AslamalykumWW. Matangazo yoyote yasikatishe kisomo chochote. Iwe Qur’ani tukufu ama mlango wa maulid ama qaswida. Labda kama kuna kipeo, tena kisimamo chenyewe isije likaaingia mahala na likapotosha. Ikiwezekana tangazo liwe mwanzo ama mwisho. Afwan Afwan
Mie hunishangaza ahlul bid,ah kila Siku hupiga kelele kua wanampenda mtume swallallah Alaih wasallaam Lakini wapo na videvu vyeupe kama apple na kuburuza manguo na hadith za mtume swallallah Alaih wasallaam zipo wazii kazi yao ni mzaha tuu
Kama wew ni mfatiliaji wa sunna za mtume mohammad s a.w Endelea kuzihuisha usiwaseme watu vibaya bila kujua uelewa wao wa hadithi za mtume ukoje kukosa videvu vyenye nywele sio kukosa imani ktk moyo take care
@@abuuayoubayoub9260 Hizi dini mpya zilizokuja kikubwa walichofanikiwa ni ubishi kama Simba na Yanga kikubwa kila mtu afuate anachoamini tusifokeane....Acha tupige dufu na wao wapige hela za wasaudi😄😄😄😄😄😄😄
Mashallaah shekh muhiya umetisha. allah akubariki inshallaah
Mashair matam hayo maa shaa Allah Allah ampe kile alichokihitajia Mtume Muhammad S.A.W
Shukraan kwa sheikhul ghannaan na maripota wote Allah awape nafasi muzidi kutuwasilishia mambo mazuri
ماشاالله احب انا احضر يوما في هذه الحفلة لذيذة
Beautiful voice mashaallah
Mashaa Allah❤
Mashallah Jazakallah Kheri
Mash'allah Allah bless all Muslims
Mashaallah msomaji mlango wa nne allah akuhifadhi umechabgamsha maulid kwakweli allah akujaalie ukakukutane na rasulullah kwa mapenzi ya allah
Allahamdulillah umejua kutenda uliyo jifunza na kuhifadhi Mungu ana akuifadhi INSHAALLAH
mashaallah ... muhiya family mnatisha sana
Allah Amfungulie Milango ya Kheri ltk maisha yake Pumzi mashllah
Mashaa Allah Omar muhiya from mbeya to dar enzi hizo mtoto wa maalimu muhiya jazaka Allah kheiru!!
Mashallah mungu akuzidishie kipaji na akulipe kheri
Masha Allah ❤
Kapatiwa mhadao wa dunia umepampagawisha
Subhanallah
MaashaaAllah
Maashaa Allah Sheikh omar niliviona vitu vyako live masji Nunge
MAASHA ALLAH.....
Masha Allaah
Mashaa Allah..akiadhini adhana inakuaje Mashaa Allah sauti
Santa sheikh wangu😂😂 mtume mzuri Allahumswali wasalim Alyhi
Mashaalahh takbiiiiir
Mashaa Allah tabarrakallah
Mash Allah baraqallah
Mashallah!!
Mashaallah baaraq llah fq
Amina shehe wangu
MashAllah
Allahumma swallii alaa Muhammad
AslamalykumWW. Matangazo yoyote yasikatishe kisomo chochote. Iwe Qur’ani tukufu ama mlango wa maulid ama qaswida. Labda kama kuna kipeo, tena kisimamo chenyewe isije likaaingia mahala na likapotosha. Ikiwezekana tangazo liwe mwanzo ama mwisho. Afwan
Afwan
Mashaallah tabarakallah
ماشاء الله
Jazaaak allahu kheir Maalim
Mashaallah zidiiii yaikhiwa
Yaa takalam Al-habib anta minnah Allah'
Mashaalah
Maashallah tabarakallah
Umetisha mze
Mashaallah Tabaarakallah
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Mashaallah
Mashallah...
MASHALLAH,MASHALLAH,MASHALLAH
MashaAllah
Mashalllahhh
Maashallah
Mashallah
Masha Allah
Powerful and he knows what he say that why he become emotional
Vitaaaaaa
MashaAllah,,,swallu alal habiiib
Allahu mammalian maalay
Allahuma Swali Wasalim Alaihi.
Allahuma Swali Wasalim Alaihi.
❤😍❤😍👌👍
Mashallla tumsalie mtumi
Masha allah
Mashaall
Ok
Swalallah alley,mashallah
Wallah ni hatariiiiii sana huyu sheikh ma sha Allah
Mtihani
Mashaallah Allah awahifadhi watu kama hawa inshallah
Kwa kuleta utani kwenye dini.
Mash Allah!!! Fundi kweli!!!
Mashaallah, mashaallah
Mwenyezimungu akupe Pepo yadaraja
الحمدلله الله قادر
👏👏
Bondeo Na ww Vp mlango wa 4 upo vizuri Kijana
❤❤❤❤❤❤
Unajuwa mzee
Allahuma swalihallaamuammad
Fannnaaaaaan hatari sana 🔥🔥🔥🔥
Vya kulanda kupunda😍 #muhhamd muhiya
قال امام الشافعي رحمه الله ،لو أن رجلا تصوف من أول النهار لم يأت عليه الظهر الا وجدته أحمق
Masufi bwana wanapenda rahaaa
ana balaa lake huyu mtu ..vitta mno
dah nilikua sijona UHODARI WA SHEETANI KUWAPAMBIA WATU YALE YASIOKUA YA DINI mpaka watu wakaingia wehu kama hapa
Angekua uwarabuni anasoma kwa stairi hio mpaka anamaliza angekua na zaidi ya milioni kumi,, ila kwetu huku wanacheka nakufurahitu😁😁😆😆
Swala llahu aleee
Mashallah the voice
Yani anasoma kwa raha na furaha sana
🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Kama Adhana vile
Kakufundisheni mtume ganiii ayo mambo
Mtume anachukia sana kusimamiwa.
Vittah
Aah mbona mmemkatisha? Irudiweee
Kawe
Hivi haya maulidi hayana muda kila siku ni maulidi
Dah!!!! Huyu jamaa kachangamsha maulid kwely yan
P.h.d.
Upuuzi tu
Maisha yote! Haramu haina Kanuni!
Hujui hata lisomwalo si ajabu!! Si Kosa lako
Doh!!!!!!!! Hahaha ha haha haha huyu sheikh muhiya Ana balaa
Maashaallah
Jaman nataman hata niwe n mm
Huyu angekuwa ameshikana na Quraan kungestafidi na qiraa. Lakini nyimbo hazina maana
Mcheni Allah enyi kongamano la waislam. Acheni bid'aa
We mwenyewe ni bid'a
@@hassanalbasry8706 una maanisha kwamba kuzaliwa kwangu ni bidaa?
@@sajumahege4903 Tena bida'a kubwa sana
@@hassanalbasry8706 tumuogope Allah maneno yetu na vitendo vinadhibitiwa
@@tamashamagoma2941 ukiwa mtu wa bidaa kufanya istizahi ni jambo la kawaida, tukumbushana kumcha Allah mtu analeta kejeli
Nimecheka kwa saut sheikh kashtuka anajiuliza hii adhana ya saa ngapi na ishaa tushaswali🤣🤣
Duu jamani hapa dhambi iko wapi wengine wanasema eti mtume kakataa kusimamiwa ndo kosa
Tuambie na wewe thawabu Iko wapi pale?..
Mie hunishangaza ahlul bid,ah kila Siku hupiga kelele kua wanampenda mtume swallallah Alaih wasallaam Lakini wapo na videvu vyeupe kama apple na kuburuza manguo na hadith za mtume swallallah Alaih wasallaam zipo wazii kazi yao ni mzaha tuu
Yahni wanazivutia hatithi za mtume makwao tu
Kama wew ni mfatiliaji wa sunna za mtume mohammad s a.w Endelea kuzihuisha usiwaseme watu vibaya bila kujua uelewa wao wa hadithi za mtume ukoje kukosa videvu vyenye nywele sio kukosa imani ktk moyo take care
@@abuuayoubayoub9260 Hizi dini mpya zilizokuja kikubwa walichofanikiwa ni ubishi kama Simba na Yanga kikubwa kila mtu afuate anachoamini tusifokeane....Acha tupige dufu na wao wapige hela za wasaudi😄😄😄😄😄😄😄
Huu uzushi katika dini sijui utakwiaha lini jamani dah! inasikitisha sana.
Hayo ninimashaili tu aya wala hadithi haziwa athiri ilamna athirika namashairi innalilahi,,,,,,
Bidaa