ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
MLANGO WA KWANZA - Ustadhat Nadhifah - Madrasat Al tawba
ความคิดเห็น • 402
ต่อไป
เล่นอัตโนมัติ
MLANGO WA PILI | UKHTY ARAFA HUSSEIN | MAULID CHINI YA AISHA SURURU FOUNDATION 2020 | MUHIMBILIMASJID MTORO ONLINE TV
มุมมอง 132K
Mwabukusi Atoa Hotuba Nzito Baada ya Kuapishwa, 'Tuwe Wamoja'The Chanzo
มุมมอง 20K
AMA KWELI NIMESIKIA QASWEDA NYINGI NA NIMESIKIA SAUTI NZURI LAKINI HII SAUTI KIBOKOMASJID MTORO ONLINE TV
มุมมอง 198K
LISA - ROCKSTAR Special Stage Performance (w/ HolyBang)LLOUD Official
มุมมอง 4.6M
ศึกเพชรยินดี 01/08/2024True4U
มุมมอง 66K
Do you think I'm smooth enough ?? #spd #secret #secretroomSpriteDer SPD
มุมมอง 2.3M
PUN - BF (feat. URBOYTJ)PUNVEVO
มุมมอง 447K
BALAA LA ARAFA HUSENI MADRASAT NURUFAHAMIA {Dufu ndogo}TWARI ONLINE TV
มุมมอง 22K
Muhammad Ramadhan Boki | Mawlid Masange,TanzaniaAdil Twahir
มุมมอง 157K
SHUHUDIA VITA HII CHUMA CHA MKURANGA CHAUMANA USO KWA USO NA MOHAMMED MUHIYAZVP ONLINE TV
มุมมอง 9K
MLANGO WA 2 ULIVYOSOMWA KWA KISWAHILI NA MZEE WA MIAKA ZAIDI YA 70, MAULID BAURA KONDOASaimu gwao Online tv
มุมมอง 44K
UKHT NADHIFA ALIVYOMFURAHISHA NAIBU SPIKA ALIVYOIMBA QASWIDA YAKE KTK FAINAL YA QASWIDA ZA COVID.Saimu gwao Online tv
มุมมอง 3.9K
Dhikri Mombasa kongowea maweni kwa ibin Masoud&Beka 2023 full videoAbdallah Masoud
มุมมอง 2.9K
เถียงครูแบบนี้ได้ไง?! น้ำนำไฟฟ้ามั้ย? #saysciSaySci
มุมมอง 150K
LIVE : AC MILAN vs REAL MADRID | Soccer Champions Tour 2024 | 01.08.24BG SPORTS
มุมมอง 219K
Help Barry And Barry Woman Scan PrisonersGarri Creative
มุมมอง 1.9M
วันแรกลงทะเบียนรับเงินหมื่นผ่านแอปฯ “ทางรัฐ” มีผู้ลงทะเบียนสำเร็จกว่า 2 ล้านคนสํานักข่าวไทย TNAMCOT
มุมมอง 318K
🔴 LIVE ถ่ายทอดสด! ผลการออกรางวัลสลากกินแบ่งรัฐบาล งวด 1 ส.ค. 2567PPTV HD 36
มุมมอง 888K
น้องวีว่าเต้น TikTok เก่งมากก! #shorts #tiktok #dance #wiwawawowtv #sisterWiwaWawow TV
มุมมอง 65K
اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا ونبينا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين
Thank you sister
Mwanamke mwenzangu umenikumbuka mahali sana, Enzi zangu nilikua nasoma Mlango huo, Mungu akujaalie InshAllah.
Maa shaa Allah. Bado hujachelewa dadaangu
Mashallah sauti nzuri dada yangu ALLAH akujaalie kheri wewe na kizazi chako
Masha Allah ..nakumbuka.kwenye harusi.ya dada angu alitupa raha wallah Allah atujaalie wanawake wote
Elimu ya dini aina mwisjo kama dada etu apa mashaallah usikute kaolewa na anasoma madrasa madrasa za wakina mama zipo ndugu zangu twendeni wakina mama wenzangu
Masha Allah.marhaba iya marhaba aseke rasul sa.
Ungekua mke wangu ungekua unanitumikia vizuri sana
Allah atujalie tuelimike kabla ya kufa kwa kweli mambo haya n kinyume n mafundisho ya mtume wetu muhammad SAW (bidaa\uzushi)
Kumbuka walio mpokea mtume uku wakiimba kaswida walikuwa wanawake
الله يحفظها!! طيب جدا!! ماشاء الله تبارك الله
Subuhananlaa mtume asema nihalamu kuchanganyika wanawake na wanume halafu wanawake wasipaze saut maskh mrudien alla
Habari zenuu napenda kujua Dada angu anapenda kujiungu na masomo hapo kwenu utaratibu upoje ,kuna bwen au tafadhan tafurai kama tajibiwa nipo kibiti pwan
Bismillah mashallah mashallah mashallah
Wow much love from Albuquerque USA. She reminds me when I visited tamta tanga in the year 2002 I wish my children could recite like her
Jazak Allah
Mcheni Allah wa akina mama, wallahi wallahi angekuwepo mtume Mohammed swala na salamu ZIMUENDEE uko aliko angelia KWAMAMBO haya ya MASUFI ni haramu mwanamke kudhihirisha sauti zao mbele ya wanaume muogopeni mola wenu mlezi
tuliambiwa kutakuja zama maovu yatakimbilia kwenye dini ndo hayooo sasa tujipe pole tujirekebishe wanawake
Q
Wajna asa wanawake wasome wapi?
Innalillaahi wainnaailayhi Raji'uun, Hakika huu ni msiba
Wamamako?ajabu gani wemjinga wivu na uswahili na machuki kimbuluruu were,msimuhusudu bule mwanawawatu.looohfyuuuuu
Maashaallah,ustadhat unajua kusoma barzanji,❤❤,Jazaa akillahi khayran!.
Ma shaa Allah ma shaa Allah ma shaa Allah, Allah akujaalie mwisho mwema
ishaallah Allah awape wepesi wa kuifadh quraan
Mashaa Allah tabaarakallah 😘Allah akuzidishie kipaji Mashaa Allah nimependa sana .
mashallah Mungu Akuzidishie Rehma Achana Nahao wasoelewa Kitu Ati Unapandisha Saut Mbele yawanaume kwani Unaimba Taarabu Jamani Laatajasasu
Mungu akuzidishie na uwe na mume mwema na maisha yenye kheri zote dah niwachache kina mama kuwa wa namna hiyo wengi wapo kwenye vigodoro na kutunzana mabeseni
Fadhili Mgohamwelu m
hapo kafanya lipi jema sasa.
Mashaallah
Mashaallah ❤❤
MashaAllah
Tunaomba kaswida nyingine za nadhifa jmn tupate raha
Allah akuzidishie kila la kheir marufuku kuwaza kutenda maovu
Mashaallah
tumuombeni Allah amuogoze natuogoze allahsiratul mustakim
Maashallah Naskilizaga kila sku mpk niijue
Maashaallah,!! Allah amhifadhi mwanamke huyu,!
Mashallh❤❤❤🙏🙏
Allahuakbar...
Maashaalh mungu akujaze yalio mema upo vizuri sana tatizo ni Tunazuiwa wanawake tumezuiwa kutoa sauti zetu mbele ya wanaume du!mwenyezimungu atusamehe sana huu ni msiba mzito japo kinamama wengi hatupendi kuambiwa ukweli
Kakae jikoni
mashaallah ustadhat by sajad madrasat asswabiriina ibwera kwa sheikh muft said rutashobya
maasha Allah
Mashallah 🙏🙏🙏🙏
Mashallah sauti nzur natural mungu akuzidishie
subhanallah haifai mwanamke kupaza sauti yake tena mbele ya wanaume kisa maulidi kina mama tumcheni Allah
sii kweli
Mambo Ya bidaa Ndio Hivyo Tena
@@Asadiqmedia ni kweli ,wanawake hawaruhusiwi kupaza sauti zao, tuache ushabiki tukiishi vile allah anavyotaka siku ya kufa faida inakuwa yako
Mashallah
ramadhan salimu elm umesomea WAP,
Innaa lillaah wainna ilayh raaj-uun
sauti nzur mashaalla!
Bahati Yusufu twambien kwel kama ana mume kama hana tuko tunamwihitaji jaman
Mashallah
Huo wote niwiv dada ukovizur san ALLAH akuzidishie inshaallah mtume alie nin mnambeza kwakuwa ht alif hamjui mabichwa nyie
Wivu tu kwakweli roho mbaya atazikwa mayo naatafufuka nayo.
Maashaallah wa jina
اللهم صلي وسلم على سيدنا محمد تاكبير ما شاء الله ما شاء الله🎤🎤🎤🎤🎤❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Bismillahi Ma Sha Allah from saudi Arabia
Masha Allah
Allahuma bark
Ma shaAllah
Mashallaaaaaaaa,natamani siku zirudi nyuma
maa shaa allah allah akupe zaidi na zaidi
BISMILLAH MASHAALLAH ❤
Allohuma sholi alaihiwassaliim allaih
Mashaaallaah❤❤
Maashallah
Maa shaa ALLAH tabaraka ALLAH
Mashaaaalah 🙏🙏🙏
Allah ho akbr mashallah
Bidaa itabaki bidaa tu ataikapambwa vip?
masha Allah
Masha Allah masha Allah mungu akubariki ♥️♥️♥️
Masha allah
Innaalillahi Wainnaailaihi Raajiuun
Wemswaili kwanini useme inalilah ?mbona minikiwa msichana nilijuwa nasoma mlango wa nne.tena napanda kwenye membari?shida iko wapi?wivuuu
😅😅
Binafsi nilikua msomaji milango at 17yrs but kulikua na maadili..tuna maadili tunatiwa chumbani mic zinaletwa huko au tuna zungushiwa boma dogo la khanga au magunia. yani tusijulikane sauti zinatokeapi..kwa kweli siwezi kusoma wakati taa zina niangaza hivi na waume wapo hapo .sio sawa
Jamani waislam wenzangu jee yule dida nimwanaume sijawai kuona mkisema anaimba ivi haram inawatu maalum
mungu akuzidishie dada
masha Allaah
Bismillah MashaAllah
Maashaaallah asma nimeipata
Msiba mkubwa wanawake wameva nguo za kata mikono
Bismillah mashallah ✌
maanshaallah Dada yangu Allah akuzidishie
Ya rrabi akuongoze.
Aaamin
Maashaallah
Innalillaahi wainnaailayhi raajiuun, ni msiba huo mama yangu
Nilikua na skilizia sauti tu sikuaa nakuona live mashaaalllaha
maashaallah Allah huakibar.
Ziid ziiiiid alaih maqtub maqtub🙏🙏
Wanaume wanaka pamoja na wanaume haifai
Abass Jamal# haifai kumtolea matusi mueleweshe kwa kauli nzuri na maneno mazuri ni swadaka kwa muislam
Nimemtusi aje ebu nieleze kosa langu
Kusema wake na waume kuka pamoja haifai ni matusi
si support kabisa hapo mwanzo hawao mwanawake wanaomtunza wako uchi kabisa..tunaona tuko ndani ya dini lakni wapy...tufatee sunnah za mtume na tuache upuzii
Kweli kabisa, hata Mimi nimeshangaa, na wanaume wanaenda kutunza eti
Alafu hao wanaoponda usikute hajui hata herufi moja ya Qur'an
Abdul Mlawa Ndiooo mawivu tyuu
Mashallha Mashallha
ManshaAllah
MAA SHAA ALLAAH
Maasha Allah
Mashallah mashallah
❤❤❤❤
Sauti mbele ya wanaume .subhana Allah wengine wamevaa nguo zakukata mikono Allahu Akhbar aibu kwa mwanamke wa kiisllam tuelimikeni jamani
Njoo unisomee mimi tu
Masha allah mungu awajalie kheri
jazzaka allah kheli
Ustadhat mungu akulipe
Maa shaa Allah
mashaallah mashaallah 🥰 I
Ameen rabillah allah meen
ALLAH Akupe pepo mama
Wanawake duniani Kama Hawa nawapend
Mashaallah ukhty nadhifa
mashallah
umeonaa eee Ukhuti Rahma ni manjonjo na bidaa kabisaa
Sio kweli
Nakuoenda San mama. Ubatikiwe mwanangu
mashaallah
ustadhat kukata nyusi ndio nini sasa unafanya katika uislamu wako
Nyusi zake ndivyo zilivyo hata ukimuona live
Mashaallah.kila.la.heri.inlshaallah