3982 hawa watu nawachukia sana

  • @amidainarukundo1764
    @amidainarukundo1764 ปีที่แล้ว

    Tumepewa akili na Allah ili tuitumie ,tuwafuate viongozi wetu hakim ni Allah na yy Allah huona niya ya kila mmoja wetu malumbano kamwe sio solution.

  • @banihashim5347
    @banihashim5347 ปีที่แล้ว

    ALAFU WEWE MBARAK AWESI MBONA LEO UNATUMIA MANENO YA MASHEIKH UNAOWAITA MAWAHABI? NA UNAAACHA KUFWATA MANENO NA FATWA ZA MASHEIKH WA,AZHAR AMBAO WADAI UMESOMA KWAO??????

    • @AhmadaTahir-cu8se
      @AhmadaTahir-cu8se ปีที่แล้ว

      Hapo ndipo anawaambia mawahabbi ili wafahamu Mashekh zao wanavyowababaishaaa

  • @banihashim5347
    @banihashim5347 ปีที่แล้ว

    Mbona mnakata kata maneno ya sheikh kishk? Maana sheikh kishk clip hii mlioikata katuwekea kabisa sauti ya ibnu uthaymeen?
    Muogopeni MOLA WENU

    • @al-furqan3639
      @al-furqan3639 ปีที่แล้ว

      Sauti ya ibn uthaimin ipo tumeisikia Itizame clip hadi mwisho wacha kuropokwa

  • @abdulkarimukusaga3617
    @abdulkarimukusaga3617 ปีที่แล้ว

    Huyu nijaahili sufi

  • @user-im4zr3hw5y
    @user-im4zr3hw5y ปีที่แล้ว

    Nawew arafa yako unahijia wap mpuuz sana

  • @imranbanda3963
    @imranbanda3963 ปีที่แล้ว +2

    Brother kishk has no defense

    • @kitosio
      @kitosio ปีที่แล้ว

      Rudi ktk Geophysics utapata ukweli.

  • @AllyMassud
    @AllyMassud ปีที่แล้ว

    arafa ni moja tu hakuna arafa

  • @gharebsalum3415
    @gharebsalum3415 ปีที่แล้ว +2

    Ukitaka kuwa Wahabi ujitoe akili kwamza...

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 ปีที่แล้ว

      100%

    • @ayah844
      @ayah844 ปีที่แล้ว

      Haya si mambo ya akili ,masufi tatizo kila kitu wanatumia akili hawana dalili za msingi

    • @ayah844
      @ayah844 ปีที่แล้ว

      Munajiona kama mnampenda mtume kumbe mnakosea mnamfuata yahudi wanacheza ngoma alizo kataza mtume ,tumeletwa duniani kucheza? au kufanya amali njema ili Tufaulu twendako tunaenda safari nzito ,nyinyi mnajisahau ule muda wanacheza nakufundisha qasida kwanini hamsomeshani?ndio mana masufi wengi wanaangukia kwa mashia ,maulidi walianzisha nimashia vitabu va maulidi vinasema walitoka peponi maryam na asia kumzalisha mamake mtume🙆‍♂️kunadalili gani kama maryam mamake Issa na Asia mke wa firaun walikuja duniani kuzalisha na uzushi kina aina umetungwa nyinyi mnasoma maskini hamjui mnachokisoma kwenye barzanji ,issa ndio atarudi lakini mamake hatukuambiwa kama atarudi mbona mumeandika amekuja kumzalisha mamake mtume,,yani masufi mbwana kwa uzushi kiboko

    • @Naseemsalum
      @Naseemsalum ปีที่แล้ว

      ​@@ayah844tupe mambo yanayotaka akili 😂

  • @user-br7we5tt6t
    @user-br7we5tt6t ปีที่แล้ว

    EEE unahangaika bure, mbona Dar na Kigoma miji miwili mbali mbali, na haiwezekani mwezi wa tarehe ya 29 uonekane sawa katika miji hii miwili, lakini mnafunga pamoja!!! Standard na kipimo chenu ni nini!! mbona hapa mnakwenda kinyume na hadithi ya Quraib
    * Jambo la nchi yetu halina dalili katika dini

  • @jordan.3109
    @jordan.3109 ปีที่แล้ว

    Mashia kazi yenu kudanganya umma tu hamna lolote.