MTAZAME BI MWAJUMA NYOTA AKIUSOMA MLANGO WA NNE KWA USTADI, WAKINA MAMA WAMTUNZA, USO WA MTUME

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2023
  • Follow Us On:
    INSTAGRAM: / miladu_tv
    FACEBOOK: / babdeo miladu/
    TIKTOK: www.tiktok.com/@miladu_tv?lan...
    TH-cam: / @babdeomiladu
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 46

  • @luckygummybear8479
    @luckygummybear8479 9 หลายเดือนก่อน +3

    ALLAHUMA SALI ALASAYIDINA MOHAMED WAALIHI WASAHBIHI WASALIM❤❤❤❤

  • @user-tj6nv3lc1m
    @user-tj6nv3lc1m 8 หลายเดือนก่อน +1

    Molla akulipe janna allahuma amina mashallah.akuongezee imri inshallah.

    • @user-tj6nv3lc1m
      @user-tj6nv3lc1m 8 หลายเดือนก่อน

      ❤mashallah Allah maswali wasalim aaallah.

  • @karimkassam571
    @karimkassam571 10 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah ....hiyo ndio rehma ya mtume

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 10 หลายเดือนก่อน +1

    Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! ALLAHUMMA SWALLI WASSALLIM WA BAARIK ALAYHI ❤

  • @luckygummybear8479
    @luckygummybear8479 9 หลายเดือนก่อน +2

    MASHAALAH

  • @zuwenasaleh4693
    @zuwenasaleh4693 5 หลายเดือนก่อน +1

    Unatuburdisha bimwaju maashaallah

  • @Jamila-cz5ge
    @Jamila-cz5ge 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ama kumbe ujahil wa abujeheli bado upo azi za sasa mwacheza kama harusi. Hata hao walio zaliwa ktk dini wanachanganyika na wanaume HASBIYA Allah waniima alwakil mtulizwa kesho kwa Alla

    • @mwakughumwarigha6887
      @mwakughumwarigha6887 8 หลายเดือนก่อน

      Kwendaa...hupendi mtume akisifiwa.....TOA sababu zengine....kwani wewe Ni msafi Sana?

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 หลายเดือนก่อน

      Wamefurahi kuna ubaya gani wanamsifu mtume hamna maneno machafu sio mziki hio ni vizuri watu kumsifu mtume habib alla

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 10 หลายเดือนก่อน +1

    Maa shaa ALLAH 💚💚💚

  • @Jamila-cz5ge
    @Jamila-cz5ge 10 หลายเดือนก่อน +2

    Sauti ya mwamke ni aura. Nasitara hawana MIKONO nje hiyo nidhambi mnafanya bidaa

    • @mwakughumwarigha6887
      @mwakughumwarigha6887 8 หลายเดือนก่อน

      Jamila uko Na Nini wewe Na Sisi?fuata lako..wivu utakuchoma...Sisi Na mtume Na mtume Na sisi mpaka yawmul mahshar tuingie peponi Na mtume wetu Inshallah wewe baki hapo hapo Na pingamizi zako za khiyana

  • @KibwanaSultan-bn5ev
    @KibwanaSultan-bn5ev 3 หลายเดือนก่อน

    Mashaallaah mwanikumbusha bari sana mwanya

  • @rashidikarata9510
    @rashidikarata9510 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mashalah

  • @mwajumaazimio673
    @mwajumaazimio673 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah mashallah wallwah mpka najihisi kulia wallwah

  • @did3462
    @did3462 10 หลายเดือนก่อน

    Hasbunaallah waneemal wakil wacheni kutusi watu

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah 💖💖💖

  • @zuwenasaleh4693
    @zuwenasaleh4693 5 หลายเดือนก่อน

    Maashallah

  • @fay9687
    @fay9687 10 หลายเดือนก่อน

    Taarabu subhanallah

  • @asharashid459
    @asharashid459 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah 🥰

  • @mariammohamed6762
    @mariammohamed6762 10 หลายเดือนก่อน +3

    Asalaamn alaykum bi Mwajuma Nyota mashallah ila mikono yako iko wazi jitahidi kushona nguo ya mikono mirefu pamoja na kina mama wenzangu wote watu wa Maulidi tukijitahidi katika mavazi answar hawatuwezi tuna vitu vingi ikiwemo dua na maulidi

    • @tamashamagoma2941
      @tamashamagoma2941 10 หลายเดือนก่อน +2

      Vazi lenyewe tu ni kipimo, na maulidi zenu hizo. Unapodai hawatuwezi ni akina nani , ni Mola wako mlezi au alieifundisha dini Mtume wetu Mohammad ndie aliekataa hayo bidaa yenu. Stars yenyewe tu mtihani!

    • @user-tl8cj8gw6p
      @user-tl8cj8gw6p 9 หลายเดือนก่อน

      Haha Yani umesema yeye ni Nyota! Ehe Kafanyeje ndio awe Nyota 😢 lkn jamni dunia hii Allah alitujaalia lkni Ile vitu tuko navyoooo wacha tu!!

    • @ShanMohamed-hh2mk
      @ShanMohamed-hh2mk 9 หลายเดือนก่อน

      Nampataje huyu mama anae mfaham plz

    • @user-tl8cj8gw6p
      @user-tl8cj8gw6p 9 หลายเดือนก่อน

      @@ShanMohamed-hh2mk ... haha ako Tz but ukipata watu barzanjy na Matwari ushampata

    • @mariammohamed6762
      @mariammohamed6762 9 หลายเดือนก่อน

      Aswaliwe bwana mtume swalallah alayh wasalaam

  • @user-ct9dt5bd4n
    @user-ct9dt5bd4n 9 หลายเดือนก่อน

    .

  • @fay9687
    @fay9687 10 หลายเดือนก่อน

    Sauti mbona ina kwaruza

  • @fay9687
    @fay9687 10 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @davidruhasha9670
    @davidruhasha9670 10 หลายเดือนก่อน +2

    Haya bachu akisema mnamtukana hana adabu iyo ya huyu mama kupaza sauti kwenye maulidi ya dini ya mungu mmepata wapi ? Haya mambo ni dini kweli ?

    • @swalehabdulrahman4118
      @swalehabdulrahman4118 10 หลายเดือนก่อน

      Duuuh kwahiyo angesoma vp ,hapo huoni kuwa Ni wanawake watupu

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 10 หลายเดือนก่อน +1

      Si ni wanawake kwa wanawake nyinyi mawahabi punguzeni bangi

    • @jimjam-xg7rv
      @jimjam-xg7rv 10 หลายเดือนก่อน +1

      Mzuiye mkeo asijiunge na Wana wake wenzake kumswaliya mtume MOHAMMAD (S.A.W) ama wataka wakusifu ww jahill kisoro kwinyo adui wa mtume

    • @mwanakheri2880
      @mwanakheri2880 10 หลายเดือนก่อน

      Bachu anaona hawa peke yake? Walenl wanoimba taarab hawaoni ana chongo?

    • @user-tl8cj8gw6p
      @user-tl8cj8gw6p 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@swalehabdulrahman4118.. niwatupu lkn waaonekana kote ulimwenguni ama hujui Hilo!? Nahawa hta kujichanya na waume sio shida Kwao kabisa au unakataa Hilo!!